AHADI YA MUNGU OFFICIAL VIDEO

  Рет қаралды 57,026

Mt.Andrea Kwaya

Mt.Andrea Kwaya

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@emmanuelbitungwa766
@emmanuelbitungwa766 Жыл бұрын
Nimeshiba kabisaaaaa.. 1.Ujumbe umenifanya nitubu upyaaaa 2.Nimeshibishwa mnoooo na sauti zooooote...1-4...zimesikika saaafi 3.Nyuso zimemaanisha mkiimbacho...penye usiriaz mmeonesha... tabasamu pia lilionekana ilipobidi 4.. Sololists...mmenikosha mnooooooo....mna akiba ya sololists...hapo hakuna kujiinua...ukijiinua..wapo kibaaaaaooooo.... yaaaaaani hapo nimekoshwa mnooooooooooo. 5.Myuuuuziiikiiiii.....big up....mppo vizuri mnoooo...ndo sababu kubwa pia wimbo kuwa mzuriiiiiiii... 6.Nimependa mnooo na uwepo wa Wakongwe..... nimefurahi saaaaaaaana kuwaonaaaa..... ukiingia kijiji ukakuta hakina Wazee....kikimbieeeee...Wazee ni hazina..washauri na watunza nidhamu wa kundi. 7..A...Mwalimu/Mtunzi wa wimbo.... hongera kukubali kutumiwa na Mungu kwa kuutunga wimbo huu..... Ubarikiwe sana. 7..B..Mwalimu... nakushukuru sana na sanaaaaaa.....KWA KUMUAMINI HUYO KIJANA KUWEZA KUIMBISHA WIMBO...... Kongole Sana kwako...Kijana ametulia,naamini amefuata kile ulichomuagiza afanye....Nakushukuru mnoooooo. NB.... wimbo wenu nimeuona kipande ktk group la watsp la Tumaini Kwaya..nikaamua nije niuone zaidi. Video was mwaaaaa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu. Mioyo yetu inatiwa nguvu zaidi ya kumtumikia Mungu kwa jumbe zenu. Nasi tunapokea ushauri na sala zenu na kunyenyekea chini ya mkono ulio hodari. Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu yeye astahiliye .
@exoduspaul3382
@exoduspaul3382 4 жыл бұрын
Kutoka Mt.Yohana Kwaya Ukonga Mazizini Dsm,hakika hakuna njia nyingine itakayotufanya sisi tupone zaidi ya kujinyenyekesha kwa Mungu,nyimbo nzuri sana watumishi wa Mungu,mzidi kuinuliwa sana katika viwango vingine kila siku,mlugutwe wetumami wa Mulungu,Amen...🙏🙏
@amosmchiwa5632
@amosmchiwa5632 4 жыл бұрын
Kutoka Lushoto-Tanga napokea nguvu mpya ya imani hasa ninaporejeshwa kwenye neno kwa njia ya nyimbo za injili
@emmailakozimana8257
@emmailakozimana8257 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana mchana huu hapa UK, Nyimbo yenu ni nzuei Sana watu wa Mungu ni kujinyenyekeza Mbele zake Mungu🙏🙏
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 3 жыл бұрын
Nafarijika saana nyimbo zenu ni tulivu zikiwakilisha ujumbe kamili wa Mungu hongereni saana
@georgegidion6977
@georgegidion6977 4 жыл бұрын
Huu Wimbo naupenda sana, Mungu aendelee kuwapa ufanisi na maarifa mazr ktk kutoa ujumbe na neno la Mungu kupitia uimbaji wenu
@helenchisanza435
@helenchisanza435 4 жыл бұрын
Nawapenda ndugu ktk bwana nawapenda
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
nawakubali sana mungu awabariki sana ANDREW CHOIR
@fredyamenapolinari3311
@fredyamenapolinari3311 3 жыл бұрын
Amen Amen kwakweli nimeinuka. Zaid kwakupitia wimbo huu mbarikiwe
@marymessay4257
@marymessay4257 2 жыл бұрын
Amen mmbarikiwe watumishi wa Mungu
@robertjoseph8968
@robertjoseph8968 3 ай бұрын
Wimbo umenifanya mimi nikumbuke matendo ya mungu GOD BLESS
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
hakuna njia nyingine za ya kujinyenyekesha mblele za mungu na kuacha maovu yangu nabarikiwa sana na wimbo huu mbarikiwe sana waimbaji kazi yenu njema sanaaaaa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 3 жыл бұрын
Amen mtumishi, ubarikiwe pia.
@MrKennedy61
@MrKennedy61 4 жыл бұрын
Mpo juu nawapenda
@naomichamhene7805
@naomichamhene7805 2 жыл бұрын
Hili kwaya ni Moto sana. Ee Mungu nakuomba simama na hawa waimbaji mpaka mwisho wa pumzi zao. To You God be the Glory!
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@georgegidion6977
@georgegidion6977 4 жыл бұрын
Hongera sana Mt. Andrew Msalato kwa uimbaji wenu mzr na pia nawapendeni sana ktk imani na matendo Mungu awabariki sana sana tena sanaaa!
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
sichoki kusikiliza wimbo huu waimbaji wote walioimba wimbo huu wamejipanga kwelikweli na nabarikiwa sana na wimbo huu kazi yenu njemaaaaaaa sana
@ananiangonyoka4309
@ananiangonyoka4309 4 жыл бұрын
Work done well ,blessing to our president and peoples of Tanzania, in the name of our God we shall spare it from this pandemic disease covid,19.
@georgegidion6977
@georgegidion6977 4 жыл бұрын
Aliyepiga kinanda kwenye chorus wakat anaimba huyo soloist Amenifanya kujawa na baraka Tele ktk Wimbo huu Mungu awatie nguvu wana Mt.Andrew Msalato
@gracesaulomisonge6069
@gracesaulomisonge6069 Жыл бұрын
Waoo Watumishi tumikeni vizuri,Huko Niko kwenye Hekima yoote Barikiweni sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Amen 🙏
@jemamadole1407
@jemamadole1407 4 жыл бұрын
OMG nimechelewa wapi kuona baraka nyingine hii... Asanteni sana Msalato kwaya u never dissapoint... All in all utukufu kwa Bwana Yesu kwa huduma yenu njema
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen barikiwa.
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
solo list mmeimba vizuri sana sana dada uliyemalizia solo ukojuu mno unaenda na bit vizuri na uknaimba kwa hihsa sana ubarikiwe keep it up..........
@fredrickmtangoo5071
@fredrickmtangoo5071 4 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri sana na umeimbwa vizuri pia.
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
mungu nisaidie kukupendeza maishaini mwangu
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
kijana be bless umeimba vzr
@neylonnie4352
@neylonnie4352 4 жыл бұрын
Hakika hakuna njia nyingine zaidi ya kujinyenyekesha mbele za mungu na kuyaacha maovu
@barakamhunda8908
@barakamhunda8908 3 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana wimbo mzuri Sana
@mariammalendeja370
@mariammalendeja370 Жыл бұрын
ee mwenyez mungu tupe tena rais mwingine mwenye utendaji kama wa maghufuli
@leonardmwingereza454
@leonardmwingereza454 4 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@kelvinkaijage9684
@kelvinkaijage9684 Жыл бұрын
Nikiskilazaga nyimbo hii uwa namkumbuka maghufuli na uwa najawa na woga majonzi yananijia mwishowe nabaki kumkumbuka tu mungu amlaze mahari pema peponi
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
🙏
@Est667
@Est667 4 жыл бұрын
Amen Amen. Mbarikiwe sana watu wa Mungu. Unyenyekevu ni jambo la muhimu kwa mtoto wa Mungu ili aone uzuri wa Bwana kwenye Maisha yake.
@valdachali7501
@valdachali7501 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana na huduma hii izidi kupata kibali mbele za Bwana.
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
hakuna njia nyingine zaidi kujinyenyekesha mblele za mungu... kweli jameni
@sarahwegga3439
@sarahwegga3439 4 жыл бұрын
Nimewapenda Sana wanna watch Mungu baraka nyingi ziwe na nyi
@barikiwanakwayayafaraja4320
@barikiwanakwayayafaraja4320 4 жыл бұрын
kwakweli hii kwya inanibariki sana sana.
@Regnard999
@Regnard999 3 жыл бұрын
Wonderful composition. Mbarikiwe sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 3 жыл бұрын
Amen
@ainealessi9205
@ainealessi9205 4 жыл бұрын
Asante sana huu wimbo huwa unanitia nguvu kila niamkapo kujiandaa kwenda kazini. Barikiweni sana st Andrew
@yohanamalogo865
@yohanamalogo865 3 жыл бұрын
Hongereni Mt Andrea Msalato kwa huduma yenu Mungu awabariki
@petermagosho100
@petermagosho100 4 жыл бұрын
What a singing! What a beautiful song! It touches inner part of my heart! You at the highest level you guys! God bless you and keep it! up!
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Thank you very much, blessings to you too.
@mgayamgaya
@mgayamgaya 2 жыл бұрын
Mwalimu wenu yupo vizuri sana, karibuni sana Arusha
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 жыл бұрын
Amen, tuombe Mungu atupe kibali. Tunatamani sana kuja Arusha mwaka huu.
@mgayamgaya
@mgayamgaya 2 жыл бұрын
@@Mt.Andreakwaya kARIBUN SANA MKIKARIBIA KUJA WEKENI TANGAZO KZbin KWAKUWA WENGI TUMEWASUBCRIBE
@FredyAluminium
@FredyAluminium Жыл бұрын
Amen Amen hakika ujumbe umejitosheleza
@kelvinkaijage9684
@kelvinkaijage9684 2 жыл бұрын
Dar es salaam tunawapenda nyie msalato mbalikiwe
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
dada aliemalizia kuimba solo umeimba kwa hisia na kumaanisha so good
@MagretMasanja
@MagretMasanja Ай бұрын
Amina ,tuaChe njian mbaya
@sechelelaloan660
@sechelelaloan660 4 жыл бұрын
Tukimtafuta Mungu kwa bidii yeye anaonekana
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 Жыл бұрын
haina haja kujisumbua ni kuacha maovu ili mungu apigane upande wangu
@gracesaulomisonge6069
@gracesaulomisonge6069 Ай бұрын
Barikiweni sana
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 3 жыл бұрын
mbarikiwe sana nawapenda
@fredrickmtangoo5071
@fredrickmtangoo5071 4 жыл бұрын
Mungu awabariki.
@Iam.Chilion
@Iam.Chilion Жыл бұрын
Truthbe said, Tanzanians are the best singers
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 Жыл бұрын
nikitaka kumwona mungu ni lazima nijinyenyekeze kwa mungu
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya Жыл бұрын
Hakika
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 4 ай бұрын
Kumbe ili tupone ni lazima tuyaache maovu yetu 🙏
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Ай бұрын
Tunaomba wimbo mzima
@chefserengetipioneercampel6310
@chefserengetipioneercampel6310 2 жыл бұрын
NA BARIKIWA SANA NA WIMBO HUU MBARIKIWE WAIMBAJI
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 жыл бұрын
Amen
@kelvinkaijage9684
@kelvinkaijage9684 2 жыл бұрын
Uyu kjana wa kiume alinikosha kwenye nyimbo ya jambo moja aliua hatar
@samsonleonard7415
@samsonleonard7415 4 жыл бұрын
Hongera sana,
@gracemwaluko7129
@gracemwaluko7129 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwabariki kwa kazi hii mliyojitoa kuifanya kwa ajili yake🙌🙌
@Regnard999
@Regnard999 3 жыл бұрын
Kijana wa kiume uliyesolo una kipaji cha tofauti sana. Mungu aendelee kufichua karama iliyomo ndani yako. Masolo wote mmefanya kazi nzuri mno!! Mtunzi ana viwango vya juu sana maana melody aliyotumia ina mvuto wa aina yake. Mzidi kubarikiwa St. Andrew Msalato😍😍😍
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 3 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe pia mwana wa Mungu
@jacobezekielhoya1626
@jacobezekielhoya1626 4 жыл бұрын
mbarikiwe sana....kazi nzuri
@shukranindahani1178
@shukranindahani1178 2 жыл бұрын
Kwakwel kaka mungu akubarikiri uzidi kumtumikia maana amekujaria sauti nzur kwamakusudi yake
@nenelwatuppa8546
@nenelwatuppa8546 4 жыл бұрын
Kazi nzuri watumishi wa Mungu. Am blessed a lot with the song so blessed.
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen
@nurukabia9631
@nurukabia9631 3 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🙏daaaaaah
@elkanamtangoo9768
@elkanamtangoo9768 4 жыл бұрын
Wow! What a song. Blessings
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Thank you, blessings to you too
@edithakihenyi5066
@edithakihenyi5066 2 жыл бұрын
Mnajua mnajuaaa uwiiii
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@vicentmgomba7529
@vicentmgomba7529 4 жыл бұрын
Amen mmeinuliwa juu wapendwa mbarikiwe kwa kazi njema
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen. Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu
@kelvinkaijage9684
@kelvinkaijage9684 Жыл бұрын
Kiukwel wimbo wenu huwa unaninpa uwoga sjui kwa nn
@gladychimbwi2407
@gladychimbwi2407 4 жыл бұрын
Mbarikiwe
@Its_selestine
@Its_selestine 4 жыл бұрын
Well vocalized be blessed
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Thank you, blessings to you too
@doublebbenjaminbutta4558
@doublebbenjaminbutta4558 4 жыл бұрын
Kazi ni njema sanaaa
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Asante mtumishi.
