MSIBA MWENGINE USA - PRÉSIDENT EMO YA M'MBONDO USA ATOA TAMKO NZITO KUHUSIANA NA HALI YA USA YA SASA

  Рет қаралды 7,885

Alexander TV Online

Alexander TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@upendokiza6061
@upendokiza6061 2 ай бұрын
Asante sana Alexander Tv kwa kutuletea Habari zenye uwakika na ukweli zaidi kwenye Jami yetu kwa jumla. MUNGU akubariki mtangazaji wa Alexander Tv Canada.
@gerrardabwe
@gerrardabwe 2 ай бұрын
Asante san Alexander kwa maswali uliyo uliza kwa kiongozi kuhusu hali mbaya inayo hendelea marekani , Ukweli uliopo ni kwamba Umoja wa wabondo( wabembe ) au Upendo unazidi kupungua kwa kasi kubwa sana nikutokana na vifo kua vingi Nchini Marekani kwakua vifo hivyo vinapelekea watu kuanza kuogopana wao kwa wao nakupoteza Uaminifu kwa wengine iyo ni sababu ya umoja kupungua na itapelekea watu wengi kuacha kujitokeza Kwenye misiba na Kwenye makundi mengin ya wabondo😭 kwakua na wasi wasi inayo tokana na vifo kuzidi hilo walielewe wazee na vijana kwa ujumla na siyo rahisi kurudisha umoja uliyo kuwepo kwa wabondo hapo zamani Nchini marekani iyo ni pole tena pole kubwa 😭 wabondo(wabembe)
@lamentalitedabord
@lamentalitedabord 2 ай бұрын
Interview nzuri sana, courage ndugu Alexandre Tv
@amisalumona1060
@amisalumona1060 2 ай бұрын
Nashukuru sana kwa maojiona ya Lugha yetu ya kibembe 🙏👍sababu siri zetu zibaki zetu.
@kenasumani4059
@kenasumani4059 2 ай бұрын
Respect Alexander Tv online 🙏🙏🙏
@JayloAjay-rr5ki
@JayloAjay-rr5ki 2 ай бұрын
Barikiweni kamati ya Alexander TV Online, much love
@CharlesMs25Daghaly
@CharlesMs25Daghaly 2 ай бұрын
Mnatakiwa kuwa na kiongoz mmo1 wa umo1 wa wabondo Nchini Marekani mnakiwa na kiongozi mmo1 matatizo yte yataisha bila shaka❤❤❤❤
@FrancoisRamazani-nx2se
@FrancoisRamazani-nx2se 2 ай бұрын
Good job 🎉🎉🎉
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 2 ай бұрын
Wanapana na wanapewa sumu za za kukawia mwilini. Kwa nini wana sahau kama wabembe wanatafutwa na mahadui wengi? Kumbukeni kama kuko mtu aliye kwenda Kigoma kuchukua sumu ya kuwahuwa wabembe? Hamukumbuki hivyo? Aliletaka sumu ya wiki, siku, mwezi mmoja na mpaka 6 na kuendelea mpaka mwaka? Na wengine wanalipwa Pesa na wanyarwanda ili wahue wabembe? Kwa nini mnasahau?
@Victorina-wi1dl5py3s
@Victorina-wi1dl5py3s 2 ай бұрын
Wambinguni akutunze sana kiongozi wetu Nauhakika apo mbele wabembe lazima tutapewa 🎉yetu Mungu awatangulie kwa mawazo ayo yenye kujenga
@MsafirAbedibinbatalela
@MsafirAbedibinbatalela 2 ай бұрын
Good
@itongwaijl
@itongwaijl 2 ай бұрын
😂😂😂😂 😂😂 Adele Wewe ajuwiki kitu
@KapiMedros
@KapiMedros 2 ай бұрын
Mungu wangu 😭😭😭😭
@LUBUNGAJr
@LUBUNGAJr 2 ай бұрын
Kiongozi mkuu wa Emmus kama mzee wa Ebondo mdomoni mwake mnatoka lugha karibuni 4 sasa mtafundisha new generations lugha ipi?
@MrBabutale
@MrBabutale 2 ай бұрын
Fact
@RdCongoforlife
@RdCongoforlife 2 ай бұрын
Lúmbaka lwa é úbe wasalanga m’mesonga ?
@OmariEtetembaWilondja
@OmariEtetembaWilondja 2 ай бұрын
Ni ngumu sana kuzungumza maswala ya maendeleo bila kutumia terms/ lugha ya français na anglais.
@andremchinda3973
@andremchinda3973 2 ай бұрын
Aaah, Vijana! Napenda saana Vijana. Ila sipendi Vitendo vya Vijana. I love you guys. Kuchanga Lugha nawaza ilikuwa ni bora ili kusaidiya wengine ambao hawasikii saaana Kibembe. At least kila mtu wa tendance mbalimbali ahelewe.
@Mrsflower-g2n
@Mrsflower-g2n 2 ай бұрын
US 🇺🇸 imekuwa too mungu ivi na shindwa kuelewa wabembe tunaelekea wap 😭😭😭😭
@DashaPlanB
@DashaPlanB 2 ай бұрын
Niatr kwel na vifo😢😢
@itongwaijl
@itongwaijl 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Nikwabiye kitu Adele
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo 2 ай бұрын
MZee upo sahii 🤝 by the way misiba mingi inaletwa na ujana ,. Lakini pia kama watu wange gawanyika kuliko kuishi kwa mazoeya at sisi watu wa village fulani state yetu inakuga state fulani apo ndo mwanzo wa matatizo😢 au sisi watu wakanisa fulani hatuwezi kushirikiana na kanisa fulani 😭😢 ukienda kwa waroman hishi kama wao ,. Ila wabondo wanaishi kwa kukariri maisha ,. No development 😢
@swahili.community.internationa
@swahili.community.internationa 2 ай бұрын
Wa bembe lazime makubwa yawakute mko wajuwaji sijuwi kama io lugayenu kama mnaionaga niyamana sana kinacho wauwa ujuwaji wenu na kujitia sana 😮😮😮😮
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Jambo mbona muna tuchanganya njamani upendo nawapenda sana ila mujuwe kama siyo wambea tuu wenye kufariki tungeli ungana sote waa frica wote I ila ninyi mnaongea luga yenyu tu mnana nakuwa kama muna fanya politics kama muna funguwa utube sio wa bembe tuu Wana ama kuwa sikiliza please muongey luga ya watu wote ni Swahili please Mimi nilifurahia hiyo group ila mna tuchanganya asante ❤❤ 🥰
@GloriaSindjala
@GloriaSindjala 2 ай бұрын
😭😭😭😭
@Tg_tiger-i4j
@Tg_tiger-i4j 2 ай бұрын
Mi homo😢😢
@Mseyg8
@Mseyg8 2 ай бұрын
President kweli unajuwa kabisa hapo tulijuwa kuchanguwa ila sisi tunatakiwa tujifunze kuusu siasa na tuache ujinga wa kuuwana sisi kwa sisi 😂😂😂😂
@sergebaleke695
@sergebaleke695 2 ай бұрын
Ongea luga yenye kila mutu ata elewa achana na kibembe njo mana nyinyi wa bembe ni walozi
@JumaRichard-nc8ok
@JumaRichard-nc8ok 2 ай бұрын
Anasema yeye ndie kiongozi wa wabembe wabondo umulize anamyaka ngapi na amefanya nini 1 ofisi ya wa bodo ikon wapi
@christiansimbi
@christiansimbi 2 ай бұрын
President Mwakole manga.
@nsengiyumvajano8359
@nsengiyumvajano8359 2 ай бұрын
Tatizo luga
@sergebaleke695
@sergebaleke695 2 ай бұрын
Mujenge kwanza kwanza kwenu Baraka tuone, bulozi tu njo kazi yenu mutoke apo wasenge imbwa nyiye
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Jambo 36:31
@OnorinaPapa
@OnorinaPapa 2 ай бұрын
Mim Nilikua naomba alexander amtafute kwanza Yule kaka alie imba bongwa ibotonga botonga bwaba bembe amuoji kwanza mana nikama alitabiri aya yanayo tokea leo
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Kwani jampendi tuingiye
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Jambo bazima uko kwani hiyo ni politics
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Jambo
@robertmakuukabwali9488
@robertmakuukabwali9488 2 ай бұрын
MTOTO ALEWAVYO NDIVYO AKUWAVYO,IKIWA WEWE KAMA BABA WA JAMII UNAONGEA KIFARANSA NA KISWAHILI ,WATOTO WATAKUAJE? YOTE YAWEZEKANA, UONGOZI UKIKAA PAMOJA KWA UMOJA.
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 2 ай бұрын
Jambo mbona muna tuchanganya njamani upendo nawapenda sana ila mujuwe kama siyo wambea tuu wenye kufariki tungeli ungana sote waa frica wote I ila ninyi mnaongea luga yenyu tu mnana nakuwa kama muna fanya politics kama muna funguwa utube sio wa bembe tuu Wana ama kuwa sikiliza please muongey luga ya watu wote ni Swahili please Mimi nilifurahia hiyo group ila mna tuchanganya asante ❤❤ 🥰
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,4 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 202 М.
UKWELI NDO HUU SASA - SABABU ZA XUUH KUJIONDOA BANAPONGA FOLLOW BUGATTI ...
15:19