Mtoto wa kwanza wa Bishop Dr Gertrude Rwakatare akimuelezea marehemu mama yake ni nani?

  Рет қаралды 470,455

RUMAFRICA

RUMAFRICA

Күн бұрын

Mtoto wa kwanza wa Bishop Dr Gertrude Rwakatare, Rose Rwakatare akimuelezea marehemu mama yake ni nani siku ya Jumapili 31.05.2020 kwenye ibada ya kumshukuru Mungu iliyoambata na hitimisho la siku 40 za maombolezo iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa moto Mikocheni "B"-Dar es Salaam Tanzania.

Пікірлер: 150
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 4 жыл бұрын
Hapo Dokta alijizaa haswa! Ukimwangalia haraka haraka anafanana na Mamae. BWANA Mungu aendelee kuwafunika Kanisa la Mlima wa Moto. Amen!
@arineitweirene1986
@arineitweirene1986 4 жыл бұрын
RIP mama Dr Bishop Rwakatare Here at Kigali Rwanda watching. I really feel a challenge to live a life that is worthy of Jesus Christ that when we leave this world,a lot about us can still lift the name of Jesus higher. It is always good to do good. RIP mama.
@carenkasaya4417
@carenkasaya4417 4 жыл бұрын
Mwana rose kafanana mama take mungu akubakiriki sana tulilia sana mama was taifa LA Tanzania kusikia mama amekufa poleni sana familia ya mama na inchi yote ya Tanzania kumpoteza mama mpenda
@patrickmbelenzi493
@patrickmbelenzi493 4 жыл бұрын
Mama Bishop Gertrude Rwakatare 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tulimpenda sana Rest In Peace Simba wa Jike
@imajoelly9338
@imajoelly9338 3 жыл бұрын
MLIMA WA MOTO
@patrickmbelenzi493
@patrickmbelenzi493 3 жыл бұрын
Tutaishi kumpenda
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 жыл бұрын
Mama shujaa sana jamn.Mungu amemchukua kwa wakati wake uliompendeza.Jina la Bwana libarikiwe.
@bryanfelix1172
@bryanfelix1172 4 жыл бұрын
Amen
@jacquelinekitheka8746
@jacquelinekitheka8746 4 жыл бұрын
He The Lord has taken her with Him. May His Name be praised. It's a hard season but our God shall strengthen you all. His comfort that surpasses all human understanding shall be your portion all through. Mama, Rest in Peace. Love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@joycekokunula9137
@joycekokunula9137 4 жыл бұрын
Kuna mabwana wengi, jamani tujifunze kutamka jina hili kwa heshima BWANA YESU ASIFIWE, jina lake linapita majina yote
@jamesmaganya9568
@jamesmaganya9568 4 жыл бұрын
Wengine hutaja mabwana zao tu ila watu hawaelewi
@agnesnamanji1269
@agnesnamanji1269 4 жыл бұрын
Amen
@joyceabdallah465
@joyceabdallah465 4 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaaaaa
@zakariaandrew6976
@zakariaandrew6976 4 жыл бұрын
Kweliii sijui alikuwa hamsikilizi mama
@chrizostommayala170
@chrizostommayala170 4 жыл бұрын
Asante Dada Joyce Yesu ndie Bwana Wa Mabwana watu wengi hawajui kulitaja jina lake
@beatriceobegi8577
@beatriceobegi8577 4 жыл бұрын
A legend a General has rested....inspirational Lady....God comfort her family and all her friends acquaintances...mourning Her from Kenya with Looove..Shalom...
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 жыл бұрын
Mungu ailaze rohoo yake mahari peponi tumempenda mama yetu lakini mungu kampenda zaidi mungu ashukuliwe amina
@janetogot7364
@janetogot7364 4 жыл бұрын
A very strong women in deed.Rest in peace.
@rauhiyaadil6789
@rauhiyaadil6789 4 жыл бұрын
Huyu binti wa rwakatare ni mzuri sana mashalah
@oliviarygs4458
@oliviarygs4458 4 жыл бұрын
She was such a great woman
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 4 жыл бұрын
Bwana yesu Asifiwe Mungu awatunze
@mh.dismasmbawalla1476
@mh.dismasmbawalla1476 4 жыл бұрын
Rose you got good presentation skills,let the soul of mum RIP
@afyanimaishatv3672
@afyanimaishatv3672 4 жыл бұрын
She has done a great job mam
@lomilosaul3011
@lomilosaul3011 4 жыл бұрын
The family to Dr Rwakatare take heart we are all in pain. Saul Ug. RIP Mama
@berthasamwel9955
@berthasamwel9955 4 жыл бұрын
Malizia Bwana YESU Asifiwe, ndio njema zaidi
@anjiwikestanley958
@anjiwikestanley958 4 жыл бұрын
Kweli
@sarahamos8524
@sarahamos8524 4 жыл бұрын
Hapo inajulikana hakuna cha Yesu wala nini ni changa la macho
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Kweli
@peternjengapeter898
@peternjengapeter898 4 жыл бұрын
Her soul have peace Amen
@suzzydiana7419
@suzzydiana7419 4 жыл бұрын
Poleni familia ya Getrude..
