Diamond yafaa amuongeze mshahara huyu zembwela hiiki kipindi anakipatia sana much love from kenya🇰🇪🇰🇪
@ramadhanminani3143 жыл бұрын
hongera babu, hongera wasafi kwakuangaziya maswala kama haya yanayo ilenga jami moja kwamoja napenda sana kipindi hiki kinaelimisha kinafanya tuyafahamu maisha halisi yauswailini
@onlyjesus78313 жыл бұрын
Zembwela hujawai kukosea kipindi cha uswahili kipo vema sana Nimeanza kukujuà nikiwa mdogo sana hadi leo unafanya vitu kwenye ubora saaana👏👏✊✊
@rasjamal98543 жыл бұрын
Zembwela hiki pindi Very Deep big up brother kimbiza mbaya ❤️👊
@oparetionmaalum90303 жыл бұрын
Mzee mpishi apo naona mazingira yako sio safi na ukicheki panachakula subhannallah
@sk-wj9or3 жыл бұрын
Namzimia sana huyu mtangazaji. Down to earth. Sijui kwanini sikumjua zamani!!! Natamani siku nikija bongo nimuone japo nimshike mkono kumsallim.
@officialteeh12133 жыл бұрын
😂😂😂panya kaloa majina hatari huku kwetu salute you zembwela chocho kwa chocho ukituletea habari za kwetu watching from Dubai
@hassanimussa57763 жыл бұрын
Tanzania nchi ya Amani Sana.Hakika mungu ameibariki Sana Sana sanaa
@ngokaomary51233 жыл бұрын
Uswahilini kuna vituko .. watching you guy's from madinat khalifa 🇧🇭 Qatar
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Vidze Babu
@ngokaomary51233 жыл бұрын
@@ramadhangona9085 mautu ni nthe'nthee
@ommynations.91573 жыл бұрын
@@ngokaomary5123 uswazi
@likeothers24983 жыл бұрын
hahha nakwambia hatare
@likeothers24983 жыл бұрын
tupo qatar
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Zembwela hizi ndio kazi zake mashallah had raha
@carolmuchiri99213 жыл бұрын
Uswahilini Kuna raha kwa kweri, Huku Ugaibuni hatupati Maisha kama hayo, Watu wapenda na Umoja 👌🤗♥️🇰🇪🇹🇿
@dulabori99223 жыл бұрын
Kweli Wapemba tupo tofauti sana na wezetu wa kisiwa cha pili kijiji kizima kinauza pombe, duh mtihani kweli
@stn48732 жыл бұрын
Hahahaha Unawakataa wazenji wenzio🤣🤣🤣🤣😍
@dr.madevualcantara47753 жыл бұрын
Home sweet home..from..Buhamour Qatar 🇶🇦💪
@shamimushittindi14183 жыл бұрын
Nimecheka
@fatmamatuma40733 жыл бұрын
Mkataa kwao mtumwa
@julianajacksoni42753 жыл бұрын
Nampenda zembwela.. Yan kavu Sana.. Mswahili aswaaa.. Aina ya vipindi hivi always unavifanya poa
@aminaomary55672 жыл бұрын
Zembwela unamaliza ugali wa Wamasera,lipa hapo 👍👍👍👍👍❤❤❤
@davicekombe90213 жыл бұрын
Hichi kipindi nina kipenda sana WASAFI congratulations 👏👏😅
@RioIpo3 жыл бұрын
Yaani sitamani nikikosee
@ericktanzanite49073 жыл бұрын
Hongereni sana Wasafi Media kwa kazi nzuri hasa ya kugusa jamii moja kwa moja
@ismailmzee42233 жыл бұрын
Wasafii 🚀🚀
@hamedmohammed89123 жыл бұрын
Dah uo mtaa mungu ausaidie mana kila unaemuangalia hayupo kawaida
@D-Man.B-Free3 жыл бұрын
Daaah,nimecheka😜😜😜
@hamisaally12863 жыл бұрын
Mtihani wallah
@aryfaryfinho21643 жыл бұрын
Mbona tupo kawaida ila tu kuna baadhi ya Maeneo na sifa ya jangombe wenyew kwa wenyew hatukabani ila mgeni dah mtaa uwo sio p hatariii
@انبنداملبن3 жыл бұрын
Zebwela mzee wetu huchoki kumbuni mashaallah
@maumaulid14523 жыл бұрын
Daah wasafi mpo juu sana
@MahmoudMohamed-ct8no3 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani tu Zanzibar raha Wewe zembwela kula maji mpaka ukwamwe ndio unywee 😂😂😂😂😂
@kidjhdf75683 жыл бұрын
Hii jambuzi mateja hadi wazee subhanallah
@sanisani52663 жыл бұрын
😂😂😂Umenionga mara ngapi khaaa
@jumanesaidi76352 жыл бұрын
Kila habari ya Mswahili, lazima iendane na kula !
@ivaniavianarodrigo72013 жыл бұрын
hongera zembwela
@ibrahimjuma48063 жыл бұрын
Mimi nimezaliwa Malindi-Nimehama Unguja 1967 kendal Kusoma Barahindi. Zamani sisi vijana tukicheza futuboli Mnazi Moja. Ninasikita sana kuona hali ya vijana wa unguja siku hizi Leo usiku baada Sala ya Isha nitaomba kwa mzemungu Insha Allah Maisha Ya Vijana wa Unguja ya badilike
@sampachino51843 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana endeleeni kuelewesha jamii 🔥🔥🔥🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@ommietrendz71753 жыл бұрын
Gongo sio chai dk 22:50 😁😁 Z: umeapata shilling ngapi? M: ah hiyo Siri yangu rasta Z: nyumbani umeacha kiasi gani? M: tsh 25000 Z: gongo unaenda na ngapi? M: tsh 12000 😂😂😂😂 jumla kapata 37000 huyo
@allydaud6123 жыл бұрын
Q
@chisaid39993 жыл бұрын
😀😀
@chesadennis2543 жыл бұрын
Zembwela nakukubali sana tangu enzi za Uswazi. With love frm Nairobi. Wasafi noma sana.
@ibrahimjuma48063 жыл бұрын
May God change your lives for better
@hanifaamani33632 жыл бұрын
Ya Rabbi tulindie vizazi vyetu ya Allah.
@dennischeyo13023 жыл бұрын
Daaah mitaa ambayo nilikuwa nahishi hapo Mtoto kutoka green City Mbeya Tz 🇹🇿
@stn48732 жыл бұрын
17:37 Ebu nyamaza🤣🤣🤣🤣
@azikamujulius35302 жыл бұрын
Mwenye dini zao jamani gongo Tena 😳🤣🤣🤣
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Well kudhibiti unga zanzibar inawezekana bila ya shaka,MH.rais mwinyi tangaza tenda watu hatuna ajira huku.
@rajabuomy4873 жыл бұрын
Waswahili.
@ramshboy62183 жыл бұрын
Mze baba yani mpaka unamaliza kipindi umesha shiba 😅😅😅camera man anabaki anaend miayo tu 🤣🤣🤣
@ramadhanomar51523 жыл бұрын
Kumbe pia wewe umeona🤣🤣🤣🤣
@kinyikaog72673 жыл бұрын
Daaa maisha aya safi sana ya doneeeee
@malikzafarani1723 жыл бұрын
Hongera zembwela
@kadulathumani75173 жыл бұрын
Real life mitaani na umasikini. Serikali ijitahidi ajira na elimu zenye maana. Yawezekana Kipindi cha maana sana mitaani. Na enjoy jinsi ya Kiswahili chenyewe.
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Kiswahili kitamu..
@stn48732 жыл бұрын
Huyo Panya Kaloa🙌🏾
@husseinchea55243 жыл бұрын
Njoo mitaa ya Mombasa uje ujionee watoto wa kiswahili walivyoharibika kwa unga yaani inasikitisha kwa kweli😭
@Wasafi_Media3 жыл бұрын
Ahsante Sana ... Tunaomba Kuwasiliana na wewe kwa ajili ya Kuja Kutengeneza Kipindi cha #Mswahili - Tutafute Kupitia namba hii hapa - 0658996473
@aryfaryfinho21643 жыл бұрын
Wasafi naombeni mfike na kuna mtaa unaitwa kwahani au miembeni au mboriborini ni mitaa ya uswazi na inajulikana kwa umafia ukiacha na jangombe
@seifsalim92703 жыл бұрын
zembwela mitaa ipo imepinda kishenxi miembeni na mboriborini
@RioIpo3 жыл бұрын
@@aryfaryfinho2164 kwahani maghorofa yetu hakuna mambo ayo ya kiswahili bro 🤣
@frankcharles38813 жыл бұрын
Yan Panya anataman Zembwera aruhusu Gongo na bhangi 😄😄😄😄
@RioIpo3 жыл бұрын
Frank hahaha nimechekaaa
@361NEWS2 жыл бұрын
😂😂😂
@twariqzungu50013 жыл бұрын
Dah kitaa changu lofo mti roho sharap San wanangu like w raisi wa mti roho abui ghalib ✌️
@abaone42883 жыл бұрын
Jitihada zitumike sana kunusuru hizi hali Zanzibar ni moja ya vivutio vikubwa sana vya utalii
@pius13593 жыл бұрын
Panya Kaloa... Upo Baridi Saaana Mwanangu... Ume kaa ki TEMEKE kabisa...
Zewbelela km zewbela kitambo sanaa uswaz daaah bongo nyosoo
@deeruta98943 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 hii kali eti wanawake wajangombe wanaoga!!!😂😂😂😂
@abdallahamad46823 жыл бұрын
Pambee shogaa... karudi baada ya mda mfupi yumajiii😄😅🤣🤣
@masscake38723 жыл бұрын
Watatu hapa ♌
@jordanjordan39353 жыл бұрын
Thamani anayo sana tu, anahitaji tu msaada tu anahitaji
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Zembwela rudi tena apo mpendae uje ukutane na sheha ambae ni mwenyekiti wa mtaa huu
@TheSalma19993 жыл бұрын
Anasema hana thamani anathamani mbele ya Mungu mpelekeni kwenye clinic ya kuacha kuvuta madawa
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
Nakubali ichi kipindi kweli
@deeruta98943 жыл бұрын
Doh!!! Huyu jamaa mkali wao yani popote yy anacheza mechi akiona msosi yupo na taharifa juu hahahahahaha
@hamedmohammed89123 жыл бұрын
Uyo mama aliejifungua mwenywe anaonkn mkabaji
@kiehbhzh70443 жыл бұрын
duh mtangazaju mroho
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Hahaha daah uswahili kuna vituko sana
@josej98883 жыл бұрын
Alipo tupo #mswahili
@idrissa093 жыл бұрын
naona ndani ya maeneo ya malaga apo bar
@khadijaa8153 жыл бұрын
Aibu
@hashimuyasini59053 жыл бұрын
Safi sana 🔥 🔥 👏
@rajabuomy4873 жыл бұрын
Pwani asema ukwame. Bara asema ukabwe
@mbotwambotwa21863 жыл бұрын
Ameongea ukweli sana wanakamatwa wanwaji wauzaji wanahonga🤣🤣🤣🤣
@mudathirmohd97213 жыл бұрын
Aslam alaikum sizani km iyo Mana ya jangombe ipo sw
@alitunu30862 жыл бұрын
Ali kimbunga😳😳😳
@twocounrieslady71653 жыл бұрын
Huyu mama anaekula embe hilo dera na kitenge alivyo vaa utadhani amevifua na maji ya kunde uuuufff.
@safiaimran44323 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@princebabu69773 жыл бұрын
Kwetu Zanzibar raha sana
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Kweli jangombe imerud kama zamani.
@mariamabdullah4893 жыл бұрын
mama anahonga sana daaa
@walidsultan74863 жыл бұрын
Hakuna maji mpaka ukabwe 😂😂😂
@bensonjulius54133 жыл бұрын
Wa like zangu
@chidymngoni45163 жыл бұрын
Wasafi 🔥🔥
@bashiryusuf96703 жыл бұрын
Pombe haramu jee ipi pombe halali ?hamna pombe halali zote ni pombe haramu
@RioIpo3 жыл бұрын
Panya kaloa bwana eti gongo yake mwisho ya buku tu ya buku 5 atakufa
@alikarisa3 жыл бұрын
Wake waongaji Waume Hadi raha
@rahimaan64813 жыл бұрын
Hahaha panya karowa yy anahongwa 🤣🤣🤣
@samclassic76133 жыл бұрын
Pindi zuri sana hili
@ashurahamisi85773 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@khdigahk42463 жыл бұрын
Hahaha Sasa mbona wanapika barazan 😅😅😅😅 unasoga ugali
@dullysaid97852 жыл бұрын
Nyumba ulokaa na panya karowa ungeingiaa ndani duuh unga mtuu
@mamachris68113 жыл бұрын
Zembwela hujachangia ugali 😄😄😄😄
@RioIpo3 жыл бұрын
Hahaha Kalaisa bwana eti unauza pambe, lakutachiio haaha wahuni sio watu
@mariammariam18123 жыл бұрын
Babu mroho uyu😀😀😀😀😁
@feifei96203 жыл бұрын
Compton
@feiz31803 жыл бұрын
Huyo dada 24.10 ameulizawa habari ya gongo mtaani akajibu hawana lakufanya . Yaani, hapo mtaani kuna mashehe na malwatan , wao hawana la kufanya. Hakika nimesikitika sana kuwa imefika muda ndugu zetu wanakata tamaa. Na makosa yapo wapi?.
@upendomapile12343 жыл бұрын
Penda wasafi
@rajabdibwa64153 жыл бұрын
Jang'ombe kweli hii🤣🤣🤣
@zahorsalum6633 жыл бұрын
Hahahaha jamanii huu mtaa noma sn.
@dianashaban73583 жыл бұрын
Panya kaloa kweli 😂😂😂😂😂
@dianashaban73583 жыл бұрын
Wanawahonga panya😀😀
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
Kijiji chote gongo🤣🤣🤣
@mabroukiddy22452 жыл бұрын
Aseee kweli ugali wa sikanka ni mtamu balaa
@idrissa093 жыл бұрын
home sweet home muembe madafu
@ireneassey7533 жыл бұрын
Yani uku matusi asee mtoto ana miak 2 anatukana matusi Yanguon ata wazaz awashuhulik ndokwanz wanafurahi atar
@johnjoseph7633 жыл бұрын
Hahahaha et embu nyamaza panya kaloa anamnyamazisha mtangazaji
@resirehema83593 жыл бұрын
Na kofia ya qatar 🇶🇦
@mosucc12693 жыл бұрын
Sema zembwela unapenda kula hahahaha
@mioszpiotrowski14673 жыл бұрын
Lakini kwakweli kazi unayofanya wakuengezee mshahara unapambana sana yaani nnakukubalikaka