Ya kale ni dhahabu. Pumzikeni kwa amani wazee wetu watunzi mahiri na waimbaji wazuri kwa mafunzo mengi mliyotupa kwenye nyimbo zenu.
@allykindamba98002 жыл бұрын
Gitaa la mzee Mabela🙌🙌
@jacksaid Жыл бұрын
Nostalgia, wazee pumzikeni kwa amani. I ❤ your songs sababu ni mafunzo tupu. From Congo
@zulachama1067 Жыл бұрын
2023 wana msondo ngoma band nawasalimu nyote mlohai na walotutangulia mbele za haki mungu hawarehemu mahala pema peponi mzee wetu, nawapenda sana zilipendwa na zika pendeka kupendeza.watching from mombasa kenya
@tatuissa15713 жыл бұрын
Mungu awalaze mahari pema peponi amen kwa xababu hawata tokea wazee wet ujumb mzur Kama huu wa hawat tokea kabixa
@joelnassari1057 жыл бұрын
Best Band in Tanzania. ..R.I.P Msondo Legendary. ..Tx Moshi. ..Gurumo na wengne waliotangulia Mbele za haki tunawaombea, Mwenyenzi Mungu awape pumziko jema.
@allykisamfu85175 жыл бұрын
31/12/2019
@barikomrisho7842 Жыл бұрын
Mungu awape pepo njema huko mbele ya haki mliko
@johnjoseph73638 жыл бұрын
kwa kweli mungu awangazie mwanga wa milele hawa ndg zetu wa msondo ngoma music kwa kututangulia mbele ya haki,hakika tunaheshimu sana kazi zao na tunazikumbuka sana
@saidali16117 жыл бұрын
John Joseph @
@saidali16117 жыл бұрын
kweli walikua juu sana mpaka leo hakuna kama msondo
@sadialex94023 жыл бұрын
Mungu huyu basi bwana
@mussadominick29305 жыл бұрын
Msondoo ngomaaa 100% hakuna kama ninyi mliotangulia MUNGU awapumzishe mahala panapositahili
@vickieeddie2230 Жыл бұрын
Daaah kuna mzee ukimuewekea hizi nyimbo analia vibaya jamani OLD IS GOLD 🙌
@mecksonlongole6034 Жыл бұрын
Huu ndiyo Muziki unaokupa full package yaani unaelimika na kuburudika
@radhiarajabu51838 жыл бұрын
kwa kweli msondo ngoma kiboko yao hakuna kama msondo
@kelvinkyando61227 жыл бұрын
mambo
@dr.willyshearonlinetv83966 жыл бұрын
kelvin kyando poa
@albilalisssa5465 жыл бұрын
Vipi uko poa ww unaishi wapi kwani
@KasibanteTonny-xo3dr Жыл бұрын
Otu jazz.pongezi tele kwa music wenu bora.Asante sana kwa kuburudisha inchi zetu africa mashariki.
@sierraminingltd15903 жыл бұрын
Ukisikia nyimbo zenye kufundisha nihizi sasa sio vijana wasasa wanaimba wameshiklia suruali kwachini nyimbo matusi matupu. Well done Msondo Ngoma
@MPUA-u6f3 ай бұрын
Daaa hawa watu wamenikumbusha mbali sana nimefurahi sana
@samsondecoman9834 жыл бұрын
Msondo wosia wenu kwasasa unatufaa sana sisi vijana Wa 2020 hata baadhi yawazee wasasa wamepoteza ladha. Ewe mwenyezi uwape pumziko tulivu.
@zubedasaid59626 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo haziwezi potea , sio hizo za vijana wasasa, we underrate our old musics
@samwelimayauka2899 Жыл бұрын
Umesaport
@gilbertlusiji5 ай бұрын
Njoo uluyani kenya na msondo ngoma uchekwe
@mohamedhamismagoraonlinetv4594 ай бұрын
Unamaanisha nini?
@shebathutajirishohalisihal24585 жыл бұрын
Well well goon sana kutuletea hizi nyimbo .naomba ule wimbo unaosema .ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.
@thomaskasura73334 жыл бұрын
Mabera toka 1972 mpaka leo msondo na roman1982 wapo nakumbuka mbali sana Central bar kibaha bado npo primary RIP mliotangulia
@samuelbyser51053 жыл бұрын
Nyimbo zuri san hii ina mafunzo mazuri sana tutakukumbuka sana legendary wetu
@ahmedyissa4777 Жыл бұрын
😢😢 nyimbo nzuri mno
@othumanally4529 Жыл бұрын
Hiijawahi kutokea walllah! Na haitatokea kwa kuwa na wataalamu kama hao wa Kitanzania. Walitisha na walilitikisa jiji.
@chandeyusufu9570 Жыл бұрын
Safi sana ujumbe mzuri
@mahelamnazaletimahela93175 жыл бұрын
Dah baba zangu mungu awalaze mahali pema peponi emen
@prosperhosea79665 жыл бұрын
Zilipendwa miziki sijaona kama inaupinzani kwasasa kwa upigaji mziki na kujipanga Ongereni sana wazee wetu maana ni nyimbo zilikua na maana
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Kuanzia mashairi, upigaji,uimbaji,uchezaji,vyote ni burudani ,bado tunawakumbuka mlituburudisha sana enzi zenu ,ila jamani huyu mpiga guitar, analicharaza kwelikweli,nimempenda sana,hivi bado yupo hai?06.01.24.bado nasikiliza.
@dottokondo72995 жыл бұрын
Mungu awa rehemu mlio tutangulia jamani ila msondo mlikua kiboko yao
@robertrobert7254 жыл бұрын
Zakale nidhabu kwakweli kwenye bandi hiii sinaga swali na waliotangulia mungu awaweke mahali pema
@fatmachambotanzania93795 жыл бұрын
Kwa Tanzania bado hawajatokea kama nyinyu hakika msondo mlikua the best pumziken kwa aman wote mliotangulia TX MOSH WILLIAM &NGURUMO &MAINA &SULEMAIN MBWEMBWE
@jamesrobert88903 жыл бұрын
Ngoma safi sana rest in peace mzee ngurumo na TX moshi William na wengine wote wana msondo ngoma kiukweli mlikua faraja ya watanzania mziki mliuweza sana hongereni sana kwa hilo.
@allykassim98266 жыл бұрын
Sep 2018. Siamini macho yangu. Jopo zima la wanaoimba hapo wamefariki dunia. Mungu wasamehe makosa yao na uwahifadhi. Amin.
@abedhamza46532 жыл бұрын
Hilo solo la dk mabera sio mchezo
@Isaac-vm5mi Жыл бұрын
Inanikumbusha kitambo kweli
@priscafidelic90745 жыл бұрын
Kwan hii nyimbo ya mwaka gan mana naisi cjui ckuzaliwa au nilizaliwa Nilikua mdogo sana nimeipenda
@ramadhanabas44554 жыл бұрын
Huu wimbo ni wa mwaka 2004.
@yusufukazamba23915 жыл бұрын
Seleman mbwembwe; Tx moshi na Kamanda Gurumo tutawakumbuka daima
@tatumpita62844 жыл бұрын
Na Othman momba
@brunoamir3553 жыл бұрын
Duh huyu ndo mungu anachukua chake kwa muda alopanga
@MariamMussa-y3i3 ай бұрын
Nawakubal sana mungu awahepushe na adhab ya kabr
@angelovalentine-kc6cy2 ай бұрын
Safi ssnaa
@shabanfungameza2 жыл бұрын
Hizo ndizo nyimbo za hekima dah mungu awalaze mahara. Pema amin
@ZingaSefuАй бұрын
Kweli nyimbo hizi nikisiliza nafurai
@abdallahmtosa69792 жыл бұрын
Inshaallah Mola awape kauli thabiti.
@kassimulait79195 жыл бұрын
Kiukwel zamani kulikua na jumbe nzr sana kiukwel
@zidanzidani23442 жыл бұрын
Kitambo sana wap robert mshana Eng Jacob
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Izi ndiyo nyimbo za kuelimisha mana azina natusi wala azichakayi kuliko za vijana wetu wa ss azielimishi ni kupotosha tu bado mko vizuri
@tobiasimussamuna15103 жыл бұрын
ama kweli ya kale ni dhahabu ina mafundisha kwenye maisha kuna wengine imewakuta
@elivtv.baseafrica39886 жыл бұрын
Nimeangaria uu wimbo nimekukumbuka bibi ang Upumzike kwa amani bibi ang kipenz nimekukumbuka
@MilachemTanzania2 ай бұрын
R.I.P wote waliotangulia mbele za aki waimbaji wa Ott Jazz Band ..Msondo Ngoma ...I remember Waziri Dewa mzee wa Yangaa atr pumzika kwa Aman mwamba.
@jumakitwikj55864 жыл бұрын
Nngurumo na moshi nawakumbuka sana awa waze
@tonnykasibante88232 жыл бұрын
Asante sana otu jazz.Mmenikumbusha maneno mengi kwa wimbo wenyu.
@jumbeomari30447 жыл бұрын
Kweli kijana wangu mashaka lunyombe hilo ni dongo waziwazi la bichuka maana izi band vijembe vingi wasababishaji ni bichuka na shabani dede ao ndio magwiji wa kuahama hama kidogo na hussein jumbe.
Hizi ndio ngoma zakusikiliza ambazo Zina mafundisho sio zasasa nyimbo matusi matupu
@ramadhaniramadhani06029 ай бұрын
Who is still watching 2024🎉 old is gold❤
@ZingaSefuАй бұрын
❤kweli nimbo zao zinailimishajamii
@ZingaSefuАй бұрын
Zinga seifu manza bey Willa mkinga
@freddykulwa81902 жыл бұрын
Mziki ndio ingekuwa kufundisha maisha vijana
@kidukujaki31874 ай бұрын
Nakubali sana lispect
@ambroselugezi21877 ай бұрын
Mziki wa kweli. Safi sana
@sadickndembo66426 жыл бұрын
Kumbuka baba angu alikua anawapenda
@zakariajoseph94359 жыл бұрын
Nawakubal sana waliobaki mjitahid Sana
@amanothmanhamimu11743 жыл бұрын
Best of msondo ngoma
@mashakalunyombe20877 жыл бұрын
msondo kamili iyo na message hii niliambiwa na mtaalam wa mambo aya mhe j mpalasinge kuwa hilo ni dongo alikuwa anapelekewa hsn rehani bichuka nae kupitia ddc akajibu nyimbo inaitwa tende harua harua
@emanuelmaingo98336 жыл бұрын
mashaka lunyombe Hapo
@HappyNyagawa-hh6rr3 ай бұрын
Wimbo naupenda huu
@samuelaleixo52472 жыл бұрын
Nikisikiliza music huu nakumbuka malemu baba
@NorbertChale11 ай бұрын
Nakumbuka mbali jamani dar
@angelskihaga887220 күн бұрын
Nimekuja huku kuisikiliza baada ya kutoka mahakamani kudai talaka😅.... anyone here Jan 2025.....like zangu
@RaiderTube5 күн бұрын
Hee wewe 😂
@RaiderTube5 күн бұрын
Kulala njaa siku moja tu umeenda kudai talaka 😢
@yusufukazamba23915 жыл бұрын
Ukweli utabaki ukweli hakika msondo ni baba lao
@shambaiddi49843 жыл бұрын
Tunajikumbusha maisha kitu huna badhi wala vazi lakini mtu unakuwa na furaha kwani kulikuwa hakuna malumbano watu walikuwa wanajuwa maisha hivi sasa ni ubinafsi tu kila mtu ana lake