Allah amekiona kilio chetu long time tunataka zenj yetu mmengaggana uraisi mama and peas na ALLAH babu weeee
@Byondorujulika17 Жыл бұрын
Muzee wetu Umeeleweka vizuri sana. From Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@wilsonletiet7852 Жыл бұрын
Mimi naunga mkono hoja ya Duni Zanzibar kuwa na mamlaka yake kamili na sisi watanganyika tuwe na Tanganyika yate na mamalaka yetu kamili halafu tuwe na Muungano kwa pande zote
@selerinemtei7058 ай бұрын
😮uki
@msabahaali758 Жыл бұрын
suluhisho ni moja tu kuvunja muungano sisi wazanzibari hatutaki kabisa muungano umetuumiza umetuulisha umetudhalilisha ni ukoloni hatuoni kama ushirikiano kiukweli wakati umefika tunahitaji nchi yetu tuoneeni huruma watanganyika ata nyinyi mulidai uhuru wenu kwa muengereza tunahitaji mtupe uhuru hawa watawala wa Zanzibar wote ni vibaraka tu hwatututeei
@MathewNathan-yb2bz Жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@leahmgunda4154 Жыл бұрын
Uvunjwe. Hata ndoa ikiwa na lawama January mpaka December haipendezi.
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Muungano uvunjwe hata Tanganyika haina faida nao japo watanganyika ndio walipigania Uhuru wa zanzibar zaidi na kumfukuza mwarabu Na japo tunaamini kizazi cha zanzibar asilia nyingi asili Yao ni wabara lkn muungano hauko sawa.
@SalumNyiga-vj9ut Жыл бұрын
Mimi mwenyewe ni mtanganyika na nilioa Zanzibar na ninawatoto wawili na Sasa wapo Zanzibar. Ila muungano siupendi. Hasa nauchukia ninapokuja Tanganyika kutoka zanzibar.kuna mambo ya ajabu sana utafikili unatoka nchi jirani
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
@@SalumNyiga-vj9ut mm pia mtanganyika nina mtoto wa kiume wa kwanza mama yake mzanzibari mwarabu
@salyali7807 Жыл бұрын
You have made my day today... thanks
@magrethsengati2564 Жыл бұрын
Wazanzibar hawana makosa makosa yapo kwa mama,waziri mbarawa na mwanasheria mkuu wa tanganyika
@richardfina7222 Жыл бұрын
A0
@JamesSaba-ei9dd Жыл бұрын
Habari hii imetulia mnoooooooooh! Ni habari iliyojaa amani ya kudumu hadi kiama. Na mimi nasema Udumu mwungano Kitanganyikatanganyika na Kizanzibarizanzibari. Adugu wetu uendelee kwa mtindo wa kisasa
@tofti-yp6hx Жыл бұрын
Kweli wanaakill wakiliwa wao inauma ss tokea mapinduzi mnatulaa tuuu mshanona ss wataka chao ALLAH YUPO NDIE MJUZ WAKILA KITU
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
Ww ni mpuuzi sanaa takataka ww cc tunazungumzia vifungu vya mkataba,
@yapukahassan Жыл бұрын
Wew huruka yako ni kutukana 2 elewa uchambuzi wa mkataba
@fakihdarusi43856 ай бұрын
😅😅 acha KUTUKANA Tetea hoja
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
Maneno safi kabisa❤❤❤
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Muungano unahitaji marekebisho makubwa ebu kubaliaaneni wazanzibar wawe taifa huru na mamlaka kamili na taifa la Tanganyika lirudi
@josephlorri431 Жыл бұрын
Duni ni mfitinishi, anapotosha..eti chetu chao,chao chao.. atuambie kipi cha Zanzibar ni cha Tanganyika
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Kweli kabisa
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
ZANZIBAR NI YA TANGANYIKA😂 @josephlorri431.Alitoa Mfano wa Bandari ya kujengwa Zanzibar lazima waende Tanganyika. Je Tanganyika wakitaka kujenga Bandari lazima waende Zanzibar? Chama Cha Mapinduzi kiliundwa Zanzibar lakini Makao Makuu yako Tanganyika😂😂 Nafasi ya " Urais wa Zanzibar" unatoka Tanganyika😂😂 Je Nafasi ya Urais wa Tanganyika unatoka Zanzibar? Mkuu wa Mawakala Dr. Hussein Ali aliyechaguliwa Dodoma alisema: IKULU (Serikali) YA ZANZIBAR ITAJENGWA TANGANYIKA ndiko alikozaliwa sawa na Baba yake😂 DAMU NZITO KULIKO MAJI
@hajiameir8688 Жыл бұрын
We ndie fitna kumbe hujuwi hii ni Mali ya muungano na hii si ya muungano kama hjaamka ndugu yangj ni hasara kama ni CCM basi ni shida
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@hajiameir8688 tumewapa tanganyika mtutawale,mnafanya biashara na mali asili za tanganyika..kipi cha Zanzibar tulichonacho bara
@khamisbedui332310 ай бұрын
SIsi Kila kitu vipo viwili viwili, sikwasababu ya uhuru wetu Bali ni ulizi wa kutokuwa huru kwetu; tuna rais wawili, makamo 2, vyombo vya Sheria 2, ulinzi 2 ,etc 😢tafakari!!
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Ahsante baba
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
Tunataka Zanzibar yetuuuuuuuuuu,,,,,,ndo tunayaonaaa hayooo,,,,, viongozi mnaona watanganyika walivokua wabaguzi mpk mama yetu rais wanam''bagua dah
@immaculataroeser9094 Жыл бұрын
Na kwetu jee!!
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es9 ай бұрын
Mwl.alikuwa na kipaji maalum, hata hivo ni Vema kutumia vipaji vetu kwa njia Bora itakayonufaisha Raia wote. Kwa kweli Mungu hutoa vipaji vyema Kwa FAIDA ya wote.
@nassoroyahaya821 Жыл бұрын
It sounds ok
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es9 ай бұрын
Mambo ya Uongozi ni magumu na ni Siri kubwa.
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
Sawasawa baba waZanzibari na waTanganyika wapewe fursa kuamua wanautaka muungano au laa tena kusiwe na pressure wala vitisho vya aina yoyote
@wawamasengeti5598 Жыл бұрын
Aaaaaaah jman what kind of reasoning ALas God help us
@sungisungi6589 Жыл бұрын
Huyu Jamaal bhana . Uspokua makini unaweza ukadhani ana akili kutokana na muonekano wake
@christosiadanieli65124 ай бұрын
waziri wa katiba na sheria umesikia hiyo habari?
@kastulideemay6721 Жыл бұрын
Kwa kweli umefanya uchambuzi mzuri, kelele za muungano ni kama zilipuuzwa kwa kipindi kirefu haijawahi kuzungumzwa ndiyo maana inaibuka tena... chama chenye kuchukua hatamu kijitazame na kujitathmini la! Watabeba dhamana ya vizazi vyetu
@adampetermakombe5654 Жыл бұрын
Nakufatilia Sana kutuelimisha unatufugua macho
@ostenmwakasita6960 Жыл бұрын
Hivi ma ccm mnaounga uwekezaji wa Bandari haya maneno haya mnayaelewa au nyinyi ni mambumbumbu
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
That's is true ni vyema kila sehemu hiwe na dola yake
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
hivi watangayika tuchukue nini zanzibari kuna nini huku marashi ya karafuuu😅😅😅
@CharlesMisungwi-f8t Жыл бұрын
Kilichosababishayote haya ni bandari ilasiri yakufa JinalaTanganyika tunaparamiatu.wengi hatujui kwaaniNyerere nakarume hawakuliona hilo.?
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
1. Nyerere na Karume walifanya yao kwa wakati wao. Nasi tufanye yetu kwa wakati wetu. Wao si alfa na omega! 2. Hoja ya Tanganyika haikuletwa na bandari. Ipo tangu zamani, huibuka mara kadhaa kwa sababu mbalimbali. Rejea G55 miaka ya 1992/93; vuguvugu la vyama vingi 1989-95; Tume ya Jaji Robert Kisanga; Tume ya Warioba; harakati za Christopher Mtikila tangu 1992, etc. Hili la bandari limechochea mjadala tu. Tunzeni kumbukumbu - kama mnazo. Kama hamna, ulizeni.
@ngoni7944 Жыл бұрын
Hilo ndio lengo la alieuza bandari zetu, she wanted her country back
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Inawezekana
@charlesmwamlima3923 Жыл бұрын
I hope so😢
@MBATINOFILMS Жыл бұрын
Ndio tukumbushe tulikuwa tumesahau
@raphaelonyango703 Жыл бұрын
Unajichanganya mzanzibari umesema Kila bandari inajitegemea,upewe pesa na nani Tena ?
@japhetlaizer3919 Жыл бұрын
Mungu tusaidie kwa hili mbona umekuwa haya tena,,,,,likini yote haya yanaletwa na viongozi ambayo siyo makini
@MariaStepheno-it5jp Жыл бұрын
Yatapita salama Mungu ni Mwema
@THOMASmakarius-m2h Жыл бұрын
Weye ni mwarabu jamani?,mbona unanyanyapaa rangi yako.
@amesalum3636 Жыл бұрын
Leo nimekuelewa kweli kweli❤
@marrymenas Жыл бұрын
Huyu mzee anaimba taarabu, yaan anapiga vijembe halafu anajijibu kwa chorus! Yupo vizuri kwenye utunzi wa taarabu. Wanataarabu fursa hiyo mtunzi huyu hapa!
Shida iliyo hapa ni Jinamizi ccm. Yaani majambazi ccm wanajificha kwenye serikali ya muugano. Waiba zanzbar wakikikamatwa wazazi bar wanasema watanganyika wameiba zanzbar.. Majambazi ccm wakiiba Tanganyika, watanganyika wanapiga kelele kuwa wazazi bar wameiba
@edwardmakonge6951 Жыл бұрын
namna hii muungano utapona kweli??na wazanzibar milion 1 walioko bara watakwenda wapi iwapo muungano utavunjika??
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
Kwani mkoa wa Dar es salaam unawakaazi milioni ngapi? Hivi hujui kwamba kisiwa cha Unguja tu ni kikubwa kuliko mkoa wa Dar es salaam?
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
SIRI YA MUUNGANO NA UNYERERE @edwardmakonge6951. Hakuna Muungano kati ya Kenya na Tanganyika lakini, Watanganyika walioko Kenya hawafukuzwi❤ Ilipovunjwa Jumuia ya Afrika Mashariki (Tanganyika, Zanzibar, Kenya na Uganda), wageni wa kila nchi hizo hawakufukuzwa❤❤ Je Ukoloni wa Tanganyika kwa jina Muungano unalazimishwa kwa sababu zifuatazo: 1) TAFAUTI YA IDADI YA WATU? 2) UKUBWA WA NCHI ZAO? 3) TAFAUTI YA DINI ZAO (Ukiristo na Uslam)? SIRI GANI NDANI YA MUUNGANO?
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Watabakia uko uko kuvunjika kwa muungano sio kurudisha wa2 makwao mbona wabara wapo wengi sn Zanzibar tena kukiko hataa wazanzibar wenyewe
@josephlorri431 Жыл бұрын
Tutaishi wote huku bara...wapo watu wengi kutoka mataifa yote duniani hapa bara
@jumasuleiman71712 ай бұрын
Tutakwenda nchii nyengine
@toughtiger5232 Жыл бұрын
sio bandari tu jaman kuna mambo mengi sana wamechafua yatoeni tu msirud nyuma
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
Tuwatimuwe watanganyika zanzibar tuwe wamoja ila wazanzibari wa bandia ni ccm ndio wanaotudidimiza
@GabrielMwita-h8d Жыл бұрын
Mbona mlikubali matacha. Au turudi analogy? Bandali zimeshindwa kuendelea na analogy. Bandali zilizoachwa kwenye mkataba ni zile zimesha anza kutumia digitals. Mmezikagua au nikupinga tuuuu. Mbona mnahofu na mambo ya udini? na utaifa?
@salimukimwaga-fu8cc Жыл бұрын
Kila siku aliekuwa anajua kwamba hakuna kimoja Cha watu wawili tutagomba a mpaka Kila mmoja apike chake na ale chake mwungano uwe chama na jeshi tu
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Huu muungano haufai. Hatuutaki.
@MurunguwetoshaDeheaven Жыл бұрын
Hii Makayla inapaswa kusambazwa Sana kila kata
@JohnMyegeta Жыл бұрын
Duu kweli mzee ngulumo mwanaharakati mtikila kweli firka zake zinaishi sasa R I P
@nicolausminja689 Жыл бұрын
Huo ni ukweli mtupu kuhusu changamoto ya Muungano na tiba ni tuwe na katiba mpya na muungano wa kweli sio huu wa kunyonyana.maswala ya Muungano faida iwe 50%
Wakati muungano unafanyika wazanzibar na watanganyika watu wake walikuwa hawana elimu kama Sasa ,hivyo lazima tuenende na mabadiliko
@edwardmakonge3371 Жыл бұрын
Mbona zanzibar mna serikali na katiba yenu,mnachotaka nini zaidi??mtaweza kujilinda bila bara??
@deven.oauditx7547 Жыл бұрын
Kwani Wanzibari wamekuomba uwalinde?
@farhiyaibrahim2053 Жыл бұрын
Tunataka nchi yetu
@farhiyaibrahim2053 Жыл бұрын
Tunataka nchi yetu
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Kujilinda sio tatizo tutakubaliana 2
@ngoni7944 Жыл бұрын
Wanzanzibar wameinyonya sana tanganyika
@salimukimwaga-fu8cc Жыл бұрын
Sisi watanganyika makondoo hatujui baya Wala zuri Kila tu akitaka kusema mke anmkataza mme
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Lugha chochezi Zanzibar inayo katiba yake Tanganyika haina katiba yake inatumia katiba jamhuuri ambayo ni kinyume Cha hoja ya muungano
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Tuoji kwanza maslahi ya muungano.wetu kwa pande zote mbili
@twarikmuditwarikmudi7091 Жыл бұрын
Iyo nikeri
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
LISSU KICHWA ❤❤❤❤❤ I LOVE THIS MAN.
@stelajoramu5298 Жыл бұрын
Eee mcjukueni huyo Samia auze bandari yenu huko
@emmanuelmayuma3466 Жыл бұрын
Nimekuelewa na lengo ni kujengea taifa Lenye muungano kupitia hoja.
@naimaabdu8012 Жыл бұрын
Usimpake matope Baba wa Taifa
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
Mkataba waweke huko Zanzibar na huko kuna bandari.
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌👍.
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Kwani Zanzibar ni nchi? Si kichoo?
@saheedali7467 Жыл бұрын
Kichoo ni kile kukuma cha mkeo kenge weee
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Nahisi Kama mkataba huu wa Bandari unaweza tufikisha Tubomoe JAHAZI ili tugawane mbao (MUUNGANO)
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Ewe Mungu tunusuru tujaalie lile lenye heri na sie ,tujiulize waliokubali Muungano walitumia vigezo gani? Je kulikuwa hakuna faida yoyote kwa pande zote mbili? Ninachoona wanasiasa na wafanyabiashara wanajua madhara ya muungano zaidi kuliko sisi wananchi.Kwani wananchi ukienda bara wazanzibari ni wengi na ukienda zanzibar watanganyika wamejaa zanzibar.hivyo wananchi wanafaidika sana kwani wao hutumia faida za muungano na huyaacha mapungufu
@mrimimarwa6485 Жыл бұрын
Wambie
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Kumbe mlikuwa hamtujuwi duuuuuu
@ShabaniHusseni-m8l Жыл бұрын
Oyeeeeeeeee duniiiiiiiiiii umesema Sasa mbona hamsemi ukweri
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Ukweli upi
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Bora muungano ife
@gidongailo7174 Жыл бұрын
Hivi huyu Duni anawasema 'CCM au CHADEMA?
@mutalemwajohanes-kx9dj Жыл бұрын
Ndio maana narudia na nitarudia CHAMA AMBACHO NI UGONJWA WA WATANZANIA na kwa maelezo ya MTIKILA NI MANYANI tu
@TheTarabist Жыл бұрын
Chao Chao, chetu Chao.
@ephrahimjoel6406 Жыл бұрын
Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbili tofauti kwani kama cn passport naweza kwenda
@immaculataroeser9094 Жыл бұрын
Mmenusurika NDIYO!!!!.
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Salum mwalim sheria za bandari ni za muungano,sote tuingie humo! iweje basi hoja yako iwe kuitetea Zanzibar kuachwa?!
@nakali79 Жыл бұрын
Jengeni kwani hamna hela? Yaani wa tanganyika pesa zetu zijenge zanzibar si ujinga huu, hebu semeni zanzibar inachangia asilimia ngapi kwenye mapato ya taifa? Tuanze hapo kwanza, ili tujue na ndipo mgawanyo wa mapato hayo ufanywe kulingana na mchango wa kila mmoja wetu, tanganyika tunaonewa sana asee muda umefika sasa huu uduanzi hatutaki😊
@5amediaonline335 Жыл бұрын
Rudi shule kwanza
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Kwanini wazanzibar walitaka kujiunga na bank ya OIC lakini bara mlikataa je watapataje hela nanyi mlikataa kwa kuona Zanzibar watafaidika kwenye Muungano huo wa OIC huo ndiyo ujinga waliofanya bara kuwazundua akili wazanzibar leo waachieni nchi yao na sisi tuwe na nchi yetu kwani ni lazima tuungane mwisho tugombane tuachabe Kwa ugomvi mwisho tushindwe hata kusalimiaana
@tofti-yp6hx Жыл бұрын
Chukueni tanganyika yenu uungueni umoja
@tofti-yp6hx Жыл бұрын
Ss tunataka hasa Zanzibar yetu tulikua tunasubir tu
@charleschavala434 Жыл бұрын
Sisi wazanzibari / waprmba/
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
sio wazanzi bari wote wanao sema tunaitaka zanz bar yetu wala si watanzania wote wanao itaka tanganyika yao.wanao taka hivo ni wale wnye ukabila udini umadaraka na wasio taka muungano.
@saidabdillahi8107 Жыл бұрын
Kama kuna wazanzibari hawapendi kuwa na zanzibar yao ni wale waliopelekwa zanzibar baada ya mapinduzi kutoka Tanganyika sikiliza vizuri hotuba ya Tundu lisu
@w4058 Жыл бұрын
@@saidabdillahi8107 😂
@ShabaniHusseni-m8l Жыл бұрын
Mmmmmh
@lyelamwandu8793 Жыл бұрын
Wewe mjinga kweli
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Huyu mtikila anapointi sana kuliko Babu duni
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Hicho kibabu duni kishenzi hicho, kinaongea Kama kishoiya, kipuuzi Sana hicho kizee, alafu hawo wote wanaomsikiliza ni mazuzu
@husseinjosephitocho6754 Жыл бұрын
hivi huyu mzee anamwambia hayo maneno nani kwa sababu sijamwerewa mi navyojua anaeongaza jamhuri ya muungano wa tanzania ni mzanzibar kwa hiyo mimi naona huyu babu duni aongeze sauti ili mama asikie vizuri
@deven.oauditx7547 Жыл бұрын
Mimi namwelewa vizuri sana huyu mzee. Kinachotakuwa ni kugawana fito kila mtu asumamie vyake.
@leonadurasa6641 Жыл бұрын
Public. Come nts
@mukhtaribura6159 Жыл бұрын
KWANI ZANZIBAR KUNA NINI
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Mjiulize nyie watanganyika
@omarhababuu3159 Жыл бұрын
Zanziba kuna bahari meli yamakontena haiwezi kufika tanganyika mpaka ipite zanziba au rabda muipitishe boda meli yakontena
@Sheba4651 Жыл бұрын
Muulize Lukuvi.
@RaymondJeremiah-r9e Жыл бұрын
Tunataka tanganyika
@charleschavala434 Жыл бұрын
HUYOO NDIO BAB DUN MOYO WAKE UMEJAA HAYOOOO!!!
@fredrickipembe8188 Жыл бұрын
Hilio halina ubishi zanzibar itakua dubai
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
pointi muhimu tuna taka tanganyika yetu
@MariaStepheno-it5jp Жыл бұрын
Pointi baba kwasasa wasomi wapo ivyo tukubaliane tu
@marcianomatiyas6652 Жыл бұрын
Kwani lazima kuungana na zanIbar
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Ndo nashangaa kwann msituache
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Watanganyika ndio walimtoa mwarabu znz lkn pia watanganyika wameingiankitambo zanzibar kabla SERIKALI kuundwa lkn pia asilimia kubwa zanzibar ni nchi ya wahamiaji kutoka mataifa mengi lkn watanganyika ni wengi zanzibar ndio hao wazanzibar. HIVYO warekebishe lkn hawaruepuki
@farhatfatma12 Жыл бұрын
Hakuna ulazima wowote , tatizo Watanganyika hamudai Tanganyika yenu na kutusababisha wazanzibari kupata Nchi yetu.
@sadickabeita7937 Жыл бұрын
We mtoa post pumbavu sana huna akili UDINI utakupotosha
@amourmtungo623 Жыл бұрын
🤔Suala la bandari limeibua wazuri, waovu, wazuri, wasikivu, wavumilivu, wazalendo na watu wenye itikadi za kikabila na udini. Pande zote za muungano kumejitokeza baadhi ya viongozi mbalimbali wa dini tafauti kutoa kauli zisizopendeza. Katika hili lazima tuepuke udini na ukabila kwa nguvu zote. Heated debate na critical idea au thinking ni muhimu bila ya matusi, kejeli au udini na kabila.
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
hoja nidio hizo kila mtu ana ona ana nyonywa kila mtu akae kwake ili puzi zipatikana kwa sababu watu wana komali mungano ambao haku sawa
@shijaenock7638 Жыл бұрын
Acha uoga ww acha makabila yapambane wanaoshinda ndo wataongoza kama kabila lako ni dogo bas inabd mkae pemben msikilizie milio😊😅😅
@amourmtungo623 Жыл бұрын
@@shijaenock7638 Ukabila haufai mkuu ni mbaya na unaweza kuleta ufalme au mauaji mbaya. Zanzibar itabaki salama kwa hili tusiombe
@nassonsimwanza1437 Жыл бұрын
Watanganyika wanavichwa vizitosana juu ya Utanganyika.
@martinlaurence947 Жыл бұрын
Kwanza bara hatuna shida , hatucheki na kima
@MurunguwetoshaDeheaven Жыл бұрын
Sass ndio unajua mpango wa kuziua bandari za Tanganyika, wanajua wakijitenga kama ulivyo mpango wao, na bandari za Tanganyika zikifanyakazi hawatakuwa na uchumi, so hii ni strategies, Wanajua hamfurukuti waarabu wanaukaribu na znz Na kujenga misikiti mbeya ni kama kuweka base na kuwazunguka, Mkileta za kuleta unaanzishwa ugaidi, wamesha tamalaki nchi nzima Unapigwa Lila mahali na silaha wanapitishia bandarini na Wana Uhuru na Kule znz, Ufahamu huu hatakama ni hisia unaiona Kesho isiyo salama
Zamani historia ilikuwa inaandikwa kwa maneno. Tena ilikuwa inaandikwa na mshindi katika vita, au yule mwenye nguvu; iwe ya kiuchumi au ya kisomi. Karne hii ya 21, historia inarekodiwa kwa video, na inarekodiwa na yeyote, sio mshindi wa vita, wala mwenye uchumi mkubwa peke yake, wala msomi peke yake. Karne zilizopita historia ilisomwa; karne ya 21 historia inasikilizwa na kudadavuliwa na kujadiliwa hadharani. Ndio kinachofanyika hapa.
@oscarkawonga3837 Жыл бұрын
The 3ao
@MuzneOthman-l7i Жыл бұрын
1965 raia mmoja WA uingereza ameandika kitabu kinaitwa East African Ports. Ameeleza kuanzishwa au kuimarusha bandari ya Mombasa, Tanga, Dsm na Mtwara imeua ya Zanzibar na haiwezi abadan kurudi kama ilivyokuwa awali na sababu nyingi zipo ukiachia hiyo. Tukiachilia mtafaruku uliopo katika mkataba wa DP World kuwepo kwao katika bandari ya DSM watoa mizigo muda waliosema bandari ya Zanzibar Iitakwisha habari yake. 90% ya shehena zinazoletwa Zanzibar nii mizigo ya wafanyabiashara wa Tanganyika. NI mjinga tu atakaekubali kushusha mizigo yake Zanzibar..
@MariaOmary-dw4yl Жыл бұрын
Tànganyiaka what do we get from zànzibar let stand with our own feet Forget znz
@w4058 Жыл бұрын
@@MariaOmary-dw4yl Sisi siku nyingi tunataka Zanzibar yetu ni nyie watanganyoka na ukoloni wenu juu yetu sie tunata sasa hivi mtuwachie sio kila uchaguzi mtuletee Watanganyoka wenu kuja kutuulia ndugu zetu na kuwafanyia uchafu mahasidi wakubwa
@w4058 Жыл бұрын
@@MariaOmary-dw4yl you are the one who is benefiting from the umbrella of muungano wewe better off without you guys
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Baguzi hili
@zachariamalley7076 Жыл бұрын
Duniani kote kanuni ya adui kukushinda na akuangusha kukuvuruga ni kutengeneza mianya kwenye umoja wenu wa kifamilia. "Divide and rule" subirini mijadala ya ubinafsi unajenga mianya ya wanaotaka kutuvuruga na kuwa na sera tofauti na mitizamo tofauti katika kaya, ndo ndoa za watu wanavyoivunja wenye ngere, na kutamani rasilimali zako, mke wako, watoto wako wadhalilike. Subiri tutaona matokeo, mtoto akililia wembe mpe ndo inakuja miaka c mingi.
@mussamsanu1544 Жыл бұрын
Wanzazibar kikataeni hicho chama chenye chuki na uislamu. Kiwe huku huku bara ambako makafiri wanadai ni nchi yao.
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Unaita watu makafili uisilam ni dini ya waabudu shetani
@Sheba4651 Жыл бұрын
@@MACHOYATAI-jk6fuShetani 😈 yupi?
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
@@Sheba4651 huyomnaemuabudu kwani waisilamu mnamwabudu MUNGU kila siku kuuwa watu nakuwasomea alubadili nyie ni watoto wa shetani
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
HAKUNA CHA BANDARI WALA CHA GATI! KUNA FITNA IMEJIFICHA NYUMA YA HILO.....NDIYO SABABU LIMEINGIA MAKANIISANI KUWA WIMBO WA PAMBIO NA IBADA...!! TUSIPOLIANGALIA HILO,,,,,TUSUBIIRI BOSNIA ...NYINGINE!!
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Usipindishe hoja suala hapa liko wazi, Bandari imeamsha fikra zilizolala na zubaifu. Sasa wananchi hawajadili tena tulipoangukia bali wanafukunyua túlipojikwaa. Tumejikwaa kwenye kidudumtu Katiba mbovu inayokingia kifua muungano usiyozingatia uhalisia wa Uhuru, haki na sawa. Tupiganie Katiba mpya itakayozipa Tanganyika na Zanzibar Uhuru kamili, haki na usawa katika kujiamulia hatima yao kwa kuzingatia mila, desturi, utamaduni na historia yao. Haya ya Bosnia tusiyape nafasi!
@simonnjovu586 Жыл бұрын
Huangalii hoja bali udini. Inasikitisha sana Hamza.
@w4058 Жыл бұрын
@@simonnjovu586Udini mnao nyie na ukabila nyazi lenu la Nyerere ndio alipotufikisha kukubali kutumuliwa na wamagharibi kutuletea Watanganyika kuja kutuuwa kwa mapana tokea 64 mko mnatuuwa mpaka leo