MUHAMMAD KHAMIS AMLIZA UST SAID, AONESHA UWEZO KUBWA, MUZDALIFA 2024 Follow Us On: INSTAGRAM: / miladu_tv FACEBOOK: / babdeo miladu/ TIKTOK: www.tiktok.com... KZbin: / @babdeomiladu
Пікірлер: 73
@hassanndaro17665 ай бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا ونبينا وحبيبنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
@cheedinhoonlinetv73394 ай бұрын
Mwenye haya matamshi yanayotamkwa anijuze jaman nmevutiwa sana namie nijue😍😍😍
@AbdulKiropa5 ай бұрын
Maa shaa Allah Allahumma swalli wasallim alayh
@balkisamisi21315 ай бұрын
Allahuma sali ala Muhamadin wa ali Muhamadin
@albustaanytv86564 ай бұрын
اللهم صل على محمد وعلى آله وصحبه أجمعين ❤
@MudathirOmar-hh5ow4 ай бұрын
اللهم صل على محمد وآل محمد۔۔۔۔۔۔۔
@madrasatsheikhsalim-c4b5 ай бұрын
Wallah ustadh said alikuwa na haki ya kutoa machozi napata ladha adhwim imenikonga nyoyo kwakwel❤❤❤
@omarypizza69925 ай бұрын
muhammad hamis mtu wa maana kabisa allahu akbar🙏🙏 allah azidi kumuweka fundi uyo daaah
@shabaniabedi-h4y5 ай бұрын
Mashaa Allah ❤🤲
@jumayassin42305 ай бұрын
Swallu ala rasuulillah
@nayfinrubby76835 ай бұрын
MashaAllah
@hajikhamisi40875 ай бұрын
Ostadh muhammad khamisi simtu wa kawaida kama tunavyo mchukulia anatungo za maana sana ..shekh adam katuachia matunda yenye ladha tofauti kwenye fanni hii
@RamadhanShaban-r2g5 ай бұрын
Mungu akulipe kila lakher
@fahmiiidrisa51105 ай бұрын
Oooh MashaALLAH sura zenye bashsha kwa mapenz ya mtume
@saadaliy39794 ай бұрын
Mtu na nusu❤❤❤
@travellertraveller45055 ай бұрын
Maashaallaah
@patrickabduel86165 ай бұрын
Mashalla
@fahmifauzi8275 ай бұрын
Mashallah
@Abuuahlaam85 ай бұрын
Masha Allah❤ mwambaa
@omarypizza69925 ай бұрын
UNALIA UKIWA WAPI TUAMBIZANE JAMANI MNATUFANYA TUNAWAKUMBUKA NDUGU ZETU WOTE WALIOTANGULIA ALLAH AWAPE KAULI THABITI UKO WALIPO🙏🙏
@MusaMuhammed-f4l5 ай бұрын
Innalillah 😢
@saadaliy39794 ай бұрын
Huyuu mtu angekutana na salum Rashid wa qadiria Zanzibar apo pangewaka❤❤
@allysally-s4n5 ай бұрын
🌹
@seifmbembe5 ай бұрын
Mpwa wngu anasauti nzuri sana bingwa wakug'ani
@mudrickbachan24425 ай бұрын
Hii ni Zaid raha wallah. ❤
@AbdallahMandoti5 ай бұрын
Fundi wa temeke mungu temeke kaiwezesha
@shabirabdy32724 ай бұрын
Iko Wapi Hii Madrasa!? Hii Safi Sio Kama Zile Nyingine
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Masufi katika ubora wao
@al-yasaumduri33315 ай бұрын
Ungekaa kimya bila ku comment ungekusa nini? Jitahidi uwe mjinga na sio kuwa mpumbavu
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@al-yasaumduri3331 Na hao katika wapumbavu ni Masufi kawataja Imaam Shaafi sio mimi.
@abdulkhaliqmuhammed4564 ай бұрын
Inaoneka Imekuuma sana mpaka umeshindwa kujizuia
@sultanielhaddady21614 ай бұрын
Mahabba mahabba ya mtume Muhammad s.a.w.. shekh hujashiba mapenzi Allah akuongoze
@TukhiMuhammadi2 ай бұрын
Heti maulidi bidaa uhu umepagawa kweli
@AliAchimoAchimoAlifa5 ай бұрын
Mashia na maulid yao bidat uzushi tu shenzz
@aljahuur4 ай бұрын
We kenge wa kiyahudi acha kuropoka udhakula ngurue nini
@abdulkhaliqmuhammed4564 ай бұрын
Wewe unaonekana dini huna umeamua tu ku coment
@hassanWanjiku5 ай бұрын
Ila mara nyngi mkiambiwa nynyi n mashia wenzenu mtatukana hadi kuche
@BashirHamidu-db3pf5 ай бұрын
Ckia akhy km hv Vtu huvkubali acha kuvfuatilia Na kuvtazama unapoteza muda wako bure
@hassanisihaka9105 ай бұрын
Hamjui Maulidini jamani kuna mengi sana mazuri
@hassanWanjiku5 ай бұрын
@@hassanisihaka910 ya kufru ndo mengi mnadhani hua hatujui ati mnampenda rasulullah salallahu alayhi wasalaam kwani kwenye maulidi ndo mnaweza dhihirisha mapenzi yenu kwake mkifanya alivyofanya n matendo pia mkamuiga hayo ndo mapenzi yake
@hassanWanjiku5 ай бұрын
@@BashirHamidu-db3pf lazima tuangalie KZbin na tukiona mumekiuka mipaka tuko n hatuchoki
@hassanWanjiku5 ай бұрын
Aki dj said kwenye bit
@Muislamu5 ай бұрын
Swali : mnatoa machozi mkisoma quran tena mkiwa peke yenu faragha?
@Ustadhihamza5 ай бұрын
Toa ww hayo machozi
@abdulkhaliqmuhammed4564 ай бұрын
Mambo ya faragha wewe yanakuhusu nini? Au unaonyesha riya kuwa qewe ukiwa faragha unatoa machozi? Mambo ya faragha muachie mja na mola wake. (Swali ulilouliza halifai kuuliza kasome sharhe ya imaam ya arbaauna nnawi, ujue maswali ya kuuliza na ujuwe maswali gani hayafai kuuliza.