One of the National Assets.. Mr. Godbless Lema .. Akili Kubwa ✌🏾
@godwinkasaizi88214 күн бұрын
Good, Mr. Lema. God Bless You.
@bestman365114 күн бұрын
Full Dose ktk ubora wake. Bravo
@richardmwita908514 күн бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Lema wewe ni icon kubwa ktk nchi hii na ukombozi
@TanzaniaAbroadTV14 күн бұрын
Comrade umekiwasha sana tunakutegemea sana
@LuciaAgustino-pt5mg14 күн бұрын
Mungu nimwema akubariki chama naviongozi wake
@KhalidAlly-je8ky14 күн бұрын
Upo sawa brother
@ebitariho972014 күн бұрын
LEMA IS GENUINE LEADER. YAANI MTU ANAYE ONGEA UKWELI UNAWEZA UKAUSIKIA KWENYE SAUTI NA ukauona kwenye FACIAL EXPRESSION.
@bettyinyasi178014 күн бұрын
Damu y Yesu ikulinde sana❤❤❤❤❤❤
@NzingulaSonda-lo1qc13 күн бұрын
Hiyo damu ya yesu haina kazi au kwendra huko
@davidmloge727714 күн бұрын
🔥🔥 Mwaka wetu huu🔥🔥
@AllyWajihi14 күн бұрын
Jamaa yupo real sana huyu
@LiberiusKajoki14 күн бұрын
Kwakweli mimi nakuelewa sana mr lema.
@sambulugu998814 күн бұрын
Safi sana Lema!
@danielshirima39114 күн бұрын
Akili kubwa sanaa Lema ni mmoja tu asee🙌🙌🙌🙌
@Ushauri23514 күн бұрын
Safi sana lema kwaukweli
@superexpertpst255.313 күн бұрын
Lema nakuelewa Sana siku nyingi Toka ukiwa bungeni nawafatilia na kuwakubali wewe lema , lissu, na heche mpo 🔥🔥 sana
@marieconnect638913 күн бұрын
Tatizo kwenye maokoto lema hakuwa muwazi kuna wakati alifanya chama kama sacos yao. Mambo ya pesa hayako hivyo. Chama kina watu wengi.
@MiriamAziz-z5t14 күн бұрын
BRAVO KOMREDI LEMA!
@timothylukindo983914 күн бұрын
Kaka unatisha sana
@WalterLockManagement14 күн бұрын
Well articulated Mr Lema
@Thevineyard988914 күн бұрын
Wenje jana alionekana wazi kuwa alikuwa amelewa. Na alikwenda kulewa ili kutoa aibu ya kuweza kusema uongo wake kwa ujasiri
@gabrielnjiapanda371014 күн бұрын
Lema Kichwa sana aiseee.....
@EZEKIELKASHINJE-w9f14 күн бұрын
Piga Spana🙌🙌
@melichmahingule289614 күн бұрын
Mbowe hewa kabisa, Rema upo vizuri
@worldsmagic302414 күн бұрын
Lema, sio Rema.
@FikiriSarangi14 күн бұрын
Good
@JoabJasson-u9t14 күн бұрын
Lema anafundisha ambao Wapo tayari kusikia kweli .Ukweli wenye kweli uliwaumiza wengi kama Yesu,shedrack na abedinego,Petro lakini kweli yako imewafungua watu wengi na Sasa Wapo huru kifra .Mungu akubariki
@ZacchaeusKahemela14 күн бұрын
Well said
@simonibonifasi313114 күн бұрын
Emwenyezi mungu mulinde huyukamanda wetu
@HijaSalimu12 күн бұрын
Lema up
@ebitariho972014 күн бұрын
Mbowe kama kweli anaamini chadema ni kubwa kuliko interest zake. Basi huu ndio wakati wa kuonyesha dhamira yake ya kulinda chadema kwa kujitowa kwenye uenyekiti
@bsmonline848214 күн бұрын
Hawezi yule inavyoonekana CHADEMA ni sehemu ya mambo yake kufanikiwa
@voomtv125414 күн бұрын
Nataka kijiunga chadema kwa ajili yako mbowe insha'Allah
@petroyohana112614 күн бұрын
Akili kubwa 🎉🎉
@emmanuelgastine982614 күн бұрын
Huyu mbwa huwa anaongea fact kiasi kwamba labda anapewa na Mungu, simuiti mbwa kwa maana ya mnyama ila kwasababu ya akili yake nyingi,daaa! hata ungekuwa chama Cha upinzani hii ni must listen
@SaraSara-i1l14 күн бұрын
Umeeleweka kaka haikuwa na sababu ya kumjibu..maana alivyokua anarapu nyuma mbele😂 wenje tuliza mshono
@AnaniaIsaya-z9g14 күн бұрын
SAFI SANA KAKA LEMA TUNAKUELEWA SANA WEWE NA LISSU
@MtanaRashid14 күн бұрын
Hazina ya taifa
@AhmeidYussuf14 күн бұрын
Mm niko Zanzibar ila tambua wenje n mpumbavu hat mi ningemjibu
@thadeimlowe78613 күн бұрын
Aliyejibu swali la namba yuko smart sana
@NyangoboNyangobos14 күн бұрын
Lema lisu heche mkishinda hakikisheni tunamrudisha msigwa na slaa chadema mmetufumbua macho tumejua ukweli kamanda Mungu awabariki
@athumanhassani80514 күн бұрын
Tunaitaji viongozi kama rema❤
@walidmgonja364414 күн бұрын
Mh!rema tena,sio lazima nawe ucomment,bora ungekaa kimya
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm14 күн бұрын
Lema sio rema
@petroyohana112614 күн бұрын
Mheshimiwa Lema 🎉🎉🎉
@GeorgeAkasha-zx2rj11 күн бұрын
Daah😂😂😂, eti muepuke Wenje(Siasa hizi).
@giselamndeme777614 күн бұрын
Waoooo Yesu akutunze kaka🫶
@ignacedaniel420414 күн бұрын
Akili kubwaaaaa
@mwanzatv461114 күн бұрын
Lisu for life
@mwansasu14 күн бұрын
Naaam!
@gregoryogweyo459814 күн бұрын
Masha afanye press kesho
@marieconnect638913 күн бұрын
Inaonekana bwana Lema uko makini sana kwenye kutengeneza makusanyo lakini siyo nzuri kwenye kuweka matumizi wazi. Umesema nwenyewe kwa kurudia rudia kuwa ulipanga na kuelekeza matumizi unavyojisikia wewe kama vile chama ni chako binafsi. Hiyo haijakaa vizuri.. Matumizi hayakuwa yanaidhinishwa na chama bali wewe umetoa oda tu na kujichukulia unavyonisikia. Hiyo haileti taswira nzuri kwako wala kwa chama cha watu wengi
@marieconnect638913 күн бұрын
Kweli kabisa
@marieconnect638913 күн бұрын
Absolutely
@PaschalBoi-z8h14 күн бұрын
Napenda kuona chadema ikiw mikononi mwa lisu,heche,lema na mnyika
@dostovan514214 күн бұрын
Man and a half
@MASOUDSALUM-r5r14 күн бұрын
Uzuri wa lissu lema Heche hatujasikia kuwa ni wezi hata siku moja
@JosephMichaelMabula14 күн бұрын
Mpaka hapo lisu 3 mbowe 0
@allyiddakizimana710314 күн бұрын
Akishinda Tundu Lissu upinzani utaanza kupata nguvu tena na uchaguzi wa 2025 unaweza kuwa mgumu kwa CCM
@rashidbakili435314 күн бұрын
Na ata wabunge wa upinzAn wataongezeka
@marieconnect638914 күн бұрын
I wish Magu angekuwepo naye aweze kujitetea tuhuma anazobebeshwa akiwa kaburini. Siasa bana noma sana. Huo ndio uchungu wanaoupata watanzania familia yake na ndugu zake, viongozi waaminifu, na watanzania ambao ni wengi waliompenda Magu. Sera zake na utekelezaji wa kazi ulileta manufaa makubwa sana ya wananchi hasa wa chini. Siasa michezo michafu aisee. Kuumbuana ndio mkakati wa kupanda juu kisiasa.
@RomanMwinyi14 күн бұрын
Kwani kufungia siasa uwongo au kupiga lisasi lisu uwongo we vp mzee mzee wetu alifelii padogo
@GeorgeAkasha-zx2rj11 күн бұрын
Masikini na wajinga ndo walimuona Magu kama mkombozi wao ila matajiri na wenye elimu waliteseka sana enzi za Magu. Magu alikuwa mtu wa visasi na roho mbaya na alichofanya ni kubana uhuru wa vyombo vya habari na kuzuia mikutano ya siasa ili kulinda na kuficha uozo wake na matokeo yake hapo aliaminisha kundi la wajinga kama wewe.
@ramadhaniOsujacki14 күн бұрын
Kiukwelii lema wewe ni mkweli sana hasa inspswa uwe kiongozi mkubwa ukiwa pamoja na tundu lisu hata bila mbowe chama kinaweza kuwa kubwa zaidi hata msipochukuwa dola me naona bado itakuwa vizuri sana kwa kuenndelea kuisemea serekali ili ifanye vizuri kwa maslahi ya wanachi wetu wa tanzania mungu ibariki tanzania mungu ibariki viongozi wetu wa upinzani wapatikane wanaoweza kuriski maisha yao kuiponda serekali ili wananchi wake wapate haki stahiki
@mkingaJulius-u5y14 күн бұрын
Sisi watu wa tarime tunamujua wenje ni mtu ambae haeleweki.
@KubiniNkondo14 күн бұрын
Tetea Haki za Binadamu lakini usiuawe.Hiyo ndiyo Sheria Kuu ya Mwanaharakati yoyote ya waki za Binadamu.
@Jonathan-g4h14 күн бұрын
Wenje tapeli tu
@DR.SAIFILLAH.536313 күн бұрын
CHADEMA ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania 🇹🇿 na kina ushawishi mkubwa ila kuna mambo fulani waliyoyafanya toka mwaka 2015 na haya yanayoendelea sasa yanaondosha uaminifu na imani kwa baadhi ya watanzania wenye akili na kufikiri.
@MohamedMohamed-jc3fi13 күн бұрын
Lema kila kitu mkeo😂😂😂
@RamadhanNassoro-lu1wf14 күн бұрын
Lema tumekuelewa uko sawa mungu atawapigania ktk ukweli huo
@nakalikyumile323413 күн бұрын
Kupiga picha kwenye madaraja😂😂😂😂 hii kweli ujinga huu upo kwa waafrika wengi wapuuzi
@starlily0714 күн бұрын
Tenda wema usingoje shukrani, hakuna kanuni ya kumtendea mtu wema halafu unasubiri akurudishie wema wako, ukitenda wema kwa mtu atakulipa Mungu kupitia watu wengine period.
@OSWARDMJWAUKI13 күн бұрын
Mtumishi lema.
@joshuasarakikya144214 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@marieconnect638913 күн бұрын
Nahisi hiyo join the chain haikukuendea vizuri sana. Ka ulitaka kuwapa PARTNERSHIP KWENYE KAMPUNI yako binafsi ulitaka kusemaje nini? Hiyo inaonesha kulikuwa na mpango wa kijanja janja watu wakashtuka. Sina upande wowote bali najaribu kufikiria na kuchambua maneno yako
@mosesibrahimu-kg1ib14 күн бұрын
Hakiri kubwa sio kama akina yeriko
@marieconnect638913 күн бұрын
Tatizo siyo kuchanga TATIZO KUPANGA MATUMIZI.....NANI ANAPANGA KWA MANUFAA YA NANI KAMA WANACHAMA WOTE HAWASHIRIKISHWI?
@severinmmassy762713 күн бұрын
Lema wew nizaid ya jina lako MUNGU akuongezee hekima
@maximilianludovick540714 күн бұрын
Ukweli utajulikana tu, maneno ya Wenje yatapata nguvu siku moja kama ambavyo maneno ya Msigwa yamepata nguvu sasa.
@T_Darius14 күн бұрын
Unamuamini wenje, akiamungu🤣🤣🤣🤣
@donaldjoseph484714 күн бұрын
Wenje ni kenge maji
@marieconnect638913 күн бұрын
Kwenye chama inaonekana kuna ujanjaujanja wa kupiga hela kijanja. Hilo limegundulika sasa kutokana na misemo yenu wenyewe. Ama kweli siasa ni mchezo mchafu
@vaxcraker9913 күн бұрын
Analysis yako finyu sana na yakipumbavu.
@mutatashanny110 күн бұрын
Tofali za main by Lemma
@shijamakoye601314 күн бұрын
Takukukuru kazi imekuwa rahisi dogo kawahakikishia rushwa ilikuwepo
@mosesibrahimu-kg1ib14 күн бұрын
Hakiri kubwa sio akina yeriko wapumbavu.
@worldsmagic302414 күн бұрын
Akili, sio hakiri.
@marieconnect638913 күн бұрын
HIVI JAMANI INAWEZEKANAJE ATI KIONGOZI WA CHAMA KUKIPA CHAMA CHA SIASA PARTNERSHIP KWENYE KAMPUNI YAKE BINAFSI? HIYO IKO KWENYE KATIBA YA CHAMA? MAKUSANYO NA MATUMIZI NANI ANASIMAMIA? MAOKOTI? LAKINI NANI ANAPANGA MATUMIZI YA HAYO MAOKOTO?
@uredmwasembo857913 күн бұрын
Uyu ndo lema mwamba Sana
@TibihikaGerad12 күн бұрын
Mh lema nilikuwa sikukubar lakin umenifulahisha kumuunga mkono mh Lisu maana mh mbowe atabiriki
@marieconnect638913 күн бұрын
Chama siyo sacos binafsi jamani. Wekeni miundombinu inayoeleweka yenye UWAZI wa kutosha kwenye UKUSANYAJI na MATUMIZI ya maokoto. Hasa hapo kwenye matumizi ndiyo kuzungumkuti kilipo. Unajipangia anavyotaka wewe.....imenikera sana. Kwani chama ni MALI binafsi?
@severinmmassy762713 күн бұрын
Kwann hizo kura zizipgwe online??
@mkingaJulius-u5y14 күн бұрын
Wenje na mboe wanataka kuuwa chama
@worldsmagic302414 күн бұрын
Mbowe, sio mboe.
@terepeter493314 күн бұрын
Ni hatari sana kuwa na mtu kama Wenje kwenye ngazi ya juu ya chama..kiongozi muongo hafai hata kwa dk 1!!!
@FelixMurishi14 күн бұрын
Wenje ni cha pombe,hafai😅😅
@CarolKimei-w1h13 күн бұрын
Kuna ema kimambo mpaka aliwe ndio aweze mlisha mpiga picha yaan anaishi kwa kulala na wanaume wa chama ndio ale anasema lema msenge utafia na ukimwi kwenye chama mbwa ww tibu chunusi kwañza ata nauli ya dar ulitumiwa kahaba wa chama
@Mkopi-TZ14 күн бұрын
LEMA anaishi LALA LAND ! Mtazamo wake wa siasa haupo dunia nzima Hata huko kwao CANADA LEMA anataka kuwa mwenyekiti baadae Lissu watch out! Acha kejeli huwezi kumpa RAIS mashariti
@bukurunestory354014 күн бұрын
Kazi ipo
@marieconnect638914 күн бұрын
Nimegundua kila mwanasiasa ana maneno mengi labda kazi ni kupima lipi linakaribia kufanana na ukweli zaidi kuliko lingine.
@melch309714 күн бұрын
Yaani hii mi jamaa ya chadema bora ingechinjwa yote inatia hasira
@rashidbakili435314 күн бұрын
Pole ujui siasa . km Baba wa Taifa alietoa wazo la kuwe na vyama vya siana unais alikosea au ukua sahihi?
@marieconnect638913 күн бұрын
@@rashidbakili4353 baba wa taifa anaingiaje hapo? Kwani yeye aliwaambia watengeneze the chain ya kupiga ulaji? Ati anatoa maelekezo ya matumizi kama vile chama hicho ni kampuni yake mwenyewe. Kisa ati yeye amekusanya pesa hizo kwa kutumia jina la chama kisha anachukulia kama pesa ni zake. Nimekereka sana kwa hilo. Kila kitu mmoja anajifanya mjanja kuliko mwenzie kwenye maokoto. Ujanja kuwahi etiiii
@GeorgeAkasha-zx2rj11 күн бұрын
@@melch3097Duuh Namlaumu baba ako kuzaa na Mama ako Malaya, kazaa Bumunda tupu
@HijaSalimu12 күн бұрын
Lema umechemewa Arusha hata ccm wakiweka jiwe hupati
@marieconnect638914 күн бұрын
Ujue uchungu wa kusingiziwa hutuma. Bahati yako bado uko duniani mshukuru Mungu kwa hilo. Sikuchukii kabisa bali najaribu kukuelewa na wewe utuelewe
@DR.SAIFILLAH.536313 күн бұрын
MAADILI MEMA, BUSARA, HEKIMA, UVUMILIVU WENYE TIJA, NI MISINGI BORA NA IMARA YA KIONGOZI MWENYE MAONO YA MBALI NA ENDELEVU.
@EliaHiluka13 күн бұрын
Mzee mbowe anapaswa kutojihesabia haki anapaswa kuwahesabu wengine kuwa ni bora akubali kuwatanguliza wengine asitafite mambo yake mwenyewe
@rasmasangula798914 күн бұрын
Lissu akishindwa kwa mimi na chadema ndio mwisho maana kitakuwa kama CUF
@Snoker10114 күн бұрын
Ivi suguu yupo kweli🤔
@EMMANUELMBWAMBO-is4tn14 күн бұрын
Mengi yaliyozungumziwa binafsi naona ni sahihi kwa sasa. Yaliyo zungumziwa upande wa Wenje dhidi ya Lema ni sawa na upande wa Lema uliyo yasema dhidi ya wenje ni sawa tu. Mmeamia siasa ya kishamba kupeana shutuma kila mmoja anaibuka kujitetea na kusema ni uongo. Kapigeni kura mkatafute viongozi acheni kujichafua
@AMOAM_4914 күн бұрын
WENJEE bila Abdully haiwezekani...😂😂😂
@marieconnect638914 күн бұрын
Nawaunga mkono sana lakini ngoja niwe muwazi. DIASPORA si wote wanaowaunga mkono. Wapo wengi sana tu hawako kwenye siasa hizi wala chama.
@bsmonline848214 күн бұрын
Kwani aliyesema wote ni nani hata yeye hajasema wote na haitakaa iwe hivyo coz hata ndani ya ukoo tuu hamwezi wote mkawa na mitazamo inafanana kama vifaranga vya kuku vilivyototolewa siku mojq
@RomanMwinyi14 күн бұрын
Sasa nani kasema wote
@marieconnect638913 күн бұрын
@RomanMwinyi aseme wazi kuwa ni BAADHI YAO na siyo kujumlisha diaspora wote. Anapotosha uma na anawakwaza wale wasiotaka hiki chama wala siasa. Tuwaheshimu misimamo yao.
@marieconnect638913 күн бұрын
@RomanMwinyi Mbona hajasema ni baadhi yao? Kujumlisha wote
@marieconnect638913 күн бұрын
@@bsmonline8482 Lakini pia wala hajasema ni baadhi yao bali anaonekana kujumlisha wote. SIYO poa kwa wengine wasiopenda siasa au chama chake
@mkingaJulius-u5y14 күн бұрын
Kama watazingua hebu jioganizi mtafute chama kingine na sisi tutawaunga mkono
@nabimanyafesto501414 күн бұрын
Hakika chadema mnafanya siasa za chi hii kushamiri sana, hata serikali inawaamini sana
@BarikiRaphael-r8j14 күн бұрын
Wew unatakiwa useme hela za join the chain zilikuwa zinakusanywa kupitia account X ambayo ni ya chama ambayo signatory walikuwa ni XY&Z ambayo lemma anayeshutumiwa hakuwa signatory hiyo account X na mapato yake yamekaguliwa na internal audit wa chama au na external Auditor ambaye ni CAG
@terepeter493314 күн бұрын
Ni makosa sana kuwa na mtu kama Wenje ngazi ya juu ya chama..Kiongozi muongo...