Msami asimulia alivyonusurika kwenda jela kwa kesi ya mauaji...'nilisingiziwa'
Пікірлер: 113
@kingkendrickk3 ай бұрын
Pole sana msami, dotto magari sio mtu nzuri kumbe
@ukhutfatumah11543 ай бұрын
Mhh mtian sana m/mungu atuepushe na mitian jamn Maana Dunia inamambo mengi sana
@farajasaid92093 ай бұрын
Nampenda sana sana huyu Msami vile akicheza
@user-zj1ep6hn4p3 ай бұрын
Dotto ni mbwa kabsa nitamchukia sku zote
@thehustlerafrica43683 ай бұрын
Hii kesi Mimi ndo nilimwokoa Msami alikuwa afungwe kabisa ,nilikuwa bartender na nilishudia tukio mwanzo mpaka mshikaji anakufa Mimi ndo niliyekuwa wa kwanza kujua na kuwataarifu watu wote
@user-mu1uf2rl4x3 ай бұрын
Uwe na maisha marefu ndg yetu mwenye utu
@JayJay-qc1ky3 ай бұрын
“Mtu wa maana kabisa wewe”.
@allyfleva61343 ай бұрын
Kaka ubarikiwe
@user-ji7jj7vc1w3 ай бұрын
Ww uyo
@user-nk4rp1kp4w3 ай бұрын
Mkubwa kumbe were ndo cctv camera
@africa74793 ай бұрын
Michaele kutoka jela ,kupata ajali kwenda kufia swimming pool. duh!
@deniskaguo46983 ай бұрын
Kumbe doto mjinga kiasi huku😢😢😢 siyo shabiki yake tn ogopa mtu anayetaka mwenzie afungwe bila sababu
@TRADE-VIS2 ай бұрын
Nimegundua sisi watanzania tunapenda sana kuhukumu na hatukamilishi story yaani unasikiliza upande mmoja alaf unatoa hukumu, Mungu atupe akili tuyajue maarifa
Unamtafuta Doto wakati anaonekana acha kiki za kishamba
@salimmbilu45243 ай бұрын
Au ww mwenzetu husikii kinachozungumzwa atafut Kik gan?
@AlfredSenkondo-mi3wf3 ай бұрын
Ww acha kutafuta kick uxhapoteana mxhamba ww kila ukiitwa ukapge story unaenda tu ka lijinga
@goodlucktemu31493 ай бұрын
Doto ni mnyama sio mtu
@saidabdalla89963 ай бұрын
Hili jitu la pembeni linataka kumzima doto magari upepo anataka story ili atajwe doto
@DesertTears3 ай бұрын
😂😂😂 mpuuzi wewe😂😂😂 kila unapopigiwa njoo tupige story unaenda tu😂😂😂😂
@dinobakari99533 ай бұрын
Huyo mfanyabiashara ni Dick sound
@officialfestochimulimuli94263 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5rVm6uEoJ6CZqM&feature=shared 😂😂😂😂😂Dudu Baya kamjia juu Doto Magar tazama Apo ucheke
@yordanyona12343 ай бұрын
Sangwine wajinga sana ..Kuna mtu MMOJA yupo kama Dotto anapenda kushitaki wenzake
@tonoboymwatonokaaa28623 ай бұрын
Marehemu angelezea vizuli hili tukio
@gee-designer79563 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hamoudcreator63433 ай бұрын
KWAKWELI NI AIBU, JAMAA ANAFANYA MEDIA TOUR KABISA, ILI TU KUMHARIBIA MWANAUME MWENZAKO.. AIBU. UNAONEKANA KABISA UNA CHUKI ZA HALI YA JUU, NDO UENDE VITUO VYOTE VYA HABARI TANZANIA.. MWANAUME 🥴🥴🥴🥴🥴🥴
@Official836403 ай бұрын
Km wanamuuliza je asiseme huyo anatangaza nyimbo zake
@allandavid7523 ай бұрын
Jamaa yuko real tz tukishaona mtu maarufu akitajwa katika uchafu utasikia ooh wnamchafua😊
@user-my1gw7fi9v3 ай бұрын
Mtu asijibu swali why!! Ww ndio unachuki manina kbsa🖕🏽
@Hassan-ot1mc3 ай бұрын
Hujielew wewe
@jasmineatiffuh38703 ай бұрын
Wewe pia utakuwa unatabia za doto magari
@nassirsalim66793 ай бұрын
Acha urongo mtu akusingizie kuuwa alafu bado uwe uko poa nae
@user-zj1ep6hn4p3 ай бұрын
Unataka ukwel up mbwa wewe
@nassirsalim66793 ай бұрын
@@user-zj1ep6hn4p nataka kujua ukweli wa umbwa wewe wafugiwa banda gani
@MiriamAbdallah3 ай бұрын
Lete ukweli wako unaoujua, yaelekea ulishuhudia, 🤔
@africa74793 ай бұрын
wew ndo una roho ya visasi
@onesmomwakasege52153 ай бұрын
Kwa akili za dotto sishangai dotto huwa afikilii anakulupuka tu