Рет қаралды 403
MTOTO NANCY MIAKA 14 ALIYEPINDA UTI wa MGONGO AMUANGUKIA RAIS SAMIA -"NISAIDIE NITIMIZE NDOTO ZANGU"... #globaljamii
Mtoto Nacy Amlilia Rais Samia Msaada wa matibabu Ilikutimiza Ndoto zake za Kuwa Daktari. Mtoto Nacy mwanafunzi wa kidato Cha tatu katika shule ya Sekondary Komoto iliyopo Halmashauri ya mji wa Babati, mtoto Nacy anakabiliwa na ungonjwa ya kupinda uti wa mgongo jambo ambalo limekuwa likimpa kipindi kigumu akiwa masomoni.
Kufuatia Changamo hiyo Mtoto Nacy pamoja na mama yake wamejitokeza kumuomba Rais Dkt Samia Msaada wa matibabu ili kuweza kutimiza Ndoto zake ya kuwa Daktari katika siku zijazo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx