Ni uchambuzi juu ya kauli tatu - ya rais, ya msemaji wa Serikali, na ya bosi wa TRC. wanajikanganya na kuibua maswali magumu.
Пікірлер: 215
@MmbagaMmbaga7 ай бұрын
Mungu akulinde akupe nguv Kila wakti mtetezi wawatu
@EvaKiswaga-j2o9 ай бұрын
Uchambuzi mzuri saaana. Hongera ungejitokeza siku moja. Wananchi wakuone. Uwanja wa taifa tutakuwa mdogo. Karibu ngurumo nyumbani
@johnmichaellukindo212 жыл бұрын
Ndio Mr, ngurumo msema ukweli! Tufumbue Macho 👍
@mkambamaulid4472 жыл бұрын
Mkuu uko vzr sana ss ngoja tumsikilize Shangazi Baaaaaasi🙏🏼 Njaaaaa ninoma saaana 🤔🌍
@safisimkoko19322 жыл бұрын
Duuu manaiyo Hawa watu awakaipamoja kujadili nakupanga pamoja mbona Kila mmoja anatupa taharifa tofauti Mmmmh Eemwenyezi MUNGU tusaidie
@chidjosh60562 жыл бұрын
The comedian country
@eleutermhumba3472 жыл бұрын
Baba ñakuelewaa sanaaa,unazungumzà ukweli mtupu.
@abdulatwifallyvizursana32952 жыл бұрын
Hakika watanzania bado tupo gizani sana, kwa aina hii ya viongozi ni vigumu sana Nchi yetu kuendelea, wanatudanganya wazi wazi, kama vile sisi hatusafiri, Ngurumo watu wengi hawana akili ni mambumbumbu tu hawawezi kukuelewa unachosema, lakini una jicho kali na mtazamo wa mbali sana. Mimi nashangaa sana viongozi watatu wanasema maneno tofauti ,
@betinaernest27662 жыл бұрын
Hakuna anayempinga huyu jamaa Ila anachokosea anajaribu kumkosoa magufuli
@hasnuumakame92192 жыл бұрын
@@betinaernest2766 Kwani Magufuli alikua sahihi kwa yote alioyafanya? Hakuna aliyokosea? Muhimu sikiliza hoja na jaribu kuijengea picha kwa umakini bila ya kuangalia nani anaezungumzwa kwani mwisho wa siku hao wote (Magufuli na Samia) pamoja na CCM wote lao ni moja tu siku zote maana walianza hii miradi wakiwa pamoja Rais na msaidizi wake, kwa hiyo sasa ni muendelezo tu wa yale yale walioanza nayo..
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 muendelezo gani huo kwahy umeme unaokatika hovyo ndo muendelezo je kipind Cha magufuli kulikuwa na kukatika kwa umeme!! Wapinzan ndo maana hampewi nchi maana akili zenu fupi Sana!?? Mkipewa mnauza nchi mnawazo Mambo ya hovyo tu
@corporatethugsent73802 жыл бұрын
Sure man
@henrytimothy30482 жыл бұрын
Mm mwenyewe nilikua natoka arusha kwenda dar nilikaa air pot masaa sita eti ndege haijaja
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Unaona e?
@kenedrocky59642 жыл бұрын
NAENDELEA KUKU SHUKURU KAKA MKUBWA, KWA UCHAMBUZI MAHIRI SANA. TUTAENDELEA KUHOJI MAANA WAO, HAWAAMINIKI.
@gataonyango92942 жыл бұрын
Bro nakuamini sana Mungu akutunze sana na usichoke kutusaidia
@geoffreynghumba10292 жыл бұрын
Serikali yetu na watendaji wake wametuchanganya kiasi sasa wamesalia kivyao na wananchi nasi ki vyetu. Watasalia kama kituo cha radio kisicho na wasikilizaji.
@betinaernest27662 жыл бұрын
Siku moja jitokeze mbele yetu wananchi wenye uchungu na nchi halafu uongee upumbavu wako walahi tunakukata kichwa....mungu ailaze roho ya marehem maghuful mahali pema pepon
@ramadhanimtambo67552 жыл бұрын
Huyu bwana mungu amuinue ana msaidia sana mama yetu Kwa wale werevu wa mambo tunamshukuru sana
@nzungushikombesekei2 жыл бұрын
Tumepigwa Sana. Msigwa bado anaona kuwa wa Tanganyika bado ni wa mwaka 47 hatujuwi Kila kitu. Funika kombe Mwana harmu apite.
@Worldunite2 жыл бұрын
Tatizo ni kwamba hamkuweka wazi haya mambo ndo maana yanajitokeza maoni tofauti tofauti
@papadimayo1chanel.7472 жыл бұрын
Nyerere alifaulu sana kuwajingisha watanzania. Na haya ndio matokeo yake.
@paull86592 жыл бұрын
Tumeliwa, hivi ndivyo ilivyo CCM. CCM oyeeeeeeeeereeepumbav
@humphreymwihambi43302 жыл бұрын
Nakuelewa
@henrytimothy30482 жыл бұрын
Ukiona mtu anampinga huyu mchambuzi ujue ni zuzu mjinga na mavazi yake ya kijani
@corporatethugsent73802 жыл бұрын
Sio zuzu na mjinga henry noo ni kinyesi pia
@mfwimiekayuki86922 жыл бұрын
Msigwa haenei kwenye nafasi yake hiyo.
@nahiriali14052 жыл бұрын
Kaka tunakulewea sana ukisema mikweche kwahiyo tutumie neno hilo hilo mikweche na ni kweli nimikweche
@juliuskitaluka12062 жыл бұрын
Njia ya mwongo nifupi Sana
@ashuramuhammed32574 ай бұрын
Maneno yako nichakula Cha ubongo hupenda kukusikilaza sana Kuna vingi najifunza kutoka kwako
@obeidmpombwe99512 жыл бұрын
Tutanunuwa vya kuanzia kwa hiyo haya mabehewa ya kuanzia!
@rogersiddy2 жыл бұрын
Mbona hatuelewi Mama anasema tutaanza na mabehewa yaliotumika baadae tutaleta mapya sasa haya sindio yakwanza yaliotumika tumekubali kutokana na maelezo ya kweli ya mama etu Raisi ila hawa wanatuzingua tu
@zawadimbwambo10912 жыл бұрын
Tatizo juu ya hii nchi kunaishi binadamu wa hovyo sana ,wenye matumizi mazuri ya akili ni wachache, ila kaka una matumizi mazuri sana ya akili,
@leokamil62842 жыл бұрын
Uongo ukizidi katika nchi ni hatari sana kwani viongozi wamezoea kutudanganya mpaka wanachanganyana wenyewe kwa wenyewe. Ni ngumu kuamini viongozi wa aina hiyo wanamtia aibu Raisi watendaji wake hao
@neemamaugomaugo95972 жыл бұрын
Maswali yako huwa nayakubali sana
@elibarikimollel71492 жыл бұрын
Fafanuzi zinapishana kwasababu hakuna uhalisia na ndiko kujifunua kwenyewe! Maneno ya top leader ndio sahihi bila usahihi ndani yake!
@kwisa48992 жыл бұрын
Swali la msingi ni kwamba ni kwanini wananchi hawana imani na serikali yake? Shida ni kwamba watu wanafikiria serikali inatupatiamsaada. Ukweli aulazimishwi
@kenedynedy26152 жыл бұрын
Wewe jamaa niolikinooo nakukubali
@sadickmlawa27872 жыл бұрын
wapigaji tu
@mymuamsrrr78842 жыл бұрын
Kuna kama kamoshi kanaonekana kwa mbaali ..Mie napita tu.
Tanzania imekuwa chini ya watawala wale wale miaka yote. Hawawezi kujivua lawama. Ni wao!
@antondeengu38042 жыл бұрын
Namwomba rais Samia atoke hadharani awakemee watendaji wake wasiseme uwongo kwa Uma kwni watamchafua wakati yeye ni mkweli
@sebastiansalamba3132 жыл бұрын
Mimi najiuliza je, siku wapinzani wakiruhusiwa mikutano ya hadhara Nani atayajibu haya jamani
@hakizimanajean77022 жыл бұрын
Viva JPM. Kazi zake zajieleza zenyewe hazimuhitaji mtu kuzisemea.
@Worldunite2 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Huko nyuma, Jomba ametuahidi treni ya mwendokasi na mabehewa mapya... Tumedanganywa sana Enzi zile!
@Worldunite2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 aliyetoa ahadi hayupo
@samsonmwijage18692 жыл бұрын
Umesema vema kabisa Msigwa amekosea kuchanganya suala lililopo sasa la mabehewa ya treni na ndege, lakini na wewe ukaingia kwenye mtego huo huo kujadili Mambo ya ndege na makinikia!!!!!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Nilitaka kumweka sawa tu!
@rommelmauma58722 жыл бұрын
Mbona mabehewa hayo ya Austria, huyo mzabuni wake alitaka kuishitaki Tanzania kwa kwa kukiuka mkataba kwa kisingizio kuwa Tanzania iliyakataa mabehewa yalikuwa ya mitumba? Kama yalikuwa ya mitumba, kwa nini tuyanunue tena?
@leokamil62842 жыл бұрын
Kiini macho mpaka haijulikani ukweli ni upi
@ahmedhamad24102 жыл бұрын
Viongozi wetu wa serikali ni wasanii na wababaishaji tu
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Sio kweli. Acha kutundanganya
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Ndiyo, waache kutudanganya!
@daudsamandito45712 жыл бұрын
Uko. SAWA lakini marehemu atakunibu. 🤪🤪🤪😀Naonba uzungumze na. Mamlaka. Yaliyo. Hai
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Tunaweka kumbukumbu sawa tu.
@jolitabukabengwe30702 жыл бұрын
Acha kumuingiza Magufuli kwenye uchafu huuu. Yule mzee alikuwa mzalendo wa kweli kabisa nchi . kipindi chake hayakuwepo mambo ya upigaji. Ila nyie wanadam nyie mna laana aisee. Siyo bure!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Mweleze hayo msemaji wa Serikali. Anasema, "yameanza kutengenezwa mwaka 2020." Unaelewa nini hapa? Muulize Msigwa. Nani aliwaagiza wayatengeneze mwaka 2020? Muulize pia kama wangeweza kuanza kuyatengeneza bila malipo kufanyika. Mabehewa waagize wao, malipo wafanye wao, taarifa watoe wao, halafu wewe unisakame mimi? Ibada gani hii mnafanya? Mwabuduni Mungu peke yake. Anatosha.
@francisedson9042 жыл бұрын
Sera ya serikali hainunu vitu usd ktk sheliya ya manunuzi waonndoe ujinga wawo
@nancymwangi79262 жыл бұрын
ulianza vizuri lakini wewe huwezi muchafua jpm...........mimi naamini baada ya magu kufa yapo mambo yalibadilika
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Hayo mabehewa hayawezi kuagizwa kipindi cha Magufuli. Yule alikuwa anapiga kazi hakuwa na utani hata kidogo.
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Tafakari hili: 1. Nani aliruhusu makontena ya kifisadi ya Makonda ambayo yalimgombanisha na Waziri wa Fedha Philip Mpango? Yalipitaje bila kulipa ushuru? Yale ambayo aliyakana halafu baadaye akayakubali? Unafahamu uhusiano wa Makonda na Magufuli? Waza tena. 2. Unafahamu nani alinunulia boti chakavu "iendayo kasi" ya Dar-Bagamoyo, kwa bilioni nane, ambayo ilifanya ziara moja tu, ikaharibika? Kelele zilipoigwa akaigawa kwa jeshi. Na wakati boti chakavu yake ilinunuliwa kwa bilioni nane, bei ya boti mpya za Azam ilikuwa bilioni nne (4). Ni nani? JIBU: JOHN POMBE MAGUFULI Mnadanganywa kirahisi kwa sababu mnapenda kuamini hotuba na sauti za kulialia. Ni wapigaji. Amkeni!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Msigwa amesema "yalianza kutengenezwa 2020." JIPNGEZE! Hayatetengenezwi bila MALIPO!
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo Ebana! Ndugu yangu umenipa akili!?. Unajua mimi sio mtu wa siasa kiundani ni shabiki tu wa siasa. Nilikuwa nashabikia CHADEMA tangia kipindi cha Dr Slaa lakini sikuwa mfatiliaji kindani. Nakumbuka nilikuwa nasoma sana magazeti kipindi cha ugombea wa Lowaaa na Magufuli kwa ushabiki tu lakini sikuwa nafatilia kiundani.
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo Daah! Nimekukubali ndugu yangu ndiomaana nilipoona video zako nili subscribe haraka. Niko pamoja na wewe ndugu yangu endelea kunipa faida
@muharamiesther59082 жыл бұрын
Serikali Sirikali🤔
@francismshana18622 жыл бұрын
Tundu lisu club house
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaa. Sijauewa tuchoa
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Sio kweli
@davidchungu65982 жыл бұрын
Nchi hii Tajiri Sana Sana Ila Tunaumaskini Mkubwa wa Viongozi Tunaviongozi wa Hovyo Sana Wabinafsi Wezi Wasioaminika Kabisa Ndiomaana Hatutaendelea Mbele Kiuchumi na Mungu Atatuacha tu Hivihivi. Nashangaa Kuona Bado Viongozi Kama Msigwa Anaongea Uongo Hadharani Hivi?!!!!! Hapana Hapana Hapana!!!
@daudysanga84922 жыл бұрын
Mama kasema kweli
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Acha. Kabisa magu hayupo. Mtapata. Tabu sana kwawizi
@MmbagaMmbaga7 ай бұрын
Hayo yamepigwa tu rangi, hayo tushaaliwa
@KhaleedHamad-vl7lz10 ай бұрын
Hatari nchi hiiii hatuna hata haya
@emmanuelzani28892 жыл бұрын
Hayo yamefanyika kwenye utawala huu huu na siyo uliopita.
@davidsimbeye15482 жыл бұрын
Wenye akili tumeshamuelewa Ngurumo
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Msigwa amesema mabehewa haya yaliyoletwa yaliagizwa mwaka 2020. Ni utawala gani huo? Na mradi huu haujaanza jana. Midude kama hii hainunuliwi kama sukari. Inaagizwa na kulipiwa mapema. 2020! Umeelewa?
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo tunaomba hiyo mikataba ili tuone signature za hao waliosaini ili uthibitishe kauli zako za hovyo
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@davidsimbeye1548 hakuna lolote hapo huyu ni mpinzan mwenye chuki na magufuli Hana lolote hapo zaidi ya kuuhadaa umma usiofuatilia siasa za Tanzania,,,, mm huwa nafuatilia Sana mtu hanidangany chochote
Jamani wengine tuna myoyo midogo ,akuna walau kizuli kimoja Cha kusema ,make waziri mkuu alipokuwa anaenda wanampa taalifa za ufisadi mtupu yani mpaka minasikia presha ,mfano ire ya katani Tanga,waziri mkuu anasomewa taalifa mpaka unajiuliza Ivi anajikiaje moyoni
@davidsamson82044 ай бұрын
Hii serikali haipaswi kuaminiwa kwa chochote
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
Wewe ndiyo Unaye tupotosha kwa sababu kauli yako Unapinga naRais nani mwongo Rais au wewe Msigwa toka lini Serikali ikanunua mitumba ?
@thomaskiponda60792 жыл бұрын
MTAALAM NA GWIJI WA UANDISHI WA HABARI.
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Mue na aibu jamani na muwe na hofu yangu. Mmmm
@charlsemodest76402 жыл бұрын
Unaposema kwamba mabehewa haya ni MAPYA akili yangu inaniambia ni Sawa na kuweka Oda kiwandani UTENGENEZEWE TV Aina ya sony bravia alafu mzigo wako unapokuja unakuja TV Ina KICHOGO nyuma.
@mathayomwashambwa12382 жыл бұрын
DUNIA NI NGUMU SANA KUWAELE A WATU, WANAPOKUJA WEMA NAO HUJA NA MAKOSA YAO, MAGUFULI ALIKUWA MZURI KWENYE USIMAMIZI MIRADI NA KUSUKUMA WATU KUFIKISHA MIRADI KWA WAKATI, LAKINI KWENYE SIASA HAKUWA MVUMILIVU, LA! DUNIA NI NGUMU SANA, MTU ANAKUWA MZURI UPANDE MMOJA NA UPANDE MWINGINE ANAKUWA HAELEWEKI....
@masijamajogoro72312 жыл бұрын
Aliyesema tumechezewa sana kumbe ndo mchezaji mwenyewe
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Tushawajua. Wote. Munajisumbua. Tu. Endele tu
@daktarimapenzi20222 жыл бұрын
Na Rais aliongea zamani sana...ww ni tapeli kabisa
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Waongo
@kamandaraster78992 ай бұрын
Makubwa
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Uwongo
@mathayomwashambwa12382 жыл бұрын
SEMA NI MITUMBAAAAAA... UNAONGEA MAKALI ETI MIKWECHEEEEE....
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Haha 😄
@masijamajogoro72312 жыл бұрын
Ngoja inyeshe, tujue panapovuja
@charlsemodest76402 жыл бұрын
DAIMA NENO LITOKALO KWA RAIS NI SHERIA. KAULI YAKE HAIPASWI KUPINGWA. ALIPOSEMA KWAMBA MABEHEWA MAPYA YATAKUJA 2023 ALIMAANISHA. NA ALIPOSEMA USED NDIO YATAKUJA MWAKA HUU 2022 PIA ALIMAANISHA VILE VILE. KWA HIYO HAYA MABEHEWA NI USED KULINGANA NA KAULI YA RAIS. SO KAULI NYINGINE MZIPUUZE ZINATUCHANGANYA TU HAPA.
@nikundiweamosi50872 жыл бұрын
Uhuni tu huu
@mndambokilavo25022 жыл бұрын
Kama JPM anunua mitumba basi hata hizo Dreamliner ni mtumba muende Boeing mkaulize
@leokamil62842 жыл бұрын
Ndugu unadhani ni mpya ?
@leokamil62842 жыл бұрын
Sidhani kama kuna ujasiri wa kununua mpya au kitu kipya aisee
@mndambokilavo25022 жыл бұрын
Jamani hiv vitu viko google utajua bei hawafichi ndio kama ni mtumba ni kuuliza Boeing wameshewahi kuuza ndege tz
@charlsemodest76402 жыл бұрын
Kwa hyo hayo madudu atapanda msigwa na familia yake. Sisi tunataka tren ile ile ambayo hapo awali imekuwa ikitangazwa Kila kona. Bahati nzuri pesa yote imelipwa na ni kodi zetu wananchi. Asa kwa nn mtuletee ubabaifu na vitisho?
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Acha. Tumechoka
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Kweli kabisa ukweli na mama samia tu.
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@daktarimapenzi20222 жыл бұрын
Ww una lako la binafsi, mbona umekata video ya Rais. Rais alikuwa anaongelea vichwa vya train, na hakuna kichwa cha train kilichofika.
@Worldunite2 жыл бұрын
Lkn mbona unapenda sana kumnanga hayati jpm na utawala wake? Km unaweza basi njoo utie nia 2025
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
Hata Mimi huyu jamaa huwa namshangaa sana. Hivi alifilisiwa mali na Magufuli? Anajitahidi kupembua jambo hadi limguse Magufuli.
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Simnangi. Huu ni mradi wao. Kelele zote hizi zinahusu awamu ya 5 na 6. Ndio walioamua. Ndio waliotoa order. Ndio waliolipia. Sasa wanayapokea. Ukishajua hayo, utaelewa muktadha wa afha hii. Usipoyaelewa, utaogelea katika uwongo. Ukweli ndio utatuweka huru
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
@margarethsolomon9823 Hata nilipombana Jakaya Kikwete 2005-2010, kuna wajinga walidai tumenyang'anyana bibi. Tunatofautiana uwezo wa kuona na kuchambua. Tuvumiliane. Tutaelewana tu.
@Worldunite2 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo sawa mkuu, ila binafsi nashukuru kwa uchambuzi wa mambo mbalimbali
@tanzanianakupenda2 жыл бұрын
Kaka Ngurumo unahakika haujaingia ktk lile kundi la walamba asali kweli?😆😆 No hard feelings brother, shida ni unaremba awamu ya 6 strategically na kuinanga awamu ya 5 strategically. Aliyebadilika ni mmoja tu kwenye hizi serikali 2, that is the irony. Naona saizi hata jamaa zetu wa HAKI wametulia hata kama walichokuwa wanalilia hakijatekelezwa hadi sasa almost 2years down the line. Naanza kuelewa kwanini kipindi kile walikuwa wanapenda kusema "mtu amenunuliwa" akionyesha kuunga mkono juhudi/nia. Wanajuana, they have a price tag.
@ndogoroedson1992 жыл бұрын
Sasa mnapambiza yote hayo kwa kutafuta nn? Halafu mkitilia Shaka mnapata nn? Yote hayo ni siasa chochezi tu! Du watz
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Ukikua utaelewa. ELEMENTARY CIVICS! 😆 😂 😆
@wadeelegbogun30152 жыл бұрын
#NONSENSE. Achana na JPM. RAIS wenu wa sasa nnchi imemshindwa. Na bado mtaisoma namba kipindi hiki.
@janethjohnson32892 жыл бұрын
Namba tutaisoma wote
@pmhina68862 жыл бұрын
Wewe unatumwa kuanzisha chuki na Mama Samia !!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Ama kweli! 😆
@MmbagaMmbaga7 ай бұрын
We mjinga soma kichwa cha isuzu hapo juu.
@DeusiSetivin-ls9uz Жыл бұрын
Wewe mwongo unaupande unao tetea na kuponda!
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Huo si uwongo bali ni msimamo, na sijawahi kuficha msimamo wangu. Mtu makini huwa na msimamo, hakai kama kinafiki kama popo.
@pmhina68862 жыл бұрын
Wewe ni mdini tumeshakujua !!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Mwambie! 😆 😂 😆 😂
@SaidiLubuvadu2 жыл бұрын
Hahaaaaaa haoooooo
@betinaernest27662 жыл бұрын
Kuna siku niliwahi kukoment nikasema wew jamaa una akiri Ila akiri zako unazitumia vibaya!! Wew Kama huamin siku moja jitokeze hadharani kwa watu wanaopitia mateso halafu umtukane au umseme vibaya Hayati magufuli ndo utajua ni jinsi gani akili zako fupi utapgwa mawe
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Ni kwa kuwa alitumia ushamba wao kuwajaza uwongo. Hata Mobutu alifanya hivyo! Iliwachukua muda mrefu kujitambua. Tuendelee kuwaelimisha. Mikataba aliyosaini ndiyo tunayotekeleza. Msiishie kubebwa na kauli tamu tamu za majukwaani. THINK!
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo acha kupotosha umma wewe nyie ndo mafisadi wakubwa ndo mlibanwa mkatapika hela saiv mnalialia hovyo tu mmejaa chuki na visasi!!!!
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo halafu unavyoonekana ni Kama mstaafu vile ulifukuzwa kazina kwa vyeti feki kwahy umejaa visasi tu!!!
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
@@betinaernest2766 Watu wa aina yako ni chakula cha mafisadi. Mnadanganywa kirahisi kwa kuwa hamjui na hamuwajui. Nakufumbua macho halafu unaning'ata kidole? Unanijadili wakati hunijui? Unadhani nimeanza leo mapambano na serikali? Hata Kikwete na Mkapa walikuwa na chawa. Na walishindwa. Uliza.
@philemonsnyanda94502 жыл бұрын
Labda wewe ndo utapigwa mawe
@knight67572 жыл бұрын
🇹🇿😭
@deniccgabriel61532 жыл бұрын
Uyu babu anasifia utawala wa mama nakusaahau mwanamapinduzi JPM aliebadili nchii na kufikia uchumi wa kati sijui Leo tupo uchumi upi mpaka tunaaagiza mabehewa used kwasabb zipi na kwa alaka alaka zip
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Hahaha hahaha 😆 😂 🤣 😅 😄
@betinaernest27662 жыл бұрын
Inaonekana una chuki kwa mkombozi wetu magufuli aliyejitoa sadaka,, alijaribu kupgana Vita akiwa peke yake lkn mkamuua... Sasa hivi huwez kusikia madini yamekamtwa Tena saiv wanachukua mchana kweupe tu hakuna wakuzuia
@aminbakari54432 жыл бұрын
Kwa vile mabehewa yameshafika hoja ya msingi ingekwa mtu aseme nimeyaona mabehewa yako hivi na vile kinachodhihirisha kuwa ni mitumba. Vinginevyo Maelezo ya msigwa, ya raisi na yale ya mkurugenzi hayapingani popote ukitumia akili yako vizuri kuwasikiliza.
@leokamil62842 жыл бұрын
Ati?
@leonardrafael43042 жыл бұрын
Mwanzo nilikuona uko vzur ila kwasasa naona unaegemea upande wa kumchafua JPM Umetengenezwa hakika KWA ubaya Lakini Mungu Yupo kila wakat.Jpm hatosaulika KWA Watanzania kwa mema yake
@rajabusamson80362 жыл бұрын
Du
@silasponeka17732 жыл бұрын
Takukuru wanafanya kazi gani sasa kitu kiko wazi?
@leonardrafael43042 жыл бұрын
Mungu nisamehe kwa chuki nimetokea kumchukia huyu binadamu JPM hatasaulika kwa mema yake
@lastkinglastking33262 жыл бұрын
Guys Mimi ni mkweli tena kuiba sijui mwakani mnipe uraisi.tena safari za trein na ndege nitazisimamisha kuepusha manena Bali watu watafiri kwa ungo Ili tudumishe tamaduni zetu.
@pmhina68862 жыл бұрын
Hivi kwa nini una deal na magufuli muogope mwenyez mungu Jenga hoja za maendeleo magufuli hawez kurudi tena una mpumbavu Sana
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Umeelewa mjadala? 😆 😂 😆 😂 😆
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
Asibert, wewe una shida na Magufuli. Hakuna kitu ambacho serkali ya Samia imefutika mambo ya Magufuli. Amenenwa vibaya, amelaumiwa, na wote waliokuwa upande wa Magufuli hawapo tena ndani ya uongozi wa serkali hii. Unajitahidi saaaana kutafuta kitu chochote kinachomgusa Magufuli ili uendelee kumshusha au kumtweza Magufuli. Ya Magufuli tutaendelea kuyaamini. Makilikia yameuzwa baada ya kifo cha Magufuli. Tr. 360 zimefukiwa ili ionekane hakuna kilichofanywa. Mara ingine nachukia kusikiliza clips zako kwa kutaka kumchafua simba wa Yuda.
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
Twende kwenye hoja. Mimi siabudu mtu. Namwabudu Mungu.
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo huna lolote magufuli alijitoa kwa ajili ya watanzania
@AnsbertNgurumo2 жыл бұрын
@betinaernest2766 Siku moja utaelewa. But it may be too late. Muwe mnajisomea mnajielimisha. Acheni kuamini hotuba za watawala. THINK CRITICALLY.
@betinaernest27662 жыл бұрын
@@AnsbertNgurumo kwahy wew ndo mfuatiliaji w taarifa Sana kuliko watu wote,, ? Sisi watanzania tunamkubali JPM sio kwa hotuba zake Bali aliyokuwa anayafanya yalikuwa yanaonekana kwa macho!! Wew kwa akili zako ndogo unafikir magufuli angenunua mitumba ya mabehewa!!!
@betinaernest27662 жыл бұрын
Mpuuzi tu huyo Hana maana yoyote!! Magufuli alihangaika Sana kufanya transformation kwenye hii nchi lkn hawakumuelewa saiv kila Kona umeme unakatika hovyo tu na sikuwahi kuona mm vitu Kama hvi kpind Cha JPM
@richardarord83442 жыл бұрын
Awapige chini ao awamfai mijizi hyo mama awe makini nao