MUFTI WA KENYA ATANGAZA RASMI EID AL-ADH-HAA

  Рет қаралды 8,768

Ahmad Badawy Tv

Ahmad Badawy Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 4 ай бұрын
Allaah azid kukuweka mwenye baba wallaah nakupenda xn kwaajl ya Allaah
@hajjisanga789
@hajjisanga789 4 ай бұрын
Asante alhabib tupo pamoja na hii ndio fatwa ya sheria ktk vitabu na maimamu wengi hata suudia yenyewe hatu wezi kupelekwa na vikundi vya watu wanavyo taka wao iwe hivyo vitabu vipo someni mujue fatwa zetu
@AmirBadol
@AmirBadol 4 ай бұрын
Jazaka allah khaira ahsante kwa kutuekeye wazi msimamo wetu
@abiabi9353
@abiabi9353 4 ай бұрын
Mashallah
@Ahmed-l7k7k
@Ahmed-l7k7k 4 ай бұрын
Shukran
@aninanichasi422
@aninanichasi422 4 ай бұрын
wewe huna heshma kabbisa
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 4 ай бұрын
Shukran wajazaka allahu kheir Habib tumefurahi sanaa
@AliAliyan-ib3sr
@AliAliyan-ib3sr 4 ай бұрын
Inshaallah mungu akupe killa la kheir
@mamasan4869
@mamasan4869 4 ай бұрын
Hatufuati ziodi Arabia kabisa.hongera mwenye.
@mssellemamin5360
@mssellemamin5360 4 ай бұрын
MWEZI TUMEUONA NA ARAFA NI JUMAPILI NA EID NI JUMA TATU
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 4 ай бұрын
Umeuona wapi mwezi 28?
@apocalypsematrix9252
@apocalypsematrix9252 4 ай бұрын
MASHA ALLAH TABARAK ALLAH HAWO MASALAFI WAHABI NI WANAFIKI WAKOROFI KATIKA DINI YA ALLAH SISI TUTAFUATA CHIEF KADHI WETU MOLA AMONGOZE NA AMHIFADHI SISI TUTAFUATA NA TUNAFUATA QURAN NA SUNNAH PEKEE WALA HATUFUATI SAUDI ARABIA
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 4 ай бұрын
Unastaajabisha kweli unajua lakini chief kadhi katangaza eid lini au unajiongelea tu?
@muhsinabdalla1680
@muhsinabdalla1680 4 ай бұрын
Wajua hukmu yakuwaita flani wanafiki au nikuongea kwa chuki dhidi ya saudia kwa kuisimamia tawheed
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Ujui hata uyoimam went anasemanini ww.unalopokatu
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
ustadh Ahmad Badawi ma mufti wako wangapi Kenya 😂😂😂
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 4 ай бұрын
Hebu wacha utoto
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 4 ай бұрын
@@aliabdalla9297 ni swali na sikila mtu akiuliza na Kueka vibozo vya kucheka ni Istazai ....laa KEMNAC wako na mufti wao juzi tumeona wakijitokeza na kumpinga A-Alamah Mwinyi Baba.... Sisi waislamu tumefanya Dini ni kiwanja Cha mpira....
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 4 ай бұрын
😂😂😂
@jamalAlly-p2y
@jamalAlly-p2y 4 ай бұрын
Sasa nyinyi mawahabi simngeenda kuswali nawahabia wanzenu huko saudia maana mnahaha mbona kuswaki mwafata kenya hamfuati adhana za saudia?
@jamalAlly-p2y
@jamalAlly-p2y 4 ай бұрын
Kuswali
@muhsinabdalla1680
@muhsinabdalla1680 4 ай бұрын
Kapimwe akili Acha kuwa hasda
@jamalAlly-p2y
@jamalAlly-p2y 4 ай бұрын
@@muhsinabdalla1680 kuswali saa mnaangalia za east africa ila ibada za funga na eid ati mnafata duniani kokote kule maana kuna wengine saa 6 za usiku muda huu sasa vp watakua sawa na nyinyi miwahabi? Weye na wanzio ndo mnatakiwa mpimwe 3agil
@salumsimai642
@salumsimai642 4 ай бұрын
Hakika yako ni dhalumanjahula
@alimaalimahmad837
@alimaalimahmad837 4 ай бұрын
Tumekusikia Alhabib na tumetiii Mola akuhifadhi
Historia Ya Imam Ali Alhabshy by Syd Muhdhar Khitamy
29:09
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 515
منهج القرآن للصف الأول الابتدائي
16:16
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 9 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 124 МЛН
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 3,4 МЛН
KWANIINI SWALA ZINGINE TUNASWALI KWA SAUTI NA ZINGINE HATUTOI SAUTI
4:22
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 10 М.
CHIEF KADHI WA KENYA ATANGAZA TAREHE YA EID AL-ADH-HA  6/5/2024  1445
3:11
ANSWAR SUNNA SIYU
Рет қаралды 1,1 М.
Tawassul anabahan
20:02
Moses Agoro
Рет қаралды 43 М.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 96 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН