MTANZANIA ALIYEFUNGWA CHINA MIAKA 13 KWA MADAWA YA KULEVYA ASIMULIA MATESO - "NIMETOBOLEWA KICHWANI"

  Рет қаралды 50,186

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

MTANZANIA ALIYEFUNGWA CHINA MIAKA 13 KWA MADAWA YA KULEVYA ASIMULIA MATESO - "NIMETOBOLEWA KICHWANI"
Mtanzania aitwaye Donald amesimulia mateso mazito aliyokutana nayo baada ya kukamatwa nchini China kwa tuhuma za kusafirisha madawa ya kulevya na kufungwa jela kwa zaidi ya miaka mitatu.
Katika kipindi hicho chote, Donald anasimulia mateso ya ajabu aliyopita kabla ya kuachiwa huru mapema mwaka huu…
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 178
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 2 ай бұрын
Pole sana. Kumbe Wachina tunawaheshimu bure hapa AFRIKA? Umetoa ushauri mzuri kwa vijana wetu. Hakika, tumejifunza mentioned today kwa Mzee Donald. Pole sana.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Inabidi tuwaheshimu sana hawa watu wanaotoka na kutoa ushuhuda wa maovu/ mabaya waliyowahi kuyafanya. Si rahisi kutoka mbele na kueleza mabaya yako. Wengi tumefanya mengi mabaya na hatuwezi kuyasema hata baada ya kuacha/kutubu.
@issaswedi6974
@issaswedi6974 9 ай бұрын
HIVI UNAJUA? Kwa wale walioathirika kwa kutumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu especially vijana na hii inatokana na kutomcha mwenyezi mungu lakini hata hivyo kwa wale waliosarika tayari bado hawajachelewa kwanza watubie kwa Allah na wafanye matendo mema alafu Cha pili watumie dawa inayoitwa PHV solution ambayo imefanyiwa utafiti kwa miaka 25 na muhisika lengo lake lilikuwa watu wakiitumia dawa hii wamche mwenyezi mungu . Hii dawa inasaidia kuondoa athari zilizoachwa na madawa ya kulevya Katika mwili vile vile na kutibu magonjwa sugu Kama vile UKIMWI , saratani , ugumba , siko seli , homa ya ini ,mkanda wa jeshi nakadhalika hii ipo kwenye mfumo wa Gene Therapy ambayo Ni mfumo mpya tofauti na dawa hizi za hospital za mfumo wa sumu wa conventional medicine na vile vile tofauti na dawa za asili ambazo hazitengenezwi kitaalamu Yani hazina vipimo maalumu sababu wanafanya kwa experience na sio wamefanya research Dawa zetu hizi hazina madhara yoyote mwili yaani side effects sababu Ni maboresho ya dawa za kisasa na dawa za asili mjumuisho wake na kwa vipimo maalumu ndio unapata dawa zetu za PHVs solution Kwa maelezo zaidi na elimu piga simu number 0694027242 Nukta ya kuzingatia ; Njia Bora ya Maisha ni kumcha Mwenyezi mungu ( Mfalme wa mbingu na ardhj na kila kilichomo )
@modestlyimo1177
@modestlyimo1177 3 ай бұрын
fact
@paulkazi6274
@paulkazi6274 Жыл бұрын
Wewe unapeleka madawa ya kulevya kuuwa watu wa china unadhani ni vyema kuhangamiza jamii za watu kwa tamaa zako wamekogongagonga tu kidogo na haujany’ongwa na umekili mwenyewe ulistahili adhabu hiyo kwa mzigo uliobeba. Mshukuru Mungu japo kwa adhabu hiyo ndogo na bado unapumua hadi leo japo ulikua na lengo la kuhangamiza maisha ya wengine kwa tamaa za fedha za harakaharaka. Tuwe wakweli
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 28 күн бұрын
Unamhukumu mtu aliyejitokeza hadharani kukiri alichokosea hakika unajihesabia haki na wale waliokubaliana nawe.imeandikwa Hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele za Mungu wote Tu wakosaji.ila wewe Tu hujawahi kukosa Sababu dhambi unazozifanya zimejificha .
@ndikumasabodiegovevo9091
@ndikumasabodiegovevo9091 Жыл бұрын
Mtangazaji unamaswali yasio natija kabisa
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 Жыл бұрын
Pole sana 😢imeniuma sana maana sio kwa mateso hayo
@dianaalfredy3790
@dianaalfredy3790 Жыл бұрын
Mtangazaji arudi shule haraka
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 Жыл бұрын
Kabisaa
@petergakonde1231
@petergakonde1231 4 ай бұрын
your man,A man try every thing to help the family.Thanks to your for guiding the family.
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 Жыл бұрын
Pole sana mzee mungu ni mwema anza kukupamban sasa maisha bado yapo kwet tanzania
@user-wp4hp1lb9r
@user-wp4hp1lb9r 10 ай бұрын
Asante kwa ushuhuda wako mzee na ushauri wako,,
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 Жыл бұрын
Pole sana kiongozi sauti unaweza ukajua ni tundu lissu zinashabiana sana
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agustinocharles2650
@agustinocharles2650 Жыл бұрын
Father kwa ushauri unapaswa ku samehe ao wachina kama vire Mungu alivyo kusamehe wewe pia Mungu akupe moyo wa kusamehe sababu Mungu asinge kusamehe izo habari tusingeweza kusikia
@user-qz5yh1dl1n
@user-qz5yh1dl1n 4 ай бұрын
Huyu mzee anaongea point tupu angehojiwa na millard ayo ingekuwa tamu saana
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Pole sana😢 kwakweli hili ni funzo tuache tamaa tutafute pesa ya halali
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Yeah
@abdullzeco8381
@abdullzeco8381 Жыл бұрын
Pole sana mzee wetu hayo majuto unayojuta hata ss huku uraian tunajuta kuwapoteza ndugu zetu ambao ni waraibu wa madawa yanayosafirishwa tumeshaibiwa sana kuchinjwa hatujui tuende kwa nani tutafakarin kwa wote
@hono1232
@hono1232 Жыл бұрын
Jamani,jamani wale mnaosafiri epukeni urafiki na wanageria.usitoe hata dk moja ya kuongea nao.wana uwezo wa kushawishei na kukuachia majuto maisha yako yaliyobaki
@sethny112
@sethny112 Жыл бұрын
Mtangazaji anaboa 🥹
@Cath844
@Cath844 Жыл бұрын
Sana ….anakera kinoma! 😤
@HatibuHatibu-cd7hs
@HatibuHatibu-cd7hs 5 ай бұрын
Mtangazaji amekolea na stori
@shaloboy3861
@shaloboy3861 Жыл бұрын
Jatelo maadam umetoka hai shuulika na maisha yako ata uende umoja wa mataifa akuna atae kusaidia kupata haki
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Mtangazaji Leo umependeza sana kwa kusuka nywele
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 5 ай бұрын
Naona watu wana mlaumu mtangazaji kosa lake ni nini? Anampa nafasi ya kujieleza
@shangweraymond9448
@shangweraymond9448 Жыл бұрын
Wrong choice of broadcasting media, presenter anaonekana hajui how big this information is. Anaehojiwa ana raise crucial points ila presenter yupo tu with zero response. Huyu baba is trying to educate youngsters and at the same time anaonyesha jinsi haki za kibanadamu zisivyozingatiwa China. Mzee sikuizi kuna twitter…titkot(tikitoku) your information can reach targeted people within seconds!
@masturasudi7394
@masturasudi7394 Жыл бұрын
Andika kiswahili bwana usitubabaishe
@pakacha70
@pakacha70 4 ай бұрын
Umaskini ni mbaya sana serikali nyingi za kiafrika zipo tayari kukumbatia maovu wanayofanyiwa raia wake ktk nchi mbalimbali zilizoendelea
@mahmoudmussa8
@mahmoudmussa8 Жыл бұрын
Mtangazajiii Kapwayaaaa maswaliiii hapaaaa hajaitendea haki Interview
@elkanaheric
@elkanaheric 5 ай бұрын
Wewe mwenyewe muhuni hukutaka kuathibiwa . Unabahati mimi ngeKungoa meno zote
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
🤔🤔kwa hiyo baba wataka fidia?😢😢😢pole sana
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Yarabb hata sasa nakushukuru kwa kunipa riziki zangu kwa njia halali.
@josephzenda3827
@josephzenda3827 Жыл бұрын
Usizingue hilo ni Small occipital Lipoma ,unafanyiwa tu Lipomectomy( Excision under Local Anaesthesia) tena Minor Theatre CO or Nurses
@OlgaBembeleza-eq3hx
@OlgaBembeleza-eq3hx Жыл бұрын
Mwandishi jitahidi kutumia R na L khaa jamani biashala ndo nn sasa
@winnesakara6957
@winnesakara6957 Жыл бұрын
Pole sana mzee
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Tamaa ni kitu kibaya na fedha ulizoaidiwa ni ndogo sana , so ulipata bahati ungekomaa na biashara zako sasa hivi ungekuwa mbali sana,.. mimi sitakagi kabisa ulafik na wanigeria au watu wa west africa , sitaki kabisa mawasiliano na watu hao wanatamaa sana , mimi nipo kiwanjani nasitaki mambo ya ujamajamaa na mtu na komaa na maisha yangu wafrika wengi ovyo sana ukiwa mjinga mjjnga unapenda sifa sifa unapotea fasta maisha haya
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Mtangazaji mtafute maiki mbili nakuonea huruma mkono hauchoki!!
