*Innalillah Wainnaillah Rajiun* *Indeed We Belong To ALLAH, And Indeed To ALLAH We Will Return* *(Qur'an 2:156)* 😔😔😔😔😔😔 🤲🤲
@hyperclassic-b1nКүн бұрын
Abakwe mtuhumiwa
@YunisJeraldКүн бұрын
Wanawake unamwachaje mtoto na bodboda jamani uliyenda matembezi ya nini .mimi nina wabinti wakubwa lkn nikitoka smwachii mtu sembuse hako kadogo hivo😢.mnazaa lkn kulea kunawashinda
@AshaMundiКүн бұрын
Duuh mwenyez amtie nguvu mm mtt
@ashirafunjaroКүн бұрын
apumzike salama 😭😭😭
@faudhiamohamedКүн бұрын
Hivi nyinyi wamama wenzangu kweli hiyo niakili kweli mtoto unamuwacha na mwanaume Tena boda boda jhiyo sini rahisi sana kwanza kumbaka chapili kama ni boda jee angepata abiria wake si ange Toka na kumuacha mtoto,hata huyo mama ana hatia kushindwa majukumu yake
@ezebiakayingi6576Күн бұрын
@@faudhiamohamedyani mi Nina uchungu na mtoto, huyo mama uchungu wake haunigusi, kumuacha mtoto kwenye mazingira hatarishi, kisa matembezi,
@SAIDIKUNDAVIКүн бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi😭😭
@AnaniaLulengaКүн бұрын
Kawakosea nini mtoto mdogo kama huyo Mungu aingilie kati
@AngelDaniel-k8r8 сағат бұрын
Aliwakosea nin mashetan watu hao
@ezebiakayingi6576Күн бұрын
huyo mama pia si mzima, unamuachaje mwanao na mtu tena mwanaume, wanawake pia ni hatari, ila wanaume ni hatari zaidi, kwakua wao hata kama sio kuua sikuhizi wengi wao wabakaji.
@rahmaabdulrahman5592Күн бұрын
Kweli
@youngchyna744Күн бұрын
Khaaa ila binadamu
@HadijaOmanКүн бұрын
Tanzania mbona kumekua hivyo jamani kama hatuna Rais