@elizabethmoshi96
@elizabethmoshi96 4 жыл бұрын
Iman ameilinda mwendo ameumaliza,pumzika kwa Aman Mama
@fofonadia3657
@fofonadia3657 4 жыл бұрын
Mungu amupumuzikishe kwa amani
@danielmbarikiwa6692
@danielmbarikiwa6692 4 жыл бұрын
Pole sana kwa familia pumzika kwa amani...
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 жыл бұрын
Anafanana sana na Mama yake.
@rehemakilele2751
@rehemakilele2751 4 жыл бұрын
Nzuri
@omarydidian7739
@omarydidian7739 4 жыл бұрын
Pumzika Kwa Aman mama
@carolin3260
@carolin3260 8 ай бұрын
God
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 жыл бұрын
Amefanana sana na mama yake daah!
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 4 жыл бұрын
Tuwe makini sana na huyu ambaye watu wanamtumikia. Mungu ambaye anawaacha watumishi wake wanakufa na pressure.
@imajoelly9338
@imajoelly9338 3 жыл бұрын
Mlima WA moto
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 4 жыл бұрын
Umefanana sana Mungu awe pamoja nawe
@johnpaulo2812
@johnpaulo2812 4 жыл бұрын
Sisi tunakupenda ila mungu amekupenda zaidi
@omaebarongo1892
@omaebarongo1892 4 жыл бұрын
Unafanana na mama kabisaaa
@jemimahanyango9138
@jemimahanyango9138 4 жыл бұрын
Hakika wanafanana.
@neemamachangemachange8874
@neemamachangemachange8874 4 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Mama
@getrudecharles6212
@getrudecharles6212 4 жыл бұрын
Jamanii umefanana Sana na mama yako
@pstpenninahmakau3180
@pstpenninahmakau3180 3 жыл бұрын
Indeed she was a lioness.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 жыл бұрын
Let your soul rest in peace lovely mother
@magdalenasirikwa6803
@magdalenasirikwa6803 4 жыл бұрын
Hata mimi napenda mtu akisema Bwana Yesu asifiwe
@zakariaandrew6976
@zakariaandrew6976 4 жыл бұрын
Napenda aseme Bwana Yesu asifiwe ndo inaniingiaaa vzr akilin mwangu
@mwinjilistisinwaobadia2736
@mwinjilistisinwaobadia2736 4 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana
@carofatma8110
@carofatma8110 4 жыл бұрын
Am from kenya ila mimi ni mtanzania kuna watoto wa my uncle walisoma st marys school ni shule nzuri pia zina parfoms 👌
@farihiamass8739
@farihiamass8739 4 жыл бұрын
Hivi kwanini tunakosoa uumbaji wa Mungu jaman ....kwan n lazima tujichubue? Mungu atusaidie sana
@atukuzwerobert5270
@atukuzwerobert5270 3 жыл бұрын
Watu wana majonzi ww unawaza kuji chubua
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 4 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 жыл бұрын
Ndio tulikuwa tunafanya naombi nyumban na tuliabudu shuleni jamn umenikumbusha nikiwa na miaka16.
@gwasaimmaculee7931
@gwasaimmaculee7931 4 жыл бұрын
Rozamuhando
@nelsonyandilo3797
@nelsonyandilo3797 4 жыл бұрын
Barakoa kama zoteeee kumbe Corona Tz bado ipo!!!
@floramkinga9978
@floramkinga9978 4 жыл бұрын
Wamawasiwasi
@nelsonyandilo3797
@nelsonyandilo3797 4 жыл бұрын
@@floramkinga9978 😃 na wakati Bwana wa mabwana kashafanya tayari
@sumayaabdi5228
@sumayaabdi5228 4 жыл бұрын
R I P mama so sad 😭😭
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 4 жыл бұрын
Amefanana sana na Mama yake jamani
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 жыл бұрын
Sana mpaka mavaaji😭😭
@magdalenanoah1884
@magdalenanoah1884 4 жыл бұрын
Nilimpenda sana mama getruda lwakatale
@zebonga419
@zebonga419 4 жыл бұрын
Mama ameniliza sana kazi ya mungu haina makosa jina la bwana lihimidiwe
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 4 жыл бұрын
Nakumbuka mama akitoa wosia huu wa masomo siku chache kabla ya kuaga..from Kenya Mungu Ilaze roho yake pema
@lebkn177
@lebkn177 4 жыл бұрын
Nini ilimua
@marykymani5466
@marykymani5466 4 жыл бұрын
Alifanya nni
@rosemarymaduma2365
@rosemarymaduma2365 4 жыл бұрын
Rest in peace mamaa
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 4 жыл бұрын
Nani ameona hako kasichana😘😘
@esthernjambi3828
@esthernjambi3828 4 жыл бұрын
R I P mum
@essahsaimonmwalwega6097
@essahsaimonmwalwega6097 4 жыл бұрын
R.I.P Mama....hata mbeya tunalia kumpoteza mama yetu shujaaa
@momfive8847
@momfive8847 4 жыл бұрын
Mummy you died?? Oooh No, used to love her, may our lord Jesus christ gives you rest in peace,
@stephenmaina7148
@stephenmaina7148 4 жыл бұрын
Hengera sana mama .mungu akukubuke
@edmondjuma1594
@edmondjuma1594 4 жыл бұрын
Mama rest in peace
@edmondjuma1594
@edmondjuma1594 4 жыл бұрын
May his soul rest in peace....
@christinekainza4326
@christinekainza4326 4 жыл бұрын
Rest in peace servant of God
@timbamanyatimbamanya4668
@timbamanyatimbamanya4668 4 жыл бұрын
Tutakukumbuka milele
@esterkimario1126
@esterkimario1126 4 жыл бұрын
wamefanana mnoo
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 4 жыл бұрын
Wau marehemu ameacha photocopy wake
@ameniameni617
@ameniameni617 4 жыл бұрын
R.I.P
@annachales9623
@annachales9623 4 жыл бұрын
anafanana na mamake jamani
@carolineauma828
@carolineauma828 4 жыл бұрын
POLE SANA KWA MZIBA
@annwamaina9194
@annwamaina9194 4 жыл бұрын
What??????? Ameaga oh jesus
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
huyu binti yake anasura nzuri sana
@emmyjuma2292
@emmyjuma2292 4 жыл бұрын
Hakika Mungu na malaika walipokea roho yake Kwa upendo
@robsonsadiki
@robsonsadiki 4 жыл бұрын
Siyo rahisi kama unavyofikiri
@nazarethmwaipungu323
@nazarethmwaipungu323 4 жыл бұрын
Naona mama arijizaa mwenjewe
@justinendondi
@justinendondi Жыл бұрын
Ninahaja yakufika kwahii kanisa mnipe melekeo mimini mcongo mani
@coneschikulo3916
@coneschikulo3916 4 жыл бұрын
Malizia yesu.sio bwana asifiwe tu...bwana gani!!?
@isabellajoakimu2325
@isabellajoakimu2325 4 жыл бұрын
Apoo sasa
@gidiontimotheo9895
@gidiontimotheo9895 4 жыл бұрын
yesu anamongopa?? kumtajaa??
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 жыл бұрын
Kwani hamjaelewa?
@adelhardmwallongo6156
@adelhardmwallongo6156 4 жыл бұрын
P
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 4 жыл бұрын
Kama namuona rozee Muhando hapo
@nshimirimanayvette171
@nshimirimanayvette171 4 жыл бұрын
Niyeye kava kanzu nyekundu
@nicomlugae5106
@nicomlugae5106 4 жыл бұрын
Hahaaa wenyewe
@sophiamduma7397
@sophiamduma7397 4 жыл бұрын
Ndio..kabsa kinguo chekundu
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
@@nshimirimanayvette171 kanzu!?
@nelsonyandilo3797
@nelsonyandilo3797 4 жыл бұрын
Barakoa kama zoteeee kumbe Corona Tz bado ipo!!
@mwinjilistisinwaobadia2736
@mwinjilistisinwaobadia2736 4 жыл бұрын
Bonyeza hapo 👇🏻 kzbin.info/www/bejne/qaqbiJ2sZbuXgsk
@pendomsuya1390
@pendomsuya1390 4 жыл бұрын
Mwacheni bana mbona mnapenda uchokozi atakua amesahau mrembo wetu.
@marymutheu5471
@marymutheu5471 4 жыл бұрын
Yuanafanana na mamake jamani..
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Watu wamejikoboa hatari
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 4 жыл бұрын
KUACHA ALAMA
@jackieben1844
@jackieben1844 4 жыл бұрын
Mama shujaa lwakatare....lala kwa amani
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 жыл бұрын
Unafanana na mama
@mwanaimamrutubernard937
@mwanaimamrutubernard937 4 жыл бұрын
Km
@aishasalum2963
@aishasalum2963 4 жыл бұрын
Yaani umefanana namama handi raha
@velmaagwona1945
@velmaagwona1945 4 жыл бұрын
Kwani alifariki?? Jamani Sina 😥😥😥😥
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
Velma agwona. Mwezi sasa umeisha pita tangu amefariki
@eshynassor5666
@eshynassor5666 4 жыл бұрын
Acha kufuru wewe
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
@@eshynassor5666 kufuru tena jamani. Ameisha tangulia mbele ya haki ukiniambia niache kufuru vipi nakufuru labda?
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 жыл бұрын
Uko dunia gan rafk angu wewe au uko marekan vijijin maana Kama no mjin ungesikia tu
@lebkn177
@lebkn177 4 жыл бұрын
@@janethkilonzi4260 pia mimi sina habari nini ilimuua
@kuruthummkuka768
@kuruthummkuka768 4 жыл бұрын
Uyu mwanae wakwanza wanafanana balaa
@fredrickdastani4250
@fredrickdastani4250 4 жыл бұрын
Taja kabisa bwanayesu asifiwe sio bwana asifiwe
@heriethndaiga1025
@heriethndaiga1025 4 жыл бұрын
Nawewe andika kwa herufi kubwa Bwana Yesu asifiwe
@annikhaoya470
@annikhaoya470 4 жыл бұрын
RIP mama
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Yaani nimefikiri ni Gertrude amerudi mnafanana mno na mama Gertrude eh mungu awabariki mamaa alikuwa vinzuri
@safinajumannesabuni4038
@safinajumannesabuni4038 4 жыл бұрын
Pumzika Kwa. Amani Mama Safari umeimaliza na Imani umeilinda
@emmanuelwilliad3085
@emmanuelwilliad3085 4 жыл бұрын
RIP mama🙏
@jamesmaganya9568
@jamesmaganya9568 4 жыл бұрын
Na we unaiga tabia za mama yako kuvaa vibandiko!
@mariachuhila9518
@mariachuhila9518 4 жыл бұрын
Na Pete je umeiona?
@mariachuhila9518
@mariachuhila9518 4 жыл бұрын
Na Pete umeiona?
@jamesmaganya9568
@jamesmaganya9568 4 жыл бұрын
@@mariachuhila9518 ndyo wanasema mazuri tu mabaya hawasemi ila situnayajuwa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 жыл бұрын
@@jamesmaganya9568 Mabaya yapi tena jamani?
@jamesmaganya9568
@jamesmaganya9568 4 жыл бұрын
@@lilyrose7983 bas tuache tu kwakuwa hayupo tena duniani
@sirdantesmitego618
@sirdantesmitego618 4 жыл бұрын
Mungu hutoa na Mungu hutwaa kzbin.info/www/bejne/np3HZYJ8g72Bl68
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 жыл бұрын
Kigodoro vepee
@fastamanopportunist6154
@fastamanopportunist6154 4 жыл бұрын
Nini ailaze maharishi pema peponi
@dorisjessy5960
@dorisjessy5960 4 жыл бұрын
Anamfanana saaana ata unakaa kama yeye
@esterkimario1126
@esterkimario1126 4 жыл бұрын
had mavaz wamefanana nilijua ni mama karud
@harriettatu7155
@harriettatu7155 4 жыл бұрын
Muambie waumini ukweli msiwapotoshe huu ni kwati wa mwisho na manabii tuliambiwa watakuja wengi tu lkn tuwaangalie vyema
@rebeccaadam5463
@rebeccaadam5463 4 жыл бұрын
Kabisaaaa
@hellenwambaire9045
@hellenwambaire9045 4 жыл бұрын
Rip mama
@hellenwambaire9045
@hellenwambaire9045 4 жыл бұрын
Like that our father Titus mukama from Kenya,peacemakers
@lishoskanyirenda7442
@lishoskanyirenda7442 3 жыл бұрын
Machulluka
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Historia ya nini wakati mtu alisgazikwa kitambo?????? Acheni kukuza mambo muacheni mama wa watu apumzike...
@simonkusupa2303
@simonkusupa2303 4 жыл бұрын
XXX
WOSIA WA MAMA RWAKATARE | UTAJIRI WAKE, HISTORIA YAKE
18:40
Dina Marios tv
Рет қаралды 98 М.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 334 М.
PETE YA UCHUMBA
6:56
PRECAMA TV KIGOMA
Рет қаралды 926
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 784 М.
Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1
28:06
YahStoneTown
Рет қаралды 342 М.
HOJA DHIDI YA HOJA: TUNDU LISSU VS. NAPE NNAUYE (STAR TV)
26:50
M.M Mwanakijiji
Рет қаралды 334 М.
GWAJIMA | "MIMI NIKIONGEA JAMBO NAWEZA KUBADILI UPEPO SASA HIVI" MOTO UMEWAKA SASA
29:01