Shekhe Muhammad masufi walifanya juhudi kubwa sana ya kutaka wakudondoshe! Lakini walishindwa na Allaah Azza Wajalla alikulinda na akainyanyua hadhi yako na daraja yako. Allaah akuzidishie رفعة. Na akulinde nakila lisilo faa.
@subhanallah8682 ай бұрын
Jazakallah kher Kwa Elimu nzuri❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
@subhanallah8682 ай бұрын
Kichwa cha habari kinashtua😮😮lkn ndani yake Ilm kubwa🎉❤❤
@habibasalim309210 ай бұрын
Shukran samba watu Muhammad bachu
@OmarAlly-iz8ot10 ай бұрын
Na sbb ya kushindwa kuku dondosha, ni kwamba uliwasokota sawasawa kwa kutumia Elimu, Hoja zilizo wazi, na ukweli na ushujaa ulio simama nao hadi ulipo mchakaza dj side. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hata thubutu tena sufi yeyote kuomba niqaash nawewe. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Masufi wana muogopa sana Shekh Muhammad Bachu. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Munaojua sbb angusheni coment zenu hapo. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.