Рет қаралды 13,268
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dr.Jakaya Kikwete ametunuku vyeti katika mahafali ya 51 ya chuo hicho ambapo wanafunzi 564 wamehitimu elimu ya juu kwa Ngazi ya Digrii za Uzamivu, Umahiri, Stashahada za Uzamili, Digrii za Awali, Stashahada na Astashahada.