huyu mchungaji anamacho sana ya kiroho , Mungu ambariki sana
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Yesu hanatowa watu mbali Sana mungu ndiyo hadiyaye nguvu mwanadamu. Shatani hawezi lolote shida zako sikitu kwa mungu asente Sana jactan Msafiri kwa ushuhuda zuri
@christinaisanguisangu29749 ай бұрын
Ndio Bwana
@horimberepeace7376 Жыл бұрын
HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA ASANTE SAAANAAA YESU CHRISTO 👏👏👏👏👏👏📢📢📢📢📢📢📢📢📢
@JafarMwinyijuma6 ай бұрын
Mungu ni mkuu sana
@sallymumia8425 Жыл бұрын
We thank our Lord Jesus,for this testimonies, they are teaching us very important lessons
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Thanks Jesus christ
@tabithajeremiah4589 Жыл бұрын
Ushuhuda wa kujenga sana,mtumishi wa Mungu ni mnyenyekevu sana.Mungu aendelee kukutumia kwa viwango visivyo vya kwawaida
@wambuimanyara6978 Жыл бұрын
Ushuhuda wa kujenga sana.Mubarikiwe Promover. Tunasubiri part 2
@kissabrown43496 ай бұрын
Amen 🙏
@dantez877511 ай бұрын
Thank you jactan for always sharing their contacts. God bless
@zakn2001 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana!
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ameeen
@Jeffah_Iman_Kauchape Жыл бұрын
Nawe pia pokea baraka.
@davidgitau1162 Жыл бұрын
Shukran Sana kwa ushuhuda huu Ningelipenda Sana kutazama shuhuda za hao mabinti waliokuwa watumishi wa shetani tafadhali.
@josykogei7647 Жыл бұрын
Amen
@shamim-shammy Жыл бұрын
Unyenyekevu umejaa ndani yake mpaka sura inaonesha
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Good job
@suzandavd5213 Жыл бұрын
Ama kwa hakika kwake Yesu kila goti litapigwa.
@queenesther8505 Жыл бұрын
A very uplifting testimony,God bless you,men of God.i decree psalms 91 to whoever watching this testimony.🙏
@HildaPaul-hm4jk Жыл бұрын
Miili. Za OsC
@Mg_Billy Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@drmaryjohnmponda3484 Жыл бұрын
AMEN
@favourndila8474 Жыл бұрын
Halleluya
@JacklineMaxon Жыл бұрын
Wokovu huo aliokoka huyu mchungaji na Mimi niliokoka wokovu WA namna hyo .lkn kwakua nilkua shule akili yangu haikuamua kumtukia yesu .lakin Sasa nimerudi kwake Baba (yesu kristo)
@queenesther8505 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu hakuumba dini yoyote ile,uhusiano wako na Mwenyezi Mungu ndio itaamua hatma yako kama utaingia jehanam ama mbinguni.😢
@kakawamashariki8978 Жыл бұрын
Pongezi kwa ufahamu huo wenye upeo,maana waitwao Ni wengi lakini Wateule Ni wachache. Yaani wengi wanaabudu dini,dhehebu badala ya Mungu.
@josephinemsongole4315 Жыл бұрын
@@kakawamashariki89781:16
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Dini? Bĩblĩa inasema mimi ni Njia ya kweli na ũzima,mtu hawezi kwenda kwa baba pasipokupitia kwangu(kwa Yesũ) achana na dini twende zetu na Yesũ kristo
@queenesther8505 Жыл бұрын
@@UsafiMichael-mc8kt exactly,Yesu kristo ndiye njia na uzima wa milele,hakuna atakaye enda kwa Baba ila kwa njia ya Yesu Kristo tu,Yeyote amkataaye mwana amekwisha laaniwa na Mwenyezi Mungu hayumo ndani yake.🙏
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@queenesther8505kumbe Kuna mungu na mwanae mungu
@andrewmhagama9816 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema kwa kupitia Yesu Kristo aliyehai ndio tunashinda ulimwengu,kinacho takiwa ni kushinda majaribu yote ya dunia hii ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@issachege5606 Жыл бұрын
Jesus hv mercy 4 us, the rapture is abt to come very near bt humanity don't believe it😢
@Anna2023-y5n Жыл бұрын
🙏
@BahatiKazibake Жыл бұрын
Mungu Anatafuta condoo wake
@maryeer6392 Жыл бұрын
Kwakweli Mungu ni mkubwa,na ngojea mwendelezo
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ameeen ni mkũũ sana Mũngũ wa mbinguni
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mnachelewesha sana jamni maelezo meeeeeengi mpk yanaboa hebu muache mtu atiririke
@mercykariithi7919 Жыл бұрын
Jactan part 2 iwapi?? umekawia sana
@PromovertvTz Жыл бұрын
Part2 itakawia sana,ni mpaka mwakani
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Kila Mtu anatokewa na yesu siku hizi na ile Nukta ya Kuigiza Ulemavu Naona siku hizi sio kivileeeee !!! Haya bana ngoja inyeshe
@badruseif1318 Жыл бұрын
Ramadhani hawa jamaa siku hizi kiki yao kubwa Ni kusema walikua waislamu wakatokewa na yesu
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Muongo sana wewe,hata Yesu akija leo mtakataa kwasababu ya misimamo ya dini yenu, Mungu anawachagua walio wake wewe endelea na misimamo yako ya dini.Huyo Muhammad mnayemeamini alikufa anasubiri hukumu tu
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@badruseif1318kabisaa.
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@mwassamwassa7264 Muhammad ni binaadamu. Sasa kwa nini asife. Asiekufa ni mungu. Hata yesu alikufa. Yohana 17:3
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Waislamu naona mnakeleka sana jinsi YESU anavyo okoa
@MireilleEspoir Жыл бұрын
Tunasubiri part two…😢😢
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Wakristo mwapenda kiki nyinyi mmh yaani huyo yesu uko aliko yuwashangaa kila uchao huyo akijiuliza nsiku ipi alio mtokea mtu...kama c njaa zenu wakristo na utapeli mbona usitokewe na mungu uwe unamtukuza tu mwanadamu mwenzako alikuwa tu nabii wala sio mungu
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
MUNGU AKUTHIHIRISHE YESU KRISTO NI NANI NA UPATE WOKOVU KWA JINA LA YESU
Kweli kabisa wajiulize maana kila anaeshuhudia anasema kua majini ndio maisha ya Muslim wakubali kuokoka wampokee Yesu
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
Yani Acheni ushangae wao wanajiona wako sahihi sasa ikeja kwenye kuwa chukia wakristo na kuwa ona makafiri na kuwambiwa wasike karibu na sisi embu Angalia KWERI MUNGU TUNAYR MUABUDU WA DUNIA NZIMA AMETUACHIA UPENDO ILA SISI WENZETYU WANA TUCHUKIA NDIO UNAPOONA KUNA SIRI INAYO ENDELEA KWAO PASIPO WAO KUJIEREWA
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
watafutaji pesa kwa njia ya jina la Yesu
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
Mungu akusamehe maana upo kwenye chungu, na unaitaji msaada
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@patrickmunishi2277 kesho utamkuta anafungua kanisa ukishawaona wanajitangaza hivo wakijulikana tu imetoka
@8pistons194 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143okoka na ww ufungue kanisa kama ni dili
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@8pistons194 hahahaaaaaaa mimi nimefungua biashara nyengine
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143mwaipopo mliyemnunua analia njaa huko mnamtunza kwa ghalama kubwa lakini roho inamsuta kuiacha njia ya Yesu
@koperawasona95519 ай бұрын
Kwanini waislam wanaroho mbaya kwa ndugu zao ambao wameokoka?
@badruseif1318 Жыл бұрын
Mnaona njia nyepesi ya kupata Kiki Ni kusema ulikua muislamu
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kabisaaa.
@samjosh12 Жыл бұрын
Anaongea kwa utulivu sana na lugha ya Kiswahili anaiongea kwa ufasaha sana.
@pirminmatumizi5464 Жыл бұрын
Kwa nini kila mtu anakimbilia kuwa mchungaji; kuna nini ktk huduma hii?
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Wito wa mtu sio kukimbilia tu nafikiri ndo nafasi wanaoitiwa na mwenye kazi
@jesuspower2390 Жыл бұрын
ulitaka awe mganga wa kienyeji?
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
@@christinaisanguisangu2974 umejibu vizuri mpaka nimependa kama ningekuwa na namba yako ningekutumia hela ya kununua GB 1,tunataka watu wenye ufahamu na uelewa kama hvyo
@pastorpetermageta6833 Жыл бұрын
Hata wewe ukitaka unaweza kuwa
@KnowingJesus2024 Жыл бұрын
Luk 10:2 Akawaambia, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni Bwana wa mavuno apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
NGUVU KUBWA INATUMIKA KUPOTOSHA WATU,,KUMBE UKO KWENU KUMUONA YESU NI RAHISI HIVYO..HUKU KWETU HAKUNA KUTUNGA
@8pistons194 Жыл бұрын
Ni rahisi maana tuna imani na tunaemwabudu.Mohamed alikufa akafa hamtokaa mumuone tena
@aliemdogo Жыл бұрын
mukija Ku Muaona marehem Mohammad nikuzim mkiwa mnachomwa wote
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@8pistons194Muhammad si Mungu. Asiyekufa ni mungu. Hata yesu alikufa. Yohana 17:3
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@aliemdogothubutuu
@LucyKapinga-fg4dk Жыл бұрын
YESU ALIKUFA BURE MAANA Alisurubiwa kwa jile Yetu akafa Akafufuka sasa ni yuhai yuko Mawinguni Akatuachia msaidizi Wake Rohomtakatifu Yaan Tumebarikiwa Mnoo MUNGU NI MKUU@@Catherine-mh8sw