KESI YA CHADEMA DHIDI YA AFANDE AWADHI YATINGA MAHAKAMANI LISSU KUISIMAMIA,MNYIKA AFUNGUKA A-Z

  Рет қаралды 17,544

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

#chadema #lissu #mnyika

Пікірлер: 34
@petsmore9955
@petsmore9955 6 күн бұрын
Asante kamada Mnyika kwa kuhamasisha wananchi kuondoa hofu. Umeongea vizuri na naamini wengi wamekuelewa. Mungu akjaze nguvu zaidi na zaidi . Ubarikiwe sana! T uko pamoja!
@JosephMollel-xe2iv
@JosephMollel-xe2iv 4 күн бұрын
L😊
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 7 күн бұрын
Tunaendaje kwenye uchaguZi Kwa Hali kama hii,wafute vyama vingi, wabaki wao❤❤❤
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 9 күн бұрын
Nyuma yenu tuko ❤
@KuzenzaSangija
@KuzenzaSangija 9 күн бұрын
Sahihi kaka
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 8 күн бұрын
Watekaji wanaona safi tu, lakini wasichokijua ni kwamba wananadi ubaya wa taifa kwenye jumuia za ki mataifa na inaweza kutisha watalii, wawekezaji, wageni nk.
@EmiliKigoma
@EmiliKigoma 9 күн бұрын
Tanzania yetu ccm mnaipeleka wapi?
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 8 күн бұрын
Hapo sawa nakubali lissu ni mtu sahihi kusimamia hiyo kesi
@gililwise
@gililwise 9 күн бұрын
Ee Mungu kwa nini wasimama mbali na watu wako?kwa nini watu wamekosa hofu ya Mungu?ee Mungu shuka ukomboe watu wanaoonewa.
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 8 күн бұрын
Mungu anasimama baada ya kuona jitihada zetu siyo kwa maiombi tuu
@emanuelmagai9727
@emanuelmagai9727 7 күн бұрын
Kwani wezi au majambazi huwa wanatumia bunduki za aina gani. Kwenye bus za siku hizi Kuna camera je bus hili halikuwa na camera???
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 7 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 9 күн бұрын
Inaumiza sana.Mtu hata kama ana kosa lolote kuna utaratibu wake wa kumkamata.Hakuna aliyekuwa juu ya sheria.
@iddyekanda6456
@iddyekanda6456 9 күн бұрын
Sahizi kilichobakia ukifuatwa na watu kama hao afadhari ukatae wakuuwe hapohapo kuliko kupotezwa na wa kwenu wasikupate,
@Noelkitoi
@Noelkitoi 7 күн бұрын
Pamoja kaka
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 7 күн бұрын
Uchunguzi kama dola inataka ni rahisi. Safari hii uchunguzi usipofanyika ukweli wa nani anahusika jibu litakuwa limejulikana .
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 9 күн бұрын
Duuuh! Aseee hatareeee
@HajiMwangama
@HajiMwangama 7 күн бұрын
Mbona kila uchagz nikilio chade
@MasudSalum-o4o
@MasudSalum-o4o 9 күн бұрын
Kwenye gari nyingi kuna camera watoe tu fortage hizo
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 9 күн бұрын
Tashrifu inahitajika ikaandikishe taarifa na itoe kauli babu aly chibao ajulikane alipo.
@FabriceChizere
@FabriceChizere 8 күн бұрын
Rooomaaaa yuuuukoooo wapiiiiiii, aliamua kukimbia, Tanzania bhanaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JPO2R69
@JPO2R69 8 күн бұрын
Kwa nini Bass hilo halikuwenda kuhakikisha usalama wa Abiria.
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 9 күн бұрын
Hali ni mbaya sana jamanii😭😭😭
@JosiaMsechu
@JosiaMsechu 9 күн бұрын
Tunasikitika
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 8 күн бұрын
Hapa Sasa naanza kuamini taratibu
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g 7 күн бұрын
Tuludie Sensa ya watu na Makazi tujue Chama tawala niwangapi na upinzani ni wangapi wanaopungua sana ni chama gani?
@Thevineyard9889
@Thevineyard9889 8 күн бұрын
Na kwanini wanapiga watu wanaowakamata wakati wanakuwa hawa - resist kukamatwa kwao? Hili ni kundi gani linafanya hivi?
@Mathayo1Athuman
@Mathayo1Athuman 9 күн бұрын
Hivi huyo ametekwa au amekamatwa? Maana zoezi hilo lilifanyika publically
@pueblo148
@pueblo148 9 күн бұрын
Katekwa.unapomshikilia mtu bila utaratibu hata mkubwa bar mbele za watu ni utekaji.hata akiwa kanisani au msikitini au hotelini ni utekaji
@albetomfuse444
@albetomfuse444 9 күн бұрын
Sasa wako wapi kama police hawapo basi wametekwa
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 9 күн бұрын
SASA WEWE HUELEWI NINI MTU HAYUKO POLISI WALA LUPANGO MPAKA UAMBIWE MWAMBA AMETEKWA? POLE SANA.😊😊
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 8 күн бұрын
huyu ni msigwa ana watumia kijanja
@JoelMwakaliku
@JoelMwakaliku 9 күн бұрын
Watanzania tuamke tujitetee
@emanuelmagai9727
@emanuelmagai9727 7 күн бұрын
Kwani wezi au majambazi huwa wanatumia bunduki za aina gani. Kwenye bus za siku hizi Kuna camera je bus hili halikuwa na camera???
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Chadema Media TV
Рет қаралды 54 М.
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Chadema Media TV
Рет қаралды 10 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
Is peace possible with Netanyahu in Israel and Hamas in Gaza?
17:17
Channel 4 News
Рет қаралды 131 М.
Chadema NYIMBO  MPYA YA SIKU YA VIJANA DUNIAN
5:21
Ki home home Tv
Рет қаралды 15 М.
How Your Gut Can Shape Your Brain | Vantage with Palki Sharma
4:22