Mt. Don Bosco Kimanga - Ni Shangwe tu (Hongera Kadinali Protase Rugambwa)

  Рет қаралды 24,798

KMD KIMANGA

KMD KIMANGA

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@allexisaya6590
@allexisaya6590 Жыл бұрын
Ohhhhhhh my God wimbo mzuri sana tulioangalia zaidi ya mara tano gonga like apo kutoka Arusha nawapata vema
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 Жыл бұрын
Hongereni...sauti taaamuuuu kenya twawapeda
@jumemerular15
@jumemerular15 Жыл бұрын
Mungu akamjaze hekima zake Ili azifikishe roho za watu kwake Mungu.
@LawiMbeleselo
@LawiMbeleselo Жыл бұрын
Hongera sana kwenu Kwa uinjilishaji
@richardmaganga3441
@richardmaganga3441 Жыл бұрын
Hongera sana wana kimanga Pia hongera sana mwl na mpiga kinanda mashibe ninakukibali sana kwa ubunifu wako wa kupiga kinanda.
@justindaniel1495
@justindaniel1495 Жыл бұрын
Hongereni sana don bosco kimanga mmeupiga mwingi sana duh? Pia Hongereni don bosco media kwa kazi nzr sn
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 Жыл бұрын
Baraka mashibe kinanda unakipiga hongera Sana hakika upew Maua yako
@LawiMbeleselo
@LawiMbeleselo Жыл бұрын
Mungu awabariki sana🎉🎉🎉🎉
@victorodehe6160
@victorodehe6160 Жыл бұрын
Hongereni Wana KMD-K na kwake Protase kwa mafanikio katika kazi yake
@valentinalichius5467
@valentinalichius5467 Жыл бұрын
Ila waroma sisi tunajuaa kuimba bhn ❤
@gaudencehyera1475
@gaudencehyera1475 Жыл бұрын
Nimewaona na Malkia wa Nafsi, hongereni kwa kwenda na Alama za Nyakati
@petermarwadelighton3544
@petermarwadelighton3544 Жыл бұрын
Woyoooooooooo aiseeeeee The best🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fredrickmboya1910
@fredrickmboya1910 Жыл бұрын
Don Bosco Media🎉🎉🎉 Don Bosco choir🎉🎉🎉
@alicejosephat3498
@alicejosephat3498 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzur
@HappyNkwabi-nj9ey
@HappyNkwabi-nj9ey 6 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@louisaliheta3956
@louisaliheta3956 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana...Hongea KMD
@faharitv.3468
@faharitv.3468 Жыл бұрын
Chukueni mti wenu wa maua🎉 nawapenda sana ❤
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 Жыл бұрын
Hongeren San kwa wimbo mzuri mungu azidi kuwa bariki
@RodgersMwakio-nk4sr
@RodgersMwakio-nk4sr 11 ай бұрын
A nice song congrats,it is well arranged and organised
@denismaunda3102
@denismaunda3102 Жыл бұрын
Audio Distortion but hongereni sanaa
@romanilyimo
@romanilyimo Жыл бұрын
Ongereni sana wa KMD mmeupiga mwigiiiiiiiii mno ongereni kwa utume mwema Mungu azidi kuwatunza ktk utume enu hila nitakua mchoyo wa fadhila nisipompa mpiga kinanda ametisha mnoooooooo. Amina nyingi sana
@RosenaMbilinyi-sz1ee
@RosenaMbilinyi-sz1ee Жыл бұрын
Ni shangwe sanaaa hili bonge la nyimbo aloh
@johnmagigi5866
@johnmagigi5866 Жыл бұрын
Hongereni Sana, kazi nzuri
@kishaishengoma6724
@kishaishengoma6724 Жыл бұрын
Kweli nimewapenda bure ninyi Wanakwaya mmekuwa shap sana
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 Жыл бұрын
Aiseeeee!! I have nothing to say,mmeupiga mwingii mnoo pongezi kwa kamati ya ufundi,waalimu, na kwaya yote.
@Ihi-l3u
@Ihi-l3u Жыл бұрын
Wazo ni zuriiii sana kongole kwenu ila AUDIO INA MAKELELE(Distortion) na VIDEO RANGI MBAYA sio kwa ubaya lakini 🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️🚶🏽‍♂️
@josephmgalilaya
@josephmgalilaya Жыл бұрын
Wengi hawapendi kuona comment zinazosema ukweli kama hii ila kwa lengo la kujiimarisha ni bora kupata wachache watakaosema ukweli kama huu 👏🏽👏🏽👏🏽 Hongereni kuteleza sio kuanguka
@NeemaYoram-w7g
@NeemaYoram-w7g 6 ай бұрын
Wew uliyotengeneza yako tukaiona iko wapi? Watu wengine sijui huwaga mnafikilia kwa kutumia meno? Kama unaona kunashida mfuate mtu private umueleze. Watu wengine hatupendi kujifanha unajua wakati haujui. Hizi kazi watu wanaandaa sio kwamba hawatumii akili. Sio kila kazi ifanane.. Ukitaka iliyotofauti leta yako tuone
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 Жыл бұрын
Asante Don Bosco wimbo mzuri sana
@EnericaKajuti-cr5ec
@EnericaKajuti-cr5ec Жыл бұрын
Nyie ni kiboko mnaweza sana❤
@AvinusRogation
@AvinusRogation Жыл бұрын
Unyamaaaa ni mwingi🎉🎉🎉🎉
@sinjemoses6759
@sinjemoses6759 Жыл бұрын
Wow bravo Donbosco
@samwelobed3205
@samwelobed3205 5 ай бұрын
safi sana kwaya ya mtakatifu don bosco kutokea parokia ya kristu mchungaji mwema tabata kimanga hakika mnainjilisha vizuri katika utume wenu wa kuimba kama vijana wanavyosema hakika umeupiga mwingi mtunzi na mpiga kinanda wapewe maua yake
@alexkabogo6865
@alexkabogo6865 Жыл бұрын
❤ hongereni sana KMD wimbo umefana sana
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Жыл бұрын
Hakika ni shangwe
@leokadiafuko4010
@leokadiafuko4010 Жыл бұрын
❤🎉🎉🎉🎉🎉Hongereni sanaaaa 👌👌👌👌
@MrsGallusiMahundi
@MrsGallusiMahundi 9 ай бұрын
Very smart big up madirector
@fidelisluvanda3585
@fidelisluvanda3585 Жыл бұрын
Hongereni Kwa kazi nzuri sana
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 Жыл бұрын
Hongera kwanza kwa idea ya kuimba wimbo wa pongezi kwa Baba Kadinali, pia hongera kwa wimbo mzuri na uimbaji mzuri.
@fredrickmboya1910
@fredrickmboya1910 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉ni Shangwe tu😊
@beatricemayala8217
@beatricemayala8217 Жыл бұрын
Hongereni sana nimebarikiwa sana na huu wimbo, Mmeimba vizuri sanaa🎉🎉🎉❤
@EsterAmon
@EsterAmon Жыл бұрын
Kweli ni shangwe.Nice song
@christermodest9832
@christermodest9832 4 ай бұрын
Hongera sana Gerald
@JohvanJackson-qk6om
@JohvanJackson-qk6om Жыл бұрын
💒💒 may der almighty bless KMD KIMANGA
@evalinakiria8221
@evalinakiria8221 Жыл бұрын
Ni Shangwe Tu🔥🔥🔥
@adelinusacleus4237
@adelinusacleus4237 Жыл бұрын
Hongeraa sana kwa uinjilishaji
@eliasmajawanga4794
@eliasmajawanga4794 Жыл бұрын
Nice Nice Nice Indeed. 🔥🔥🔥
@valentinalichius5467
@valentinalichius5467 Жыл бұрын
Mnajua sanaaaaa jamani ❤
@Suzanpaul86
@Suzanpaul86 Жыл бұрын
Awèèee wimbo mtamuuu💥💥💥💥💥
@fabiankaduka3754
@fabiankaduka3754 Жыл бұрын
Utunzi mzuri sana....Hongera kaka Mashibe
@ediphoncendakidemi265
@ediphoncendakidemi265 Жыл бұрын
KMD Kimanga mmeupiga mwingiiiii👏👏👏👏💪🤣🤣🤣🤣 Hongera nyingi Sana kwenu kwa wimbo huu mzuri🙏🙏
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Жыл бұрын
Vijana bigup nimewaweka kwenye Frash ili niendelee kuwafurahia.
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy Жыл бұрын
Hongereni Sana
@GozibertBampigaRevelian-qb4hz
@GozibertBampigaRevelian-qb4hz Жыл бұрын
Hakika nishangwera sana
@kelvinnyb
@kelvinnyb 10 ай бұрын
Amina
@georgeobungu6153
@georgeobungu6153 Жыл бұрын
May the Lord continue blessing you even as you continue blessing us with beautiful tunes. Be blessed 🙏🙏
@eltonlibongi6909
@eltonlibongi6909 Жыл бұрын
Naam naam, hakika ni shangwe 🔥🔥🔥🔥🔥
@LawiMbeleselo
@LawiMbeleselo Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@juliusmartin846
@juliusmartin846 Жыл бұрын
Kazi iliyo tukuka
@franciscakomba9532
@franciscakomba9532 Жыл бұрын
The wait is over😊 Hongera baba kardinal🙏🏻
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 Жыл бұрын
Wow
@prurenalogistics6182
@prurenalogistics6182 Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💥👋👋👋
@elizabethmsukwa5420
@elizabethmsukwa5420 Жыл бұрын
Nishaangwe Sana wao wimbo unasisimua balaa 🙏🙏🙏🙏 Hongereni Sana Wana kwaya ya Mtakatifu Don Bosco mko🔥🔥🔥🔥
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Excellent piece of work can't get enough of it. Hongera sana watunzi na wanakwaya kwa kazi nzuri
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@oswaldmgaya8935
@oswaldmgaya8935 Жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa kwa kazi nzuri. Mungu awabariki sana. Hongera sana Kwa Kanisa zima la Tanzania.
@peterpaschal1117
@peterpaschal1117 Жыл бұрын
Hakika mmeupiga mwingi❤
@dominarobert4063
@dominarobert4063 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🎵🎹🥰
@urayboy2347
@urayboy2347 Жыл бұрын
What a kibudu
@SophiaShayo-n9w
@SophiaShayo-n9w Жыл бұрын
🔥🔥💯
@peterelias3975
@peterelias3975 Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥
@wolframkifaru1226
@wolframkifaru1226 Жыл бұрын
Wewe NI ALAMA ya KANISA ISHARA YA UNYENYEKEVU
@hellen2ruka548
@hellen2ruka548 Жыл бұрын
Hakika ni shangwe
Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)
9:11
Mt. Don Bosco Kimanga - Amani ni Tunu (Official Music video)
7:52
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 45 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 3,5 МЛН
MDOGO MDOGO-Deo Nkoko | John Paul II Mbeya Choir (JMC) |
7:58
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 92 М.
Hekima Ya Mungu - St.Karoli Choir (Official Music Video)
7:30
St. Karoli
Рет қаралды 222 М.
KWAYA YA MT.CECILIA(KMC-M)-(NYOTA YETU MAMA MARIA(OFFICIAL MUSIC VIDEO)-//Mtunzi:LAWRENCE KAMEJA
4:36
NITUMIE KAMA UPENDAVYO    |  D.KASHATILA | MT.DON BOSCO NIT
5:30
Don Bosco NIT
Рет қаралды 24 М.
Mt. Don Bosco Kimanga - Kawekamo (Official music video)
6:11
KMD KIMANGA
Рет қаралды 11 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43