MSAFARA wa MAGARI YALIYOBEBA MIILI ya WALIOFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA -MAGARI ZAIDI ya 20 - BODABODA

  Рет қаралды 18,639

Global TV  Online

Global TV Online

5 ай бұрын

MSAFARA wa MAGARI YALIYOBEBA MIILI ya WALIOFARIKI KWENYE AJALI ARUSHA - MAGARI ZAIDI ya 20 na BODABODA...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 31
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 5 ай бұрын
Poleni sana wafiwa .Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani
@priscamhagama6372
@priscamhagama6372 5 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote, poleni sana wafiwa wote
@AyubuClassic-jj5yz
@AyubuClassic-jj5yz 5 ай бұрын
Mungu Ailazeee Mahali pemaaa peponiii Amen
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 5 ай бұрын
Alhuma Amiin
@user-ev2zg2js9u
@user-ev2zg2js9u 5 ай бұрын
Dah inauma jmn poleni sana familia
@khadija5761
@khadija5761 5 ай бұрын
Allah awatanguliye safar yetu sote
@JanethUrasa-qs5ot
@JanethUrasa-qs5ot 5 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 5 ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 5 ай бұрын
Poleni sana
@rozirashidi5950
@rozirashidi5950 5 ай бұрын
Wafiwa wote poleni jamani mungu awape nguvi
@roseurio503
@roseurio503 5 ай бұрын
Kweli kifo ni fumbo na hakuna wa kulifumbua mda wowote saa yoyote Siku yeyote kinaweza kukukuta tujiwekeni tayari REST IN PEACE WAPENDWA WATU
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 ай бұрын
Yanaelekea wapi sasa
@RoseYohanaMashala
@RoseYohanaMashala 5 ай бұрын
R.i.p Vicent Kazungu,tumelia mno tunasubiri mwili wako ufike Magu tukupumzishe mpendwa wetu
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 5 ай бұрын
Tunakuja na sisi tukiwa na maandamano yetu mpaka hapo hapo ili tuwaage waliokuwa wapambanaji Kama sisi,, walale salama maana sio Kwa magumu haya ya maisha duh! Pesa shida vitu juu umeme na maji kero keroo
@saimonmloka8210
@saimonmloka8210 5 ай бұрын
😢😢
@user-nz3nq3gl5m
@user-nz3nq3gl5m 5 ай бұрын
😭😭
@mashaurivicent4028
@mashaurivicent4028 5 ай бұрын
Hapo kuna mwili wa jirani , shemeji yangu alikuwa na mtoto tumboni bado alikuwa ni mdogo sana huyu binti.
@user-ev2zg2js9u
@user-ev2zg2js9u 5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@amiriidi5721
@amiriidi5721 5 ай бұрын
Poleni. Nduzetu. Waarusha. Kwa. Msiba. Mzuto
@user-je7wf9ms5i
@user-je7wf9ms5i 5 ай бұрын
Polen sana
@AlexMkwama
@AlexMkwama 5 ай бұрын
Tujiandae kufa na sisi , pia kama uliishi Maisha ya kuonea wengine jiandae kuchomwa moto
@doreengomes3489
@doreengomes3489 5 ай бұрын
⚘Eternal rest grant unto them O Lord and let perpetual light shine upon them. May their souls rest in peace. Amen
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 5 ай бұрын
Is dying resting? No! no! no! To the soul it means suffering. To the body decaying. To the spirit............
@doreengomes3489
@doreengomes3489 5 ай бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 my comments should not be a reason for you to debate on hear. Start your own thread .
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 5 ай бұрын
​@@doreengomes3489I just giving wisdom to the simple
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 ай бұрын
Polen wafiwa
@user-ju2tp5dv6i
@user-ju2tp5dv6i 5 ай бұрын
Rip waoendwa
@Zubaiba
@Zubaiba 5 ай бұрын
Poleni sana
@florachogo243
@florachogo243 5 ай бұрын
Mungu wafunulie uso wako
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 5 ай бұрын
Polen wafiwa
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 17 МЛН
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI.  [ 1 ]
45:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 429 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН