🚨Al hilal 0-1 Yanga,Kiufundi Tathimini Ushindi wa Yanga na mikakati ya kuwavaa mcalger

  Рет қаралды 9,628

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@biggievandar254
@biggievandar254 13 күн бұрын
Wachambuzi mchongo Hee
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 14 күн бұрын
Mbona hamuuliz mechi ya Simba? Tano Moja?
@robertzamani5612
@robertzamani5612 14 күн бұрын
Yaan nyie wachambuzi mmeona mechi ya Tabora tu
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 14 күн бұрын
Mleteni Simba apime kina cha maji atajua
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 14 күн бұрын
Oruma ulitama Yanga wafungwe... Sasa ujifunze kwa matokeo ya Jana. Nahiyo sare unayoisema haipo. Lazima mtu achapwe kwa mkapa.
@kolosii4351
@kolosii4351 14 күн бұрын
Waachezaji wetu wawe wanafocus kwenye mchezo tu, mashabiki wafanye kazi yao kwa nguvu zote.
@kolosii4351
@kolosii4351 14 күн бұрын
Nyie ndo mnampa presha. Mwacheni apambane.
@ChapanyotaMwaifunga
@ChapanyotaMwaifunga 14 күн бұрын
Yaani timu imeshinda,tuna mjadili dube?daah hii ndio bongo anatakiwa kufunga kilasiku
@MuhammedAbdallah-h2t
@MuhammedAbdallah-h2t 14 күн бұрын
WEWE MCHEZO WALIPEWA TU TUONEBASI MBELE YA MWARABU NA WAO WANAUTAKA MCHEZO
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 14 күн бұрын
Wewe ulivyofungwa na yanga ulimpa tu,makolo hamkosagi maneno Yanga ipo club bingwa na sio shirikisho kwa vibonde,kaa tulia hii ndo Yanga
@MarryIdabu
@MarryIdabu 14 күн бұрын
Mdomo huwa unawaponza wengi hakuna wabaya wa Yanga ambao waliweka matumaini kama Yanga itafika hatua hii,Yanga wapewe mchezo ana undugu na Al hilal?kwenye ukweli kubali ❤❤❤❤❤❤❤ Yangaaaaaaaa
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 14 күн бұрын
Tafuta buyu ukune kijana....
@SehlmMchemia
@SehlmMchemia 14 күн бұрын
inamuuma ehee
@SebaProcess
@SebaProcess 14 күн бұрын
Fatilia mechi alizo cheza Al hilal kama sio ya Jana ndo wapefumu kuliko mechi zote muwe mnaangalia takwimu kabla ya kuongea
@BoniphaceHaran
@BoniphaceHaran 14 күн бұрын
Lete team yako nawewe, kwani hujafungwa
@MuhammedAbdallah-h2t
@MuhammedAbdallah-h2t 14 күн бұрын
DUBE ANALAANA HAENDI KANISANI
@sharifaesha6595
@sharifaesha6595 14 күн бұрын
😂 jamn
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
UCHAMBUZI JUSTIN KESSY | HII YANGA SASA IMESHINDIKANA
15:52
MATOLE TV
Рет қаралды 70 М.
Magoli Yote Yanga vs Al Hilal SC 1-0 Highlights leo 2025 Al Hilal vs Yanga Young Africans
10:03
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 138 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН