Mt.Andrea Kwaya - NINA IMANI (official Music Video)

  Рет қаралды 20,527

Mt.Andrea Kwaya

Mt.Andrea Kwaya

Күн бұрын

Пікірлер: 154
@graceshangha3146
@graceshangha3146 4 ай бұрын
I am not get tired of this song kwakweli-mungu awabariki sana watumishi wa Mungu...
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen 🙏
@spirituallifeministrytanza8021
@spirituallifeministrytanza8021 7 ай бұрын
Hata usipojibu kama nilivyoomba Mungu, mimi nina IMANI na wewe maana najua unaniwazia mema.🤲🤲🙏🙏🙏
@GraceMwenda-b1g
@GraceMwenda-b1g Ай бұрын
What a wonderful voice God bless you bro
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 26 күн бұрын
🙏🙏🙏
@elizabethrichard7694
@elizabethrichard7694 6 күн бұрын
Uyu mtoto Mungu azidi kumuinua anakitu atafika mbali sana
@CalvinKaseka-bo6gm
@CalvinKaseka-bo6gm 3 ай бұрын
Nina imani na wewe Mungu kupitia Yesu Kristo.Amen.🙏🙏🙏 Mungu awabariki🙏
@NtanduJeophrey
@NtanduJeophrey 7 ай бұрын
Hakika TUNA Imani nawewe Yesu... tunajua maombi yetu kwenye huduma yako Mungu Yanafika na kazi ya Mikono yako Mungu inadhihirika siku hadi siku...
@GrolyGodwin
@GrolyGodwin 4 ай бұрын
Huu wimbo naskiliza mara nying sana..mmenibariki sana🙏🤔
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen 🙏
@godfreymhaiki8051
@godfreymhaiki8051 7 ай бұрын
Nawapenda mpaka basi mtakatifu Andrea from sifa zivume😂 to now ❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Asante sana mwana wa Mungu.
@samuelsammwak3337
@samuelsammwak3337 7 ай бұрын
Imani yangu kwako Mungu inazidi kuongezeka,Asante st.andrew's Msalato.
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@melabusahani
@melabusahani 4 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana, umenitia moyo kiukweli, Mungu awabariki zaidi❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen, Mungu akubariki pia.
@KEPHAMALINDILA
@KEPHAMALINDILA 3 ай бұрын
Mungu ni mwema ni kweli bado tuna Imani naye
@paulolupaso8054
@paulolupaso8054 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Mungu.. Huyo kijana aliyeimba hapo ndo yile wa kwenye *JAMBO MOJA?*
@sailassarison7296
@sailassarison7296 7 ай бұрын
Naaam yeye ndiye.
@paulolupaso8054
@paulolupaso8054 7 ай бұрын
@@sailassarison7296 aisee.. Mungu azidi kumuinua HAKIKA..
@pastorbenardzephaniah5123
@pastorbenardzephaniah5123 3 ай бұрын
Ntakuja siku Moja kutoa sadaka Kwa hii kwaya,wimbo huu umenisaidia ktk Mapito na nimekaribia kuvuka😢😢😢😢😢
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 22 күн бұрын
Amen, karibu sana mtumishi wa Mungu
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde Ай бұрын
Jamani nisaidieni kupata huu wimbo nikisachi vidimeta aupo haa😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢😤😤😤😤😤
@TatuJoab
@TatuJoab 4 ай бұрын
Mwanangu Sana huyo mwambie big chalinze nyama kutoka nazarethi Kwaya na obed machichimi Salam zifke
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana 🙌🙌🙌❤❤❤ Napokea baraka nikiwa Zanzibar 🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@theresiandasuya1849
@theresiandasuya1849 5 ай бұрын
Wimbo umenibariki mno, Mungu azidi kuwainua kwa viwango ya juu zaidi wapendwa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 5 ай бұрын
Amen 🙏
@JoyceBilia
@JoyceBilia 7 ай бұрын
Hakika anatuwazia mema!sifa na utukufu ni kwake alie juu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@FaithMwendi-j1g
@FaithMwendi-j1g 19 күн бұрын
Ubarikiwe kweli Mungu anatuwaz ia mama Amin
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@lizbethmayo1632
@lizbethmayo1632 7 ай бұрын
Mmenibariki sana aise Mungu bado Nina Imani na wewe aise hadi nimelia😢
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@emmanuelmakonde1353
@emmanuelmakonde1353 7 ай бұрын
Good job, may God bless you ❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@omegamwihambi2496
@omegamwihambi2496 7 ай бұрын
Kazi nzuri, Mungu akaendelee kuwasimamia
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@rosejoseph5872
@rosejoseph5872 4 ай бұрын
Mbarikiwe sana jamanii🙏🙏🙏wimbo wa ushuhuda kabisa huu🙏🙏🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen 🙏
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 7 ай бұрын
Wow! just wow, What a message from St.Andrew Choir. Hongereni sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu.
@ziporasimba
@ziporasimba 7 ай бұрын
Imani yangu ni kubwa sana kwako Mungu,,🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@BlandinaAmosi-vg5pn
@BlandinaAmosi-vg5pn 7 ай бұрын
Mungu awabariki jamani nawapenda sana nyimbo imenibariki mno 🙏🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏 asante sana
@hosianamazengo7685
@hosianamazengo7685 7 ай бұрын
💓💓💓💓 nawapenda sana jaman nabarikiwa sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@wilsonhoya7186
@wilsonhoya7186 3 ай бұрын
Mungu ni mwema sanaa
@VeronikaJohnNgoda-pl1km
@VeronikaJohnNgoda-pl1km 6 ай бұрын
Hii nyimbo sichoki kuisikiliza..balikiwen sana❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 5 ай бұрын
Amen 🙏
@harounmadulesi3608
@harounmadulesi3608 7 ай бұрын
Mwneyezi Mungu azidi kuwainua..., hakika mnatifanya tujisikie fahari wana Msalato!!!
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@JanethMgoly
@JanethMgoly 7 ай бұрын
Mbarikiwe zaidi kwa viwango vya juu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@dottolemabi6424
@dottolemabi6424 7 ай бұрын
kazi zuri🙏🙏🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 6 ай бұрын
Hakika MUNGU wetu anatuwazia Mema❤❤❤❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 6 ай бұрын
Hakika
@BetriceWilliam-s4w
@BetriceWilliam-s4w 4 ай бұрын
Nawapenda jamani inaimba vizuri sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen
@raymondmaimu2159
@raymondmaimu2159 7 ай бұрын
I got confidence with my faith in Christ😇
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen
@jameschota
@jameschota 6 ай бұрын
Ninajua mm unaniwazia mema Asante sana Mungu wangu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 6 ай бұрын
Amen 🙏
@NaomiSamuel-xu8ez
@NaomiSamuel-xu8ez 6 ай бұрын
Bwana najua mimi unaniwazia mema😊🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 6 ай бұрын
Amen 🙏
@TumainiTumainiyohana
@TumainiTumainiyohana 15 күн бұрын
Nyimbo imenibariki sana mbarikiwe 🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 10 күн бұрын
Amen 🙏
@janevevechimbwi4956
@janevevechimbwi4956 7 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua katika viwango vingine
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@sheckkikoti9420
@sheckkikoti9420 7 ай бұрын
Kwaajili ya kazi yake MUNGU Awakumbuke.
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@meshackmwaluko2956
@meshackmwaluko2956 7 ай бұрын
Mbarikiwe
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@EzraAmoni
@EzraAmoni 7 ай бұрын
Kazi nzuri Mungu wa mbinguni azidi kuwa inua
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@giftndulesi646
@giftndulesi646 7 ай бұрын
Nawapenda sana!nawafurahia,Mungu aendelee kuwatumia kwa utukufu wake
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@ngolimsuliche4626
@ngolimsuliche4626 7 ай бұрын
Mmependeza mmenibariki
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@annamagawa3995
@annamagawa3995 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana hakika mungu anatuwazia mema
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@boniphacemwaikambo5150
@boniphacemwaikambo5150 13 сағат бұрын
Amen amen amen🙏🙏🙏
@MeckKhauzen
@MeckKhauzen 6 ай бұрын
Mubarikiwe sana na bwana,Mungu unatuwazia mema hatakkama hujajibu tutakavyo
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 6 ай бұрын
Amen 🙏
@ChinyemiSenyangwa
@ChinyemiSenyangwa 7 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
🙏🙏
@Mkundahono
@Mkundahono 4 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni awatunze ❤❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen
@jacobmussa2156
@jacobmussa2156 7 ай бұрын
Nina Imani na wewe Mpka machozi najisikia mbarikiwe mnoo
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@Itzzcareen2
@Itzzcareen2 Ай бұрын
Hongereni saana hadi rahaa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 22 күн бұрын
Asante
@vicentmgomba7529
@vicentmgomba7529 7 ай бұрын
Always perfect family of God!!
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@HappyMlula
@HappyMlula 4 ай бұрын
Staff sanaaaa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
🙏🙏🙏
@FilbertLuambano
@FilbertLuambano 6 ай бұрын
Mm bnafs nataman nkohamia huko niimbe kwaya hiii
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 6 ай бұрын
Karibu sana mtumishi wa Mungu
@YohanaRichard-u1f
@YohanaRichard-u1f 4 ай бұрын
Mungu awabariki sana nawapenda jamani
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@DorisChipuza
@DorisChipuza 7 ай бұрын
Nina imani nawe YESU wangu
@OliphaKudeli-bo9mp
@OliphaKudeli-bo9mp 7 ай бұрын
Mungu awabariki katik huduma yenu hakika tuna imani na yeye🙏🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@ezekielmakililo
@ezekielmakililo 7 ай бұрын
Wimbo wa Baraka sana.YESU awatunze
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@StephanoregnaldoMahinjilla
@StephanoregnaldoMahinjilla 7 ай бұрын
Ahsantee Sanaa nawabarikiwa sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@FridaRichardMagezi
@FridaRichardMagezi 5 ай бұрын
Love you all..nice song🔥🔥🔥
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 5 ай бұрын
Thanks 🙏
@sashaasam5853
@sashaasam5853 7 ай бұрын
Nina IMANI na wewe Mungu 🙌🙌🙌
@mashagodfrey8431
@mashagodfrey8431 7 ай бұрын
Amina mbalikiwe sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@petermagosho50
@petermagosho50 7 ай бұрын
Safi sana! Mungu aendelee kuwatumia sawasawa na mapenzi yake! ❤
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@heriethchisawilo9630
@heriethchisawilo9630 7 ай бұрын
Nina Imani na wewe Mungu wangu unaniwazia mema
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@kedimonainea2597
@kedimonainea2597 7 ай бұрын
Kazi nzuri Sana Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@furahachoird.c.t7916
@furahachoird.c.t7916 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana.
@RoseAssan
@RoseAssan 7 ай бұрын
Mbalikiwe sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@sechelelaloan660
@sechelelaloan660 7 ай бұрын
Nina Imani na Mungu najua atajibu kwa wakati
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@frankmusiq7732
@frankmusiq7732 7 ай бұрын
KWAYA yetu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@kazimilykulwa2516
@kazimilykulwa2516 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa mungu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@samuelsammwak3337
@samuelsammwak3337 7 ай бұрын
Kwanin nisiamini kwamba watosha Mungu?
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Hakika anatosha Mungu.
@patricknjau3698
@patricknjau3698 3 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 22 күн бұрын
Amen 🙏
@AndreaMtakatifu
@AndreaMtakatifu 7 ай бұрын
Mungu aibariki kazi yenu.
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@EgraWilliam-oo8th
@EgraWilliam-oo8th 4 ай бұрын
Oooooh hallelujah 😭😭
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 ай бұрын
Amen
@annasuday1592
@annasuday1592 7 ай бұрын
MUNGU AWAINUE ZAIDI HAKIKA MKOJUU"+"
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
Amen 🙏
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde 2 ай бұрын
Hii nyimbo Ni kidanlodi aiyonekani kwenye listing yambozenu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto mtumishi. Una download kwa njia ipi
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde Ай бұрын
Vidimet
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde Ай бұрын
Yani kila Ninavyo Sachi siuwoni kabisaa uko vidimeta namimi siwezi kukaa Bila kuusikiliza kwakweli
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde Ай бұрын
Jamani nisaidieni kupata huu wimbo nikisachi vidimeta aupo😢😢😢😢😢😢😢😢
@ALFANOKenneth
@ALFANOKenneth 2 ай бұрын
Ameni ameni
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@LamikLijaa
@LamikLijaa 7 ай бұрын
Amen
@IsackMwaluko-rh9ym
@IsackMwaluko-rh9ym 7 ай бұрын
Amen
@mt360degreez7
@mt360degreez7 7 ай бұрын
❤❤
@EZEKIAHJOHN-ok8ui
@EZEKIAHJOHN-ok8ui 7 ай бұрын
✔✔✔
@GraceMwenda-b1g
@GraceMwenda-b1g Ай бұрын
Amen
@EZEKIAHJOHN-ok8ui
@EZEKIAHJOHN-ok8ui 7 ай бұрын
✔✔✔
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
AHADI YA MUNGU OFFICIAL VIDEO
6:13
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 57 М.
NAJUA UNANIPENDA OFFICIAL RELEASE
5:12
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 3,1 М.
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Peke yangu siwezi by St. Andrew's choir
7:42
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 72 М.
Neema Gospel Choir - Chukwu Oma Ft. Rehema Simfukwe (Live Music Video)
11:29
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 997 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
MAISHA NI BARAKA ||  MTUNZI :  EPHRAIM KASHUSHA || SOLOIST : DESPINA MDENDE
5:24
Kwaya Ya Mtakatifu Cecilia Kanisa Kuu Morogoro
Рет қаралды 24 М.
Furaha Moyoni (Live music Video) -  El Shaddai Choir Dodoma.
9:31
EL SHADDAI CHOIR DODOMA
Рет қаралды 21 М.
Mt. Andrea Kwaya - Halleluya  (Official  Music Video)
6:11
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 61 М.
UHIMIDIWE - Kwaya ya Mt. Andrea Anglican Msalato [OFFICIAL VIDEO]
7:34
Noel Chiwanga Director Mac
Рет қаралды 59 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН