We mkali unauona uzembe kwa macho? Jambo usilolijua sawa na usiku wa giza.
@Khaleed576721 сағат бұрын
Kaka angu ( Jemedar ) hili jambo la Elie Mpanzu umelifafanua vizuri sana.. maana kuna watu walishaanza kulipuka na kuanza kuitukana management ya SIMBA SC.. Mimi ( Dua ) yangu kwako Kaka ( Jemedar ) natamani siku moja nije kukuona ukiwa kama C.E.O wa SIMBA SC..
@AnthonyMadilu20 сағат бұрын
Siku zote miaka yote viongozi wa Simba ndio maadui wa Simba.hata Suala la kushuka viwango kwa wachezaji wanaosababisha ni Viongozi wenyewe.ili ionekane wachezaji hawafai timu iko China bas mocha afukuzwe ili msaidizi abaki na timu kwa kipindi cha mpito
@ThomasAssey-uq2ur13 сағат бұрын
Nikisema Simba Haina viongozi watu hawanielewi Hawana hata uelewa hata kama kiwango Cha wachezaji na timu kikoje Kila siku Hawajui hata mazoezi wanayopewa wachezaji yanalenga Nini? Bali wanastukiza uwanjani ni wa hovyo mno
@ElyrehemaMartin14 сағат бұрын
Kwa nini hamzungumzi habari za yanga
@salymgaimale23519 сағат бұрын
Acheni habari za ubabaishaji cmba ni timu kubwa halafu msemaji unakuja na vijmaneno visivyoeleweka
@anthonypauli21 сағат бұрын
Ukweli ndo huo viongozi wanaugaigai yaani wanapenda kujishikashika
@alexthadei18 сағат бұрын
kongo hapa kuna umbali gani jaman uzembe tuu
@AnthonyMadilu20 сағат бұрын
Simba bila kumtoa Matola Mangungu,Try again haitakuwa timu bora kwa Sababu hawaitakii mema timu wanawaloga Wachezaji ili wacheze China ya kiwango
@stanleymwaselela184919 сағат бұрын
Hujielewi hata unachoongea hukijui mlikuwa pamoja kuloga umewajuaje
@Khaleed576721 сағат бұрын
Huwezi kukaa na kusema huyu mzembe .. yule mzembe.. tusipende kuchukua habari nusu-nusu alafu tukaanza kutukana watu au kuwasema watu vibaya.. Kwanza tuelewe mpaka upatikanaji wa mpanzu mambo yalikuwa mengi sana.. mvutano wa wakala mvutano wa club.. mara hivi mara vile mara umiliki ...kulikuwa na mambo ya chini ya meza mengi sana..
@AlfredMpepo20 сағат бұрын
Siasa nyingi sana. Mbwa nyie. Karibu miezu minne mpaka Leo eti mchakato mikundu yenu nyie
@kigesomichael806121 сағат бұрын
Mh
@georgegregory841420 сағат бұрын
Toka atue Tanzania hapa siyo swala la utaratibu tene ni uzembe tunataka kumwona uwanjani.
@mohamedmuhibu478919 сағат бұрын
ITC haiwezi kutumwa km dirisha la usajili halijafunguliwa, pia lazima Ayoub aridhie kuvunjiwa mkataba then anaingizwa kwny system Acheni lawama