@faithwilson8591
@faithwilson8591 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua kazi nzuri
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen
@amaniulanga4724
@amaniulanga4724 4 жыл бұрын
Amen. Mungu wa Mbinguni ni mwema kwenu. Kila la heri
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen
@ManziElysee-xh1nc
@ManziElysee-xh1nc Жыл бұрын
Huyu kijana anaegonga apo mungu amubariki na mbingu zinene mema juu yakeeeee. Kaman anacimu naweza pata number yake
@omegamwihambi2496
@omegamwihambi2496 4 жыл бұрын
Amen mbarikiwe kwa kazi nzuri
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen
@wemamoses7836
@wemamoses7836 4 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa huduma ya uimbaji
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen
@lizbethmayo1632
@lizbethmayo1632 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua kazi nzuri sana hongereni sana
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Amen.
@martnedidace3110
@martnedidace3110 2 жыл бұрын
Blessings voices
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@mariammalendeja370
@mariammalendeja370 Жыл бұрын
mm naomba mutoe haya maneno ya maghufuli mana nikiskia saut yake nabaki kulia mana alikuwa malaika kwa nchi hii yetu
@augustinoseganje4088
@augustinoseganje4088 4 жыл бұрын
MUNGU awatunze hakika
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Tumekukumbuka mwanakwaya wetu. Habari ya uzima mtumishi
@augustinoseganje4088
@augustinoseganje4088 4 жыл бұрын
Nimewakumbuka kweli, natamani nipate wasaaa niwaone, nishiriki baraka pamoja nanyi....
@kaizachengula7049
@kaizachengula7049 4 жыл бұрын
@@Mt.Andreakwaya natumia muda mwingi kufuatilia kazi zenu mzur na barikiwa sn nikija dodoma nitawatembeleeni
@kaizachengula7049
@kaizachengula7049 4 жыл бұрын
huyo dogo ni hazina kubwa waandaeni wengine kama huyo namfuatilia tokea akiwa mdogo anakitu kikubwa sn
@samuelsammwak3337
@samuelsammwak3337 4 жыл бұрын
So its upon us the called ones and God will save the world.
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
Thats right.
@heriethchisawilo8781
@heriethchisawilo8781 4 жыл бұрын
Nabarikiwa nisikiapo huu winning, Mungu aendelee kuwatia nguvu ya tofauti, Haleluya. Mama chomolla
@heriethchisawilo8781
@heriethchisawilo8781 4 жыл бұрын
Wimbo na siyo wining.
@Regnard999
@Regnard999 3 жыл бұрын
On replay
@petermagosho50
@petermagosho50 9 ай бұрын
Hivi nani huwa anatunga nyimbo zenu? Yaani mtungaji na waimbaji ni kiboko. Halafu nyie mnachukulia poa sana, MNAJUA MNAIMBA ISIVYOKAWAIDA? AIIISE! Halafu nyimbo zenu zina radha fulani pekee pekee! Yaani, Ee Mungu usiwaache hawa watu!
@petermagosho100
@petermagosho100 4 жыл бұрын
Much love
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 4 жыл бұрын
🙏
@sarantebo5399
@sarantebo5399 4 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘
@daudichinyuli2677
@daudichinyuli2677 4 жыл бұрын
Bado
@zaitunikamoga7435
@zaitunikamoga7435 3 жыл бұрын
Be blessed by god
@Mt.Andreakwaya
@Mt.Andreakwaya 3 жыл бұрын
Amen.
@sailassarison7296
@sailassarison7296 4 жыл бұрын
🙏
@FredyAluminium
@FredyAluminium Жыл бұрын
Amen Amen hakika ujumbe umejitosheleza
Nayaona Maono by St. Andrew's choir
6:05
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 74 М.
NAJUA UNANIPENDA OFFICIAL RELEASE
5:12
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 3,1 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
🔴ICYAMBU LIVE CONCERT: MBONYI akoze AMATEKA MURI BK ARENA
11:33
RWANDA TRENDS
Рет қаралды 3,3 М.
Tabia ya Mungu by St. Andrew's choir
6:17
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 28 М.
NAYAONA MAONO - Kwaya ya Mtakatifu Andrea Anglican Msalato [Official Video]
6:10
Noel Chiwanga Director Mac
Рет қаралды 6 М.
MACHO (Kwaya ya uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu Dododma)
8:23
Uvuke Kwaya Kanisa Kuu - Anglican Dodoma
Рет қаралды 31 М.
Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)
7:56
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 964 М.
UTUPE NGUVU BWANA
5:02
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 9 М.
Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu
8:17
Israel Mbonyi
Рет қаралды 13 МЛН
Peke yangu siwezi by St. Andrew's choir
7:42
Mt.Andrea Kwaya
Рет қаралды 72 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН