WANAOCHAFUA USALAFI NI MASALAFI WENYEWE || ABU MUAWIYA.

  Рет қаралды 6,846

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@theofanskombenge5573
@theofanskombenge5573 11 ай бұрын
Bachu always is real,strong na hupepesi macho mola akulinde🙏🙏
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Shekh Muhammad bachu nimtu wa haqq hana uhizbya hana ukikundi kabisaa ALLAH amlinde
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 11 ай бұрын
Amiin
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 11 ай бұрын
Ndugu zetu masalafi wanapaswa waji tathmini kwenye baadhi ya mambo walio yafanya, bila hivo wataiweka da'wah sehemu mbaya sana, kwa sbb maslahi ya Da'wah ni makubwa zaidi kuliko maslahi yetu binafsi. Na watambuwe kua wao wanapatia na kukosea, hivyo basi pale wanapo kosea na ikawabainikia kua wamekosea kweli, imma kwa kukumbushwa au kwa wenyewe kuyadiriki makosa yao, bila kupitia mkumbushaji. Tunawaombea kheri ndugu zetu wote walio ktk manhaj ya Salaf Asswaalih. Allaah Azza Wajalla awahifadhi na awape ujasiri wa kurekebisha pale wanapo kosea.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 11 ай бұрын
Amiin
@HajjiVuai
@HajjiVuai 10 ай бұрын
Tuna mtihani mkubwa sana ninavojua mimi masalafi na maanswaari site manhaji yeti ni Moja zilobaki ni chuki tu za kilimo baine yeti,
@mohamedzanzibar1365
@mohamedzanzibar1365 11 ай бұрын
أحبك في الله Keep working brother, allah is with you🤝
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 11 ай бұрын
Maashaa Allah darsa nzur sana
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo 5 ай бұрын
Allah amrehemu sheikh wetu Hassan Awadhi nimesoma nae Daru ulumu na baadhi ya sehemu nyengine
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 ай бұрын
Allahuma kk kwa shekh Ali kiroboto kwa kwel shekh abuu muawiya alikuwa na elimu kubwa Maana alikuwa na pupa na elimu sanaa
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 ай бұрын
Allahuma amiynn kk
@umarumzamidu
@umarumzamidu 9 ай бұрын
Allah akuifadhi sheikh Bachu
@FadhiliAlifa
@FadhiliAlifa 11 ай бұрын
Hali ni mbaya Allah atuongoze waumini
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh 11 ай бұрын
Yan mahizb na masuf akili zao sawa kwan mafuta akikataliwa ndo kkataliwa mtume si kassim ni duat kama maduat wengine nyie wapuuz kwel iv mnazan hiyo ni hoja
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Wazee wakuhizbisha ALLAH awaongoze
@khamisiabdallah8737
@khamisiabdallah8737 11 ай бұрын
Kwani mkimkataa mafuta yeye anadhurika na Nini? Na huenda wakawa sio masalafi wakawa ni mahizb kama ww tu
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 5 ай бұрын
Allah Amrehemu
@MohammedMohammed-y8c
@MohammedMohammed-y8c 6 күн бұрын
Hawa hawana cha kufanya ila kupakazia na kupakaziana ubaya tu.
@khamisiabdallah8737
@khamisiabdallah8737 11 ай бұрын
Kwani masalafi ni maasum?
@burhan_dumalo
@burhan_dumalo 5 ай бұрын
LEO IKIWA NAANGALIA VIDEO HII TAREHE 23/6/2024 NI SIKU AMBAYO ABUU MUAWIYAH AMEFARIKI INNALILLAH WA INNA IALYHI RAJIUN 😢😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Namipia nimidahi naasikiliza hapa. .. Allah amsamee makosayake Amuingize peponi kwahurumawake Ya.rahmani.
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 11 ай бұрын
Mbona bachu onaonyesha unafurahia farqa katika manhaj ssalafi
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 11 ай бұрын
Wallahi mtihani huu
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 11 ай бұрын
Kwa sababu y uhizbiyya
@FadhiliAlifa
@FadhiliAlifa 11 ай бұрын
Hali nimbaya
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 11 ай бұрын
Unahaja gani yakuandika hivyo heading kwa sampuli kama hiyo ,kwani ulikosa namna sahahi yakuandika
@Hawanalugha
@Hawanalugha 11 ай бұрын
jamani hii nidini sio time ya mpira tuweni makini
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 11 ай бұрын
Tumevaa jezi?
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 11 ай бұрын
Lakini mbona unaonekana kuwa wewe ni mudhabdhab bainal haqqi walbaatwili
@Muswlih
@Muswlih 10 ай бұрын
Abuu Muawiyah hizbi kw vigezo GANI?? Tunaombeni kanuni juu ya kumwita hizbi
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 11 ай бұрын
KWA HIYO KOSA LIKIWA KWA SALAFI NYIE MWATOA NASAHA NA SI RADDI LAKINI IKIWA KWA MWISLAM MWENGINE KINYUME NA SALAFI INAKUA NI RADDI?
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh 11 ай бұрын
Sasa kama yy kama hiyo imetokea ndo masalafi tunaunga mkono au ndo manhaj yetu we hizb kuna salaf na usalaf acha upumbavu bali maswala ya utapel nyie mnayaunga mkono kabisa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 11 ай бұрын
Unaujua Uhizbi kweli? Hizbi ni nin?
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Yy mwenyewe hapo alipo ni hizbyah 😢
@saidsalum523
@saidsalum523 11 ай бұрын
Ndugu salafi wenzangu tumuogopeni Allah,,tuna tabia mbaya ambayo itatutia katiba adhabu,,Allah kakataza kujitukuza lakini sisi miongoni mwetu tunayo tabia hiyo, na tunapenda kuwatia katika uhizbi masalafi wenzetu bila ya hoja za msingi.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
@@saidsalum523 kabisa kaka
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 11 ай бұрын
Huyu abu muawiya ni hizbi
@saidsalum523
@saidsalum523 11 ай бұрын
Kwa hoja gani Abuu Muawiya awe hizbi?,,nakhofia masalafi wengi tunaingia makosani kwa kuwatuhumu vibaya masalafi wenzetu. Namuomba Allah akuongoze wewe na mimi.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
@@saidsalum523 hana hoja huyu ni ushabiki tu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 11 ай бұрын
Tupe hoja yakielimu kwamba abuu mu3wiya ni hizbi
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 6 ай бұрын
Ni nani hizbi? Vigezo vya hizbi ili tuvigogotexe kwa abuu muawiya huna hoja uskut nyamaza
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 5 ай бұрын
Wewee ni hizbu salafi
@khamisiabdallah8737
@khamisiabdallah8737 11 ай бұрын
Kwani Abuu Muawiya ni Nani? Na huyu Hassan awadhi ni nan?
@Abubakarhaji-cq2cq
@Abubakarhaji-cq2cq 11 ай бұрын
Ndio huyo huyo Abuu Muawiya ni Kun-ya yake Hassan Awadh ndio jina lake
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 6 ай бұрын
Khamis
MIUJIZA YA PETE YA MTUME KWA WAFALME WA ROMA|| Muhammad Bachu ||11\1\2024
1:01:28
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 1,8 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 12 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 3,5 МЛН
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 45 МЛН
SHEKH QASSIM MAFUTA ALIMCHUKIA ABUU MUAWIYA رحمه الله تعالى
47:17
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 5 М.
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 68 М.
2- WASIA MZITO KWA VIJANA WOTE | SHEIKH ABUU MUAWIYA -Allah Amrahamu -
4:52
Alhilaly Media Pro
Рет қаралды 2,1 М.
MAKUBALIANO YA SULHU MASALAFY WA ZANZIBAR NA ABUU MUAWIYAH ILIKUWA TAYAR...#fyp #العلم_والحكمة #sub
13:17
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 1,8 М.
TUSIJIPELEKE KWENYE MAANGAMIVU  | SHEIKH MUHAMMAD BACHU
1:19:29
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 881
MUHADHARA | NASAHA ZA WAZI NO 01 (B) - SHEIKH ABUU MUAWIYA HASSAN AWADHI
29:15
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 12 МЛН