MTOTO WA MIAKA 11 APOTEA DODOMA, MAMA AANGUA KILIO, NDUGU WADAI AMETOROSHWA KWENDA KUFANYA KAZI

  Рет қаралды 12,530

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 17 күн бұрын
Acha ujinga mtoto wa miaka 11hajaanza shule umeweka nyumbani wa nini shule ni Bure ninachamini atakua ameenda kufanya kazi hukua na maono ya kumuandaa mtoto
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 17 күн бұрын
Karudi alipokuwa/ kaenda kutafuta maisha , chanzo ni huyo mama inaonekana ukaanae vibaya so kaamua kuondoka
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
Hii familia yote somba weka ndani walikuwa wanamfanyisha kazi huyo mtoto as a child labour halafu analia unafiki Na ukute mtoto amekimbia mateso kupigwa wamasai uwa ni wakatili sana !
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
Washukiwa namba moja ni huyo mwanamke Na hiyo familia wabanwe walikaa vipi Na mtoto bila kumpeleka shule ? Hao ni masai inaonekana ni wana roho mbaya sana Na ni wanyanyasaji kwa wanawake wangebanwa tu kwa Nini wakati na mtoto mwaka mzima bila kumpeleka shule ? Na alikuwa atafanya Nini hapo nyumbani inaonekana walikuwa wanamfanyisha kazi kama mfanyakazi wa ndani Na ametoroka kwenda kutafuta ajira za kulipa, wangefuatilia Nini kilifanya wamtoe ngorongoro je aliombewa uhamisho shuleni uko kiasi Gani amesoma? Siku hizi Tanzania ina waandishi wa habari wenye upeo mdogo sana hawaulizi maswali ya msingi !
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 16 күн бұрын
Inaonyesha karubuniwa kaeleza shida zake wakamchukua
@VeronicaMaua
@VeronicaMaua 16 күн бұрын
Pole wanafamilia duh
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 17 күн бұрын
Mama mlez abanwe vizuri atasema ukweli😢
@Tatty-u8p
@Tatty-u8p 17 күн бұрын
Mzaha mzaha hivyo mara unasikia mwili wake umeokotwa .
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 17 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 16 күн бұрын
Sisiemu inaupiga mwingi😢😢😢😢
@tamamoman9454
@tamamoman9454 15 күн бұрын
Mwaka wote umekaa nae bila kumpeleka shule kapotea ndo unasema mwaka huu ndo ulikuwa unataka kumpeleka shule
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
Angebanwa alikuwa anamtumia huyu mtoto mdogo mwaka mzima ukae na mtoto bila kumpeleka shule Na angeonyesha documents wapi amemuombea shule
@JahedaSalmin
@JahedaSalmin 16 күн бұрын
Duuu jamani 😢
@YunisJerald
@YunisJerald 17 күн бұрын
Oooooh😢😢 jamani
@hadijahamis4080
@hadijahamis4080 17 күн бұрын
Kwann mtoto wa miaka 11 hasomi??? Alafu nimeoma mama amekaa amekunja nne kabc hv utakuwa na nguvu gani kwa tukio hilo?
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 17 күн бұрын
Wengi sana,hawasomagi,hata mwingine huko Arusha aliacha darasa la tatu,kaxi ni kuxaa tu km kuku.Miaka 11 angekuwa darasa la sita au la tano,hajauwawa alikubali kutoroka
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 17 күн бұрын
Jmn wa jina Paulina utapatikana tu kwa jin la Yesu
@bigboys016
@bigboys016 17 күн бұрын
Hata wazazi hao wenye mtoto unakaanaye mwaka mzima hajaenda shule kwa umri wa miaka 11,mlikua na lengo gani
@khabibahussein7239
@khabibahussein7239 17 күн бұрын
Polen
@YacintaJames
@YacintaJames 17 күн бұрын
Muda wote huo wazazi mlikuwa mnasubiri nini kutangaza kwenye media? Inaobekana wazazi ni wazembe, kwanza kwa nini mtoto afikishe miaka 11 hajaanza shule! Huko kijijini hakukuwa na shule? Mimi nawalaumu wazazi
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 17 күн бұрын
sio mtoto wake ndugu yangu inaonekana alikuwa anamfanya kazi mwaka sasa umeishi hata kumpeleka shule tu ameshimdwa
@doreenlema7612
@doreenlema7612 17 күн бұрын
sio kijijini, huyu mama anajua ukweli abanwe aseme. miaka 11 hajaenda shule hiyo ni dalili inaonyesha hata kupotea kwake ni utata au km kapotea kweli msamaria mwema kamchukua sabb inaonyesha hakulelewa sawa na ndo hivyo hakujaliwa hata kwa elimu
@HalimaMayunga
@HalimaMayunga 17 күн бұрын
Kweli kabisa​@@doreenlema7612
@YacintaJames
@YacintaJames 16 күн бұрын
@@wemaMichael-fr4th alikuwa kijijini kabla hawajamleta Dodoma mjini, wasikilize vizuri
@khatimabdallah8143
@khatimabdallah8143 17 күн бұрын
dodoma muna nini
@DaheerK
@DaheerK 15 күн бұрын
Mtoto mkubwa ajaanza shule ww mama mgonjwa
@HhNn-f5s
@HhNn-f5s 17 күн бұрын
Pole
@MwantumuAbdallah-iy9wj
@MwantumuAbdallah-iy9wj 17 күн бұрын
Dodoma Kuna nini jaman,mtuonee huruma hatuna raha na watoto wetu hatulali vikalalika jamaniiiii samia wasaidizi wako wako wapi mbona dodoma imekuwa fashion na watoto
@zuhurasaid
@zuhurasaid 17 күн бұрын
Hakika Dodoma na watoto 😭😭😭hapa aiseeee kidogo tu mtoto kapotea, mtoto amebakwa, mtoto ameuawa.
@MwantumuAbdallah-iy9wj
@MwantumuAbdallah-iy9wj 17 күн бұрын
@zuhurasaid Raha hakuna
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 17 күн бұрын
Babake kamchukua fatilia
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Machozi yamwagika na simanzi yatawala
16:31
Moving Media
Рет қаралды 390
MSLAC YABADILI MAISHA YA HALIMA, USHINDI DHIDI YA DHULUMA YA MIRATHI.
6:45
Mama Samia Legal Aid Campaign
Рет қаралды 529