MSIBA WA ULOMI WAZAA MASWALI| ALIKUWA AFISA WA POLISI

  Рет қаралды 33,805

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Mwili wa marehemu Daisle Ulomi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha Disemba 11,2024 na baadae mwili wake kupatikana Disemba 16,2024 Hospitali ya Mwananyamala ukiwa umepata ajali, unatarajiwa kupumzishwa Disemba 20,2024 mkoani Kilimanjaro.
Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 40
@furahamwikombo-p7g
@furahamwikombo-p7g Ай бұрын
Poleni sana...Mbona hata siku za kwanza kupotea kwake,,,Askali hawajasema kubwa alikuwa mwenzao..Wanasema mfanya Biashara..
@suzanalupaga3912
@suzanalupaga3912 Ай бұрын
Olomi family pole sana, from Ifakara
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e Ай бұрын
Poleni😢😢😢 sana
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Ай бұрын
Jamaniii kumbe ni wakwetu Sanya juuu daaaaah
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Ай бұрын
Ndo uhudhurue mazishi basi
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t Ай бұрын
Mpaka sasa ata sielew ajalii ajalii sio kweliii ?? Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia all in all tumwachie Mungu kwan yeye ndo mwenza wa kila kitu polen sana kwa familia
@TedySway-vp1fv
@TedySway-vp1fv Ай бұрын
Poleni sana
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 Ай бұрын
Familia ya Ulomi Poleni sana
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Ай бұрын
Uyo DC hawaaachi Yani familia anawazonga hatariiii
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Ай бұрын
Poleni kwa familia lakini mbn kila kitu ni maficho😢😢
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Ай бұрын
Duh hakuna maelezo yaliyo nyooka kuhusu huu msiba kila wanacho ulizwa wanajibu kivingine Mungu tupe mwisho mwema😢
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Ай бұрын
Hao waandishi wennyewe wamepigwa marufuku hakuna kureport chochote ndy maana unaona hakuna ht picha mitandaoni za kuhusu msiba
@vibetz9991
@vibetz9991 Ай бұрын
Ajali ya kutengeneza
@mteulemnyama7858
@mteulemnyama7858 Ай бұрын
Uliitengeneza wew
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Ай бұрын
Alikuwa Askari Polisi mpaka mwanzoni mwa mwaka 2024!
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Mi tangu anafariki niliona ni mauzauza tu ajali haieleweki ,Mara alikuwa askari akaacha hata havieleweki
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 Ай бұрын
Ninyi ndio wenye mawazo mgando hata ndugu wanavyo eleza hamtaki kusadiki polisi hamuwaamini 😂😂
@George-jz3jg
@George-jz3jg Ай бұрын
Huyu Dc na huyu kakake marehemu wote ni tatizo la chanzo cha msiba huu
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 Ай бұрын
Tuliosoma Cuba tumemmuelewa kaka mkubwa wa ulomi eti DC ndo kawa msemaji wa familia 😅😅😅
@ellysilasreweta1387
@ellysilasreweta1387 Ай бұрын
Waandishi mna safari ndefu hadi kifikia viwango.
@AlenKimatuka-p1d
@AlenKimatuka-p1d Ай бұрын
Yani Hawa wandishi bas tuuu!
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
aliyemgonga Yuko wapi?
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 Ай бұрын
Kwa hiyo sasa DC amekuwaje msemaji wa familia? Majukumu yake ya kiserikali anayafanya nani?
@Ajijji12
@Ajijji12 Ай бұрын
Ni rafiki wa karibu na marehemu
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 Ай бұрын
Mbona kwenye kujibu maswali hawa ndugu kuna ukakasi
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Ай бұрын
Wanaogopa jichanganye ukanyee debe😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Ай бұрын
Hapana maumivu Kila mtu anaumia Kwa style yk​@@mrambadiana9678
@friendsindevelopment
@friendsindevelopment Ай бұрын
wamzike tu ndugu ,maana maelezo huwa yanapindapinda
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 Ай бұрын
Rest In Peace 🙏🏽
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Ай бұрын
Hapo kwa wtt kuna k2 kinafichwa ila mm alusema 4
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Ай бұрын
Yani kuna kitu lazima
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 Ай бұрын
Mara kupotea mara gafla ajali kuna sintofaham
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 Ай бұрын
Kakake ndo afisa polce
@SlaveryShayo
@SlaveryShayo Ай бұрын
Polen sana wanafamilia
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir Ай бұрын
Huyu anaezengumza apa ni nani?! Huyu kaka wa familia anafanya kazi gani!? Mbona kama system imempiga 📌 asizungumze sana ilhali moyoni mwake ana mambo mazito.
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Ай бұрын
Yaani hayo mahojiano na maswali ya mwandishi hakuna hata cha maana nilichoelewa! Yaani hayahusiani na tukio lenyewe kabisa! Eti marehemu alikuwa anaenda nje ya Nchi kufanya nini? Mwandishi nae labda mchongo! Hakuna maswali ya kuelewa kilichotokea hapo!
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Maswali mengine ni Mtego
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Ай бұрын
Mjue msijue chanzo kina tatizo mtamrudisha???!!!na maswali mliyojibiwa ht Moja mlishafanya nn waacheni.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Kumbe ni Wa wilayani kwetu jamani
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Ай бұрын
Poleni sana
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН