Jamani hii kampuni inafanya biashara Marekani upande gani maake Marekani kubwa tungependa tuwe na Transporters wetu toka home. Shipments delay is too much!!!!
@magorymara55152 жыл бұрын
Nimeona Washington
@jennytugara94702 жыл бұрын
@@magorymara5515 ok kumbe Asante
@dullyjabri83932 жыл бұрын
Good news
@mwanatz59802 жыл бұрын
Mbona hakuna nambazao za simu? hongera sana kwake.
@rayisadesigns26462 жыл бұрын
HONGERA MAMA... ROYAL TOUR ISHAANZA KULETA MATUNDA YAKE...
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, hongereni sana, ila watu wana hela Mashallah, natafuta 2milion shilingi ya kuweka kibanda changu madirisha nahaha mpaka jasho la meno linatoka sipati.
@bajagihaji89232 жыл бұрын
usikate tamaa hawa jamaa walianza hivyo hivyo muombe Mungu wako na bidii yako
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
@@bajagihaji8923 Inshallah🙏 😥😭
@almassebarua80252 жыл бұрын
Pambana tu usimtizame alie juu utakufuru mtizame aliechini utashukuru
@asyaibrahim86122 жыл бұрын
Ni kupambana mpaka kieleweke...Na kuwa na Imani kuwa kupata ni kwa zamu...
@issamkombo73002 жыл бұрын
Usikate tamaa pambana hawa jamaa 2005 walikuwa hawana hata lori
@selemanisalum76856 ай бұрын
Hiyo kampuni ni GSM huyo dogo ni mdgo wake Ghalibu GSM
@selemankishema57802 жыл бұрын
Do!!! Kwakweli???
@djtiffa96642 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#.*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@nooor11202 жыл бұрын
Ila waisramu mnapendezaga
@gangmore90912 жыл бұрын
Njoo unakaribishwa Team Muslim
@makameabdalla31472 жыл бұрын
Hahaha, karibu sana kwenye uislamu na ww upendeze
@eaglecrown11012 жыл бұрын
Nunueni meli zenu Sasa Ili mkue zaidi.🤔🇹🇿
@saimonmloka82102 жыл бұрын
Kila kitu ni taratibu boss tutanunua inshaalah
@abdulhamis98252 жыл бұрын
Nikiwa Mkubwa Nataka Kufanya Biashara Na Hawa Jamaa Walinionyesha Kitu Kizur Sana Kutoka CHINA kwenye Canton Fiar
@bonifaceishabakari2432 жыл бұрын
9:""""i8ì8888iì77l88887p8
@evelinemsaki20572 жыл бұрын
Kinana ndani ya nchi Cha Moto tutakio Ana Hawa ni wapigaj
@ablashaffy28602 жыл бұрын
Huyo mmilik km anatak kuongez mke tupo hapa
@nailaomar48102 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@evelinemsaki20572 жыл бұрын
Fanyeni kazi jamani
@djnajma56272 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#.*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@djnajma56272 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#.*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@djtiffa96642 жыл бұрын
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE KANSA.DAWA YA KANSA .*#.*# kzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM