Best of the best. ..Msondo Ngoma band ambayo ujumbe wake ni mpya kila siku ...wazaman walifaid sana...R.I.P RD MOSHI NA WAIMBAJI WOTE WA MSONDO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI
@jumaasungwi65745 ай бұрын
Said mabela Tanzania one solo 🎸
@nyembobea72859 ай бұрын
Nyimbo hii imegusa sana moyo wangu
@nelsonedward93796 жыл бұрын
namkumbuka sana mama kisa kinanihusu sana hawa msondo noma
@mbogoisack97625 жыл бұрын
Pole sana
@paschalkalabo57564 жыл бұрын
Mze wangu hawa Waze alikuwa anawapenda Sana mungu ampumzishe kwa aman
Mzee wangu anapenda hii band nimeijua kuputia yeye
@jumaasungwi65745 ай бұрын
Ali rashidi marashi ya zanzibar
@nyangehassan9025 жыл бұрын
Hawa jamaa wameacha historia hasa Gurumo
@clemensluden27348 жыл бұрын
Akuna band bora kama msondo ngoma
@dottoabdallah43537 жыл бұрын
kobelo hashim sanaaaa miaka mia msondo juuu
@benardndaki72476 жыл бұрын
Nawakubali sana Msondo
@frankmachumu34565 жыл бұрын
Mchanga huu unameza watu
@yusufumchongya13872 жыл бұрын
muziki no fundisho
@petrokalinga3192 жыл бұрын
Ujumbe unaoeleweka
@jumamganga51362 ай бұрын
Hadi nalia😂
@RashidiNasibu-z6v Жыл бұрын
Mama.kanitupa
@RashidiNasibu-z6v Жыл бұрын
Mamakanitupa
@athumanihamisi86042 жыл бұрын
Maneno mazito
@frankmayunga6177 жыл бұрын
Msondo bendi kongwe
@gaulaamani18433 ай бұрын
Solemba
@davidmartin68046 жыл бұрын
Can anyone provide the lyrics + translation into English, please?
@phakundigervas13604 жыл бұрын
David this is very brief, a guy is telling of what he endured after being ditched by his mom and was found,taken care of by neighbours brought up to learn that he is with no tribe, relatives religion and other biological attachment and hence crying of what happened to him.