MSIKIE MUAMUZI KAYOKO AKIFUNGUKA SAKATA LA KUFUNGIWA NA TFF KWA KUWANYIMA SIMBA PENATI DHID YA YANGA

  Рет қаралды 32,013

Simba Arena

Simba Arena

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@LucyJohn-n1k
@LucyJohn-n1k Сағат бұрын
ndyo anamakosa sana tenasana
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 3 сағат бұрын
Tena nimefurahi afungiwe tu, Athunani Kazi kipyenga cha mwisho aliichambua daby akasema tulinyimwa penaty mbili na gori moja kukataliwa mtatuambia nini nyie
@SuparSurb
@SuparSurb 2 сағат бұрын
Huyu anatumwa na TFF kuhujumu simba
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Сағат бұрын
Refa-kiaz-sana
@roberttendewa1753
@roberttendewa1753 12 сағат бұрын
Fc malalamiko mnataka ni nyi tu mpewe kumbuka Azamu na mechi iliofuara mlibebwa
@joelmichael9752
@joelmichael9752 4 сағат бұрын
Hapa namsikiliza Kanyoko au nakusikiliza wewe mwandishi?Mpuuzi wewe huna jipya unaganga tu njaa.
@saijize
@saijize Сағат бұрын
shida ya soccer la Tanzania lazima anayefungwa atafute lawama Kwa refaree
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 5 сағат бұрын
Anaomba radhi kwa chombo kipi? Mbona unaongea wewe tu hatumsikii huyo kachoko mwenyewe?
@Josenyirandagijimanz
@Josenyirandagijimanz 32 минут бұрын
Kanyoko
@eddiemwangaraba9289
@eddiemwangaraba9289 2 сағат бұрын
kumfungiwa kayoko sio sababu wangekuwa wanazipoka hizo point wanazopata ili nawao iwaume
@MzeeHassan-t7y
@MzeeHassan-t7y 2 сағат бұрын
Hakutimiza haki ndicho kilichomkuta. Tz hatuna waamuzi wakimataifa.
@HussenMadimbwala
@HussenMadimbwala 7 сағат бұрын
Hauna lolote haufai wakufumgie tuu
@saranduruma7990
@saranduruma7990 7 сағат бұрын
Ww Regina acha usenge mpumbavu ww unajua nn au unaleta unaatu
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 6 сағат бұрын
Hana lolote afungiwe tu na hatutaki achezeshe mechi za simba hatumtaki afungiee akashangilie vzr nje ya kazi yake
@EMMANUELLYABANGI
@EMMANUELLYABANGI 6 сағат бұрын
Sio onyo tu, fanyeni mpango wa kuwa inapotokea hivyo, bas timu zigawane point mana adhabu kwa refa wakati timu imejipatia point zisizo halali haifai
@KhalfanSaeed-b5c
@KhalfanSaeed-b5c 9 минут бұрын
Wew ukion koxa sema man ajzuilwa mtu kutow maon yke mbna mwenyew anaomb msamah kwmba kakosea
@ChachaJuma-vs2zz
@ChachaJuma-vs2zz 57 минут бұрын
Mulinyimwa wap
@abbassmshaury7572
@abbassmshaury7572 3 сағат бұрын
kama hajakosea kwanini anaomba radhi?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 сағат бұрын
Hata ulaya makosa yanafanyika na ndio maana kuna VAR, Na makosa yalitokea kwa pande zote kwa simba na yanga
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 2 сағат бұрын
Mbona goli la simba vs prison mbona hamujadiri?
@ShukuruGumbo
@ShukuruGumbo 5 сағат бұрын
Yan mm ungekuwa karibuyangu ww ningekukamua kayoko faraww
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 7 сағат бұрын
Hao wazee wangekuwa sahihi kama wangeandikia TFF barua ya kukataa magoli ya Simba kwenye mechi ya Azam na Simba. Wazee gani wanakuwa wabaguzi kwa kiwango hiki. Nao azam walionewa sana na hao wazee wamekaa kimya. Hao sio wazee, hao ni makolo wazee na huwa wakifungwa wanalopoka kama wamevutishwa.
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 6 сағат бұрын
Huelewi wewe unadhami Azam hawana wazee? Kama wangeonewa wangesema sasa unasemaje wazee ea Simba wangekataa magoli ya Simba na Azam kwakuwa walionewa sana Azam unelewa ulichoandika lkn?
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 6 сағат бұрын
@@HawaMkomwele Huu ubishi wenu ndio nimesema mtaendelea kukandwa mpaka mtakapo kubali kuwa tatixo ni la kwenu. Kama marefa wanapokea Rushwa na ninyi wapeni hiyo pesa kwani MO hana pesa na TFF yote ni Simba si muitumie . Nyie mkubali kauli yenu kuwa bado mnajenga timu na acheni visingizio na kutafuta mchawi nje ya ninyi wenyewe.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 5 сағат бұрын
Punguza ukuma wewe mtoto wa kiume. Mambo ya soka huyaelewi Acha kurukia rukia usichokijua.
@mohamedomary-k2h
@mohamedomary-k2h 4 сағат бұрын
Punguza mapenzi ya kungun wewe mtoto wa kiume chura wewe vaa yebo yebo zako utopolo wewe
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 сағат бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir Kama unayaelewa msingefungwa mfululizo na kulalamika kila mechi Mnachokielewa ni kilalamika tu. Tunaoujua mpira tumenyamaza kimyaaaaaa.
@AjaraSaidi
@AjaraSaidi 6 сағат бұрын
Wazee ni babako mshenzi wewe
@PAJEROSEKEYAN
@PAJEROSEKEYAN 4 сағат бұрын
Kayoko angefungiwa moja kwa moja Kuna la Mana yake
@eddiemwangaraba9289
@eddiemwangaraba9289 3 сағат бұрын
kayoko si mara ya kwanza kwa kuwanyima penalty simba hata derby ya mzizima ilikuta simba na Azam makosa ni yaleyale pia Kuna match ilichezagwa baina ya Azam na yanga mpira ulitoka nje Morison akaurudisha ndani lakini mwamuzi huyo huyo kayoko akawapa ushindi yanga ikawa yanga 2 na Azam 1 kwa hiyo aliishia zoea kuibeba yanga
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 сағат бұрын
Kayoko huyo huyo ndo aliekuzawadieni magoli mawili ya offside zidi ya Azam.
@isacknyaga104
@isacknyaga104 2 сағат бұрын
Pumbavu zenu Uto viongozi wenu wanaharibu mpira wenu
@ChachaJuma-vs2zz
@ChachaJuma-vs2zz 55 минут бұрын
Tulibebwa wap gadinyie mulibebwa
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 сағат бұрын
HAPO NDIPO MTAWAJUA YANGA MTAPIGWA KILA MECHI ....SIMBA KERERE ZA NN ? MECHI 4 MMEPIGWA NA YANGA GOLI 9 BADO MNAMLALAMIKIA KAYOKO ? AMUONI AIBU ?
@fabianmattaba3465
@fabianmattaba3465 7 сағат бұрын
Mtoa post hiyo barua ya Kayoko amekuletea wewe au unatuongopea. Hata hivyo unapoandika eti kubaze unatupotosha na kuharibu kiswahili ww kama mwandishi. Kwa nini usitumie angalau hata neno kuegemea au kupendelea?
@AllyImrani
@AllyImrani 2 сағат бұрын
mungu amlaani
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 сағат бұрын
Aisadii wakati wameshapewa goli.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 11 МЛН
HUYU APA JOSHUA MUTALE
2:59
Muu mtwale
Рет қаралды 16 М.
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 26 М.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 109 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39