MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI

  Рет қаралды 3,741

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 ай бұрын

Пікірлер: 18
@dastanlufunda8846
@dastanlufunda8846 3 ай бұрын
Tunapoteza mda kwa kutotumia vizuri elim hii , so my be iko hatujui , lakini kama haipo , soon itengenezeni kwa faida ya taifa na vizazi , ili tuwaze kwa reason sio holela , daa big up thabit kuna kitu apo , mtaala shiken huyo MTU kabla hajatoroshwaaaa,,,, .....
@tubonekasaba5615
@tubonekasaba5615 3 ай бұрын
Tunashukuru sana Thabit kwa elimu unayoitoa.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Bro Gangana umetisha sana kukuona tena Mr Thibiti ofisini kwako
@albertmallya4192
@albertmallya4192 3 ай бұрын
Vipindi vyenu navifuatilia sana, na nikiri nimejifunza mambo mengi sana kwako gangana kupitia thabit.
@aloycemwambwiga2318
@aloycemwambwiga2318 3 ай бұрын
Mijadala kama hii inahamasisha hata kufuatilia media, inafunza, inatafakarisha na inapanua wigo wa fikra....
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 ай бұрын
Vyote hivi ni vichwa ambavyo kwa nchi maskini kama tz havijui thamani yake,mwisho wa siku vikipata watu kama nchi zenye akili tunabaki kulia lia,Sisi Africa ni fungu la kukosa tu nchi inakua na viongozi na wananchi wana akili kuliko viongozi hii si hatari,nchi kama tanzania inapokea mchele kama msaada uliongezwa virutubisho, sasa kwa akili ya kawaida tanzania ni ya kupokea vitu hivi kweli haina vita wala nini mchele huo kwa ninl wasipewe huko ukrein.Hii dunia ombea uwe na akili tu, nchi za africa akili zilizokuwepo ni za darasani tu ambazo kuzitumia maisha ya kawaida hazifanyi kazi.
@alijuma8009
@alijuma8009 3 ай бұрын
Perfect
@GEORGEOBED-pd9ye
@GEORGEOBED-pd9ye 3 ай бұрын
State house inatakiwa iitumie akili ya thabiti kwa namna yeyote ile! Niaminini mimi
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Hawana muda huo , watamtumia tu endapo atakua chawa wao Hawana lengo na akili wanataka wapuuzi wakuwasifia sifia
@tupodigital
@tupodigital 3 ай бұрын
JAVA SCRIPT, C++, CSS, HTML, JAVA NK HIZO PROGRAMMING UNANIKUMBUSHA MBALI SHEIKH THABITI
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 3 ай бұрын
Mleteni atupe elimu mlangi
@user-wz4lv3pg9b
@user-wz4lv3pg9b 3 ай бұрын
SI MCHEZO
@shabantelack5716
@shabantelack5716 3 ай бұрын
Mara 7 na siajelewa
@mahamuduramadhani9367
@mahamuduramadhani9367 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 ай бұрын
Katika siku ambayo nimepata kitu muhimu ni hiki mlichokiongea. Salute kwenu👏👏👏. Kuna rafiki yangu nilikuwa naye chuoni, tukawa tunaongelea kiongozi ambaye anaweza kufaa kuongoza taifa hili, nikawa nimemwambia jina fulani(sitalitaja) alibisha sana akasema huyo hawezi ni mkali, na blaa blaa zingine.sikutaka kumlazimisha ila moyoni mwangu nilijisemea kuwa endapo fulani (jina sitaji) akiwa rais nchi itapata maendeleo kwa kasi sana. Si hivyo tu pia nyuma niliwahi kusema na marafiki zangu wengine kuhusu fulani akiwa rais tutapata maendeleo kwa kasi, lakini walitoa sababu zile zile kuwa huyo ni mkali hawezi na blaa blaa zingine. Lakini cha kushanganza na maajabu ya mungu huyo mtu alichaguliwa kuwa rais wa nchii hii na akawa. Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Ameen😢.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Hata mimi nilimtabiri huyo na kweli akaja kuwa rais.Ila baadae nilimchukia kwa kuvunja katiba na kuandaa uchaguzi wa kihuni.Taifa linahitaji Rais anayetawala kwa kufuata misingi ya katiba.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Kama ni maendeleo hata Rais Samia anatuletea maendeleo na angalau anafuata katiba na nchi ina amani na furaha.Hakuna mauaji ni amani tu chini ya samia ila kwa sasa jambo muhimu ni kumsaidia rais kupambana na mafisadi na sio kumwachia rais apambane mwenyewe.
@gidongailo7174
@gidongailo7174 3 ай бұрын
Sasa umeficha nini. Si bora ungetaja jina😂
EXCLUSIVE: WAZIRI SILAA ANG'AKA "WATU WAMELIA SANA Kwenye ARDHI"
33:46
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 31 МЛН
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 23 МЛН
MCHAMBUZI THABIT TENA,HUU NI USWAHILI
13:44
Gangana Info Channel
Рет қаралды 1,7 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA KUHUSU UZALENDO,MKATABA WA BANDARI
39:02
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,4 М.
MCHAMBUZI THABIT, ELIMU BONGO IFUNDISHWE KISWAHILI AU KINGEREZA ?
42:38
Gangana Info Channel
Рет қаралды 6 М.
MCHAMBUZI THABIT :UONGOZI WA KIPEKEE /GREAT STRATEGIC THINKERS
38:23
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
🔴#TBCLIVE: UKOMBOZI WA AFRIKA NA FIKRA ZA LEO
35:29
TBConline
Рет қаралды 1,5 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН