Ningekuwa karibu na wewe ungepata kofi kwa uchungu niliyo nao kwa familia ya marco😢😢shindwe katika jina la yesu . Mungu pumuzisha marco kwa amani ,, vinginevyo ni wewe unajua 😢😢😢
@EalvineWalingozifoundation2 ай бұрын
Msikilize Hadi mwisho usikurupuke mpigie wakati kawazungumza vzr sana. Pole!!😏
@EalvineWalingozifoundation2 ай бұрын
Mie nawashangaa hiyo familia walikuja wameshaingia kenya ETI MKAMRUDISHA BUGANDO!!!! Jamani wenzetu kenya Wana huduma nzuri na kubwa za Hospital. Wangempigia simu Rais Ruto angetoa maelekezo maana hiyo kwaya huku kenya tunaita ya Rais Ruto. Kenya huduma za tundu za moyo ni vitu vya kawaida. WAGONJWA NA MAWAZIRI WANALETA FAMILIA ZAO KENYA WANA TOKA WEST AFRICA KUJA KUTIBIWA. Mie haningii akilini ETI walimrudisha BUGANDO Toka kenya and then dar wamemuua ndugu Yao kwa uzembe
@lucymnjoroge82422 ай бұрын
Pole sana kwa kuto msikiza hadi mwisho
@HappynessKadidi-sk5ku2 ай бұрын
Nenda kwenye point alafu hakunaga maombi kwa walio kufa
@SokinaChapia2 ай бұрын
Bwana akubariki sana brother kwa kumtambia yesu kristo🙏🙏
@heavenishome20Ай бұрын
God bless you man ✋. Never look or go back again. Bring other youths who have sold hearts or are bound in darkness out there to the light of Jesus Christ 🙏
@gjlisa2 ай бұрын
Kiblilia hakuna maombi au maombezi ya mtu fulani yatamwezesha mtu aliyekufa kupokelewa mbinguni. Mtu akiishakufa kazi yake imekwisha. Tuliobaki tunamtukuza Mungu kwa maisha marehemu aliyoishi kwa kumfanyia ibada.
@sarafinamakundi63072 ай бұрын
Ndio hakuna sala juu ya wafu, mahali pengine anasema msitafakari juu ya walio lala kitu kama hicho
@odilomwemeziernest6462 ай бұрын
Na sijui wanaoombea marehemu sala ya kulazwa pema peponi wanapata wapi hayo maandiko.how comes
@lucymnjoroge82422 ай бұрын
Ohh God wajulishe ukirundi walio lala wakiwa ndani mwako watafufuka na kukulaki
@JoyceElias-pl8sb2 ай бұрын
Baada ya kifo ni hukumu.Tunaomjua Mungu wafu hawaombewi tena.Ikiwa alimwamini Yesu enzi za 9:13 uhai wake haitaji tena maombi yetu.
@PrisPeter-f2g2 ай бұрын
Wengi hamjamwelewa,,si kila kifo kimepangwa na Mungu ,huenda kalogwa na hajafa yupo pahali anatumikishwa ,na akiombewa aweza kurudi ama MUNGU aiokoe roho yake nq kuzim na watesi wake
@SabinaMakanga2 ай бұрын
Mungu atusaidie ni Mungu tu hajuai ukweli uliyofichika kwenye moyo wa mtu (Mungu ndo aonae vilivyojificha moyoni)
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA2 ай бұрын
Nikweli
@MacdonaldOtieno-h8j2 ай бұрын
Mungu ndiye hutupa natena wakti ukifika hunyakua kilicho chake...mungu ailaze roho yake Marco Joseph zabron singers-yesuvni mahla pema peponi
@SaidJuma-ww6vd2 ай бұрын
Mungu nifumdishe kunyamaza ili nisije kumtukana huyu kijana
@BeatriceMunuo-ti7pv2 ай бұрын
😂
@boazygodfrey9371Ай бұрын
😂😂
@janekaramta9557Ай бұрын
Usimtukane shukuru mungu coz amejitokeza natumejua ukweli
@TunsumeMchewere2 ай бұрын
Mungu akulambe tena shindwa kabisa kwa jina la Yesu Kristo
@IbrahimElly-p5c2 ай бұрын
We shukuru tuu ukzariwa Idiamin akiwa alisha kufa maaan ww angekupika ukiwa hai maan waya moja ilisha katika.
@SilviaDirecto.2 ай бұрын
wwvn mjinga sana nawaste bundles zangu kuwatch nafikilia unaongea kitu ya maana kumbe n usheet
@zakayoomary23332 ай бұрын
Moyo wako na ukae kimya.....Mungu akupe hekima upate kuijua kwel yake kwa maana bado u gizani, Tafakari neno la Mungu ili usilitaje jina la Bwana Mungu wako tena katika upotofu wa mawazo yako ....Neema ya Bwana iwe pamoja nawe...
@MatildaEvaristo2 ай бұрын
Ndg wanauchungu kuondokewa na mpendwa ww unajifurahisha
@atulindakanuma41442 ай бұрын
Mungu akurehemu ,soma neno kwanza upate chakusema kwa watu wa Mungu
@ShabaniBakari-p4r2 ай бұрын
Huo ushuhuda wenu mnautowaga watu wakishakufa wakiwa bado hai hayo mautabiri yenu hatuyasikiagi hata kidogo.
@Happiness-p5n2 ай бұрын
Auna mamlaka katika jina la yesu peleka ndugu zako 😊
@ndavadumayai42502 ай бұрын
Shindwa kwa jina la Yesu
@gloryleonard15632 ай бұрын
Shindwa kwa jina la Yesu Kristo , Mungu anakuona.
@ledeajoasu31192 ай бұрын
Shindwa mfululizo kwa jina la yesu christo kaa kimya
@LoipllOnhye.Mama.Claudi2 ай бұрын
Ningekuwa na uwezo ningekulefit humu KZbin 😢😢😢😢Shindwa ktk Jina la Yesu kiritho 😢😢😢😢😢😢😢
@BillMesso2 ай бұрын
😂😂😂
@susansukiri67632 ай бұрын
Yaani Bora wewe Mimi ningelinyonga
@akutiboysolomon94182 ай бұрын
Wa Tz huwa wanacoment kichwa cha habari ,HAWASIKILIZI MPAKA MWISHO Hakuna alikosema kuwa Marco alikuwa freemason bali amesisitiza kuwa alikuwa mtumishi wa Bwana kweli kweli DUH,watu ni wavivu kusikiliza MPAKA MWISHO
@Happiness-p5n2 ай бұрын
Ushindwe katika jina la yesu nenda ukafe nabrusifa wako😊
@ayelaeverlyn63732 ай бұрын
Huyu inafaa apigwe na mawe huwa anajitokeza sa zile watu wanalia ashindwe katika jina la yesu Alikuwa wapi kusema kabla watu wafe
@zawadiSangalali2 ай бұрын
Wewe kaka acha uongo huna unabii wowote wa kujuaa n yupi uko upand wa mungu au wa shetan ila mungu pekee ndio anaejuaa wewe kama unatafta mashabiki tafta kwingine so kwa matukio yakitokeaaa Ndo ujueee kuongeaaa so kama Marco amepumzikaaa upande wa kirstoo yeye Ndo anajuaaaaa na hatuombeag mtu aliyekufaa kwa iman yetu acha kupotosha watu walk mweny maombolezooo makaliiii mda huu
@MamaabdulAbdul-f4j2 ай бұрын
Mungu akusamehe hujui utendalo sura yako nionyesha unapepo unahitaji maombi
@enesiasungu7872Ай бұрын
Huyu mtoto akili ilishafyatuka,,,, hamna kitu kichwani,,asiwapuuze,,,Mungu akusimamie kijana wewe maana unapata tabu katika maisha yako,,,
@EveALEX-tx2ix2 ай бұрын
For Imani Whch Falaa Wew...Acha Kuvunjia Watu Heshima Wew Aujitambuii Ndmna Hata Sis Hatukutambuii Na Uongo Wako ..Umeulizwa Alikua Anasumbuliwa Na Nn Au Unafkii Tu Kufata Yako Aaanh😢😢🥲Ya Watu Tu Hamna Hat Chamaan Unchosema Watu Wengn Mnatfta Kiki Tu Washnz Nyie
@Mteule2022-cs2ys2 ай бұрын
acheni kudanganya watu na kuvamia wito wa kichungaji Mungu mkuu wa mbinguni na awakemee kwa jina la Yesu. Mtu akifa amekufa sharti utengeneze na Mungu ukiwa hai
@meshack3664Ай бұрын
we kijana,,walio kufa hawajui neno lolote,,wanaombewa walio hai,,na hakuna mtu anaweza kunyakua watu walio kufa,,isipo kuwa ni uweza uliye na MUNGU peke yake,
@uniquefactsmediaufm67352 ай бұрын
Jamani.tusome maandiko habari za wafu Mhubiri 9:5-6 [5]kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. For the living know that they shall die: but the dead know not any thing, neither have they any more a reward; for the memory of them is forgotten. [6]Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua. Also their love, and their hatred, and their envy, is now perished; neither have they any more a portion for ever in any thing that is done under the sun.
@esthernzula9202Ай бұрын
Ata sasa hivi uko kwa tusifa shetani mkubwa achana na watumishi wa mungu tukona uchungu kuachwa na mmoja wa zabron
@adellaakupenguvumtumishika92172 ай бұрын
Muogope mungu shidwe katika jina la yesu
@eunitakesio2 ай бұрын
Huyu ni watchdog wa Tanzania mjue kila soko haikosi wazimu wake
@sarahalmubarak9798Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NeymantBoy2 ай бұрын
wew achana na hiyo kazi mungu ninae muabudu atakuwajibisha tafta kazi zingine hizo achan nazo mungu atakuwajibisha na mungu akusameh maana hulijui ulitendalo😢😮😮😅😅😊
@IbrahimElly-p5c2 ай бұрын
Njaaa mbya saaana jaman mbka freemason wanamachaw😂😂 sema nn huyo njaa itamua watumish wa Mungu hawap hvo jman mchngien huyu kijan apate hera za kujikimu aache kuchafua watu.
@ezekielbkuyeko52412 ай бұрын
Daaaah nimejiona jinga la mwisho kweli leo yaani kukaa kusikiliza mwanzo mwisho ili nipate point duh(nonsense), pole sana kijana mwenzangu toka huko bado pana ka giza wajanja wote tuko kwa YESU
@EdWizzy-t3c14 күн бұрын
Hivi wew kaka unajielewa unajua wanaomtumikia mung wew tumekuchoka mwanaume ovyoooooo unawatu gan wewe mwenyew tapela
@odemarypeter49352 ай бұрын
Imani ya Wokovu katika Yesu (Biblià) hairuhusu kuombea wafu.......bando yangu imeliwa bure..sijapeñda
@NaomiStephano-ek3xp2 ай бұрын
poleni sana jamani inauma sana kazi ya mungu haina makosa marko yuko mbinguni
@Rich-woАй бұрын
😅😅
@PurityMeimutie2 ай бұрын
Ushindwe Kwa jina la yesu
@SekelaJoel2 ай бұрын
Ushindwe katika jina la yesu uweke sawaa ww nimungu mbona unaongea mamb yasiyo faaa watu wanaumiaa wewe unaongeaa mamb kama hayo weee kaka ushindwe kabisaaaa
@SusieCruz-o6i2 ай бұрын
Unafaa utaje YESU sababu mungu ni wengi wanaabudiwa hii ulimwengu
@HappySuleiman-u7t2 ай бұрын
Yan ww koma Tena koma Sana mjinga ww kilaanaefalk tu unamudakia ala 😢malco apmzke kwaaman Sana we kijana komasana unajifanya unampendamungu wakat upokwajl yakuuatu watu kilask unatwambia kilimason kilimason haituhusu jal yako Kwan lazma utwambie tapel mkubwa tu
@josephrutta-v5g2 ай бұрын
Umekwama ndg Yang toba ya kweli ni ukiwa hai so mtu akishakufa kama hakutengeneza jua hakuna neema ya msamaha tena ktk kifo unahitaji kujifunza neno zaidi kupata ufahamu.
@MeresianaKadushi2 ай бұрын
Hivi wewe kaka unajielewa sisi site tu mavumbi na mavumbini tutarudi.😢😢 Usitafute kiki kupitia kifo Cha Marco Joseph wewe muogope Mungu
@AgnessKikaja2 ай бұрын
Amina mungu atukuzwe amina
@Gachly2 ай бұрын
So sad 😢 and my condolences to Zebron Singers and family of late and pray God to give them all comfort and strength during this time of mourning. God rest his soul in eternal glory and peace 🙏🏼😭!
@Rich-woАй бұрын
Mtumikie Muumba wa kweli ambaye ni Chanzo Cha mema na mazuri pekee
@salomemutai6472Ай бұрын
Wah hapa hakuna ukweli....Weaja Mungu ahukumu
@erizabethchanga6362 ай бұрын
Hivi wew unatafta nn sikupendii wew hujui tuu unatafta kiki na watuu tuu ungekuwa na imani ungejiunga huko yaani hata huogopi😢😢😢
@leoniaathuman10382 ай бұрын
Mtumishi hakuna ibada ya wafu katka maandiko, Hivyo swala la kumuombea toba marehemu halipo, Kitu muhimu ni sisi tulio hai kujikabidhi kwa Mungu kwa kutubu ili hata tukilala tulale upande wa Mungu Kitu muhimu kwa sasa ni kuomba Mungu awatie nguvu familia kipind hiki kigumu wanachopitia
@elianacastorymgoba45332 ай бұрын
Duh!! Nimemaliza MB zangu kusikiliza ujinga huu dadekiii
@clemencyusuf26622 ай бұрын
Daah Jamaa Muongo Huyu Kama ulikuwa Mason Tutaamini vipi au umekuja kutafuta umalufu kwa Kutumia Umason🙏🤤🤤
@jamesherbalclinic76652 ай бұрын
Mtumishi utamuombeaje mtu toba wakati Mungu amekuambia kila mmoja ataubeba msalaba wake mwenyewe? Hebu msipotoshe watu jamani. Habari ya toba Ni ya mtu mwenyewe peke yake.
@clemencyusuf26622 ай бұрын
Ndo hapo
@7675kio2 ай бұрын
Habari ya toba ni mtu akiwa hai
@clemencyusuf26622 ай бұрын
Wengineo ni kutafuta tu umaruufu mitandaoni huyu siye
@irenemwangi79922 ай бұрын
Pastor Ian Ndlove from zimbabwe prophesied about this death.😢😢😢😢
@WerelockedingangАй бұрын
Leta video😅
@JaneNdungu-r4f2 ай бұрын
once one dies ,thats the end of u.No prayers can change ur destiny.Tomba ni hapa duniani kwa huu mwili
@Dama254-542 ай бұрын
Sure
@SadockChessa2 ай бұрын
Ndugu kumbuka mtu hutengeneza njia mwenyewe elewa hakuna mtu yeyote anaweza kumwoombea mfu atoke katika njia aliyoochagua
@ElizabethNafasiАй бұрын
Wewe ujuwe mwongo sana unakumbuka nilikupigia simu naitaji frimasoni ukaniambia unaitaji ela ya soda wewe mwogope mungu😮
@Teaching3562 ай бұрын
Namwamini Mungu tu siwezi amini haya mapepo hata muongeeje marcus kaishapokelewa na Mungu manyoko zenu
@KosgeiOnesmus2 ай бұрын
My The lord Almighty God comfort the bereaved family, The entire fraternity of Republic of Tanzania 🇹🇿 at this moment of difficulties, My the soul of Marco Joseph R.I.E P, . Which that we love the shall never be forgotten but becomes apart of us, your memories shall remains a fresh in our mind, rest easy bro , fellow brethrens from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪,
@dorcasikala63982 ай бұрын
Soma bibilia yako vizuri! Ukiwa hai tengeneza maisha yako na Mungu, hakuna kutengeneza na baada ya kifo, wala sio ibada ya masishi itakayo badilisha hali Githeri media 😢
@ChristineAraka2 ай бұрын
weeee , mbona mtu akifa maneno n mengi mengn ata n uongo Gd comfort zablon singers🙏🙏
@danielnyabukika5009Ай бұрын
Wewe hauna tofauti na gari abnormal inatakiwa usindikizwe kwa njia ya Mafundisho,
@AgnesLuwole2 ай бұрын
Mungu ni kitu mh babu huyu mungu ni wako siye Mungu wetu si kitu
@DianaAwino-p9g2 ай бұрын
Nngekua karbu ngekpiga kofi ungejua hujui lakni mungu ndiye ajuaye na amlaze roho yake mahali pema peponi😢😢😢😢😢😢😢
@elicanaambweni8666Ай бұрын
Mmmmm ninapata wasieasi na Imani Yako
@HalimaPaskal2 ай бұрын
Kwa jina la yesu ushindwe ewe shetan mungu akusaidie uokoke
@EstherMlaiАй бұрын
Kwenda zako mjaaa laana ww kwan ww ni mungu hebu muache mwenda zake apumzike kwa amani
@JumaSatarajr2 ай бұрын
Jamani mumuache marco Apumuzike kwa Amani maana kiramumoja Anaongeya ya kwake hivimunajuwa uchungu wamusiba munajuwa nimaumivugani wariyonayo wanafamiliya
@neemamwocha21132 ай бұрын
Pumbavu. Mwachem mteule wa Mungu apumzike kwa amani..mbona hukusema mapema kabla..
@FatumaOmary-ek4ux2 ай бұрын
Jmn mimi ni muislam ilapoleni sana sana nduguzetu ila huyu kija hatamimi huwasipendi kiukweli mutanisamehe km nimewakera ndugu mungu amuweke mahalipema amin
@Teaching3562 ай бұрын
Yupi humpendi ? Aliye kufa au huyu mwongeaji???
@EmmanuelGelard2 ай бұрын
We kijana unatumwa ujue huyo alie kufa ni mmoja wetu wa kiroho Soma Bible ukute umetumwa soma kjv Yuda1: 10
@PricaKaringa2 ай бұрын
Kashakufa hata nikiomba hawezi kuhamishwa pale alipo kwa sababu mungu ndo anahusika kama yupo peponi au kuzimu
@lambertkasomo55202 ай бұрын
Pole sana kama uta wa hasa watu wamuombee mtu ambaye kafa tayari ili Mungu amulaze mahali pema pepoji! Hivi wewe Kama wewe unaweza kunipa andiko katika maandiko matakatifu lisemalo tufanye sala kwa ajili ya wafu? Ao sikuelewi, wenda unamaanisha kitu kingine? Naomba tafadhali unieleweshe vizuri.
@AviraEvaristАй бұрын
Pole sana tulimpenda lakini MUNGu kampenda zaidi yetu
@norahfrank2 ай бұрын
Huyu kazi ni kuwaumbua watumishi wa Mungu. Mf.Pastor Ezekiel
@ChikuShamsheli2 ай бұрын
Acha kudanganya watu wewe aombewe mtu amekwisha kumaliza kazi yake, hiyo ibada ya wafu kweli wewe unawadanganya watu eti waombe apumzike pema peponi Acha kama mtu akuwa hair hakutengeneza Marshall yake basi hakuna maombi maana ukurasa wa Maisha yake umeisha kufungwa wewe Acha, jifunze neno la Mungi vizuri usitumie neno la Mungu kupotosha watu. Mimi natumaini mrumishi kama alikuwa amesimama vizuri ktk huduma aliopewa na Mungu yuko sehemu salama kabisa, ila sisi tuliobaki tutengeneze njia zetu, tuwe tayari wakati unaofaa na wakati unaofaa kwani kufa ktk Kristo Yesu ni saida kuishi ni Kristo
@mamanbella54602 ай бұрын
Kutukana sio vizuri wewe sikiliza tu anaejua ukweli ni mungu pekeyake kifo cha moto kuuma gafla tumesha shuhudia wengi kifo kinakuwa kinatokana nanini Linda imaniyako maana ndo unaijua wewe mwenyewe mengineyo mwachiyeni mungu.
@DoreenNyange2 ай бұрын
Ushindwe kwa jina la Yesu
@julianomwoyo2 ай бұрын
KAMA MTU HAWEZI ANDAA NJIA ZAKE AKIWA HAI,BASI AKIFA HAKUNA MAOMBI YATAKAYO MTOA JEHANAMU KUELEKEA MBINGUNI...SOMA MUHUBIRI 11:3
@FaridaGerald-z4g2 ай бұрын
Na ww tumekuchoka watu tusife ety Freemason tumekuchoka jamani
@gjlisa2 ай бұрын
Ni wale tu waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza, hiyo ni na Mtumishi Bwana aliyelala.
@WinnieMwaurah-y8k2 ай бұрын
Kijana u mzuri sana,,,ila tafuta mafundisho ya kiungu hamna Toba baada ya kifo,,,,maana bi lia ya sema heri wafu wafao katika bwana wapate kupumzika baada ya taabu zao
@HappySuleiman-u7t2 ай бұрын
Yan unaniuz Sana naskupendi skupendi skupendi Sana unasingizia watu nikilimason nnahasla hapa Yan bolatu upo mbal ningekuua hata kukuua mujinga wewe fala mkubwa
@ZainabuMagari-e1i2 ай бұрын
Shindwa kwa jina la yesu
@WilfredChomo2 ай бұрын
Be staight young man
@asteriashios18522 ай бұрын
Napitia comment tuu nimemwelewa si amesema tumwombee marehemu mwombaji tuu ni kweli tumeumia bc tumwombee apumnzike Kwa amani aminaa
@odilomwemeziernest6462 ай бұрын
Pema peponi mtu anajiandalia mwenyewe,ila ukitegemea ufe ndo wachungaji wakuombee uingie poponi umechelewa.pole.kama aliishi maisha ya kumcha Mungu yuko mbinguni kwa BABA la sivo hakuna mnachoweza kudanganya
@emmiemmi38612 ай бұрын
😂😂 tatizo watu hatusikilizi kwanza komenti sasa
@odilomwemeziernest6462 ай бұрын
@@emmiemmi3861 mimi nimesikiliza vizuri mpaka mwisho na nimemuelewa vizuri sana.ila ndoo ukweli kwamba hakuna maombi yanayoweza kumuingiza mtu peponi baada ya kufa
Mbona vitu vyenyewe Anasoma kwenye karatasi Tahira huyu! SHERIA ITAFATA MKONDO WAKE.. JIFANYE UNAJUA MAISHA YA MAREHEM KULIKO MKE WAKE.... MSHENZI KABISA😢
@preshy2542 ай бұрын
S uende direct to the point wew mseee🫴🫴🫴 watu wanahuzuni wew na mashetwani yako unaleta story za freemason apa😢😢 SHINDWA NA ULEGEE 😡😡😡
@alicegitau2776Ай бұрын
Ni vizuri kuombea walio hai,once we close over,it's done.Lets hope he made his way good with the Lord Jesus.
@AdelaKivelege-o4r2 ай бұрын
Sasa hapo umeongea nini? Unazidi kutuumiza tu. Aliyekufa huombewa? Halafu inakuwa nini? Soma Neno la Mungu kijana uelewe ndipo uongee mtandaoni.
@anastaciamusembi12282 ай бұрын
Wacha kuwaongelelea watu wa Mungu jiombee kwanza uisikie sauti ya Mungu wewe mwenyewe.
@ELIZABETHAkley2 ай бұрын
Tafuta kazi ya kufanya acha kutafuta Kiki kwa watu waliobarikiwa na Mungu pole yako mtumishi wa Mungu gani umechoka hivyo huna hata point
@ElizabethSadick-g2o2 ай бұрын
We mbuzi ungekuwa kalibu ningekukaanga mshez wewe!; ushindwe kwa jina la yesu
@ScoviaAnyango-c8c2 ай бұрын
Wewe nimuenda wazimu kweli eeeeeee tena Marco naye wacha watu wa mungu ww
@esterwambura2 ай бұрын
Sasa umeongea nini cha point hapo mm sijakuelewa umemaanisha nini
@aselaoscar9353Ай бұрын
Kwan marehemu anaombewa toba? Umechemka ndugu
@AnnaNgobola-pm7fz2 ай бұрын
Kumbuka neno la muñgu liñasema baada ya kifoni hukumu halafu wewe unasema mungu amlaze mahali pema peponi hatumfundishi mumgu mahali pakuwalaza watu hiyo nikazi yake mweñyewe
@SadockChessa2 ай бұрын
Amina Joyce kwa ujmbe wako watu hawataki kuakoka watumainia maombi ya wachungaji