No video

MSAFARA WA LISSU WAINGILIWA, WASIOJULIKANA WAMFUATA KWA NYUMA, WASIPOJITOKEZA, ATAWAANIKA HADHARANI

  Рет қаралды 20,051

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

2 ай бұрын

#TANZANIA: Msafara wa Lissu waingiliwa, watu wasiojulikana wafuatilia msafara wake hadi kwenye mkutano wake katika Jimbo la Singida Kaskazini, awapa muda wajitokeze, wasipojitokeza kesho Alhamisi atawaanika, apata picha zao.
Zaidi: • MSAFARA WA LISSU WAING...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 85
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 ай бұрын
Mungu akulinde na kukutea na Damu ya Yesu ikufunike popote ukanyagapo🙏🏽
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
wakitaka kukufanyia ya miaka ile hawata toboa sisi wanainch tukomacho lisu oyeeeeeee 😅❤❤❤
@florencejohn6427
@florencejohn6427 2 ай бұрын
Jamaa anajua sana kuelezea mambo
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 ай бұрын
Ni fundi wa mpangilio wa maeneo yenye akili Sana. Sijawahi ona tangu niwaone wanasiasa. . Ana akili kuwazidi ndio maana wanamuonea wivu. Mungu ni hakimu mzuri.
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 2 ай бұрын
Kama unatetea Haki ya watz mwenyezi Mungu atakutetea ktk jina la Yesu Amin
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 ай бұрын
Tundulissu nakuombea Mungu akulinde daima, hao wanaokufuata kimya kimya siyo watu wazuri! Kwani kama wangekuwa watu wazuri wasingekuja kimya kimya! Hebu waweke wazi ili washughulikiwe na wananchi! Kama wataendelea kimyakimya hebu onyesha vijana wako na wananchi kwamba hawa ili wananchi washughulike nao! Kama wametumwa wajaribu tena waone Mungu atakavyokutetea!!!
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 2 ай бұрын
Mungu akulinde kaka Lissu For sure you create much awereness among the Tanzania! Binafsi Toka nimeanza kukusikiliza nakuaminia sana Uoga nishaachana nao!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Tanganyika yetu Amani inayoimbwa na viongozi wa chama na serikali I WAPI🤔🤔🤔🤔💔
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Hivi tunashindwaje kuwateka nao hao waitwao "wasiojulikana???"kulalamika lalamika tu ni uzembe,ifikie kipindi chadema izalishe vijana wakakamavu wenye ujuzi wa kutumia silaha zote,ili tudili vema na hawa wapuuzi,kama noma na iwe noma
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 2 ай бұрын
Wasenge waache usenga ww Ndo mtetez wetu mungu atakulinda
@musamwambene1323
@musamwambene1323 Ай бұрын
Lisu mwana siasa wa pekee sana mungu akusimamie sana
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 2 ай бұрын
Nashikwa na hasira sana na hao watu
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 ай бұрын
Atuonyeshe tu hao watu watajua hasira za sisi wananchi
@ElizabethMwalongo
@ElizabethMwalongo 2 ай бұрын
Yaani wasijaribu Mungu wa Tundulisu anatisha
@jerumayamwasomola1065
@jerumayamwasomola1065 2 ай бұрын
Ameongea Kwa hisia sana
@JacksonBayyo-uo3eg
@JacksonBayyo-uo3eg 2 ай бұрын
Uwe na amani usiogope🎉
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 2 ай бұрын
TAIFA, SERIKALI, POLISI JE BADO MTAKAA KIMYA KWA HILI NALO!! KAMA.MLISHINDWQ KUFANYA UCHUNGUZI ina maana bado mnamfuata!! Ni Uchungu mkubwa sana kama haya mambo mnayo!! Jeshi la polisi mmemsikia msikae kimya kwa hili !
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Waulizeni Amani.ipo Selikali.jibu.?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 ай бұрын
Hao wadhalimu Hawata weza kwa jina la Yesu allah akbar
@user-ms6wc7ug6w
@user-ms6wc7ug6w 2 ай бұрын
Dah maskini lisu anapambana sana aise,mungu amjalie
@omaryidd4373
@omaryidd4373 2 ай бұрын
Lisu usifanye masihara Bado tunakuhitaji
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
Omary Idd ukimhitaji LISU, na wewe Mungu atakuhijitaji Damu ya Lisu mikononi mwako na kamwe hayuko mwanadamu yeyote awezae kuilipa damu ya mtu!!!! Utabaki na majuto, kilio na kusaga Meno milele kwa ujinga wako kisa uchawa tu uchawa wenyewe mnaambulia MAKOMBO YA MAFISADI WAO WANAKULA VINONO ILA NI HARAMU!!! NCHI NI YETU SOTE TUBISHANE KWA HOJA ZA NGUVU SI KWA KUMWAGA DAMU MAKUSUDI NA ATENDAYE DHAMBI KWA MAKUSUDI HAKUNA MSAMAHA KWA MUNGU MILELE. OGOPA SANA HILO.
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r 2 ай бұрын
Perfect
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 2 ай бұрын
Iliyobakia ni Kupiga kelele kote. CDM mko wapi? Viongozi amkeni mtoe matamko kwa umma na Jeshi la Polisi!
@saiddaji6342
@saiddaji6342 2 ай бұрын
Mungu akulinde jembe letu
@AlexChawe
@AlexChawe 2 ай бұрын
Hao walio tumwa watageukana wenyewe watafungana kwenye viroba watakufa wao
@lonyorilaizer2649
@lonyorilaizer2649 2 ай бұрын
Jembe la Taifa
@avithmassawe8205
@avithmassawe8205 2 ай бұрын
Kuna jamaa kavaa koti la jeans kabeba kibegi hapo naona kajistukia kafichaficha uso, kageuka baada ya kuona camera inam mulika yeye akaamua kuondoka. Ndo mmoja wapo ama??
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Dawa yake wakamatwe na wanainchi wamaeneo hayo wapigwe sana
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 2 ай бұрын
Wanaweza kumwua , tatizo vita wanamiliki uchumi yaani CCm anawavua nguo wako uchi!!
@JacksonMahende-ho2wb
@JacksonMahende-ho2wb 2 ай бұрын
Hao washighulikiwe na wananchi mapema Kwa kipigo na kuchoma Hilo gari kama hawajilikani
@ahmedhamis
@ahmedhamis 2 ай бұрын
Ngoja tukusaidie kazi ya kupambana nao
@user-kj5jp2ii5n
@user-kj5jp2ii5n 2 ай бұрын
Mbunge wa hapo ni nani? Alihusika vipi na issue ya Dr. Ulimboka kung'olewa kucha? Anzieni hapo kwanza!
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 2 ай бұрын
Sasa nikulize magufuli yupo hapo hao niwanani unajua kaka jitaidi usikariri walifu wabaya wapo tu Leo magufuli hayupo hao wanatoka wapi chukua tahadhari nahao vibaka
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Season moja inaitwa PORUS. Ni nzuri kuingalia. Wahusika PORUS, mfalme Alexander, mfalme bamni, dalayasi. Nchi ambayo mfalme Alexander na dalayasi walitaka kuiteka na kumiliki kwa sababu ya utajiri. Wake. Season hiyo inaweza kuelezea hali halisia ya nchi nyingi za kiafrika.
@MataighaTiro
@MataighaTiro 2 ай бұрын
Kwa hiyo nawewe unatuzibitishia kua magu ndio alitekeleza au mnaumia kila kitu
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 2 ай бұрын
@@MataighaTiro hujuwi kuhoji soma vizuri SMS nimekuliza milimtuhumu magufuli kua ndio alie watuma Leo hao wametumwa nanani
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 2 ай бұрын
Kama mnijua hiyo gari kwani msiwaue, maana wataendelea kuua kutesa
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 2 ай бұрын
Naomba muungano wetu ujitetee na siyo viongozi kuutetea, kama ni mzuri utajitetea, kama unafaida utajieleza la sivyo serikali 3 ndiyo mwarubaini hauepukiki
@JacksonFrances
@JacksonFrances 2 ай бұрын
HAO WASIOJULIKANA KWANINI Mheshimiwa Lissu USITUONESHE TUANZE KUWASHUGHULIKIA ILI IWE FUNDISHO KAMA HAWATAKI KUJITOKEZA HADHARANI ?"
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 2 ай бұрын
mungu hata hendelea kuku linda hende lea kutu tetea
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 2 ай бұрын
Íli watanzania wawajue
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👍✌️🙏.
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 ай бұрын
Kiukweli lisu nimkombozi wetu. Nikiwa Chama tawala mnampiga vita. Basi anayosema ni ya kweli. Na ukweli huuma mungu anamakusudi nae. Msitake kushindana na mungu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 ай бұрын
Watu wasiojulikana na serikali yenye mamlaka,na mkono mrefu wanatutisha,na kutudharau kwasababu ni kundi lililoundwa kisiasa na serikali,kwa faida za kisiasa. Ni aibu,na uongo kwa serikali kukaa kimya tangu 2015 mpaka 2024!
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 ай бұрын
Hakika IQ kubwa inawatesa Sana CCM, unafundisha elimu kubwa sana ndani ya Taifa letu, Sasa CCM uwezo wa kujibu hoja zinazo elimisha jamiii ielewe kinachojiri kwenye Taifa letu, ndiyo maaana wamekuwa waoga wakiambiwa ukweli wanakimbilia bunduki, wakizani wapo salama ktk USO wa Dunia, Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha/ Tanganyika yetu
@AthumanDauda
@AthumanDauda 2 ай бұрын
Mungu mkubwa atakulinda
@allyshaban406
@allyshaban406 2 ай бұрын
Ok
@e11said23
@e11said23 2 ай бұрын
Unaweza kusoma sawasawa kama wewe lakini mzee yani wewe una mamayako yeye hawezi kua mama yako unaashiria nini kwa maoni yangu daa pole mzee tafuta sera ama chukua mamilion unayo pewa ya demokrasia yako upige round tu
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 2 ай бұрын
Brother Lisu usikawie kuwaweka hadharani tafadhali, ni hatari haina haja ya kuwataarifu
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 2 ай бұрын
Mheshimiwa tunakuomba utuonyeshe hao wasiojulikana
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Washindwe
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 2 ай бұрын
Chamaa kiandae vijanaa wakakamavu
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 ай бұрын
Acha ujinga lisu mzazi anapaswa kujua mwenendo wa mtoto wake
@dottomatola5905
@dottomatola5905 2 ай бұрын
Akili ya kuambiwa changanya na zako
@theonalyalfred8087
@theonalyalfred8087 2 ай бұрын
Waseme mapema watakuuwa
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 2 ай бұрын
Time hii hatoki mtu... Lisu akiwanyoshea kidole tu tuna chinja wote hatuta jali chochote.
@didaslunkoto
@didaslunkoto 2 ай бұрын
Hata 2017 ulisema mapema kuna gari linakufuata kila mahali matokeo yake yakawa kama yalivyokuwa. MUNGU mkuu akulinde. Malaika wa Bwana wakuzingire
@gangan4618
@gangan4618 2 ай бұрын
Wageni waondoke by mbarikiwa
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 2 ай бұрын
HAO WANAOMFWATILIA MHESHIMIWA LISU WAACHE MARA MOJA WAKIMDHURU TENA HAPATATOSHA ,DAMU YETU ITAKUWA CHAI. WATAINYWA. HATUTAKUBALI TENA. YANAYO SEMWA NA TUNDU LISU YANAUKWELI 100%
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 2 ай бұрын
Sasa gari linakufuata na umewaona si uwaulize ? Kama uliomba ulinzi vipi uwaongope hao walinzi? Usilete ngojera hapa ,! Sasa kila mahali ulipo.wapo mbona wasikudhuru?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 ай бұрын
Unaliwa nyuma wew
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 2 ай бұрын
Ungeongea unaonekana ungeflayi we msenge
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Utrina ubee Lissu tozo,zimetuumiza 25000 hio kutesa raia, shule zilkwepo,mkoloni alijenga shule nyingi,hakukua na mchango,wino na madaftar ilikua bure, hio n kweli,huna baya,
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 ай бұрын
Tuonyeshe tu
@allyshaban406
@allyshaban406 2 ай бұрын
Kamanda tuambie tuanze nao,
@BarakaYasini-lp3ys
@BarakaYasini-lp3ys 2 ай бұрын
Catholic church movement yani ccm 7:31
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 2 ай бұрын
Safari watasababisha machafuko
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Tanzania strong hold opposition tundundulisu complain about been following by car wich they don't adentefy every place whatever goes on his rally give them worning and say has got no trust with. That car if is gavment car following him every place whatever goes has say tundundulisu if your a gavment official better tell me saylence or l tell my saport to do what they can because al afraid following by car wich l don't adentefy it can be seem problem wich was happening on palament Palestina place been shooted by 16 bullet Tundundulisu explanation if truth mince ccm leadership is they responsibility to protect this tanzania opposition by all cost Incase happened again his life been lost will be a big problem into Tanzania gavment because every where opposition has to be protected by send gavment even if is opposition we sighin agreement on intranational ecle protect opposition into Tanzania national consern his life is under ccm leadership protection remember has came out under German embassy security goes outside of tanzanian world is worching tundundulisu vary close and Africa national following tanzania politics vary close is up to ccm leadership see strong hold opposition in vary sensitive way let asepty compation of politics like Kenya Malawi Zambia sauthafrica the end of day tanzania is one send peaple seem national we are not spouse to be one single nation we hart each other or crush among ourselves we are Tanzania into one single nation call Tanzania
@samsonmweta5040
@samsonmweta5040 2 ай бұрын
Kiki
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 2 ай бұрын
Zamu yao tuambie tu tunyoke nao
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 ай бұрын
usiogope MKUU
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 2 ай бұрын
Acha uoga piga kazi usiogope
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 ай бұрын
Fala wewe
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 2 ай бұрын
@@eliajimmy95 huna hoja zumbu kuku
@Charleshangaya
@Charleshangaya 2 ай бұрын
Unasema hukulia niwewe hata hivyo hatuwalilii waliokufa maana tumaini letu si kwa wafu usilaumu wafu lisu mwanga sela zako achana na magufuli hicho nichwa kingine tz hapa tukuambie
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 ай бұрын
Pontio Pilato anatajwa kila siku tukumbukapo kesi ya Yesu Pilato yupo? Historia haijawahi kufa.
@BarakaYasini-lp3ys
@BarakaYasini-lp3ys 2 ай бұрын
Tanu ni Tanganyika afrika nation union Asp ni Afrika shilazi part unganisha vyama hivi viwili Kama utapata hata helufi moja ya ccm bari ccm utapata Catholic church movement
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Akili ikusaidie kukuongoza kufika msalani!, Kuhusisha CCM na mambo ya dini ni utapia mlo wa akili. Orodhesha viongozi wakuu wa CCM kila mmoja na dini yake tujue ni wangapi ni wakatoliki. Acha chuki na uchochezi wa kidini, vinginevyo ni ukosefu wa akili na hoja!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Huu kuweka udini au udhehebu na ukosefu wa ufahamu acha huo upumbavu jitafakari
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 ай бұрын
Mungu akulinde Lisu
@musamwambene1323
@musamwambene1323 Ай бұрын
Lisu mwana siasa wa pekee sana mungu akusimamie sana
@dottomatola5905
@dottomatola5905 2 ай бұрын
Akili ya kuambiwa changanya na zako
PATAELEWEKA: CHADEMA KUWASHTAKI AWADHI NA NYAHOZA
6:25
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 1,4 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 33 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 42 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 41 МЛН
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 4 М.
Sikiliza! Mtaalam aongelea mkataba wa bandari!
27:08
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 2,7 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 763 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 33 МЛН