Ahsanta Sanaa kwa Niaba Yake Na ALLAAAH atulipe kher kwa Soote inshaaa ALLAAAH
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Mashaallah
@AbuuOthman Жыл бұрын
Aaaameeen Shukraan Ndgu Yangu
@saidrakwe8727Ай бұрын
Jamaa kasoma na ana maarifa : hayumbi mr bachu kelele nyingi tu
@omaryjumbe14v8 Жыл бұрын
😂😂😂 Mashallaah mwlm yule kashafeli hana jambo
@feysalsalum2018 Жыл бұрын
Tujitahidi kusomeshwa na sio kujisomea...
@AbuuOthman Жыл бұрын
Naaam Shukraan Sana
@AbuuOthman Жыл бұрын
Naaam Shukraan Sana
@abdulkhalfan8586 Жыл бұрын
PAKA WA BACHU BADO HAJA ZUGUMZAA HABARI YA YAKE YA KUKIMBIYA KWENYE MUNAQASHA
@AliSaid-c1f10 ай бұрын
Sasa matusi yanini nduguzangu sote waislam
@AbuuOthman10 ай бұрын
Nani alietukana Na nani alietukanwa?
@rajabmembe6695 Жыл бұрын
Ajibu hoja na maswali yaliyoulizwa kwanza, je wanyama walizungumza?
@AbuuOthman Жыл бұрын
Ule Mnaqasha Ulio Fanyika Kule MAMBRUI Ulikuwepo?
@swalehmohamedwaziri7499 Жыл бұрын
Hilo swali bachu alilijibu mwenyewe kwa kutoka Hadith ya abuu nueim .kuonesha kua waliongea
@AbuuOthman Жыл бұрын
@@swalehmohamedwaziri7499 hilo Swali lilishajibiwa kwenye Mnaqasha kama ulikuwepo Na BACHU akaulizwa Na yeye Lakini Hakujibu Na akakimbia Au Ww hukuona Ule Mnaqasha???? ila hatuwalaumu Kwa Sababu Uelewa Wenu Ni Mdogo Sanaa Na elimu Ya فنون Hamna Maskini
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Wee unashangaa wanyama kuonge nje mbuzi aliye chinjwa alimwambia mtume usinile nina sumu au nyama iliongea sasa mashing nn amakweli ubishi mwingine mtihani sana
@AbuuOthman Жыл бұрын
@@jamilahjamilah4157 Ndy hapo ila Hawaelewi Hawa Mawahabi Tatizo
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Acha upotovu mjinga
@SaydAliy-uy7wo Жыл бұрын
Lingania kwahaki usitukane watu
@AbuuOthman Жыл бұрын
Tatizo Ni kwamba Elimu inayotolewa Ni FUNOUN Tupu Na kwa Bahati Mbaya Wenzetu Mawahabi Hawana Elimu Hiyo Ndyo Maana Wanatatizika Sanaa ila Swa tu