MTOTO wa BI CHAU MIAKA 20 HAZIIVI na MAMA'AKE - ''MAITI ANAOSHA - HARUSINI TUNAKUTANA ILA HANITAKI''

  Рет қаралды 37,795

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MTOTO wa BI CHAU MIAKA 20 HAZIIVI na MAMA'AKE - ''MAITI ANAOSHA - HARUSINI TUNAKUTANA ILA HANITAKI''
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 240
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@FatmaHatibu-u7o
@FatmaHatibu-u7o Ай бұрын
Mim naona so bure
@leahogutu9818
@leahogutu9818 Ай бұрын
Wewe mtoto wa Bi Chau uko sawa kweli ujui thamani ya mama Mzazi huwa hakosei jamani Natamani mama yangu kipenzi angekuwepo kw jinsi nilivyokuwa nampenda sanaaa Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
@EsterKiyabo
@EsterKiyabo 25 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kumthamini mzazi japo ameshatangulia kwa Mungu Hongera sana
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 Ай бұрын
😭 nimeumia sana wewe dada popote ulipo mama ni mmoja tuu.Dunia nzima .M Mungu akusamehe maana haujui ulitendalo
Ай бұрын
Bi Chau Uma roho nzuri sana. Mungu akubariki
@SadaAhmad-hj1to
@SadaAhmad-hj1to Ай бұрын
Pole sana mama yangu bi chau najuwa una maumivu sana moyoni. Innah llah maswabirinah inshallah
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Ай бұрын
Bi chau mshukuru Allah huwenda ndio mtihani wako huo Allah kakukadiria. Kiwa na subra mama angu
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Mtoto mpuuzi atuulize sisi wenye hatuna ndo tunajuwa umuhimu wa mama Mwenyezi Mungu anamuona
@SadaAhmad-hj1to
@SadaAhmad-hj1to Ай бұрын
Wewe dada pole yako sana .umeni tonesha kidonda changu akijapona mimi. Mama ya amefaki myika thalathini naa imeisha pita nikiwa mdogo nahisi kama kafa leo kiukweli uyo dada kanilizaa sana analeta utani na mama akuna mama mbaya duniani kwa vyovyote alivo mungu ndio kakuchagulia awe mzazi wako. Poleni sana kina mama kwachangamoto tunazo wapa sisi watoto wenu tusameheni ili tupate radhi zake allah .wa mama wote popote milipo mimi mtoto wenu nawapenda sana. Na mungu awasamehe wazazi wetu wote walo tangulia ahera mama na baba awa rehemu kwa huruma wake
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Pole Kwa kufiwa na Mama,ila kwenye familia kuna mengi,ukimtazama vizuri huyo mama hapo,utagunduwa kabisa kuna vitu vya ndani kabisa walifanyiana ambavyo hawawezi kuvisema Kwa mtu yeyote, yawezekana ni mambo ya ndani sanasana walifanyiana.😢
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Ай бұрын
Allah akutunzie wajukuu zako wazidi kukufariji wawe walezi wako
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd Ай бұрын
Pole sana mama angu ila uu ni mtihani vijana wasasa atujui thamani ya wazazi ipo siku atajua umuimu wako inshaallah kwasababu ata yy amezaa na yy atakuja kulipwa na Allah kupitia kizazi chake inshaallah
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 Ай бұрын
Hakika mzazi akosei😢
@halimaalkindi9484
@halimaalkindi9484 Ай бұрын
Kwanini hamuiti mkawapatanisha m.mungu atawalipa wakipatana from Halima Oman
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 Ай бұрын
Pole sana b chau.Allah akupe subira kubwa ipo siku mwanao atakuja kuomba msamaha muombee kwa Allah amuhid ampe moyo wenye iman na huruma kwa mzazi. Allah anaipokea haraka duwa ya mzazi.ipo siku utamuona anarudi.ya dunia yamemuhadaa akasahau wema wa mzazi.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Ай бұрын
Dah am speechless 😢😢...huyu bichau yuwaumia ila basi 😢😢..ALLAH ALAWAJALIE MASKIZANO
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Jamani anavyo fanya nayeye atafanyiwa akae akajua hilo nideni litalipwa tu
@HabibaJuma-h1h
@HabibaJuma-h1h Ай бұрын
100%
@HalimaOmary-g5p
@HalimaOmary-g5p 8 күн бұрын
😭😭😭yaani nimeumia sana pole mama yani naandika hii Sms huku na 😭😭😭wewe mtoto wa huyu mama ebu toa kinyongo chako Allah mkari sana ndugu yangu alafu nawewe ni mama siunaju tunayo yapitia wa mama
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 29 күн бұрын
Mungu akupiganie Bi Chau, Damu ya Yesu ilimwagika kwaajili ya wooote ikawapatanishe 🙏🏽
@marygregory7566
@marygregory7566 Ай бұрын
Nahisi mwanao kadanganywa na waganga Kaambiwa wewe ni mtu mbaya endelea kumuomba Mungu bi chau usichoke
@shuweabakar4891
@shuweabakar4891 Ай бұрын
Nami nahisi maan kuna wataalamu wengn wangombanishi huyo bint qjitambue mama kwa mtoto hakosei ata iweje aende kwa mama
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Ай бұрын
Hata mie nahisi ni hivyo,labda kadanganywa✌️✌️
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Ай бұрын
Atakuja kulia n kusaga meno siku mama Ake atakapofumba macho 😭
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Ай бұрын
Na huenda ajadanganywa ni kweli bi chau mchawi, lakini si angesema kwenye kikao na yangeongelewa yakaisha hiyo siyo sababu ya kumuacha mzazi wako.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Ай бұрын
@@zuenampandeni3347 aliwah kukuroga?
@tatusalum5728
@tatusalum5728 27 күн бұрын
Pole sana mama Allah akupe umri mrefu wenye afya na furaha nakupenda kipenz
@Kabeya410
@Kabeya410 17 күн бұрын
SUBUHANALLAH SUBUHANALLAH SUBUHANALLAH HUYO MTOTO KACHAGUA MOTO ALLAH AMZINDUE AREJEE, NAKUPA KISA CHA SWAHABA ALIKUA NA MTUME ALIKUA ANAMDHARAU MAMA YAKE NA, SIKU ALIPOKUA ANAKATA ROHO MTUME ALIKUWEPO AKAWA ANAAMBIWA ATOE SHAHADA IKAMSHINDA NA ALIKUA SWALA 5 NA SWAUMU NA IBADA ZOTE ANAFANYA KAFA BILA KUTOA SHAHADA MTUME AKAAGIZA UKOKWE MOTO ILI TUMCHOME MAMA KUSIKIA MWANAE ANATAKA KUCHOMWA AKAPINGA MTUME AKAMWAMBIA HUYU MWANAO ANAKWENDA MOTONI KWA KUKUDHARAU WEWE BORA TUANZE KUMCHOMA HAPA UONE KABLA HAJACHOMWA MOTO WA ALLAH, MAMA AKASEMA BASI NAMSAMEHE ALIPOMSAMEHE TU AKATOA SHAHADA NA AKAZIKWA KAWAIDA.
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy Ай бұрын
WEWE MTOTO KAMA UNANISIKIA NAKUOMBA URUDI KWA MAMA YAKO HATA KAMA ALIKUFANYIA JAMBO KUBWA ILA WEWE NI MTOTO MAMA NI MAMA JAPOKUA RIKWAMA MAANA YAKE HATA AKIWA NA UDHAIFU NI MAMA YAKO USIJE UKAJUTIA BAADAE . BICHAU ALLAH ATAKUFANYIA WEPESI HII NI MITIHANI . FAMILIA ZINA MITIHANI YAKE
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Ай бұрын
Si mdogo uwe na watoto mtihani usiwe nao mtihani Allah atuvushe nao
@EvaWaziri
@EvaWaziri Ай бұрын
Mimi nakukumbuka mama yako,mungu akulaze mahali mema peponi,ulinipenda Sana mama yangu, maisha yangu yangu ww bila magumu,Kuna vitu napitia natamani nikuambie ,nabaki naumia tu.
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 Ай бұрын
Bi chau mwanao awezi kujua thamani ya mama mpaka utakapo hondoka dunia mama akuna mfano wake
@DottoRajab
@DottoRajab Ай бұрын
Uyu bi chau anaumiya sana yeye mzazi muombe mungu atakusaidiya
@SabiamSuleimanmtwalo
@SabiamSuleimanmtwalo 25 күн бұрын
Anaongea kwa uchung san bibi chau mwenyez mungu akufarij
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Hili neno linanigusa sana ulisikie tu kwa mwenzio
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Ай бұрын
Pole mtani wangu Allah azidi kukupa subra ila inauma sana
@nuruyusuph5562
@nuruyusuph5562 Ай бұрын
Pole mama yetu tunakupenda una watoto kibao tu sisi MUNGU akulinde akutunze na kukuhifadh
@AishaFerous-jp8oq
@AishaFerous-jp8oq 16 күн бұрын
Ebu jitaidini mumtafute na uyo mtoto msisikilize upande mmoja itakuwa kuna tatizo kubwa.
@AminathaShamte
@AminathaShamte 4 күн бұрын
ATA kama kunatatizo lakini tutambue kua mzazi akosei ata siku mmoja mzazi atabaki kua mzazi tuuu tuwarshimu wazazi wetu jamani sisi wenzenu tunatamani angeludi ata mala Moja mama yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 17 күн бұрын
Mtiani sana
@PiliismailPili
@PiliismailPili 19 күн бұрын
Mutoto wa bichau nakuchukiya nasikujuwi mama akosei nimama tuu 😊😊
@AshaAbdallah-j1r
@AshaAbdallah-j1r Ай бұрын
Naomba namba ya bi chau awe mama angu
@tunumakila2220
@tunumakila2220 27 күн бұрын
Mungu akurahamu mama yangu, thamani ya mama haifananishwi na kitu kingine
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z Ай бұрын
Wewe shaila Uchebe hakuna unachomtetea mtoto wa bi chau ni mweshenzi wa tabia tu naludia tena tena ni mjinga tu. Yaan iko hivi mama mzaxi ni mama mzazi hata kama mama ni mbaya,mchawi,anaitwa na redio upendi bado ni mama tu. Pole yake kwa kujitega na mama.Hakuna kama mama Dunian. Amelogea huyo sio bure.
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Ай бұрын
Bi chau jmn kisaut anazeeka nacho 👌
@AISHAJUMAMCHANA
@AISHAJUMAMCHANA Ай бұрын
Huyo dada atakuja nayeye kufanyiwa na watoto wake nayeye😢
@MariamHamisi-oe1bx
@MariamHamisi-oe1bx Ай бұрын
Mwenyez mungu akupe aubra mamaangu
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
WAGANGAA WA KIENYEJII HAOOOOO NA MUMEWEEE. WATU SIIII WAZURIIII
@SadaAhmad-hj1to
@SadaAhmad-hj1to Ай бұрын
Uyo mdada anajuwa thamani yake mzazi badae .mtu kama kitu muhimu akijakutoka machoni kwako huwezi kujuwa kama kinathani kitapo kutoka ndio utajuwa thamani yake na umuhimu wake asi adaike na pumnzi au huu mwanga wa jua na vilivyomo ndani ya iyi dunia silolote wa chochote .wewe dada rudi nyuma kamuombe radhi mzazi wako fursa unayo .ujuwe ni bunanza .ahera nikaribu mnoo tofauti na tunavo dhania sisi.tunakuombea dua allah aku ongoze njia sahihi utoke uko ktk dibwi uwe na mwisho mwema urudi kwa mama kabla ya maamuzi yake allah. Allahuma amin Amin Amin 🙏
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 23 күн бұрын
Mama mama mama who's like mama❤❤❤❤
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka Ай бұрын
Bi chau heshima yako Mm nakupenda mama usilie ss watt kunawakati hatujitambuwi ❤nakupenda mama Mama ni dhahabu kuipoteza ni adhabu
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo Ай бұрын
Pole, hongera Kwa Upendo wa mama Kwa mwanae❤
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Nilimmis mama angu eti kuna watu wanawasusa mama zao daah nimelia sana jamani😭😭😭😭pumzika kwa amani mama angu nimekukumbuka sana💔
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Ай бұрын
Kuna mmoja nimemzaa niliacha kila kitu nimlee, Mungu kamjalia kipato anataka kila afanyalo kwangu nipige magoti niseme shikamoo mtoto! Anawaambia watu Mama hana shukrani, nimesema akae na utajiri wake na mimi aniache na umasikini wangu kupiga magoti kwa mtoto niliyezaa hapana kwa kweli😢😢
@susanejd7775
@susanejd7775 Ай бұрын
Aisha pole sana ukitaka mama wa hiyari mm niko maana sina mtoto wa kike i mean it
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr Ай бұрын
Ila huyo binti woiiiiiiii mimi. Bi chau anajalibu kuficha ficha lkn ana machungu ndani yake😢😢😢😢
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Ай бұрын
Subhanallah yani ipite siku moja tu sjaskia sauti ya mama angu nahisi kuchanganyikiwa 😢😢😢 ni miaka nichache tu sjamuona kutokana na harakati za maisha basi naona kama mika 100 sijamuona 😢😢😢ahh huyu haijui thamani ya mama
@Safreenfeen
@Safreenfeen Ай бұрын
Bi chau namie ninayo hayo hayo ulinayo wewe….Hiyo ni bahat Tulojaaliwa Tuombe Allah atupe subra
@ummjamilawahida
@ummjamilawahida Ай бұрын
Allah atakufanyia wepes zidisha dua na usiapize
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Ай бұрын
Mimi pia😢
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t Ай бұрын
Kumbe ni wengi ila hawana nafas yakusema Mungu awafanyie wepes awape subra ktk mtihan mnaopitia.
@AzaMajid-br5jq
@AzaMajid-br5jq Ай бұрын
ILA NA MUMEWE PIA MBAYA SIO MTU MZURI HUWEZI KUKAA NA MTOTO WA MTU BILA MAELEWANO YA MAMA YAKE
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Sadkta akifa anakwenda nae wapi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Mimi wangu hata mume hana kaanza tokea kaingia University mpaka kamaliza kaondoka na nyumbani roho imeniuma saa hii nishazoea hata nikimuona njiani sishtuki tena namuona wa kawaida mwanzo ilinitesa
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay Ай бұрын
​@@FatimaAli-of4ghsubhannawallah mtihani wallah allah awajaalie watoto wetu muongozo mwema na iman inshallah atarudi hyo mwenda tenzi na homo huwenda akaishia ngamani atarudi tu hyo inshallah ww umuombee dua tu
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري Ай бұрын
Dah pole sana​@@FatimaAli-of4gh
@mohamedhussein-qb5sg
@mohamedhussein-qb5sg 24 күн бұрын
Mtihani mkubwa, wenye mamaz ao ambao wako hai jamani kuwafanyia hisani wazee wawili ni sababu moja yakutiliwa baraka katika maisha . Allah amuongozee huyo mwanao.
@DxbYae
@DxbYae Ай бұрын
Mama km mama akuna km yeye😢😢naumia sn kwa history ila nakupa ongera sn mama hapo unaposema unamuombea dua Insha Allah mama Allah hatakulipa mzazi akosei wallah
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 Ай бұрын
Pole sana mamaangu ipo cku atajuwa thamani ya mama wakati atakuwa amechelewa😢
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Hata mimi kijana wangu amenikataa kisa mwanamke nimemtakia kila lakheri bora amezaa nimemuachia mungu 😂 nandika kama mazuri
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Mimi mtt wangu wa kike mwaka wa 4 huu na kaniblock
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
@@FatimaAli-of4gh pole sana nikuwaombea dunia ,kwamungu bora wamezaa watakuja kututafuta hatupo tena duniani
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac Ай бұрын
Mungu wangu pole sana,​@@FatimaAli-of4gh
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Ай бұрын
Watatuendea na kwa waganga kuomba radhi zetu lakini wapi😢😢 ni bora wakatafuta suruhu tukiwa hai😢😢😢😢​@@uwimana6533
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 Ай бұрын
😂😂😂naceka kama mazuri mimi.....pole ndugu yangu.​@@FatimaAli-of4gh
@latifahali8228
@latifahali8228 Ай бұрын
Mume ni rafik na time yyt unaweza kuvunjukaaaaa. Ila mama ni mama jeeee ndio ikivunjikaaaa itakuwaje
@fatumamramba7813
@fatumamramba7813 25 күн бұрын
Pole bi chau ilasilaumu sana wapo wa mama ambao wao .ndio wakosaji kwa watoto wake.mfano .unakuta baba amefariki alafu mama ana watoto 6.wa kiume nao wameowa.mama anaumri miaka 67.mama anatembea na vijana wadogo.mama anafikia kuleta wanaume zake wanalala ktk kitanda alichofia baba yao.watoto wanashuhudia mtoto wa kiume anamwambia mama mke wangu haniheshimu.acha hiyo Tabia. Watoto wa kike wanamwambia mama acha au nenda kafanyie mbali hata majirani wanatucheka .mama analipuka anachaaaaamba matusi na hakuna wakumkanya.ndugu wote pande zote wamenyoosha mikono juu.amekua nunda.mpaka anawaachia mdomo laana .je mama huyu ktk jamii mnadhani watoto watampenda?
@mbwanangare3233
@mbwanangare3233 Ай бұрын
Huzeeki. Bichau. Mimi nimwanamke. Nakusifia. Upo. Vzr. Sana. Bado. Unaday
@HarunaSadallah
@HarunaSadallah Ай бұрын
Kwanza leo nimefurahi kumuona bi chau 😢 ushauri kwa bi chau awe na subra tu Allah yupo!
@SafiaOmar
@SafiaOmar 28 күн бұрын
Huyo mtoto mwehu kweli. Atakuja kujuta sana ipo siku
@sweet16honey75
@sweet16honey75 27 күн бұрын
Mimi nipo kenya mama yangu ni Msukuma baba yangu ni Mkenya mama yangu alifariki na tamani niwe naye sana sana Leo huyo dada ana mtupa mama yake 😭😭😭
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 24 күн бұрын
Nilimlea mwanangu kwa shida mwisho wa siku alivyomaliza chuo akapata kazi akawa na mwanamke ana mtoto tayari na umri kamzidi nilivyoknya akanichukia nimwaka sasa hatuna salamu na kwangu akanyagi alisema kama unanilaani nilaani roho yangu inauma sana
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e Ай бұрын
Mungu aepushie kwangu na kwa mwanangu ila ndo ikitokea hiv huy mtot sitokuwa radhi nae kwakwel maana sio kwa shida nazopata kwanza kuwa single mama na meanza kuhangaika from mimba till now weee Mungu aepushe tu kwa mwanangu
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 Ай бұрын
Aamiin kama najiona na mimi ivo unavyo adisiya ...... ALLH atuwekeye wepesi katika aya maisha🤲🙏
@ZuhuraAdinan-t1r
@ZuhuraAdinan-t1r Ай бұрын
Allah amjalie alud mwanao
@muriukimuthoni2315
@muriukimuthoni2315 2 күн бұрын
Mzazi Mimi Hali hiyo..sijui..nifanye jee
@halimawahalimawa8956
@halimawahalimawa8956 Ай бұрын
Pole bii chau mwenyenzi mungu atamuonyesha njia lkn naona km ttz la akili huuwezi kumkataa mama aliekuzaa huo mtihani muwachie mwenyenzi mungu atakupa furaha
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Mimi nilikuwa silali na sikubaliani nalo mwaka wa 4 huu aliondoka nyumbani na mpaka karudi kakodi chumba hana habari na mimi nimepata maradhi mpaka mvi zimenitoka kwa mawazo
@CarisMbwilo
@CarisMbwilo Ай бұрын
Hata kama mama akukosee kiasi gani hupaswi kukata mawasiliano nae bado utabaki kuwa mama na siku zote mama hukosi wewe kwenye maisha aliyokulea ulimkosa mara ngapi mbona hajakutupa arudi kwenye maandiko matakatifu pia mume anamdanganya ngoja aachwe atajua kama hajui
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf Ай бұрын
Acha kushauri shirk. Allah hashirikishwi. Husamehewi
@LovelyBalkhHound-zi2vs
@LovelyBalkhHound-zi2vs Ай бұрын
Pole mama
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 25 күн бұрын
Hamna kurogwa ila watoto wakijiona wamekua na kujiweza kidogo kimaisha hua anasahau atokeako ndivyo analeta kiburi na jeuri lkn nazi maisha haishindani na jiwe tulia bi chauffeur malipo ya mzazi hulipwa na ALLAH
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
Nimeandika mala 2 nimefuta acha tu ninyamaze pole sana bi chau ila mtafuteni na mtoto tujue shida ipo wapi?
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 Ай бұрын
Mzaz akosei
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Ай бұрын
Anazambiii kubwa SANA. LABDA kalogwaaa na MUMEWE. AYO MAMBO YAPOOOO
@MariamMzige
@MariamMzige Ай бұрын
Allah nakuomba zidi kumpa umri mrefu mama angu rukia miraji zuakuu
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Amiin 🤲🤲🤲
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Ай бұрын
Bardan wa ssalaamah bi Chau
@salimumazige9497
@salimumazige9497 Ай бұрын
Huyo mtoto wa bi Chau analana ya ulimwengu Mzazi hakosei Wala hanuniwi aache ujinga mama ni mama hakunakama mama
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie Ай бұрын
Natamani mama yangu japo kwadakika tu lkn aiwezekani😢😢tena
@providencekusinza7122
@providencekusinza7122 29 күн бұрын
Mzazi akose ye jamani dah Mimi nikiota ata maman yangu ndotoni nafarijika sana Ila mwengine eko poa kukaha bila kuongeya na mzazi
@Azamawanna
@Azamawanna 21 күн бұрын
Unawez usiamini kama mtu anaweza kumsusa mzazi wake. Lakini yapo mie nimetoka kumpatanisha mtu na mama yake. Alimchunia zaidi ya miaka mitatu
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 27 күн бұрын
Daaaaah 😢😢😢😢
@HindiSaid-i6h
@HindiSaid-i6h 26 күн бұрын
Hata Mungu hapendi
@SakinaOmar-rz8zo
@SakinaOmar-rz8zo Ай бұрын
Pepo yadunia nimama alonizaa akanilea😢😢R.I.P my mom alafu wewe mtoto wabibichau nenda kamuombe radhi mamayako kabla hajafa nenda mbio hataakiwa mchawi
@Shekhahamed-v2f
@Shekhahamed-v2f Ай бұрын
Huyu mtt wa bichau kapandikizwa chuki Sanaa na chuki imetoka kwenye family.
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 28 күн бұрын
Pole san mama ila mwanao angejua uchungu ulonao japo unajikaza kama mama ila inauma sana laiti angejua muzazi hakosei hata hata akikosea inamubidi yeye kama mutoto kuomba radhi muzazi asingefanya ivo anavyo fanya kunasiku atakujutia
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface Ай бұрын
Kipindi hiki ni kizuri sana, tuko wengi wenye shida kama ya bi Chau, lakini hatujui hata pa kusemea, tumenyamaza na matumbo yetu yanatuuma sana tukiwafikiria watoto wetu. Mungu atukumbatie sana.
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 Ай бұрын
Hapo Kuna kikubwa sana....kama hawajashea bwana,Kuna uchawi hapo.....
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 24 күн бұрын
Labda walisheha bwana
@mwanamksisoppah9325
@mwanamksisoppah9325 28 күн бұрын
Dhoo kali hiyo 😢😢 hakuna kama mama subra mmngu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Muiteni huyo Mtoto wa bi Chau aseme nini tatizo' Muwapatanishe yaishe ALLAH Atawalipa
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Ай бұрын
Jamani mnaulaumu mnasosea japo mzazi hakosei kwa msemo wa kibinadamu,mimi ilinitokea kukataliwa na mama yangu niliumia sana nilihangaika sana tena nikamjengea nyumba akaikataa,miaka mingi tulikaa kimya,mpaka yeye mama akajua kosa lake akanitafuta na sasa tuko sawa
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t Ай бұрын
Pole ni mtihan tu hii mda mwengne ni uchonganishi watu au ushirikina mithan ni mingi duniani.
@mwamvuamursali1390
@mwamvuamursali1390 Ай бұрын
Pole sana bi chau ila hapo naona tatizo liko kwa mume wake kwa sababu yeye ndie anatakiwa ambadilishe mkewe
@halimamkwizu9401
@halimamkwizu9401 Ай бұрын
Hata mimi nimewaza hivyohivyo,mume wa huyo binti ndio mbaya.
@AishaHussein-en3wf
@AishaHussein-en3wf Ай бұрын
Jamani msimlaumu sana,naomba mumtafute uyo mtoto na yeye mumuhoji,maana mnamlaumu bila kujua,mimi mama yangu anipendi mpaka ananisema kwa watu,dah naomba mumtafute
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 25 күн бұрын
Na hiyo ya mume inachangia kuvunja ukoo lkn mume ni rafiki wa kitanda mama mpaka unazikwa huitwi jina la mume wala la baba nila mama
@muriukimuthoni2315
@muriukimuthoni2315 2 күн бұрын
Hivi bi chau anaishi wapi
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z Ай бұрын
Ilo siyo la maana la kutoonekana 21:09 kwenye Tv. Huyo bint ni mshenzi tu wa Tabia pamoja na mumewe
@hamidasalum157
@hamidasalum157 28 күн бұрын
Hivi ikitokea mama ake kafa atafanyeje atalia atacheka au atafanyeje 😭
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e Ай бұрын
Huy mtot anamuonea wivu mamake inshort mchaw 😂😂😂😂😂
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 13 күн бұрын
Ukishaingia kwenye ndoa kwa kipindi angalau miaka 5 unaweza kuwa somo mana changamoto za ndoa ushazijua si lazima uwe mtu mzima km wewe bi chau
@DIDAMOHSIN
@DIDAMOHSIN Ай бұрын
Kabisaa. Sie wengine twatamnii wazazi wetu wangekua hai.. lkn maskini hajui ww huna kitu unachokitaka kwake..ila yy ndio kuna kitu ataka kwako..hakuna kama mama..na hatakuwepoo
@khadijahhussan182
@khadijahhussan182 Ай бұрын
Subhannallah 😢Ata kumbuka shuka kumekucha uo c uzima hata kama mzazi kakukosea kikubwa kipi ni kumuachia Allah yy ndo mjuzi zaidi,, mzazi kosa lake nn kukuzaa ama huko ni kukosa radhi
@winnemassawe8123
@winnemassawe8123 18 күн бұрын
Waganga waongo jaman pengine wamemdanganya huyo mtoto mamake alikuwa mchawii
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 Ай бұрын
Bi chau simama na Allah. Ipo cku atajua umuhimu wako in shaa Allah
@happypiusi3801
@happypiusi3801 Ай бұрын
Mama. Mamaaangu pumzika kwa amani thamani ya mama jamani 😢😢😢
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Jifanyie kazi mama yangu nitumie na namba ya bichau nimsaidie uyo mtoto hana akili
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 Ай бұрын
Pole mama 😢😢
@MwanahamisiBwanga
@MwanahamisiBwanga Ай бұрын
Anaejua saman ya mzaz n ambae hana mzaz mwenye wazaz hajui dhaman ya wazaz
@berthamwakalebela7604
@berthamwakalebela7604 Ай бұрын
Kuna cku atatamani kuita mama alafu hautakuwepo ndo atajua vzur
@neemaedmund8224
@neemaedmund8224 Ай бұрын
Adanganywe vyovyoye,mtoto mpuuzi,nyang'au,mwehu.Hata kama mama mchawi hasuswi.Labda kama alilala na mkwewe
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 36 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 50 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 9 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 36 МЛН