🚨Uchambuzi EFM,Simba 2-0Jkt Tanzania,Ahmedally Afunguka kilichotokea,Yanga wamtaka kagoma Aombe Radh

  Рет қаралды 16,972

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#ahmedally #alikamwe #football #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 21
@HalimaBicholi
@HalimaBicholi 9 күн бұрын
Simba imewachanganya hao wanajitahidi kuvuruga simba ipoteane ila tumewagundua,..cc wapoleeeeeeeee ,wenyewe wanahangaika
@AbduRaheem-k8u
@AbduRaheem-k8u 9 күн бұрын
Wa Kwanza Leo Naomba like zenu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 9 күн бұрын
MASHABIKI TUSIWASIKILIZE WALE WANAOWASEMA WACHEZAJI WA SIMBA.WANAANZA WAO TUKIWAACHA TUU WANAWACHUKUA KISHA WANAANZA KUWACHEKA TUWE MAKINI SANA MASHABIKI.
@nicholausmukoji9720
@nicholausmukoji9720 9 күн бұрын
Yanga bhana akili zao sijui zinakuaga wapi aise, na kagoma haombi msamaha na atacheza
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 8 күн бұрын
Ndo maana nyuma mwiko wanateseka mala kagoma mala Simba wapokonywe point jamani uoga TU oo kagoma mchezaji wa yanga nyuma mwiko wakae Kwa kutulia Simba ya moto
@Shabanimbepo
@Shabanimbepo 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂wazikeeee
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 9 күн бұрын
ALI KAMWE WEWE UNA ROHO MBAYA SANA. MBONA NYIE MNAWADANGANYA WACHEZAJI WA SIMBA HAWAJAWAAMBIA HIVYO ACHENI ROHO MBAYA. CHEO NI DHAMANA LEO UNACHEO KESHO UTAKUWA HUNA. TFF ALI KAMWE AAE UTOTO ANATAKASIFA. KWANI YEYE HUWAAKOSEI?
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 9 күн бұрын
Na amesimamishwa kucheza
@SwalehJuma-e5i
@SwalehJuma-e5i 9 күн бұрын
Ali kwamwe kua kiongoz wa Mpira hata hao wazungu wanawatoa akili
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 8 күн бұрын
Hahaha kagoma gani anayecheza mpka ligi kuu? Kama angekuwa wenu simba si angepokonywa points 3 ambazo kagoma alicheza
@boniphacenashon7083
@boniphacenashon7083 9 күн бұрын
Mwaka huu mtavurungwa xana
@Shabanimbepo
@Shabanimbepo 8 күн бұрын
😂😂😂😂
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 8 күн бұрын
Ali kamwe SI mke wa injinia eti kagoma aombe msamaha nyoo wakaolewe uko wote huo uoga yanga wenye akili ni wawili TU waliobaki hamnazo wamepeleka uchawi kmc ukadunda Sasa wanahangaika
@Shabanimbepo
@Shabanimbepo 8 күн бұрын
😂😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 8 күн бұрын
Hao yanga ni wajinga sana, wanahisi wataitoa simba kwenye ramani. Huyo kagoma haombi msamaha na yupo sahihi, barua ya uchumba inarejeshwa fresh tu aktokea mume mwingine
@SharifuYusuph-dt9vu
@SharifuYusuph-dt9vu 9 күн бұрын
Wacha ufala wewe yanga siyo level yenu. Kagoma hachezi
@DanielChaula
@DanielChaula 9 күн бұрын
Inachekesha sana
@sallumlugoma
@sallumlugoma 9 күн бұрын
we umetumwa na yanga wenzako. mbona mnawashwa sana
@saimonntani6831
@saimonntani6831 9 күн бұрын
Acha ushamba Simba timukubwa sana.hawezi kuomba msamaa pakashume wewe.mwakahuuu mtajambiana sana.mbuzinyie. kagoma mwenyewe amesema alisain mkataba ambao ulikuwa haukufuatwa mahitaji ya mchezaji.hamnapesa ya kumlipa yusuph kagoma.
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 9 күн бұрын
Nimemsikiliza GB 64 kuhusu Yusuf Kagoma,Yanga hawana issue.Simba ilifanya biashara na Singida Black star na siyo Kagoma. Singida walitoa kibali kumuruhusu acheze Simba sasa Yanga ambao walikimbilia kuanza kuongea na Kagoma wanatakiwa wahangaike na mchezaji kama ilivyokuwa kesi ya Morison wakati amehamia Simba.
@SwalehJuma-e5i
@SwalehJuma-e5i 9 күн бұрын
Ujinga mtupu
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 63 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 53 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 63 МЛН