🔴

  Рет қаралды 14,668

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@globaltv_online
@globaltv_online 14 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@RoseMaeda-l1t
@RoseMaeda-l1t 14 күн бұрын
Sitoagi comment,lkn Slaa hongera,kaka amesahau kukiri uislam wake ulivyoisifia kalamu
@KillasaBakari
@KillasaBakari 14 күн бұрын
Kaachwa😂😂😂
@YusufuMustafa-c5m
@YusufuMustafa-c5m 14 күн бұрын
Huyu mzee nilichogundua anamdharua rais wa nchi Kwani awamu iliyopita alifungwa mdomo sasa chokochoko zinaendelea maana haeleweki amesimamia wapi
@AdulrahmanSinan
@AdulrahmanSinan 14 күн бұрын
WEWE MZEE MJINGA SANA TENA MCHOCHEZI
@stationerykinondoni7241
@stationerykinondoni7241 14 күн бұрын
Mzee nae chawa kapiga ubalozi kashiba hataki na vijana wapige hela
@jdanny497
@jdanny497 13 күн бұрын
Yani pumbavu kabisa huyu mzee,kanisani kashindwa njaa kapewa ubalozi..sasa hivi hana kazi anatafuta cheap popularity
@KillasaBakari
@KillasaBakari 14 күн бұрын
Kwani huyu mzee ni nani chairman?
@Joyce-k9c2m
@Joyce-k9c2m 12 күн бұрын
Kuna kipindi walimhasi naye akapewa ubalozi akawa kimya
@lifeonearth94
@lifeonearth94 14 күн бұрын
We mzee, sio vijana tu, vijana wengi ndo wanapenda rushwa kulko kawaida, bora hata wazee
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 14 күн бұрын
Uuuuwiii humu wamejaa machawa wa Mbowe 😅😅😅
@PetroMggalu
@PetroMggalu 14 күн бұрын
Ndugu zangu watanzania wapendwa maendeleo na mabadiriko yenye faida kwa uma, huyu DR. SLAA nani na anaongelea habari za CHADEMA kama nani? Kuweni makini huyu kwa sasa ni wa maslahi binafsi Hana tofauti wa wabunge waiyopo Bungeni wanaojiita wa CHADEMA.
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 14 күн бұрын
Mwandishi yuko smart kichwani
@OyaoyaZumbee
@OyaoyaZumbee 14 күн бұрын
Siasa mchezo mchafu😅
@jdanny497
@jdanny497 13 күн бұрын
Yanii hi TV yenu inapoteza mvuto kwa kuhangaika na Dk slaa..yani anapata nguvu gani kuongea yani ni mtu wa hovyo kupita kiasi
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 14 күн бұрын
Mbowe apewe kiti mitano tena
@JackMart-l9p
@JackMart-l9p 14 күн бұрын
Kwa hiyo tuseme hata ninyi wenyewe mnakiru kuwa hata kwenu ndani ya chama, kunarushwa pia? Sasa tuamini nani atakua cyo mlantlrushwa? Au chama kipi tukiamini? Huku tukiamini kwamba ninyi ni watu wa demokrasia? Sasa hii ndiyo demokrasia? Nilitaraji kuona mkiweka mfano mzuri wa kuigwa kupitia kampeni hizi za uenyekiti. Lkn mnatuonesha hata ninyi mnakinzana😢.
@YassinRajabu
@YassinRajabu 14 күн бұрын
mbowe mitano tena
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 14 күн бұрын
Hivi uyu Mzee bado ni mwanachama?
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE 14 күн бұрын
Apana anahangaika tu
@petermisungwi3229
@petermisungwi3229 14 күн бұрын
Alifutwa uanachama au kurudisha kadi ya chama?​@@Doreen_ONLINE
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 14 күн бұрын
Huyu mzee Slaa hii taaluma ya uongo, uchochezi, fitna na uzandiki kahitimu chuo kipi huko Canada alikokuwa balozi?
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Kimani Mbugua: Money Matters Uncovered!
10:43
Obinna TV
Рет қаралды 6 М.
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 20 М.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12