@naturelle1097
@naturelle1097 4 ай бұрын
😂
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Жыл бұрын
interview irudiwe na kuwe na mtz anatafsili kichina tuirushe hiyo video kwenye mitandao ya china!
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Aisee pole sana
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Baba km op ya kichwa ukafanyie nje ya nchi sio Tz baba!!
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Huyu bora angehojiwa na milard ayo anachoongea ni point ya kusaidia wenzie walioko huko jela na ambao hawajaingia
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 ай бұрын
😂
@DarKopo
@DarKopo 25 күн бұрын
Wachina na hawana human light baba mshukulu Mungu umerud salama nyumbani
@Randm-
@Randm- Жыл бұрын
Kwani China waaachiwa. China gani kafungwa huyu. Rafiki yangu mpaka Leo kafungwaa na wala hatujui yuko wapi😢 Naomba na yeye atoke jamani
@johnkomanya3399
@johnkomanya3399 Жыл бұрын
Mshukuru Mungu kwa kutumikia kifungo chá kawaida na uhesabu Mateso ni sehemu ya kazi uliyokuwa unaifanya, vipi waliohukumiwa kunyongwa? Hawapati hata nafasi ya kuongea haya
@badymsuya6093
@badymsuya6093 Жыл бұрын
Mwandishi hujui kuhaji step by step ameruka vtu vingi
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 4 ай бұрын
Mtangazi Rudi kijijini kwenu kulima, Kazi hii waachie wengine
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 ай бұрын
😅😅
@fredyadam572
@fredyadam572 Ай бұрын
Umetoa ushauri kwa shari sana wakati wewe hata kuandika hujua. 😂😂😂 anaitwa Mtangazaji sio Mtangazi. Mtangazi sio kiswahili sanifu.
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 Ай бұрын
@@fredyadam572 Hasira Brother 😂
@fredyadam572
@fredyadam572 29 күн бұрын
@@raynellyaugustino3237 😂😂😂 Pole kaka, nimekuelewa!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Wachina hawana kitu kama human rights😢 Usihangaike kabisa😮
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Iyo yote ni ubanguzi Asia Continent ni wabaguzi vbaya mno
@user-kd6zm3lb9c
@user-kd6zm3lb9c 5 ай бұрын
Pole mzee hujaanguka ww ni mpiganaji ajari kazin
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz Жыл бұрын
Sasa unauza madawa unadhan watakuacha?🤣
@jfinternational3537
@jfinternational3537 10 ай бұрын
Kama ulikamatwa na madawa ya kulevya basi ni haki yako Mzee.Mengine unayosema ni upuuzi tu
@user-zt8vf9nf3u
@user-zt8vf9nf3u Жыл бұрын
Mmm, Pole baba MUNGU atakusaidia
@kihagazanzibar1200
@kihagazanzibar1200 Жыл бұрын
Muandishi kiwango kipo chini Ameshindwa kumhoji maswali ya muhimu Badalayake anamuachia atoe hadithi tu Hii habari imepoteza Radha kabisa
@treasurerussel3422
@treasurerussel3422 Күн бұрын
Mtangazaji ni hajuiiii kuhojiiii
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Pole sana mzee ukosahihi wachina wanaroho mbaya sana mabarozi wakiafrika washamba ndomana hawafatilii wanawaogopa weupe aisee
@noonelike6382
@noonelike6382 4 ай бұрын
Hii story angesimamia davista ingekuwa bomba Sana... Eiy yawa jalendo oketho Gini,.. davista emanyalo gini.
@PentecostMwansengo-jo5bh
@PentecostMwansengo-jo5bh 4 ай бұрын
Kwanza ntoe pole kwa majanga yalokukuta, Ila nitoe angalizo Hawa wanaosema aende kwa mwaposa huo sio ushauri, Aseme kwamba aende kwenye maombi na aokoke na Mungu atamponya tu akiamini. By pst P Mwansengo toka Dodoma Tanzania.
@Cath844
@Cath844 Жыл бұрын
Mtangazaji hakuna kitu!
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 5 ай бұрын
Tamaa syo nzuri mweee
@treasurerussel3422
@treasurerussel3422 Күн бұрын
Je wakikwambia ukatumikie hiyo adhabu upya maana walikupa kidogo
@ellenrupia5363
@ellenrupia5363 Жыл бұрын
Wachina wapigwe marufuku wasiingie Tanzania nikweli wakiwa kwao wakorfi sana wanatuzalau sana watanzania.,ht wahind hao yani Tanzania tunaitwa majina ya ajabu MUNGU AINGILIE KATI.KWA KWELI HUO NI UNYANYASAJI HALAFU SELIKALI INAWAKALIBUSHA SIO.
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Duh pole sana baba
@hudsonhenry1849
@hudsonhenry1849 Жыл бұрын
Mtangazaji umezingua kinoma ujui kuhoji
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 Жыл бұрын
I support to get strong punishment so that this bad behavior of selling drugs will reduce in the the world. Hii ni some kubwa kwa sisi wenye tamaa mbaya.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
tamaa
@josephzenda3827
@josephzenda3827 Жыл бұрын
Sheria ya Madawa ya kulevya China ipoje wadau?
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 10 ай бұрын
Anzisha darasa la luga ya kichina utapata pesa
@mifwanyalu4573
@mifwanyalu4573 5 ай бұрын
Njoo Ifakala tulime mpunga mzee mwenzangu
@habibamhina9075
@habibamhina9075 Жыл бұрын
Nawengine mjifunze,ww umebeba madawa ili ukaumize wtt wa wenzio,SASA mungu amekulaani umeumia mwenyewe,hakuna zambi ndogo wala kubwa,ngoja waasirike ili wakome,China msimamo huyohuo watese wateseke na wao kama wanavo teseka ndugu zetu na urabu wa madawa,
@briankantadaras4139
@briankantadaras4139 Жыл бұрын
What explains the Luo,Choli, Langi,Dinka or Nuer accents behind his Swahii?
@elinisaidiemlay2374
@elinisaidiemlay2374 6 ай бұрын
He is a Luo
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Angeweza JPM tu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii😮
@josephzenda3827
@josephzenda3827 Жыл бұрын
Watakuambia huende tena China ukapate fidia,ukifika 2 wana kunyonga
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dottowache5149
@dottowache5149 Жыл бұрын
Mtangazaji mbona unamuhoji uku unasinzia tena sikiliza tambala hilo la malume
@davidpaschal778
@davidpaschal778 4 ай бұрын
Uyu dada ajui kuulza maswal anaacha mtu ajielezea wee adi anajiuliza mwenyew
@Dymitri-Babushka.
@Dymitri-Babushka. 5 ай бұрын
Watanzania ni watu wa jeuri sana na wakorofi sana.
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 5 ай бұрын
Kwaiyo umeiba tena gerezani kesi nyingine hiyo mzee wabongo bana 😅😅😅😅😅
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 5 ай бұрын
😢😢
@user-lt6cy9bh4g
@user-lt6cy9bh4g 4 ай бұрын
Mbona mara ya kwanza ulipo toboa hujasema
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug Жыл бұрын
Labda bosi wako Emeka Nigeria man alitoaa hiyo rushwa
@user-ps1ph9iv5b
@user-ps1ph9iv5b 5 ай бұрын
Huyu jamaa ana mengi ya kusema ila huyu mtangazaji nikama hajui kuhoji mambo kiundani
@samjosh12
@samjosh12 Жыл бұрын
Nilitegemea kusikia maswali mengi kutoka kwa mtangazaji katika interview.
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 Жыл бұрын
Mtangazaji hajui kufanya mahojiano vizuri,huyu alitakiwa ahojiwe na milard au lebabaz wa arusha
@surusuru1994
@surusuru1994 5 ай бұрын
Mmh nimeelewa China wanaichkulia poa Africa naimani viogozi wata
@stevenmwaiko801
@stevenmwaiko801 Жыл бұрын
Adhabu lazima iwe kali mno...ili iwe fundisho,...ingekuwa kula bata ukitoka ungeenda tena!
