Rose hujawahi niangusha natamani siku Moja tukutanetu unibariki nimekufuatilia kuanzia alibam yakwanza mpaka Sasa hongera mno
@elizabethrichard76945 күн бұрын
Uyu mtoto Mungu azidi kumuinua anakitu atafika mbali sana
@MathayoChizenga-vt4qd6 күн бұрын
Kazi nzuri sana mungu awabaliki
@Angel-b5u8 күн бұрын
❤❤❤❤
@jameschota10 күн бұрын
Yesu uliingia gharama mkubwa juu yangu, Hakika wimbo huu umenibariki sana , Mungu wa mbinguni awabariki
@Mt.Andreakwaya8 күн бұрын
Amen 🙏
@TumainiTumainiyohana15 күн бұрын
Nyimbo imenibariki sana mbarikiwe 🙏
@Mt.Andreakwaya10 күн бұрын
Amen 🙏
@RoselyneGuravi16 күн бұрын
Amen 🎉🎉❤❤
@salomelungwa92816 күн бұрын
Yesu uliingia gharama kubwa juu yangu,Ameni watumishi barikiweni sn.kaxi nzur
@Mt.Andreakwaya16 күн бұрын
Amen 🙏
@floranyefwe346417 күн бұрын
Nimerudia huu wimbo zaidi ya kumi from morning to this moment, congratulations St Andrew, God bless you immensely 🙏🙏
@Mt.Andreakwaya17 күн бұрын
Amen 🙏
@ErickGeorge-cc6zr18 күн бұрын
❤MUNGU awapandishe juuu
@Mt.Andreakwaya18 күн бұрын
Amen 🙏
@Regnard99919 күн бұрын
Kwaya yangu pendwa ya siku zote. Wimbo wenye mguso wa aina yake. Mbarikiwe Sana MSALATO❤❤🎉🎉
@Mt.Andreakwaya19 күн бұрын
Amen 🙏
@FaithMwendi-j1g19 күн бұрын
Ubarikiwe kweli Mungu anatuwaz ia mama Amin
@Mt.Andreakwaya17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@ndetakiseko267119 күн бұрын
This song is powerful! Jesus must be glorified...been listening to this song for 6 hours now Our generation is blessed to have you St Andrew, you're sweet ❤❤❤❤
@Mt.Andreakwaya19 күн бұрын
Amen 🙏
@NaomiSamuel-xu8ez19 күн бұрын
Mimi najua Yesu ANANIPENDA ❤aliingia gharama kubwa juu yangu ASANTEEE 🙏🙏 Mbarikiwe wapendwa🥰🥰
@Mt.Andreakwaya19 күн бұрын
Amen 🙏
@mariamkomba728619 күн бұрын
Hakika mnaimba vizuri sana nimebarikiwa na nyimbo zenu Mungu awabariki sana
@Mt.Andreakwaya19 күн бұрын
Amen 🙏
@EgraWilliam-oo8th20 күн бұрын
MUNGU awainue ❤
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏
@godfreymhaiki805120 күн бұрын
Mungu atupe channeli yetu na sis kwaya za ki Anglican Tuzione national wide
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
💯
@YusufuJoel-e9z20 күн бұрын
MUNGU ni mwema sana 💌
@JonathanMuhamadiSambaya20 күн бұрын
Hongereni sana watumishi wa Mungu kwanyimbo nzuli Mungu aendelee kuwaweka kwenye viwango ivyo ivyo. Lakin wapendwa mbona yule dada alieimba nitayainua macho yangu nitazame milima sijamuona kiukweli Nikiona nyimbo yenu alafu nisione ata akiimba kidogo uwa nanyongea sana jamani mwambieni tunampenda sana asikae mbali hizi nyimbo mpya kalibia zote haonekani kabisa
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Yupo hajambo kabisa, katika album hii zipo nyimbo ameimbisha utamuona .
@jesusforlife.507220 күн бұрын
Mbarikiwe kwa kutubariki na wimbo huu mzuri 🙏🏽
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏
@shukranimwihambi608920 күн бұрын
Kwaya yangu❤ Yesu aendelee kuwainua
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@ShukraniPhillip-h1n20 күн бұрын
Hakika nimebarikiwa na ujumbe huu nikitazama pendo la Mungu wetu kwa ajili yetu,ninamshukuru Mungu daima.Tuimbe na tuombe kwa ajili ya ndugu na jamaa zetu waonje pendo hili.
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏
@JaneKidoti20 күн бұрын
Yesu uliingia gharama kubwa juu yangu hakika unanipenda.❤❤❤
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
🤲🤲🙏
@jacksonjohn568621 күн бұрын
Kwaya yangu pendwa kabisa
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen
@HariethChiwanga21 күн бұрын
Amin🙏❤
@simonmpali154421 күн бұрын
Kwaya yangu pendwa❤
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Mosesndahani21 күн бұрын
ST. Andrews Mungu awabariki hakika mmekubaraka kwa Kanisa la Tanzania.
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏
@sarantebo539921 күн бұрын
Amen
@Tununsaje21 күн бұрын
Nimebarikiwa saaana❤
@Tununsaje21 күн бұрын
Nimebarikiwa saaanaa❤
@Mt.Andreakwaya21 күн бұрын
Amen 🙏
@bochelawilliam119821 күн бұрын
I'm blessed ❤
@Mt.Andreakwaya21 күн бұрын
Amen 🙏
@FarajaPhillemon-mk2kg21 күн бұрын
Nyimbo ni nzuri, mungu afungue milango ya huduma yenu. Mbarikiwe sana👍👍👍👍
@Mt.Andreakwaya21 күн бұрын
Amen 🙏
@robertjoseph896821 күн бұрын
Wooow GOD BLESS YOU ANDREA MSALATO ANGLICAN CHOIR
@Mt.Andreakwaya21 күн бұрын
Amen 🙏
@MarthaMathaya21 күн бұрын
Mbarikiwe sana❤❤
@Mt.Andreakwaya21 күн бұрын
Amen 🙏
@johnmghanga236621 күн бұрын
Nawapenda Bure wana Andrea😊
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen 🙏
@charlespolle898221 күн бұрын
Be Blessed sana, kazi nzuri 👏🏽👏🏽
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
Amen
@emanuelmagese548321 күн бұрын
God bless u blessed ones
@Mt.Andreakwaya20 күн бұрын
🙏🙏🙏
@AndersonMokiwa-is5ch22 күн бұрын
Mbarikiwe sana
@Mt.Andreakwaya22 күн бұрын
Amen 🙏
@jairusmayaka443722 күн бұрын
Huu wimbo uko wapi?
@Mt.Andreakwaya22 күн бұрын
Unakuja
@olivachadwanga22 күн бұрын
❤
@floranyefwe346422 күн бұрын
Yesu ananipendaaaa ❤❤❤❤
@happynwa215522 күн бұрын
Hongereni sana Andrea mtakatifu Mungu awainue zaidi
@Mt.Andreakwaya22 күн бұрын
Amen 🙏
@samuelsammwak333722 күн бұрын
Hallelujah
@Mt.Andreakwaya22 күн бұрын
Amen
@godblessndosa950022 күн бұрын
Yaani ninajiskia kubarikiwa sana kwa huu ujumbee,
@Mt.Andreakwaya22 күн бұрын
Amen 🙏
@godblessndosa950022 күн бұрын
Ameeeeen 🙌🙌🙌🙌
@paulolupaso805422 күн бұрын
Nawakubali sana hawa watu.. Najua Yesu unanipenda.. Mr Sailas ubarikiwe sana sana🤗👏🏾👏🏾
@sailassarison729622 күн бұрын
Amen 🙏
@vicentmgomba752922 күн бұрын
Wimbo mkubwa sana huu Mungu awabariki watumishi kazi hii ni Njema machoni pa Mungu na kwetu pia