Miongoni mwa watu makini kwa nchi yetu ni huyu mzee mungu Ampe maisha malefu
@illomowerner76902 ай бұрын
Umenena @danielmgeni
@mussahancy65913 жыл бұрын
Wataalamu Hawa ni hazina kwa nchi yetu
@eliusandrew37623 жыл бұрын
I have to speak truth always
@mgeningogomeloathuman72302 жыл бұрын
Katoa rai mnamsema anataka huruma. Watu wengine wana roho za nyoka.
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Hicho ni kichwa sio mchezo, m/mungu kampa akili nyingi, hekma, ustaarabu, kujiamini na ucha mungu, ndio maana hatetereki
@ahz69072 жыл бұрын
Tatizo viongozi wetu huwa wanafanya maamuzi kisiasa na kupata umaarufu na si kusolve tatizo. Maana haingii akilini kununua mandege mengi na yapo idle kwa asilimia kubwa.
Katiba inakataa mtu aliyeshika nafasi ya CAG kuajiliwa kwny nafasi ya utumishi wa umma
@illomowerner76902 ай бұрын
Nakuunga mkono@fadhilamyovera
@JosephuSwai4 ай бұрын
Mungu mtu baba Kodi zetu lakini hatutakiwi kujua chochote
@user-ss8iu3mx4q3 ай бұрын
Huyu jamaa anadai nchi
@hamisiizadini39382 жыл бұрын
Kweli mzee huna njaa
@kingkendrickk3 жыл бұрын
Shujaa alikuwa fisadi
@plujorilugano94892 жыл бұрын
Mzee Assad ni ALAMA nzuri na tamu kwa nchi yake, mzew Assad ni MFANO usiyo na kifani.
@user-ie2sr4fi4k4 ай бұрын
Utasikia alikuwa mzalendo kama mtu alikua ataki kukaguliwa dah!
@AnsbertNgurumo4 ай бұрын
Hahaha! Hata Adolf Hitler alikuwa mzalendo
@illomowerner76902 ай бұрын
Ila @user ni mzalendo sana, hoja zako si za kuegemea upande, ushabiki au uchawa, uko critical. Usibadilike
@madukurumwanileles79093 жыл бұрын
Mmh ndo mmeamka sasa!.
@kipigapasilisungu25813 жыл бұрын
.
@malingazeboss93513 жыл бұрын
Shujaa alikuwa mwizi😜😜😜😜😜😜
@Worldunite Жыл бұрын
Wewe kuongea kote ni kumnanga hayati jpm
@illomowerner76902 ай бұрын
si kweli, hamnangi mtu hapa, angalia ukweli wa hoja zake na si ushabiki, akikosolewa kwa hoja mtu unayempenda unaona anamnanga...be critical, Hakika we have a long journey to go
@mashauritv4033 Жыл бұрын
yani nilijua msomi mkubwa kama wee ndio uwe mstari mbele kwa kushauri serikali kuweweza mambo makubwa kama ndege kumbe weee ni kuponda na kubeza uwekezaji ili kuwe na ajira kubwa na watu waraisishiwe usafiri sasa weee huna akili kabisa
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
We ndio ziro kabisa wa kukurupuka
@NdelleMwanyama Жыл бұрын
Duh shule muhimu sana, we unaongea nini ww
@illomowerner76902 ай бұрын
Nani hana akili @mashauritv? Yule Mzee Alikuwa akiamua ameamua, hataki ushauri wowote, je prof angepata wapi nafasi kushauri madini haya Kwani zile report za CAG huyo unayesema mzalendo amewahi kumwajibisha nani?
@husseinkarim67453 жыл бұрын
Unataka huruma ya Mama Samia ili iurudi tena. Pumzika shughulika na mashamba yako. Unnamaama wewe pekee yako unafaa. 60% hawafai jambo la kushangaza.
@shaibuhamadi54353 жыл бұрын
ach wivu
@ahmedsultan85612 жыл бұрын
Mmoja wasiofaa nini ww,uelewa wako ni mdogo, maana km ungekua muelewa usingesema hivyo
@omaryjuma55462 жыл бұрын
Shule muhimu sana......ungeitumia shule nadhani ungemuelewa