@huldamichael4445
@huldamichael4445 Жыл бұрын
Mmh huyu mzee bhana!!!huku umemwomba Mungu,huku mabalozi hawataki vzr,huku umekaguliwa uchi getini lakini umetoka na makaratasi.Sasa hapo kichwani husemi ulifanywaje na wachina mara uliumizwa polisi mara jela.Sijui mzee kama unajua hiyo kilo 1.7 ingesababisha "damage" kwa waChina wangapi
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Жыл бұрын
😂😂😂fuvu limelegea kdgo kwa mateso aki pole baba
@user-cr8pr3kn3c
@user-cr8pr3kn3c 5 ай бұрын
Nimefurahi kukuona zar 2024 nilikuwa sjakuona hery ya mwaka mpya
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 5 ай бұрын
Yaani mwandishi ajui kazi yake 😮
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Anaogea kama tundu lissu
@jofreymsigwa85
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Kweli kabisa kama tundu
@carlixtz4594
@carlixtz4594 Жыл бұрын
Kweli kabsa😅
@naturelle1097
@naturelle1097 4 ай бұрын
Ero kamano
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 ай бұрын
Mtangazaji inabidi umuongoze huyo unaye mhoji interview Haina kichwa Wala miguu
@hono1232
@hono1232 Жыл бұрын
Kama ungelifuata sheria, pia kumbuka madawa ya kulevya hayana msamaha, wala ufuatiliaji wa kidplomasia. Hata Marehemu Magufuri alipiga marufuku mabalozi kufuatilia watu walioko Gerezani kwa majosa ya madawa.sasa wewe ni mtu mzima unajua athari za madawa ya kulevya hakuna mtu atakuelewa.ulitakiwa usimamie sheria kama mzazi . Uwezi pata matokeo kwa madawa ya kulevya
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Na ndio mkome kwa 7bu mmetuharibia vijana wetu hapa Tz ungenyongwa.kabisa yani ili msije mkaharibu.nchi yetu
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 Жыл бұрын
Yeye anaangaria damage yake ajui uku tunadamage ngapi kwenye mioyo yetu wanatuaribia ndugu zetu kira siku
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii mtihani baba wa watu😮
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 4 ай бұрын
Jmn anaongea kama mchungaji
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 5 ай бұрын
We Mzee Kosa la kusafirisha madawa ya kulevya china ni hatari ndio maana ata Kipndi Cha Magufuli aliwaruhusu hayo mataifa yawanyonge,,sasa unategemea Balozi Atafanya nini,,,,,?
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Жыл бұрын
Mtangazaji hujamiuliza hata aina ya mateso aliyopata
@shabanborondi6526
@shabanborondi6526 5 ай бұрын
Huyu mzee anatoa fabricated story,...hakuna ukweli,alianza vizuri,biashara mama,ni kuprint tisheti za kampeni,..za chama!!!?
@elevenmeela8713
@elevenmeela8713 4 ай бұрын
Mtangazaji uliza pointi usipot
@mathiasmalilakanti-st2hd
@mathiasmalilakanti-st2hd Жыл бұрын
Damage
@christophermatupila7165
@christophermatupila7165 Жыл бұрын
mtangazaji kwenye kuuliza maswali umefeli
@gracemadondola7331
@gracemadondola7331 Жыл бұрын
Mtangazaji amezingua sijui yupo fild
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Sauti yko kama tundu lissu😅
@shamsahamdan3274
@shamsahamdan3274 Жыл бұрын
Wangapi wameathirika kwa ajili yako😮
@mulijywaziry6412
@mulijywaziry6412 Жыл бұрын
Msimueke Tena huyo mtangazaji cz ahoji chochote uyo mzee kazi ya kujieleze to ata apewi maswali
@alleninnocent2138
@alleninnocent2138 Жыл бұрын
Wewe mtangazaji iyoo kanzi haikufai hata huwezi kuongea ndo unaongeaje sasa
@joblulandala8614
@joblulandala8614 Жыл бұрын
Wa china hapa tu wakorofi itakuwa kwao!, KWA NN WATU WA AFRIKA WAFUGWE NA WACHINA PEKE YAO
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Mkuu Uku Ulaya ukikamatwa na kilo na mia saba huyo miaka uliyofungwa mshukulu mungu mpaka ivi sasa upo nje Alafu China umetoka na mizimu ya mababu yako 🇹🇿🇬🇷⚓🛳⛴
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
We mtangazaji hujui kuuliza maswali, ungemuuliza alibebaje hizo kilo 1000 na gram 700??
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Alibeba tumboni
@franklyn7439
@franklyn7439 4 ай бұрын
Amekosea ni kilo 1 na gram 700
@Boaz22
@Boaz22 4 ай бұрын
Kilo 1000 ni tani moja, alibebaje tumboni we kichwa maji 😂​@@dayana5513story
@faridaadam3087
@faridaadam3087 Жыл бұрын
Mtangazaji
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 5 ай бұрын
Basi ulifanya makusudiii ulifungwa halaliii
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
MFUNGWA MTANZANIA GEREZANI CHINA AMPIGIA SIMU MILLARD AYO
17:05
Millard Ayo
Рет қаралды 1,1 МЛН
BOKASA: RAIS ALIYEKULA NYAMA ZA WATU, AKAACHA WAJANE 17, WATOTO 50..
9:41
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН