MSANII wa BONGO FLEVA AVUNJWA MGUU kwa KIPIGO KUTOKA kwa RAIA 10 ANAODAI WANA ASILI ya KIARABU

  Рет қаралды 11,575

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MSANII wa BONGO FLEVA AVUNJWA MGUU kwa KIPIGO KUTOKA kwa RAIA 10 ANAODAI WANA ASILI ya KIARABU
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva, Daz P aliyekuwa memba wa Kundi la Manduli Mobb, kundi alilotokea Mheshimiwa Temba, amedai kuvunjwa mguu na vijana wa kiarabu, baada ya kutokea hali ya kutoelewana kati yake na wanawake wa Kiarabu waliomkodi kwenye Bajaj yake anayoiendesha kwa sasa.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 168
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@pippihouse1863
@pippihouse1863 Жыл бұрын
Binti yangu apigwa na mwenyeduka kwakuhisi ni tapeli wa mtandao,Tuma kupitia no hii,Tusijichukulie Sheria .mkononi,
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Жыл бұрын
Daz P, au Bwana mkubwa, huyu ndo yule jamaa alieimba "Kama unataka kuja home" hii na kwa Legend tu, pole sana bro
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Жыл бұрын
nimesikiliza maelezo yako kwa umakini sana kaka kwanza pole sana, kama ningekuwa na uwezo basi ningesimamia mpaka ukapata haki yako kaka, nimeumia sana.
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Gabi Mtanzania ifatilie hiyo kesi walio cheza ni hao madada jamaa alipwe hao Warabu wanaleta dharau na hayo magenge ya Warabu nchi yapo Serikali ifanye kazi
@MohamedMaganga-wt1mc
@MohamedMaganga-wt1mc Жыл бұрын
Pole kaka mungu yupo utakuwa sawa ndugu yangu
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Warabu wakorofi sana nawachukia sana wanajiona kama dunia yao pekeao. Pole sana kaka Mungu atakulipia
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Pole sanaaa ndugu yangu mungu akufanyie wepes.wanaubaguz sanaa hao mbwaa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Kweli mkuu hawa mbwa waarabu ni wabaguzi sana ngoja CCM iondoke madaraka ni kuwatimuwa wote kama Idd Amin alivyowatimua Uganda hadi leo uchumi wa Uganda unamilikiwa na Waganda weusi
@rahmarashid1670
@rahmarashid1670 Жыл бұрын
Mungu atakulipa haki yako na hao polisi hawana sheria hawajui kazi zao
@laylayl5166
@laylayl5166 7 ай бұрын
Dunia simama nishuke polesana kijana wetu dhulma walio kufanyia mungu atakulipa nahizo dam zilizokumwagika buree zitawasumbua Sana polesana mungu yupo nawewe
@akhamis9861
@akhamis9861 Жыл бұрын
Sasa kwani hao wanawake walikua wanamtaka aingie ndani awafanye nini, kwani lazima. Huez jua labda ndo mchezo wao. Hapo kaka kakataa kuwachekea wa kaanza kumpiga picha, utampigaje picha mtu bila ya ruhsa. Pole sana kwa mtihani brother.
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 10 ай бұрын
Subhannallah walikuwa wameshapanga watu eee mungu maskini
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Nalia kwa uchungu sana naumia sana cry😢😢😢
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Pole saana kwakweli Yani hao madada wafuatiliwe
@mosesmauda5718
@mosesmauda5718 Жыл бұрын
Polis wakatili pia wako na malipo yao,hawana hekima,wengine ni mashetani ibilisi wakuu.
@salimswedy6114
@salimswedy6114 Жыл бұрын
Pole Sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
Mungu atakulipia.
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
wachunguzwe sana labda kuna matukio zaidi ya hayo hapo jamani
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Iyo nyumba inakamera Polis wanakura sana Rushwa Kwa walabu
@isamony58
@isamony58 Жыл бұрын
warabu wanaroho mbaya sana tuko uku kwao dubai tunawajuwa sana mbwa hao wanajifanya kumjuwa mungu hawana lolote nimakatili bala hawafai tuuu mumanina zaoooo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Pole Sana kaka. Ila hatujui story ya kweli ni ipi. Hivi kweli watu watakupiga tu vyote hivyo bila sababu 🤔🤔🙄
@BenninsonMsuya
@BenninsonMsuya Жыл бұрын
Mimi ni mkazi wa upanga hii ishu inajulikana huyu aliingia kuiba simu kwa wamama watupu, akazuiwa na raia ndio kupigwa
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
@@BenninsonMsuya aha kumbe🤔 watu hawawezi kumpigia tu bila sababu.
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Жыл бұрын
Wakati mwingine binadamu anaweza akakufanyia jambo mpaka ukashangaa hata bila kuwa na sababu.Kwani wanaovamia watu wanasababu? Kwani wanaotupa taka au kufungulia chemba barabarani wanasababu?
@zuhuramussa3996
@zuhuramussa3996 Жыл бұрын
Pole sana
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
me ndo maana watu weupe siwapendi maana wana ubaguzi sana 😢😢
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Nyinyi ndio mna ubaguzi warabu watu wazuri roho huwapendi warabu na waio pia hawakupendi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Global tv nawezaje kupata contact za huyu ndugu mwenzangu mweusi ili msaidie matibabu hata ushauri wa kisheria kuiendesha hii kesi ya kibaguzi na hao waarabu wabaguzi
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Na hao Warabu au wainda wanaketa ubaguzi ndani ya wenye nchi polisi anatete Mtanzania auwawe na wageni wakuja nchini mwetu
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 Жыл бұрын
Ulikosea sanaaa kuingia ndani na kupokonya simu we unge samehe tu elfu nne
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
POLICE HAO WANACHUKUWA RUSHWA KWA WARABU ASILIMIA 100
@manjislogistics6374
@manjislogistics6374 10 ай бұрын
Hakika
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 7 ай бұрын
Mtangazaji mmmm
@DavidChengula-g5v
@DavidChengula-g5v Жыл бұрын
Pole sana kaka inasikitisha sana
@adambatrulimi5841
@adambatrulimi5841 Жыл бұрын
Ii nchi inatakiwa itawaliwe tena home tunanyanyaswa Sana duuh ee mungu tutaona mengi Sana
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Wasanii wote jamani unganeni ili huyo kaka apate haki yake.
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Жыл бұрын
Duuu pole sana kaka uwo mtihani
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Pole Sana kakangu ina umasana
@LuckicaMlala
@LuckicaMlala Жыл бұрын
Africa !!!! Africa !!!! Africa !!!! Tukihishi zetu ulaya eti atupendi kwetu Kwa hali hii
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Pole Sana kaka
@LuckicaMlala
@LuckicaMlala Жыл бұрын
Kama ndo kweli hiyo Africa ni shida sana
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hii mimi imetia uchungu sana hivi hawa waarabu wanafikiria wao wako juu ya sheria hapa Tanzania ?? Hii video naomba isambazwe media zote ili hawa waarabu wabaguzi wafikishwe mahakamani ni kesi ya kibaguzi hii , na inajenga chuki kwa WaTanzania wazawa dhidi ya waarabu
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Tanzania yangu so sad
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Enzi za Magufuli wasingefanya Haya Samia ni mwaarabu mwenzao ndio maana anataka kuwapa bandari waarabu wenzake
@gidionroimen8534
@gidionroimen8534 Жыл бұрын
Hii
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Dunia inamambo yakutisha
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Жыл бұрын
hao abiria walishaonekana watata tangu mwanzo jamaaa angepiga chin hayo yote yasingemtokea
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Жыл бұрын
Brother hapo inabidi hawa jamaa tuwawekeee wanasheria hili iwe findisho kwa wengine iyo siyo sawa na hao polis wanaosema wakuue nao wafanyiwe kazi
@laylayl5166
@laylayl5166 7 ай бұрын
Hicho kituo kitakuwa kimenunuliwa na hao ngozi nyeupe wachache siyo wotee
@Hfarahani52
@Hfarahani52 Жыл бұрын
Please msikose kuteletea mwisho wa hii kesi Inasikitisha sn Ukiwa maskini Tanzania ni shida sn na uwezi kupata haki na ukiwa unashindana na hawo watu wa Upanga oystebay na ww unatoka Buguruni chance yako ni ndogo sn kupata haki
@d15355
@d15355 Жыл бұрын
sometime ukimpakia abiria mtata ukiona mnaelekea pabaya unamshusha tu unasamehe hela yake, au umeona humwelewi halafu anakuita ndani usiingie ndani maana anaweza akakusingizia chochote kile anachotaka au wakakuua wakaja kuchukua bajaj nje huwezi jua, hao wanawake wa kiswahili wana shida saana especially wakiona wameolewa na mtu mwenye vijipesa kidogo utu wanakuwa hawana kabisa, na hao wanaume ni wajinga kuja na kujiingiza katika matatizo bila kuuliza, si wangeuliza sasa walinzi uliwaweka wa kazi gani? kama una nguvu si ungelinda mwenyewe baasi kwanini unapoteza pesa zote wakati nguvu mnazo na ngumi mnazijua? ni utoto tu na ushamba wa mapenzi unawasumbua hawa jamaa ila siku moja wakipigwa kichapo cha mbwa mwizi au wakapata kashkash kidogo wakapelekwa segerea japo miezi 2 ushamba utawatoka na hawatakaa kurudia tena ujinga kama huu.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Ukiwa masikini kila jambo unasigiziwa
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Tutaomba mrejesho wa hii kesi hadi mwisho
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Hii nchi bana dhuluma kila mahali hata kama angekuwa mwizi bado ana haki ya ubinadamu polisi waliongwa
@Abuu180
@Abuu180 Жыл бұрын
So sad bro, hizo communities za arabs znahonga pesa kwa polisi. Police maisha ngumu, shule ndogo..huyu ni mmoja ya maelfu ya wanaoteswa.
@BenninsonMsuya
@BenninsonMsuya Жыл бұрын
Kilichotokea huyu ndio anatumia ukubwa wa polisi wa shangazi yake kuficha ukweli na kuto kutiwa hatiani.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Mungu atakulipa haki yko
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Watanzania asilia tuko wengi kuliko wao hawa Mbwa waarabu hawawezi kutupigia mTanzania mweusi mwenzetu, ni kuanza kuwashambulia waarabu wote na Wahindi na kuchoma biashara zao Mbwa hao, wangepiga mtu mweusi mfano kwa wazulu Afrika kusini wangeona cha mtema kuni .
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 8 ай бұрын
Inasikitisha kwamba mtu ukishakuwa askari ndio ujitoe fahamu.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hivi inakuwaje police ni watu weusi inakuwaje kumtendea unyama mtu mweusi mwenzenu kwa kuwasikiliza waarabu ? Yaani watu weusi nchini mwao wananyanyasika na kuteseka hivi na police weusi wanawasaidia waarabu wabaguzi , yaani Tanzania imekuwa ya ovyo kiasi hicho 😢
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Acha roho mbaya ubaguzi tu warabu kuwachukiya bila sababu mwajuwa kwanini kapigwa hujui kafanya nini basi mtu mweupe akafanya kitu mwaanza kuwatukana na ubaguzi muigopeni mungu😢😢😢😢
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@fatmasalim8293 mbwa hao waarabu ni wabaguzi sana tunawajua , wabaguzi Tanzania ni waarabu , wahindi na wasomali na Ngoja siku CCM iondoke madarakani watatimuliwa wote kama Idd Amin alivyowatimua Uganda
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@fatmasalim8293mpumbavu wewe tena ungekuwa karibu ningekuzaba kibao mweusi mwenzetu ameumizwa hivi nchini mwake na wewe unatetea mashetani hawa wabaguzi wa rangi, kwanza mimi ningekuwa karibu ningemsaidia huyu black brother , ni kosa sana weusi wengine kuachia wenzao apigwe hivi bila kupigana na hao waarabu mbwa
@totobest6913
@totobest6913 Жыл бұрын
ao wa dada ndo wa wabaya sana tena hawana huruma
@d15355
@d15355 Жыл бұрын
siku nyingine bro punguza maneno na kujuajua saana ,usibishane na mtu ungeepuka balaa kubwa saana kama ungejiepusha nao hao watu, tatizo ni kupotezeana muda kisa nini hivi kweli hata ukipona si umeshatiwa kasoro mwilini? hata wakikulipa bado hutakuwa sawa kama zamani, sometime kujifanyafanya unajua sana ni kubaya, haswa watu wakikuona umasikini hawakusikilizi kabisa, usingebishana nao hao au ungewashusha ingekuwa afadhali yako mara 1000.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni nchi yake ni mzawa ni mweusi hawezi kukubali kunyanyaswa kwenye ardhi ya mababu zake. Ni tukio la kibaguzi hili
@jacquelineedward2260
@jacquelineedward2260 Жыл бұрын
Unaongea kipuuzi sana umesikiliza vizuri hii story ukaelewa au umekurupuka tu kujibu? Ujuaji wake hapo uko wapi? Mxiuuu
@basilhamis681
@basilhamis681 Жыл бұрын
Ww ni mtu waajabu kwahiy ulitaka aache hela yake
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Жыл бұрын
Huyu anayekomenti pengine hakusikiliza vizuri.Hafai kuwa Mtanzania. Huwezi kudharau mzawa kwa kukumbatia wakuja, tena hawakuwa na busara.Wangempeleka police.
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 10 ай бұрын
Sio sababu niwauaji tu hao wanawake
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Hao madada wawili ndio waliwapigia hao jamaa jama huyo aliye umia afungue mashika shaidi wa kwanza ni walinzi
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Жыл бұрын
Pole kaka hao inabidi wafanyiwe kazi mahakamani vp
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni kuanza kuwauwa hawa wabaguzi waarabu
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Polisi mtakufa vibaya
@isamony58
@isamony58 Жыл бұрын
niuonevuu tu yani ezii zamagufuli mbwa hao wangelijuwa jiji kudadeki zaoo washezi wakibwa hao
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Tupeni mrejesho wa kesi hii basi
@hollymore4904
@hollymore4904 Жыл бұрын
Ko Hawa jamaa washafika na washapata jeuri ya kutupiga...aloo😔😂
@godypatrick6485
@godypatrick6485 Жыл бұрын
Hoji na upande wa pili
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Hawa wapumbavu wa kiharabu wamepata wap jeuri ya kupga watanzania polisi mshenzi huyu unahukumu bila kupeleleza hapa hongo hii ovyo kweli
@totobest6913
@totobest6913 Жыл бұрын
hawarabu kama mimi nitataka wanilipe fidia milioni 400
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
TATIZO LETU WATANZANIA TUNAPENDA SANAA KUONGEA AWE MWANAUME AU MWANAMKE. HATUNAGA USITARABU. WEWE MWANAUME UNGEPUNGUZA MANENO , HATA HAO WANGESHINDWA KUKU SENESHA. KUNA USEMI USEMAO " MDOMO UNAPONZA KICHWA". TUJIFUNZE KUTO KUSEMA SANAA.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Ugejua ugewaacha tu niiani hao wadada
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Mtaji huo Baba wakulipe milioni mia 60000
@elvisboniface9665
@elvisboniface9665 Жыл бұрын
Kaka angu huyo tupo kota wote nijirani yetu huyo Mwamba
@totobest6913
@totobest6913 Жыл бұрын
hao wa dada metoa nyuma kuwapa kuwapa warabu au kwa parange
@hafidhali3020
@hafidhali3020 Жыл бұрын
Hi story ya kupanga ninachokionae mimi huyu Jamaa Nasdaq ya kuwafimisha wateja alibadilika akadai peas zaidi na aka tala kutumia nguvu
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Bongo kuna police kwani haha
@mosesmauda5718
@mosesmauda5718 Жыл бұрын
Wanadamu wengine wako na roho ya unyama,mbona mtu attendee wengine unyama wa aina hii?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Safi wkomalie wanyooshe
@malandichangarawe4568
@malandichangarawe4568 Жыл бұрын
Du! Tunapoelekea sio kuzuri. Watu wa asili ya Asia sio wote wanaofanya hivi. Hii ishu ikiendelea italeta mtafaruku.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni washenzi hao watu wa asili ya Asia ni mashetani ilitakiwa waanze kushambuliwa na kuuwawa, ni sababu ndugu yetu ni mweusi ndio maana wamemfanyia hivyo, na hao police vibaraka ni wa kuwauwa tu au kuwafungulia mashitaka
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Dunia hii inamaonevu
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Жыл бұрын
Sa ulifutaje picha wakati ndo ushahid
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Izo nyumba zote hapo zinakamera nivyema lifwatiliwe waidi wanasumbua sana
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 8 ай бұрын
Police wanajidhalilisha kwa njaa za kijingajinga.
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 Жыл бұрын
Polis mmh......shda
@AdamKipara-r3b
@AdamKipara-r3b Жыл бұрын
Inazuma sana pore kaka
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Hii haikubali waarabu kumnyanyasa MTanzania , hawa waarabu ni wabaguzi sana ni wangefukuzwa tu Kama idd Amin alivyowafukuza Uganda , na CCM tu ndio inawashikiria hawa watu mtikila alianza kampeni za kuonyesha jamii walivyowabaguzi wameona watanzania ni mafala
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Funga domo lako huyu ni mwizi mwachukiya warabu tu
@jacquelineedward2260
@jacquelineedward2260 Жыл бұрын
@@fatmasalim8293 we ni Mwanamke nakuombea Mungu akupe kizazi uwe na watoto waishi kwenye dunia hii hii, kila la heri dada
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Nenda police Wala usiwaache
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Жыл бұрын
Na sasa bandari wamechukua sasa tutaona cha mtema kuni
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Polisi wa ovyoo
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Жыл бұрын
waarabu ni wengi si warud kwao yan upanga imejaa waarabu utafikir nchii yao
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 Жыл бұрын
Ndoo mama walinyinywa ma passport uko oman ndoo wamebaki uko nakutesa watu kwenye inchi yao
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni kuanza kuwauwa hawa wabaguzi waarabu
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
labda kweli kaiba tutajuaje
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Wewe ndio walewale subir yakukute
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Acha usenge weww wamepiga Mtanzania mwenzetu hao waarabu wabaguzi
@akhamis9861
@akhamis9861 Жыл бұрын
Kwani hujaelewa alivojieleza? Kwanza angekua mwizi asingekubali hii interview na asingetaka kwenda mahakamani.
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Жыл бұрын
Kumbuka nawewe bado uko Duniani,yatakuja kukukuta nawewe,angekuwa mwizi asingejieleza yote hayo,Na polisi wetu wakishaona ngozi nyeupe wanapagawa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@frankngoloka2589 waarabu sio ngozi nyeupe ni Mbwa tu na ni wabaguzi sana, police ni wanyama hawana utu kabisa na mwenzao mweusi ametendewa unyama ila police wako upande wa waarabu
@hafidhali3020
@hafidhali3020 Жыл бұрын
Isikunali kutoa maamuzi kwa kusikiliza upande mmoja
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Hao wadada watafutwe aende palelea alipo wapeleka
@RamadhanHamis-j3q
@RamadhanHamis-j3q Жыл бұрын
kaka poresana
@BenninsonMsuya
@BenninsonMsuya Жыл бұрын
Hii kesi naijuwa mimi ni mkazi wa upanga, huyu alianzisha malumbano na wamama alivyofika akawa anadai pesa zaidi na walivyokubaliana, alivyofika akavamia kuingia ndani na kutaka kupora simu, na akawajeruhi hao wamama kwakua walikua wako peke yao na watoto tu, na mama aliyataka kumpora simu amemchana mpaka mkono, ndio wamama wakaita kelele ya mwizi na ndio raia na majirani kuanza kujaa nje, akaone atoke anataka kukimbia ndio raia kumzuia na kuanza kumpiga kama ni mwizi. Na raia walikasirika zaidi baada ya kuona bajaji yake aliitoa namba muda anafanya hili tukio. Mpaka walivyofika polisi bajaji ilikua imezuiliwa haina namba, lakini cha kushangaza bajaji yake imeachiwa na yeye hayupo hatiani na kesi iko polisi salenda. Inavyosemekana ana shangazi yake ni mkubwa kwenye jeshi la polisi.
@maulidi8479
@maulidi8479 Жыл бұрын
Acha kupendelea wewe,, avamie ndani wakati kuna walinzi getini,,, we itakua unawapendelea hivyo viarbu koko 😢😢😢😢
@scolamoga7479
@scolamoga7479 Жыл бұрын
Kwan ww dada ulishuhudia tukio
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Kwel
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Una lako
@nelsonkilasi979
@nelsonkilasi979 Жыл бұрын
Acha uongo ww ni the same na hao Arabian
@BenninsonMsuya
@BenninsonMsuya Жыл бұрын
Inasikitisha kuona media kama hizi kutetea wahalifu bila kujua kilichotokea, au bila kufatilia kilichotokea, na kuchochea ubaguzi ndani ya nchi yetu.
@jacquelineedward2260
@jacquelineedward2260 Жыл бұрын
Umeng'ang'ana aisee sijui wewe ni kaka au Dada ila hii dunia ni duara my friend
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
na kila nchi duniani inawatu tafauti tafauti
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Ila huna uhakika kama ni Warabu au wahindi 🤔🙄
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni kuanza kuwauwa hawa wabaguzi waarabu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 Hakuna mbaguzi. Hawawezi kumpigia bila sababu. Haya Anza kuwauwa tuone kama kweli unahuo uwezo. Ulimi tu mrefu vitendo Hakuna. Nyoo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 ni wabaguzi mbwa hao sababu ni za kibaguzi kumpiga , na wana bahati sana mbwa hao hatukuwa karibu watu tunaojielewa mbona ingekuwa vita, tutaanza kuwauwa mbwa hao warudi uarabuni hawezi kumfanyia hivyo mweusi mzawa mwenye nchi yake !
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni mbwa waarabu na wana bahati corrupt police wamewasaidia hao mbwa kufuta picha alizopiga wanapokaa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 acha kutetea ushenzi hapa sababu ameongea au wewe ni mwarabu mwenzao hao Waarabu ni wabaguzi sana na ngoja siku CCM iondoke madarakani itabidi warudi kwenu kama Idd Amin alivyowafukuza Uganda
@hidayasaidi7872
@hidayasaidi7872 Жыл бұрын
Weusihawaishikuonewa weupewanatumiapesa polis wanababaikiawahindiwaarabu☝️☝️☝️
@mimahtv2974
@mimahtv2974 Жыл бұрын
Polisi hawajasililiza wanasema mwizi hapo wanapokea rushwa dhahili
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Sitamani kusikia kunyooshwa ukivunjika yaani nilipitia hilo la kuvunjika na hilo hogo silitamani kabisa
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 Жыл бұрын
Kama unataka kuja home baby home baby oooh year sister du kama unataka kuja home kuja home Ila daz p raha ya kuendesha bajaji lazima uwe kilema polee sana warabu sio kabisa wachukuliwe hatua
@jumakishipa6790
@jumakishipa6790 Жыл бұрын
Wewe na wewe uliyataka sasa ulivyopewa ela si ungeondoka? habar za picha zimekuponza kupigwa picha kitugani ungesepa yote yasingetokea
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Жыл бұрын
Wewe nikikupiga picha bila ridhaa yako ungekubali? Au unaweza kujua hizo picha zinatumikaje?
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
mwalim mwenyewe alipenda warabu hakuwa na ubaguzi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Waanze kuuwawa tu hawa waarabu wanaona nchi ni yao
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 Жыл бұрын
That's stupid cry
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
ndiomaa ututaki ao wahalabu wapewe bandali sio watu wazuli
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 4,1 М.
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53
Nbs Tanzania
Рет қаралды 11 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18