MTOTO MDOGO ALIYEUAWA NA BABA YAKE KISA MCHICHA AZIKWA,VILIO VYATAWALA KWENYE MAZISHI

  Рет қаралды 55,210

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@isakanicholaus6779
@isakanicholaus6779 Жыл бұрын
😭😭😭 mtoto amedhurumiwa MAISHA yake najisikia maumivu Sana kuona wanafunzi wenzake wanavyo umizwa na kitendo hiki . Ooh shadia mtoto mwenye ndoto kubwa umekwenda . Pumzika kwa amani kelele zako za kuomba msaada ziligonga mwamba ulijitahidi kutetea uhai wako na ndoto zako majirani wakaziba masikio . Pole kwa kifo Cha maumivu makali kutoka kwa mtu ambaye ungeatahili kupata upendo kwake. Mungu atakupa haki yako usijali . Sikufahamu ila niliposikia kuhusu wewe moyo umeniuma Sana nimetamani kukuona walau ningeweza kuelezea uzuri ,ukarimu wako na upole wako . Pumzika kwa amani shadiya bye tutaonana wakati mwingine.😭😭
@claralyimo4887
@claralyimo4887 Жыл бұрын
Kwakwel imeniuma sana kaka namimi nimama pia uchungu najua kwakwel Arusha imekuwa namatukio mengi sana mungu atuepushe Kila kukicha matukio 😭
@arafasalum9585
@arafasalum9585 Жыл бұрын
Machozi yamenitoka moyo unanium sana
@magrethyohanayohana2197
@magrethyohanayohana2197 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏😭😭
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 Жыл бұрын
yanii awa watoto ndo wananitia uzuni zaidi yarrab uwiiii mungu wetu tusaidie
@salmazahor170
@salmazahor170 Жыл бұрын
Wanyongwe tu hao hawafai ata kuishi ktk hii dunia subhanallah,M.Mungu amlaze mahali pema peponi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Mungu amlze mahal pema pepon Amina 🙏😭😭
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Naomba hivi tunavyoongea Huyo Baba na mke wake Wawe Ndani kituo cha Polisi! Haraka sana😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
kabisa🤗🤗😭😭😭😭😭😭😭😭
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
Mbona walishafika tangu ciku yatukio
@victoriaandrew5295
@victoriaandrew5295 Жыл бұрын
😭😭😭
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jela
@marrykigabimk
@marrykigabimk Жыл бұрын
𝚗𝚊𝚖𝚊𝚓𝚒𝚛𝚊𝚗𝚒 𝚙𝚒𝚊
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
@mectridamabula1822
@mectridamabula1822 Жыл бұрын
Uishi kwa majuto mpaka kufa kwako baba usiyekuwa na moyo waubinadamu 😭😭😭😭
@janepherjamson4166
@janepherjamson4166 Жыл бұрын
Jamani nimeumia sana😭😭😭 MUNGU uwahukumu kulingana na ujila wao wayajutie waliyoyatenda juu na Mtoto huyo. wasione Raha ya maisha yao mpaka kifo iwe ni mateso tu.
@sophiamussa4319
@sophiamussa4319 Жыл бұрын
Mungu atowaacha salama damu ya huyo mtoto itawatesa mno. Mungu amlaze mahali pema peponi 🙏🙏
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Innalilah wainailah rajioon, wafungwe hao
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani Shadya Poleni sana
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 Жыл бұрын
Extremely painful. I just cried I couldn't take it anymore as I am a mother too.
@petermgaya3812
@petermgaya3812 Жыл бұрын
Duh poleni Sana wananchi wa Arusha Kwa huu ukatili
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
🙏 yani baba? unapiga mwamao.mpk.kumpelekea kifo kha dalili za.mwisho wa dunia😭😭 pumzika bint Mungu atakulipia🙏
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli Innalilah wainailah rajiun, pumzika kwa AMANI Shadya
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 Жыл бұрын
Allah amuingize peponi yaarabi. Ila baba na mkewe tunaomba ionyeshwe hukum itakavyo pita mbele Za watu washuhudie ili wengine maadui kama wao waogope...
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Inna-Lillahii wainna illahii Rajioon Allah Amjaalie JANNATUL-FIRDAUSS Nuzulaa insha-Allah🤲 so sad wallahi 😭😭😭😭😭
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Eeh mwenyez Mungu ikikupendeza naomba maisha marefu nilee wanangu,,nimeumia sanaa,,,mtoto angekuwa anaishi na mama yke yasinhetokea haya yote,,,lkn kingne iwe fundisho kwetu kina mama inapotokea tumeachana na hawa wanaume tusikubal hta kidg kuacha watoto wetu waje kulelewa na mama wa kambo😭😭😭😭😭😭 binafs hta mahakaman tutafika lkn madam Mungu kanipa zawad ya uhai wanangu ntalea mwenyewe
@magrethmaganga1983
@magrethmaganga1983 Жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani mtoto mzuri Mungu ataacha Damu Yako iende Bure yaan ww baba na Uyo mkeo mlaaniwe maisha yenu yote mmekatisha ndoto za Binti
@official_phay1174
@official_phay1174 Жыл бұрын
Week 2 ziliz0pita mtaani kwetu mt0t wa kiume aliuwawa kwa kupigwa ivyo ivyo na wazaz wake daaaanh so sad 😞 Mungu atulinde sis wingine bad0 tup0 mik0n0ni mwa0
@khadijandege2036
@khadijandege2036 Жыл бұрын
We mwanamke uliepig cm kwa mumeo kisa mtt kuchlew kulet mchicha Mungu anakuona....itakuwa ulishazoea kumchongea manen kwa Baba ake huyo mtoto....Hay furah sasa Shadya kafariki😭😭😭😭😭😭 Mungu kawaumbua wew na huyo mumeo....R.I.P Baby girl
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
Duh hatari hii mungu wanawake baadhi nafsi zetu sio safi kbs allah ampe kheri ktk safari yake shadya inaumaa baba na huyo mama wa kambo wakamatwe
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Nimesikia machungu sn mpk.machozi pumzika shadyakwa amani
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Жыл бұрын
Jamani kinamama wa kambo wanaroho za aina gani hawa
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 Жыл бұрын
Shetan anapoamua kukusimamia anasimama na kukuacha na majuto ya milele pumzika kwa Aman mtoto shadya😭😭
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Mimi nimekosa Cha kuongea kabisa nililia tangy Ile cku nimeona Ili tukio ila basi bwana shetani anavuna watoto wetu kweli😭😭
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
😭😭😭nimeskia.. uchungu. Sana
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Na hatutaki kusikia baada ya upelelezi kukamilika watuhumiwa watafikishwa mahakamani yaani hawa ni kifungo cha maisha moja kwa moja na wanaume muache viherehere vya kujifanya mnabaki na watoto pindi mnapoachana na mama zao ni bora umuache aende na watoto wake akapambane mbele ya safari.
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 Жыл бұрын
Hii inauma sana inatakiwa Mume na Mke wote wawekwe ndani hao wapewe vipigo hatari ikiwezekana wafe hata 😰
@witnesswilliam9683
@witnesswilliam9683 Жыл бұрын
Poleni wanafamilia wote walimu pamoja na wanafunzi wenzake tumuombee apumzike Kwa amani
@sijalimanzira6593
@sijalimanzira6593 Жыл бұрын
M mungu akupe kauli thabiti shadia
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 Жыл бұрын
😭😭💔Mungu nilinde Nilee wanangu, Kwa tukio hili inauma Sn jmn 😭
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Mtoto ameniliza mnooo subhanallah mama wakambo , majirani Allah atawadhibu kupitia hili mlilolifanya ,,, mmetutoa machozi mtapata laana mtaishiaisha magumu mnoo subhanallah naliaaa wallah wazazi kuweni huruma
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Innalilahi wainna ilyirajiun mungu ailaze pema peponi roho yake mtoto.. Ww mungu akusamehe lkn na ww utaishi kwa presure maana kila utakapo pita utaoteshwa kidole na uyo shuaini mkeo mungu amuangamize kama alivyo angalia uyo toto pumbavu zenu Sana
@Amina-tx9cx
@Amina-tx9cx Жыл бұрын
Pole mama allha atakusaidia
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Toka lini mama wa kambo akalea watoto wa mke mwenzie kwa vizuri. Wanawake Tuvumilieni tulee watoto wetu wenyewe!
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Km hakuna amani huna haja ya kuvumilia ukauliwa ww ukaacha wtto wako. Lengo ni kufuatwa kwa uisilam na sio tufuate mila tuchanganye na uisilam. Wazee wanapoachana jukumu la kulea mtto ni mama au km mama kafa ni bb na km bb hayupo ni mama wadogo. Ssa leo tunadanganywa ati mwenye jukumu ni baba. Wkt baba ndie mwenye mtto lkn jukumu la malezi ni mama/upande wa mama. Na ukimaliza kwao huja bba na upande wa baba. Ssa leo unakuta hatufati sheria ukiachwa au mama akifa wtto wanachukuliwa na baba au wtu wa baba tunategemea nn????
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Innallillah wainnah lillah rajuun Daaaaa aise kiufupi mie mama WA kambo ajawai kuwa Rafik yangu kabs never.... Rafik WA kweli mama tu Awo. Wengine nitampa heshima yake yuko. Na Mzee ila eti awe best yangu never nakaa mbali nao sna
@asnaaali3264
@asnaaali3264 Жыл бұрын
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun Inauma sana wallah
@samwa9496
@samwa9496 Жыл бұрын
Duu shetani yupo kazini tuombe sana Mungu atupe subra
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Жыл бұрын
Kweli shaitwani yupo kazini tumuombeni sana Allah. Na ndio mana Mtume s.a.w alitusisitiza la taghdhab maana yake usikasirike! Kwa sbbu anajua unapokasirika unaweza kufanya chchte mana shaitwani hua nae. Allah atuepushe na kila shari ya viumbe vyake, amiin
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Mashallah kapata watu innalilah wainailah rajiun
@feekamohd2587
@feekamohd2587 Жыл бұрын
😭😭😭 Allah akulaze Mahali pema peponi 🤲🤲
@naimasabir7552
@naimasabir7552 Жыл бұрын
Mungu ana Sifa ya Subra.Huyo Baba asubiri Malipo hapahapa na Kwa Mungu,atajibu sababu ya Kutowa Roho ya Binaadamu.Ama MTT Kwa Umri wake Bado Hana Makosa.Ombi langu Kwa Wanandowa,Wanapo tengana Mama pigania Wtt ujue hawatakua Salama kabisaa.😭
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
majirani na wawo wote jera anapigwa mtoto mpaka kifo siokweri kamata majirani kamata wazazi jera tu wote
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Subhanalllah hatari sana
@matatomlik1846
@matatomlik1846 Жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema peponi amiin
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Eee mungu roho ya kinyama hiii mungu awadhalilishe kuanzia hapa duniani mpaka akhera
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Hyo mama nae akajibu kwenye sheria.Nimbaya sana kifo chahyo mtoto kitampa adhabu mpka kaburini.
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Subhanallah wamama tuweni na huyu na huyo ma mdogo kumpiga mtu sio kusadia angeenda kutoa tarifa police huenda angeokoa maisha ya mtoto kwenye mateso ona sasa ulimpiga na.bado shemeji yako akakugombeza na ukapigwa marufuku ,,, tutumieni akili wapendwa unapoona watoto wapo mazingira hatarishi kuna sehemu husika toa tarifa unusuru mtoto ,,,, Dahhhh pumzika salama mtoto wetu 😭😭😭😭
@estawilison1372
@estawilison1372 Жыл бұрын
Sasa wew mamdog kwanin ujafwatilia had mtot auwawe na alikwambia hapew chakula kwel wew unakula
@aminamkumba4124
@aminamkumba4124 Жыл бұрын
Mchicha tu jamani ukatili gani huu.Waziri Gwajma huyu baba asiludi uraiyan anyongwe tu
@musampanda3643
@musampanda3643 Жыл бұрын
Ukatili sana wamama wakambo amfai
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Wanawake sijui wakoje yani mama wa kambo kuma wote
@hajra3111
@hajra3111 Жыл бұрын
Mimi jamani huyo mama afugwe maishan mshenzi huyo
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Жыл бұрын
Wafungwe wote maana atababa nimpumbavu
@viviencharlz4045
@viviencharlz4045 Жыл бұрын
Majirani wanafiki wanafiki wanafiki wanafiki......huwezi kuona mtoto anateseka unakaa kimya au kuchukulia poa......kama kuna mtu upo hivi acha unafiki....haisaidii kuja kuwahadithia waandishi wakati ulikua unaona ukatili ni ushenzi mkubwa.
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 Жыл бұрын
Wale wasenge wanaosemaga mzazi hakosei mko wapi??
@halimazuberi9464
@halimazuberi9464 Жыл бұрын
😭😭😭😭si kitu Allah mlaze pema shadia😭😭😭😭😃 inauma jamani
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Anampenda, Nini? K2 Gani kweli uyo baba nimuhawaji sana
@victoriaandrew5295
@victoriaandrew5295 Жыл бұрын
Oooh jamani
@jakee2041
@jakee2041 Жыл бұрын
Wewe mama uliyepiga simu, damu ya huyo mtoto itakusumbua the whole of your life.
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Poleni saana kwakweli Yani
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Wote tips ndani,weka jelaaa
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Inauma sana jamani 😭😭
@latifamchekenje6718
@latifamchekenje6718 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia huyu mwanafunz anavyosimulia😭😭😭 Huyo baba hata dhamana asipewe
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Hapo mama wa kambo ndo source.uyo baba ni hasira.wanaume wana hasira mbaya sana au anatumia kitu.lkn ww mama ulshndwa kumzuia mumeo au kuita majiran.nmejua kulia maskn.
@getrudakatemi7169
@getrudakatemi7169 Жыл бұрын
An wafungwe woteee kifungo chs maisha au wahukumiwe kifooo pia
@azizasleyman1670
@azizasleyman1670 Жыл бұрын
Huyo baba asitoke jela kabisaaaa😭😭
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Shida huyu dingi alikomaa kuishi na pepo, sasa lishachukua nyota na kila kitu
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Жыл бұрын
😭😭😭😭maskini mwanangu umekufa kwa uchungu kwenye mikono ya baba katili naumia mwenzenu😭😭😭😭😭😭😭
@claralyimo4887
@claralyimo4887 Жыл бұрын
Polesana mama mtoto anauma sana kwakwel kawaliza wengi dah wao shetani wawili wakaozee jela
@zahrajumaa8965
@zahrajumaa8965 Жыл бұрын
Aaaaaaaah wallah inauma 😢
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Жыл бұрын
Innalilahi waina ilaihi rajiuun hee subhanallah jamani watoto wanapitia magumu majumbani Allah waokoe kwenye mikono ya madhalim 😭😭😭😭😭😭viumbe wako wewe ndie mtetezi na hakim wahaki
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Kla Mwanamke n mama 2ache roho mbaya mambo ya kke mnamalza kkike Co kuchongea watt wajbka kama mama kakosea mseme yaishe na kama mnaelewana na mama yake muzungumze kwenye ktk kumfunza.
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Allah ampe hanatul fildaus
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
MUNGU awadhalilishe kwa huu unyama mpaka kifo🤲😭😭
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Жыл бұрын
Astaghafirullah jamn dunia imeisha nyie uuwii Mungu tusaidie😭😭
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Mama huyo mtoto wako aliyebaki kwa mama wakambo kamchukue au na huyo anamalizwa na huyo huyo mama wakambo amemsababisha mume kwenda jela kwa ushirikina sio vizuri kuwafanya waume au wake kuwaroga hata akili zinaruka mtu anaumiza mwanaye wewe mama huoni vibaya kumfanyia mume apate matatizo makubwa
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Mwalimu mzazi katenda umeambiwa huamini nini?na mama wa kambo kausika na mdomo wake huo
@edinaabeli
@edinaabeli Жыл бұрын
Rest in peace mtoto shadia umekatishwa ndoto yako na mtu ambaye angekupenda na kukfany utimize ndot ya maish yako ujumb mam wa kambo mnaowapenda watot ulowakuta ndani ya familia mung akawaongeee sik za kuish na walee mnaowakataa watoto ulowakuta nanyii mkakatalie mbingunii kwa baba yetu mbinguni
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Жыл бұрын
Hadi nimelia jamani waone wanafunzi wenzake wanavoumia dah 😭😭😭
@mariambilali43
@mariambilali43 Жыл бұрын
Inalilah waina ilaih rajiun 😭😭
@rosekuriyo7188
@rosekuriyo7188 Жыл бұрын
mmh jmn hawa wanaume hawatumii akil mda mwngne
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 Жыл бұрын
Subhanaallah inalillahi waina ilayhi rajiun jamani inauma mnoo 😭😭😭😭😭😭
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 Жыл бұрын
Maskini inna lilahi wainna ilayhi rajiuun hawa mama wa kambo nitatizo duniani kote kwaiyo wanaume wote dunian tuwe makini juu ya hawa
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Sisi wanawake ndio wabaya huyu mama hapana ndio wachochezi kwa wababa
@dicksonkibuti8569
@dicksonkibuti8569 Жыл бұрын
Tunaomba serikali ichukue mkondo wake Kwa yeyote aliyeusika na tukio Hilo la mauji ya mwanafunzi shadya
@shamsikiluwasha9541
@shamsikiluwasha9541 Жыл бұрын
Duu mm km mzazi ninaelea mwanangu mwenywe acheni tu nimlee ss wanawake mdomo itatupeleka pabaya mchicha ndio unaacha shandia hayupo duniani nimelia sana kwann mama tupo wapi
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Ivi watu wanajua kupiga ndio kufundisha ..watiwe ndani wote mke na mume
@sadamkhamis9043
@sadamkhamis9043 Жыл бұрын
da inaskitisha sn kwakweli Sheria ichkue mkondo wake
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
hukumu ya baba na ya mama yote iwe sawa miaka watakavyofungwa iwe sawa
@jullycosta3420
@jullycosta3420 Жыл бұрын
Dah inauma jamani 😭😭
@astaqueen3979
@astaqueen3979 Жыл бұрын
Innalillah wa innalillah rajiun🥺😭
@janethmwanda357
@janethmwanda357 Жыл бұрын
Jmn mtt wa la Saba c unashukuru mungu jmn ushapata rafk,msaidiz wamama nyiee
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
Inna lillah wa innaa ilayhi raajiun
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 Жыл бұрын
daah jaman ina umaaa sanaaa
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Жыл бұрын
Aisee huyo mama wakambo mbona anaroho mbaya sana au mchawi😭😭
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
MUNGU akurehemu SHADIA ..HAKIKA TUMEUMIA POLE KWA MAMAKE MDOGO NA WANAFUNZI PIA😭😭
@mwajumayassir2251
@mwajumayassir2251 Жыл бұрын
Imeniuma mm
@riosingingandmore8224
@riosingingandmore8224 Жыл бұрын
😭😭😭
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Umeongea pont✔️yani watu wanasubili mpaka Umefumba macho Ndoutakuta tunajitokeza Nakuaza kuchukuwa video 😭 Sababu Tunaambizana ho ukienda kutowa msada Unaweza Ukapoteza Maisha wewe Uliyekwenda kutowa msada😭kwakwer siku izi watu wengiii wanapoteza maisha kwakukosa msada,lait majirani wangesogea Uwenda Uto mtoto Angepona😭hila sio siri inauma sanaa😭ngoja tu Nisiongee sanaa Nisije Nikachuma zambi😭Mtoto pumzika kwa Amani😭😭😭
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Жыл бұрын
Watoto wengi wanakaa na mama wa kambo wanateseka sana wito wangu kwa walimu pia naomba muwe mnakaa na watoto mnawahoji wanavyoishi majumbani na mababa wa kambo au mama wa kambo mpate kufichua maovu kabla hayajatokea kama haya!
@solangebagal149
@solangebagal149 Жыл бұрын
Kweli ina sikitisha sana,inawezekana huyo mama wakambo kafanya njama yote ili mtoto apigwe
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
na yeye aliyechongea ipo siku yake
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 Жыл бұрын
Jamani nimelia 😭😭😭😭
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Tuwe na roho ya huruma wakina mama mtoto wa mwenzako ni wako mtoto amekatizwa ndoto zake leo 😭😭😭😭😭😭😭
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 55 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
MAMA ALALAMIKA KUPOKONYWA MTOTO WAKE WA MIEZI MITATU
19:03
Geah Habibu
Рет қаралды 12 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 55 МЛН