Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)

  Рет қаралды 1,668,172

Msodoki Young Killer

Msodoki Young Killer

Күн бұрын

#MsodokiYoungKiller #SinagaSwagger #Remix
MSODOKI YOUNG KILLER SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/msodoki...
Follow Msodoki Young Killer On Social Media:
/ youngkillermsodokii
/ ymsodokii
Channel Administered by Slide Digital
/ slidedigitaltz

Пікірлер: 856
@SamaBoy-fw7us
@SamaBoy-fw7us 6 ай бұрын
2024 tuko pamoja dondosha like kama tuko pamoja ❤❤
@SostenesMasawa-ls1eo
@SostenesMasawa-ls1eo 6 ай бұрын
😂😂 umeniwahi kidogo tu
@johnmalongo5738
@johnmalongo5738 7 жыл бұрын
Mmmmh! young killer umetishaa broo! aiseee kweli kuna watu wamejariwa vipaji heee huyu kijana sijui anakichwa gani jaman...Young killer wee ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jamsmlimka4902
@jamsmlimka4902 4 жыл бұрын
vipaji kaz yoyot
@naccer9930
@naccer9930 4 жыл бұрын
Now tuko 1M... mashabiki wa Msodoki tuifikishe hii mpaka 10M
@rajabmsingwa4957
@rajabmsingwa4957 7 жыл бұрын
Ukimpenda Diamond unampenda na Ali Kiba coz me na ww ni daah! na hawa wote ni shidaa!
@brosataasisi3657
@brosataasisi3657 3 жыл бұрын
Cause mimi na wewe ni Rahaa
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 4 жыл бұрын
Kwa hali ya magufuli..nikihonga dem kiepe...ni lazima ni..........kipepe
@ivaniswekha9366
@ivaniswekha9366 Жыл бұрын
It's already 2023 and i'm still jamming to this hit, much love from +254 kenya
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 10 ай бұрын
tupo hapa mzeeya kama kawa
@newtonkingori2730
@newtonkingori2730 10 ай бұрын
pia mi ni mkenyaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥺😂😂😂😂😂😂
@michaellwesha4440
@michaellwesha4440 2 жыл бұрын
Kama unatazama hii 2022 💥💥💥💥💥 gonga like twende Saw.
@rajabkomba627
@rajabkomba627 7 жыл бұрын
kumammaaaaake edu boy akasome miaka buku....sina swagga
@awesoshaban8370
@awesoshaban8370 5 жыл бұрын
Mwana unasumu Kali balaa
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 4 жыл бұрын
Kama unatazama hii 2020🔥🔥🔥🔥🔥weka like twende sawa..
@gobaonlinetv9690
@gobaonlinetv9690 7 жыл бұрын
😀😀😀hii ngoma haina Chorus ni verses mwanzo mwisho Nmekubal young killer!!
@jordanchonya401
@jordanchonya401 7 жыл бұрын
noma mwanang
@kenethmaluba2305
@kenethmaluba2305 5 жыл бұрын
Aise ni shida
@salmatz9081
@salmatz9081 5 жыл бұрын
Harii..
@valencyminde5246
@valencyminde5246 4 жыл бұрын
Katisha kinoma
@samwelyremy4103
@samwelyremy4103 7 жыл бұрын
Kuku aliyekula mchele, jioni akaliwa na wali...hahaha aiseee
@omynjei9420
@omynjei9420 3 жыл бұрын
Daily naskiza ili coma Young killer uliwez bro ,APA, to a nyengine kama,ii, to bahatika ukiona ii commet gongs like, Young killer naomba like yako brother
@eliaskana8513
@eliaskana8513 7 жыл бұрын
uyu ndo young and ndo best raper kwa ma young na wale wanao tufanyia ujanja
@hilalyissa5630
@hilalyissa5630 5 жыл бұрын
Nmerudi hapa baada ya kucheck sinaga swaga 3!! Yan hii kama ni series basi ni Game of thrones. Bro we ni sheeeeeeeedahhhhh!!!!!
@mohamedsaidmohamedsaid9584
@mohamedsaidmohamedsaid9584 7 жыл бұрын
Daah lait ingekuwa ni amli yangu bac young killa ndiyo angekuwa king wa hip hop Tanzania hii akuna anae fanya kama wew ndugu umetsha ile mbaya mimi nishabiki wako mzee
@humphreywamburatv
@humphreywamburatv Жыл бұрын
😮 mpaka wafe nivae vywo😂 mamae
@Alfredmuchai64familyTv
@Alfredmuchai64familyTv 5 жыл бұрын
Young killer unamakavu safi....i love the flow...from 🇰🇪nakuskiza hadi kuwait 🇰🇼 nakuskiza
@hasanisaydi7115
@hasanisaydi7115 2 жыл бұрын
Tumtengenezee sanamu pale posta huyu ngosha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sameerabdallah2112
@sameerabdallah2112 7 жыл бұрын
Baada ya kufa langa nliacha kusikiliza Hip Hop coz nyingi katuni ila Young killer umeongeza mshabiki man.
@yusufjuma264
@yusufjuma264 7 жыл бұрын
Always my Best Rapper Young Killer.
@aliphonceibrahimu4930
@aliphonceibrahimu4930 7 жыл бұрын
Gud xana chaliiiii
@saidgollan6350
@saidgollan6350 7 жыл бұрын
Noma killer boy USISIKIE KITU BABU KUISHI NA WAT TABU UKIPENDWA LINGA UKICHUKIWA WEW JIPE SHAVU SIKU HIZ HAKUNA LOVE MAISHA NI YA KIPUMBAVU DADA ZETU WANAPEWA MIMBA KISA CHIPS KAVU
@JuliusJohn-e5w
@JuliusJohn-e5w 5 ай бұрын
#fanya wewe kama unaona ninachofanya ni easy ..tulimiss sana verses za mwamba,,
@laizergmathayo
@laizergmathayo Жыл бұрын
Kama ww unamkubali young killer basi ngonga like tumpe maua yake🎉 2023
@JamesChuhila-z9w
@JamesChuhila-z9w 10 ай бұрын
Kama umekaa ukamkumbuka uyu jamaa alikw mkal sanaa sijui kapotelea wapi 2023 🙌
@TaizInvestment
@TaizInvestment 6 ай бұрын
Mbona yupo nani kasema kapotea??
@djjokermdim4397
@djjokermdim4397 7 жыл бұрын
youngkiller mwanza mwanza sio mtu wa mchezo mchezo kabisa yaan sarut young
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
15.1.2023 usipigane ukang'ata mm naona Bora umkimbilie Young killer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tigermnyama1297
@tigermnyama1297 4 жыл бұрын
Msodoki nakubali na kubali
@danyakala
@danyakala 4 жыл бұрын
Namkubali Sana young killer anaunga Sana Kwa Ngoma zako🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪🔥🔥
@anthonym2542
@anthonym2542 7 жыл бұрын
wakenya mko wapi
@victoryoyah3481
@victoryoyah3481 7 жыл бұрын
YOUNG still ndo KILLER
@khulbouy
@khulbouy 6 жыл бұрын
Anthony M 254 hatarii
@musaobeli8958
@musaobeli8958 5 жыл бұрын
Tuko hapa kaa kiikaango kwani unataka tuchane ki sukuma
@salimhamisi9301
@salimhamisi9301 5 жыл бұрын
OG aume mziki na msodoki
@matthewkiplagat3408
@matthewkiplagat3408 4 жыл бұрын
Tuko baze
@petermethod1765
@petermethod1765 6 жыл бұрын
Matunzo ziro ni hatari sana watapata tabu sana
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 7 жыл бұрын
daaaah msodoookiiiiii ni aisee nafika nitakapo arusha fresh ninapita na ma brother fid rato
@zeoneshiru3319
@zeoneshiru3319 7 жыл бұрын
Ila msisahau Npo Malaysia sijui kiswahili ila ngoma nimeielewa sana young killer umetisha.
@frankomart5801
@frankomart5801 7 жыл бұрын
Young killer is one of the best Lylists kwenye game So far . Bars tupu
@mtunecessary
@mtunecessary 7 жыл бұрын
Michano juu ya michano aki niekubali mwana...#KisumuPresident
@MohammedAhmed-xv2ij
@MohammedAhmed-xv2ij 7 жыл бұрын
aisee hakuna mkali ninaye mkubaliiiiiii na role modo wangu kama youngkiller ss wote wa mwanzamwnza
@odiriawilliam2988
@odiriawilliam2988 6 жыл бұрын
wee jamaaa sijui kama unafaham kwamba unajuaaa yan daaah... nakukubar sana msodoki love u sooo much
@eugenepaulsondthomas7365
@eugenepaulsondthomas7365 2 жыл бұрын
You kill this thing. I've listened this track and over Man you're a Monster
@rashardpodo8851
@rashardpodo8851 7 жыл бұрын
hii ngoma imenkosesha swaga kabisaa.. eyo killer let kill them homie.. Arusha tutapita tyu na broda fid hahahaha najua upande wa pili wameelewa
@eliasbrown8556
@eliasbrown8556 4 жыл бұрын
napendaaa ndoyule mkahakimnya arafu naponzwa na ulimi
@sadrukweka8703
@sadrukweka8703 4 жыл бұрын
Atimae imefika 1M👆👆 ngoma ya kwanza ya killer kufika💪💪💪
@alfredmboya2542
@alfredmboya2542 7 жыл бұрын
Sema nn ujue hizi SINAGA SWAGGER uzipe episode tu uwe unatupa vitu kama hivi kila baada ya miezi flani michano mikali sana
@n8thegoat
@n8thegoat 7 жыл бұрын
Wazo zur knoma
@salimmalundila7032
@salimmalundila7032 7 жыл бұрын
haatar
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 7 жыл бұрын
ha haa ha haa,noma sana mdau
@homatv3709
@homatv3709 7 жыл бұрын
Alfred umenina hii iwe part 1 asiishie hapo.
@masanjaalikibanishidadiamo4506
@masanjaalikibanishidadiamo4506 7 жыл бұрын
doo noma
@nurathyswalehe4208
@nurathyswalehe4208 3 жыл бұрын
Aysee hii nyimbo ndo ilinifanya m nianze kupenda hipop🤣🤣 nakupenda mnooo aysee
@vinaboy9250
@vinaboy9250 Жыл бұрын
Msodoki namba moja mfalme wa freestyle barani Africa
@Somalimusic24
@Somalimusic24 7 жыл бұрын
youngkiller we ni sumu bro napenda kazi yako.
@magdalenapaschal2389
@magdalenapaschal2389 5 жыл бұрын
Hatarxana
@zaziafry4469
@zaziafry4469 7 жыл бұрын
Every time I'm looking 4 the best song from killer cause as a king AFRICA oyooooo
@salehvarmalen2298
@salehvarmalen2298 4 жыл бұрын
Yani we mkali zaidi Yao kwamba nakubali kazi zako Mungu ibariki kazi yako
@kingjafu7759
@kingjafu7759 7 жыл бұрын
Natokea Amsterdam sijui kiswahili ila hii ngoma ni noma sana
@mussamwadini515
@mussamwadini515 5 жыл бұрын
Kwanin ni lugah gani umetumia. Acha ushamba
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 7 жыл бұрын
Nimezaliwa kucheka tumbo furaha yangu na mimi, chako kipaji ni sawa na thamani ya dibaji ya mbeba maji msituni na jangwani, hakika msodoki ni ni dodoki la wasinii kisanii nani anabisha kwaniiiii? bhana mdogo uko juu sana kaa mbali na dada zetu wasije wakaua kipaji chako ni hivyo tu
@calebkoyotv
@calebkoyotv 7 жыл бұрын
Hatari sana , tupatane Central , Respect Toka Kenya.
@aminaabdi8052
@aminaabdi8052 5 жыл бұрын
🔫⚔️🗡️🚪🚭
@albertjoseph4866
@albertjoseph4866 4 жыл бұрын
Bomba la pini Kiongoz wa Rap Hitz✌️🔥👌
@sabathoMagesa
@sabathoMagesa 8 ай бұрын
Young killer we we kiboko no moko
@shilindeswedy4635
@shilindeswedy4635 7 жыл бұрын
🙌🏾🔥Duh.. Hili ziki na michano noma.
@risekidy7660
@risekidy7660 3 жыл бұрын
Africa sjaona rapper kama huyu mnyama. Killer for hip hop
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 7 жыл бұрын
Ngomaaa kali cnaaaaaaaaaaaa aiseeeeeeee
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 3 ай бұрын
Katika sinaga swagga zote hii sinaga swagga ni balaa haswaaaa😊😊😊
@mericklusinde1739
@mericklusinde1739 Жыл бұрын
Unyamaaaaa❤️❤️👍👍🎤🙌
@abdulikarimu7619
@abdulikarimu7619 Жыл бұрын
Nakupenda kuliko waxanii wonte Tanzania🤝🤝
@rahimrifaiiyabdullah1530
@rahimrifaiiyabdullah1530 5 жыл бұрын
From mwanza nimekubali urudishwe hata kwa kafara la ngo'mbe
@kennedymwalyolo2185
@kennedymwalyolo2185 3 жыл бұрын
Hii ngoma haikinai kuisikiliza
@noonelike6382
@noonelike6382 7 жыл бұрын
Usingizi ni mbolea ndyo mana ukilala unaota....hahahha
@shairanibrah7609
@shairanibrah7609 7 жыл бұрын
KUKU kala Mchele mchana jion kaliwa na wal noma sana killer msodoki
@sebachaz6483
@sebachaz6483 5 жыл бұрын
killer killer killer we ni zaidi ya hatari nakukubar zaidi ya unavyojikubar gonga like twende sawa👈👈👊👊👊👊👊
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 жыл бұрын
killer hili bonge la dude mzee ##unamapafu kama ya duma duuuu
@danstanyjohn9045
@danstanyjohn9045 6 жыл бұрын
Gud sana msodokiiiii!! Nouma sana wakimbize akina young dee na dogo janja we ndo mkubwa wao wa kaz wakasome .
@OmarRamadhan-c6k
@OmarRamadhan-c6k Ай бұрын
Ash jamaa nikiwa Burundi na injoy San nayoukill
@nicolasernest4663
@nicolasernest4663 Ай бұрын
Jamaa mwmba Sana asee, Sema mapenzi nd yamemteka San right now...
@bakarizema7910
@bakarizema7910 7 жыл бұрын
Hit after hit, youngkiller always doing great things,
@youngmeku5159
@youngmeku5159 7 жыл бұрын
dah..mi naona tu Young killer ni moto wa kuotea mbali kwenye mashairi. .mziki anaujua yani anavyoyapanga maneno adi msikilizaji unaweka attention zote maana ukiskiza juu kwa juu yatakupita. hahahah big up #KillerRecords
@starswahilitv2440
@starswahilitv2440 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jqSTgKiNr7CMf8U
@yusuphasenga8192
@yusuphasenga8192 4 жыл бұрын
Eti young killer anaga swaga ni kweli
@paulgodwini2910
@paulgodwini2910 6 жыл бұрын
Dogo Janja na young dee wakasome we ni fireee
@noahlameck1564
@noahlameck1564 4 жыл бұрын
Jamaa namkubari sana
@wikhalidazizh6528
@wikhalidazizh6528 7 жыл бұрын
Ukipata basi usisahau utakapo ukikosa ujifiche uone ninani atakupa tako 😆Bro killer hapa Naomba tafsiri yake au nikamuulize Onsigara
@davidmangole4765
@davidmangole4765 5 жыл бұрын
tako ni gari mzee
@chonamipawa5371
@chonamipawa5371 3 жыл бұрын
Aiseeee noma
@redinbrown2296
@redinbrown2296 4 жыл бұрын
Waaaah huyu dogo Kenya twakubali
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
Jamani minaimani young killer anamistari mikari kuzidi wote
@SalimSalim-fp7zd
@SalimSalim-fp7zd 7 жыл бұрын
ooooooiiiiii hiiiii arufu ya gogo haja unayoitoa nikubwaaa😂😂
@chrisdaddy8605
@chrisdaddy8605 7 жыл бұрын
yea ukweli ushike njia yake Dogo atafika mbali Coz tungo zinaeleweka
@bambili1227
@bambili1227 9 ай бұрын
Msodock I miss your music here in Nairobi....
@happyjohn4871
@happyjohn4871 4 жыл бұрын
Oooooo tuchane bwanaaa😜😜😜😜
@Mrdcobraa11
@Mrdcobraa11 7 жыл бұрын
Duuuuu!! Atareee kabisa
@georgewatson9280
@georgewatson9280 7 жыл бұрын
duuhhh huyu dogo nomaaa kwa tungo tata.
@scaiville
@scaiville Жыл бұрын
Ili goma nlilimind tangu jadi, great job manze. Vile umerudi sasa stick on it manzee
@djellythelegit596
@djellythelegit596 7 жыл бұрын
young killer your my best rapper in top 3. mwanzo mwisho ngoma kali sana KEEP IT UP MAN
@bonejuma3358
@bonejuma3358 7 жыл бұрын
we young killer unatowa wap mistar? maana mwanzo-----mwisho mistar mikali! we noma sana.
@geofreychaulah1907
@geofreychaulah1907 6 жыл бұрын
Asikwambie mtu kit babu, kuixh na wat tabu! Ukipendwa linga young dee akikuchukia ww jipe shavu!!!! Hahahahahahahah unaweza br
@barakakawiche7473
@barakakawiche7473 7 жыл бұрын
guda guda chalii,,.. mkubwa wao wa kazi.. tishaaaaaaaa xanaaaaaaa
@Freemandela6
@Freemandela6 7 жыл бұрын
Hip Hop Is Alive... Great sana Young Killer and u kill it kabisa....
@flyhigher5393
@flyhigher5393 7 жыл бұрын
young killer shikamoo,dogo unajua ile mbaya nakukubali sana mwanang wa nguvu,hivi mashairi unatoaga wapi we mjinga???
@harerimanaomar1964
@harerimanaomar1964 5 жыл бұрын
Young killer kweny Hip Hop uko #1 Tanzania
@saidgawawa5742
@saidgawawa5742 5 жыл бұрын
bwana mdogo anatisha kinyama ...# salute # African 2 pac!
@innocentssamuel4110
@innocentssamuel4110 4 жыл бұрын
Kama upo sept 2020 tukiwa na views 1million gonga like kwa killer
@mwaruachikophe463
@mwaruachikophe463 5 жыл бұрын
Dogo noma sana mistari imelala kichwani kazi nzurisana
@jaravamwaprince3413
@jaravamwaprince3413 7 жыл бұрын
Dogo kipaji unacho mana fasihi unayotumia, ambaye hajasoma hawez elewa! umetishaaaa!
@yahayararua2006
@yahayararua2006 7 жыл бұрын
hahaha kijana wangu wa kunikoshagaaaa.......big up kutoka geita town
@lugwerasta3083
@lugwerasta3083 2 жыл бұрын
the best freestyle from young killer msodoki
@mgadz22
@mgadz22 6 жыл бұрын
Wah, noma sana. 254 hapa
@gervaskamela9576
@gervaskamela9576 6 жыл бұрын
mshkaji anajua sana tatzo nyota Ya hip-hop bongo bado iko pluto na mwanga wa maslahi unafifia
@paulomaneno5936
@paulomaneno5936 Жыл бұрын
Mwamba wa kaskazini, killer msodoki nakukubali sana baba una una PHD ya hip-hop baba 👊🔥🔥
@paschalkibhuri7922
@paschalkibhuri7922 7 жыл бұрын
hili goma nikariiiii yaaan kebhombo kabisa
@oswardmgawe3009
@oswardmgawe3009 6 жыл бұрын
nakupenda cna msodok wangu mwaaaa💋
@Bonnymachanya
@Bonnymachanya 2 жыл бұрын
Hiii uliua sana mwanangu 👊👊👊👊
@berryxmsanii
@berryxmsanii 3 жыл бұрын
Sijui kitanipoteza nini kma hakuna pesa hakuna pesa,naogopa ukimwi kwajili ni ugonjwa unaheshima.jaza likes zifike billion mzima🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Msodoki Young Killer  - Sinaga Swagga (official Video)
4:30
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1 МЛН
YOUNG KILLER MIX 2023.
1:04:40
DJ OSEL
Рет қаралды 12 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 53 МЛН
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 185 М.
Nay Wa Mitego(Mr Nay) - Saka Hela
3:45
Mr Nay
Рет қаралды 513 М.
Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video
3:17
Conboi Cannabino
Рет қаралды 302 М.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 733 М.
Msodoki Young Killer - RUDIA (Official Music Video)
3:39
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 1 МЛН
MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)
3:34
MwanaFA
Рет қаралды 1,7 МЛН
Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker- Jana na Leo
4:56
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
Young Lunya - Freestyle Session 4 (Official Video)
4:59
Young Lunya
Рет қаралды 722 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН