Allah akuzidishie shekhe letu,usichoke wala usinyamaze,hakika umetubainishia mengi kwa mda mchache tunao kuskiza,umetutoa kwenye ujinga,tulifwata kiupofu ila Allah kakupa nafasi ya kutufungua,usiofie maneno wala matusi yao,nichuki zao za kubainisha ukweli,Allah akupe afya
@aooshosho42558 күн бұрын
Safari hii wenye kujifanya wanapeleka dini watakavyo na kuelekeza waislamu ndivyo sivyo... sheikh nasoro Mohammed bAchu Yuko kuweka na kusafisha mazingara Kwa dini.. wengi wamepotezwa kwakutojua masomo... Allah akuifadhi daima sheikh bAchu juwa wengi tumenufaika tusiokuwa na ushabiki... barakaka Allah.
@eddieeddie27558 күн бұрын
Barakallah fik akhui Muhammad Nassor Bachu, Allah (S.W) akulinde na mahasidi, tufungue akili zaidi, tumetokea huko ktk makhurafi mumetusaidia sana waislamu tunaofata haqi popote ilipo.
@fayyadhabdullah98948 күн бұрын
جزاك الله خيرا ياشيخنا وبارك الله فيك ورحم الله والديك.. والله انت كفوو انت بطل الأبطال
@Khamis-n8p8 күн бұрын
Sheikh Muhammad Bachu Allah akulinde
@ismailhussen78758 күн бұрын
Allah akuhifazi sheikh Muhammad bachu hafidwahu llahu taala
@jamalsaid74756 күн бұрын
Ameen JazakaAllaahu'khayran Sheikh
@SabriKhamis-gz9cy8 күн бұрын
Sasa ivi nikuweka Sawa mote mulimoharibiwa katika Dini na Hamna kuwaogopa wala kujali ukubwa wao❤
@BashiruMteka7 күн бұрын
Allah akuongoze sheikh wetu 🙏
@KishkitvAhmad8 күн бұрын
Masha Allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Allah ukupe umri mrefu wenye baraka na manufa sheikh Muhammad nassor bachu uhibuka fi Allahi
@imamumohamedmalina69958 күн бұрын
Shukran sana sheikh Muhammad Allah akuhifadhi na akuzidishie maarifa na ni kweli hata mimi nilipo msikia Haji mwili ulisisimka!!
@Sidrasidra6363 күн бұрын
SubhanaAllah Sheikh huko kwenye mitandao kumeja vituko kama hivyo vya kuudhalililsha waislam uki angalia comments zawa upande wa poli ni msiba wallahi 🥺
@HashimSalim-qj7zn5 күн бұрын
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH MUHAMMAD NA WANAOKUCHUKIA WEWE NI KWA MASLAHI YAO TU
MashaAllah mashaAllah maneno mazuri Allah akupe afya na athibitishe maneno yko
@salimmohamed49198 күн бұрын
Assalam. Allah akuhifadhi wewe na sisi inshaallah. Mimi nilikuwa nawapenda sana hawa masheikh wa tanzania lakini kwa kweli sio watu wenye kusimamisha hakki. Nahawasimami kutetea hakki kwa vitabu. Wao ni mashairiiii tuuuu. Shekhe wangu alisema, kuna jamaa kasema pia .(LAKINI SIMSEMI KWASABABU MWENYEWE YUPOOOO)😅 Ila Allah yupo awaongowe kabla hawajakufa kwasababu Dunia yenyewe ishawachoka masheikh washirikina. Mimi mwenyewe nishabanjisha nazi sana na kuwapelekea kuku kumbe kwao ni kitoweo mchuzi mchuziiiii.
@scienceandlifetips8 күн бұрын
Naam Allah atuongoze tuijue Tawheed na kuifata
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
Maashallah,,,, Allah akubariki Sheikh wetu Muhammad bachu,,,, Atuzidishie elimu kwa sote,,, na atujaalie elimu hiyo kua ndio sababu ya kuingia peponi,,,,, ameen.
@AlmasAbdallah-r3g8 күн бұрын
Akhy Khalfan kama unanikumbuka ni ndugu yako mwanzo nlkua natumia jina la hamis nilikua napenda sana kukuuliza ndugu yangu upo tukiongea sana na kumpongeza Bachu mpaka tukitaka awe pa1 na sheikh Qassim lakin alhamdulillah kwasasa nimebainikiwa Akhy Muhammad Bachu kuna pahala hayuko sawa mfano angalia watu ambao anaamiliananao Wallah mtihani sana kama wale al hajar akhy chanel yao ni Salafy kweli? Wanaripot mpaka khabar za mpira. Amtetea Kishk na kaka ake unawaona marafiki zao ni watu wa bida'a wakina Mwaipopo,pia angalia akiwa anawaradd masufi busara na adabu anazowapa halafu njoo umsikie akimradd Sheikh Qassim na watu wa sunna maneno yake watamani kulia.Mwisho akhy huyu bwana kuna baadhi ya mambo kaanza kuacha mfano kuita jadida unamsikia saivi!! Na zipo taarifa za ndani yasemekana kaachana na Barahiyani Tumuombee kwa Allah kijana abadilike hayuko mstari wa sawasawa.
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g Allah amjaalie abadilike kwa pale ambapo itakua hayupo sawa,,,,, ila Akhy 1. kuamiliana na watu wa bida'ah hakuna tatizo ikiwa haupo pamoja nao katika bida'ah zao, na inawezekana ikawa ndio njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa watu wengi,,,, Akhy hakuna sheikh hata mmoja hapa Tanzania aliekua haamiliani na watu wa bida'ah na huo ndio mfumo wa maisha yetu,,,, ila sharti ni kwamba usije kuingia katika bida'ah zao. 2. Suala la kuwatetea kina Kishki ni tatizo,,,, ila me nafikiria Kishki na Muhammad Bachu ni tofauti,,,, Kama aliwahi kumtetea sio kipimo cha kua wapo pamoja mpaka leo,,, Kuna video moja ya Diwani anasema ameambiwa na Kishki kua aache kufanya raddi na Muhammad Bachu kwani ni kijana..... akataja sifa mbaya hapo,,, hilo pia linadhihirisha kua Muhammad Bachu hayupo pamoja na Kishki,,,, 3. Katika maswala ya kimisimamo Muhammad Mafuta na kaka yake Sheikh Qassim Mafuta na Abdallah Humeid misimamo yao ni mikali sana na imepelekea mpaka kutokua na uadilifu katika kuwatoa watu katika sunnah,,, Hilo ndio tatizo kubwa nililoona mm upande wetu huo. 4. Kama itakua unafanya uadilifu zaidi basi pia utagundua kua maneno anayotumia Muhammad Mafuta na Abdallah Humeid ni mabaya na makali kuliko ya Muhammad bachu hapa fanya utafiti utaona. 5. Muhammad Mafuta na Sheikh wetu Qassim Mafuta tatizo jingine ni kutoweza (kujisikia tabu) kufanya taraaju'i pale ambapo walisema kitu kisha akatokea mtu kuja kuwarekebisha hilo ni tatizo pia katika upande wetu huu,,,,, Mfano Muhammad Mafuta alipomuita Sheikh Muhammad Bachu jaahil murakkab kwa sababu amesema bismillahi yote wakati wa kula jambo ambalo ni ruhusa kisheria hili hata watoto wadogo wengi wanajua,,,, ila yeye bado alikuja na kuonesha kibri juu ya maneno hayo ya wanachuoni yeye akijua anampinga Sheikh Muhammad Bachu kumbe anapingana na istinbatwi za wanazuoni,,,, Akhy yapo mengi sana ambayo nimeyaangalia katika vipimo vyangu na kuthibitisha kua usalafy wa kweli mpaka sasa anao Sheikh Muhammad Bachu labda hapo unipe mtazamo wako juu ya hili,,,,
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g Akhy fanya utafiti zaidi ila hii ni dini,,,, Hakki lazima isimame kua hakki,,, kisha sio sababu ya kua tunasoma kwa Sheikh fulani ikawa yeye tunamtetea hata kama anatatizo,,, Akhy mm nasoma kwa Masheikh wakubwa tu wa bida'ah bali wanapobainishwa hua siumiii bali wakisemwa vibaya ndio naumia. Na siku nyengine wao hunipiga raddi wanatafairi kisha husema hapa salafy wengi wamebugi au hivi kwani kama imewabainikia kwa mbali kua sio upande wao ila naswali nao, nasoma nao naamiliana nao katika maisha ila katika bida'ah zao hawanipati,,, huo ndio mfumo wa maisha
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g Sheikh kitu kikubwa ambacho nakuhusia ni kwamba *"Tusome elimu tusisome misimamo"* kisha hii elimu yetu ndio itubainishie upi ni msimamo sahihi na ipi ni baatwili. Allah atuweke katika manhaj ya sawasawa,,,,
@saidali92558 күн бұрын
Bachu anasafisha palipo chafuliwa! Allah amlinde insha Allah!
@sakinasakku83408 күн бұрын
MAASHAA ALLAH jazakallakum kheir sheikh ,,,,, hawa watu hawanamsimamo wakokwaejili yamaslahiyao,,,
@SaleheRamadhani-ny7fn8 күн бұрын
Asalam Alaikum warahmatullahi wabarakatuh Allah Akuhifadh shekh Muhammad tusichoke kuwa kumbushe Allah Awazindue kwakwel
@husseynomar95238 күн бұрын
MashaAllah, Sheikh Bachu Allah akuhifadhi Aamin.
@mohammedi88508 күн бұрын
ALLAH AKUONGOZE SHEIKH BACHU.. NIKIKUANGALIA WEWE NA SHEIKH KISHKI NATOSHEKA SANA
@mohammedi88508 күн бұрын
ALLAH AKUPE NGUVU.. NA HATIMA NJEMA SHEIKH BACHU..
@mohammedi88508 күн бұрын
Vedio nyengine nakuomba ufafanue Hawa masharifu.. mtihani sana
@yusufathman24788 күн бұрын
Wa aleykum mussalam warahmatullahi wabarakaatu sheikh... Alieandika comment hii na mmi nisomae. Twamuomba Allah subhaanahu wata'ala atuhifadhi, atusamehe madhambi yetu.. yote ya siri na ghaibu., ndugu zetu waliotangulia Allah awarehemu. Atujaalie sisi maisha marefu na tuishi kwa twaa yake. Aaaamin yaa rabii
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
Ameen,,,
@Zuhurashamuni8 күн бұрын
Amina
@bavugubusaissa51267 күн бұрын
Barakallah fiykum❤❤
@LuluAquai8 күн бұрын
Sheikh hao wote wamoja,kumshirikisha Allah kwao ni kawaida
@husseinmongolare34177 күн бұрын
Shukran
@HajiKabacalaf-kv7fd8 күн бұрын
Barakallahu fikum sheikh
@JaylanAbdallah8 күн бұрын
Shek nasoro bacho Allah akuifazi na fitina zote nakuleteya mtt wangu akimariza kidato Cha 4
@Manyanya85518 күн бұрын
HUYO MZIWANDA MTU WA MADILI NA KUTAKA KUWARIDHISHA WATU SIO BURE MAANA SIDHANI KAMA HALIJUI HILO ALLAH AMUONGOZE.
@MbongoinToronto8 күн бұрын
Huku kwetu Tanzania kuna masheikh na machawa. Hawa machawa wanakubaliana na lolote lile kwa maslahi yao hata kama ni shirk. Wanasahau kesho mbele ya Allah wana maswali mazito ya kujibu. Allah awaongoze 🤲🏽. Pia sheikh wangu usiwache kuwalingania hawa watu manaake dini ya Allah wanaifanya ni mzaha kufurahisha watu wenye vyeo au hela
@khamisikram-br9hg6 күн бұрын
Mashallah
@omarsal32668 күн бұрын
Allahu Akbar, Allah amrehemu Sheikh Nassor Bachu na ampe Jannatul firdaus kwa juhud zake za kuipigania TAWHEED na tuachia JEWELS ...!
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
بارك الله فيكم وحفظكم الله شيخنا الفاضل
@DishonestTz4 күн бұрын
Naaaam
@SuleimanSalum-ck1ws7 күн бұрын
Mashaaallah
@KhamisiMbarami5 күн бұрын
Maneno mazuri shekh ila kofia umeivaa kihuni halifu kwa nini meashekhe wetu munaacha kushughulikia mambo ya maana munashughilikia khilafu na mbambo ya upuuzi watu hawana dini kabisa huko vijijini wanataka muongozo nyinyi munabishana tu mjini ili sijui kwa maana gani ili muonekane au mupate ulaji allaah atuunganishe inshaallaah.
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Sena kweli ulonayo, ati kofia au vijjni, Haya twafaidika hatuyajui ya Nazi Na mengi b honest bro
@SaidishabaniSedo-j8 күн бұрын
Tunamuomba Allah mwisho mwema, na atuongoze katika Imani thaabiti.
@Khalidniya3808 күн бұрын
34:39 watu kama hawa ndio wamefanya Dini yetu imekua ikichafuliwa na kuonekana kama ni Dini ya Uchawi Allah atuongoze
@iddimohamed2548 күн бұрын
Wah ndio mana mashekh wengi wa twarika ni waganga..tamaa ya kutafta hela bila kujali dini.
@babatidaawa65508 күн бұрын
Allah Akuhifadhi sheikh Muhammad...
@JumaAthuman-bk6hx8 күн бұрын
KUNA MASHEKH WALIMVAA SHARIFU KIBOKO YA WACHAWI YULE TAPELI, LAKINI LEO HATUWAONI KUWAVAA HAWA WASHIRIKINA ALLAH" AWAONGOZE WATUBIE KABLA KUAMINISHA WATU UJINGA.
Bora hilo kwa hojja hzo maj8bu yake yatakuja hv pilau na biriani kipi kitamu (Unajua nikila maharage nina vidonda vya tumbo..)😊😊😊
@Khatib-xp6fp8 күн бұрын
Allah akulinde ustadhi pamoja na sisi
@HamadMwalimu8 күн бұрын
Allah akulipe she Muhammad nakukubal san
@maulidmussa89698 күн бұрын
Shukran sheikh
@AbdallahSimba-b7b8 күн бұрын
Mashaallah shekh, Allah akuhifadhi
@NasriSaidi-s4h8 күн бұрын
MIMI FIKRA INANITUMA KUAMINI KAMA MZIWANDA HUENDA NI MATAMANIO YA NAFSI SIZANI KAMA HAJUI BIDAA AU SHIRKI
@AbdallahAlly-b5m8 күн бұрын
HAYA MASUFI MLIOMSIFIA BACHU JUZI KWA KUMFANYIA RADDI SHEIKH MUHAMMAD MAFUTA,NJOONI MUMSIFIE TENA KATIKA HILI,NILIWAAMBIA MASUFI HILI SWALA LA DINI SI LENU HAKUNA MJUALO ZAIDI YA SHIRKI,BIDAA NA USHABIKI TU
@abdallahshabani7104 күн бұрын
Sheikh Kassim Mafuta ndiyo kajipiga picha....
@saidjumaabdalla17898 күн бұрын
Sheikh Muhammad tunaomba hii elimu tuipate kwenye channel ya tv sababu waliokua hawana simu kubwa hawaipati hii elimu
@ayubumasudi83807 күн бұрын
❤
@kizomontana59187 күн бұрын
BACHU NIKO NA WEWE KWENYE HILI MPAKA WAKUJIBU
@hassanWanjiku8 күн бұрын
Wana msimamo mmoja ndo maana hata wakafanya kufru namna gani hakuna wakusema jambo sababu kauli zao zaendana ndo hao unapotoa darsa ya aksam tawhid wanasema ni ukristo na wamefundishwa hivyo ila mwenye mazingatio atajua si sawa kwa maneno yao Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na akuhifadhi sana sheikh bachu tunafaidi mengi ,,,wapige nondo hawa wachawi tuuu
@SaidAbdallah-sm1ft8 күн бұрын
UST MUHAMMAD HAWA WAJINGA USIWAACHE MPAKA MWISHO WA PUMZI ZAKO WAJINGA WANAPOTEZA WATU SANAAAAAA HAWA KINA MZIWANDA WAJINGA HAWAJUI LOLOTE
@yahyayunus28928 күн бұрын
Wala Asiwaache kabisa wababaishaji wakubwa hao.
@ahmedabry2938 күн бұрын
اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آل سيدنا محمد كما صليت على ابراهيم وعلى ال ابراهيم انك حميد مجيد ❤
@Yusuphrevocatus-g3v6 күн бұрын
pamoja sana shekh wetu
@BadrudinSiraji8 күн бұрын
Tuko wote sheikh Mohammed Bachu
@HarunaArmani5 күн бұрын
Hukumuelewa sheikh mziwanda.
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Keanu alikua akiongea France, Wacha hizi
@izmamuizmamu65218 күн бұрын
MashaAllah
@SalhaAlly-x8q8 күн бұрын
Huyo shekh walid yupo kwa maslah yake sio maslahi ya dini ukiangalia maneno yake ni kuchekacheka na mafumbofumbo,shkraan shekh bachu komaa na haq had tunyooke
@rokiroki18258 күн бұрын
Alhamndulilah kutufahamisha ALLAH akulinde mohamed nawatu kam hao😊
Dunia ya mwisho hio Leo Muhammad bachoo anatoa fatwa zinazokwenda tofauti na ijitihadi za maimamu na watu wanamfata Muhammad bachoo, ilihali Muhammad bachoo hata kufasiri kiarabu hajui!!!!!!!
@HassanIddy-v1b ....nishaelewa vya kutosha km Muhammad bachoo anaivuruga dini..... vyenginevo ndio mesheikh na maimamu wote hawana elim Bali mwemye elim ni Muhammad bachoo TU!!!!!!! Je vipi Muhammad bachoo awe na elim ilhali hata kufasiri kiarabu hajui?????
@HassanIddy-v1b7 күн бұрын
Hizo ni chuki zako tu,wapi amesema m,bachu yeye ndio mwenye elimu kuliko wote?hayo ni maneno ya y,diwani aliejuchokeatu
@chinammasai99676 күн бұрын
@HassanIddy-v1b ...je SI ndo yeye alosema km ndani ya maulidi mna shirki? Je hijamsikia wewe je SI ndo yeye anaewaradi maulamaa na msheikh wa Sasa na wazamani ilhali yeye hata elim Hana? Je wewe humsikii?
@AliAwadh-qc8wk8 күн бұрын
MASHAALLAH AMMI
@DenaDuu8 күн бұрын
Shekh kwenye mambo mengine me siko pamoja Na wewe Ila kwenye ili Niko nyuma yako keep it up
@YahyaYahya-vp2pp8 күн бұрын
Hivy ndio vizul mtu akija na baya akija na zuri chukua
@MR_GROUZER8 күн бұрын
Naamini hata kwenye video hii umemsikia shk akisema kwamba yeye kwake yeye ni kuongea kuchukuwa na kutochukuwa ni ww mwenyewe
@yuenbiao17778 күн бұрын
Hata mimi
@hassanWanjiku8 күн бұрын
Lakini mwenyezi mungu ni mkubwa hua anafanya jambo watu wateleze ndimi ili tujue akina fulani ni nani kwa dhahiri hawana tawhid kabisa masufi na je wanafunzi wao wako aje kwa kweli Allah subhannahu wa taala atuongoze
@ShekiyaoHussein-ki4ty8 күн бұрын
Mtihani mkubwa sana sheghe Bachu
@AbdallahAlly-b5m8 күн бұрын
Masheikh wakisufi asilimia 90 kama sio 100 ni watu wa shirk,na pia husoma elimu ya uchawi inaitwa U'LUUM,huyo Sheikh wao Muhammed ayub wa shamsi maarifa wanamuona walii mkubwa kashawafundisha sana uchawi masheikh wote waliopita kwake,ndomaana masufi hufikia kurogana kisa madaraka ya msikiti,masufi hawana ikhlas ktk ibada zao wao ni maslahi ya kidunia tu
@ahmedabry2938 күн бұрын
Acheni shirki wavunja nazi.. nazi itakusaidia nini katika manufaa au madhara.. turudini kwa Allah yeye ndie muweza wa kila kitu.. masufi acheni shirki
@AbuuNusaiba8 күн бұрын
Naam shekh
@hasanisaidishabani38798 күн бұрын
Shekh muelewe vzr sanaa uyo mziwandaa km uwanja washirki nimpana sanaa tusiukurupukie kaa tafakari mi nakwambia
@NeemaSaleh-um5hd8 күн бұрын
Watu wa shirki munaungan mkon
@MwanaidAmri-y6x8 күн бұрын
Haswa
@maheralmuayqily19008 күн бұрын
Upana wake ni upi je waeza kutuambia mahala alipokosea bachu
@yuenbiao17778 күн бұрын
Aisee ndugu yangu, mwislamu mwenzangu, uchawi ni ushirikina hilo haliitaji elimu kubwa
@zahham7407 күн бұрын
Kwani nabii yuusuph alishindwa kumuelekea Allah na kumuomba baba yake apone macho MBONA aliwapa KANZU NDUGU zake wakampige NAYO usoni nao ni ushikina?
@abuuaidh65008 күн бұрын
Allah Amuongoze achane na ujahili
@mohagurey22148 күн бұрын
Shida ya watu wa tumbo, shirki halina maana kwao, twanga wao ndugu labda ummah utaerefuka
@KhalifOumar8 күн бұрын
Sheikh wangu nahitaji namba ili nipate kujifunza zaidi kwako inshallah ❤
@kassimothman6667 күн бұрын
Fata kwenye darsa zake za NAHWU utakuta namba zake
@Abuu_Muyassar8 күн бұрын
Yaani huyu shehe mziwanda ana nn au njaa inamsumbua mie maonesho sijawahi kuona nazi imechorwa Leo asema nazi kuchorwa haihusiani na shirki mpeni cheo atadhalilika huyu
@TwahirBurhan8 күн бұрын
HAWA MASUFI NI WAPOTOSHAJI SANA
@abdoulrahmanahmed58026 күн бұрын
Hao ni walebaraliiiii😅
@suleali49158 күн бұрын
Tangu achezee matusi kwa shekh diwani saiv anakuja kwa heshima mungu amjaalie heshima iendee isiwe kwa mziwanda tu
@IbrahimMahmoud-em1np8 күн бұрын
Kwahio manhaji yenu Niya matusi kumbe 😅😅😅
@SalhaAlly-x8q8 күн бұрын
Hahaha matus humtoa mtu ktk dini
@nabiljumaothman59128 күн бұрын
Shekh Bachu hajawahi kutusi
@saidali92558 күн бұрын
Unachuki dhidi yake Bro,,Bachu hana shida
@suleali49158 күн бұрын
@@IbrahimMahmoud-em1np acha tucheze na akili yako ndio hahahahaha
@hassanWanjiku8 күн бұрын
الحمد لله من نعمت أهل السنة
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
الحمد لله
@ShadhiliLikapa8 күн бұрын
Allah atuhifadhi kwakweli
@omarkazungu50498 күн бұрын
Mwenyezi mungu Aiko if ivy
@omarkazungu50498 күн бұрын
Assalamu alaikum warahmatullahi wa barakat
@HassanAlly-k2p7 күн бұрын
Sheikh umeacha ubishi sasa
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
What do I mean
@HassanIddy-v1b8 күн бұрын
Jamani tahadharini sana kusoma kwa masufi wao na shirki nikama mkate mbele ya chai hauna ujanja, sawa mtaona nawatukana lakini mtayakumbuka haya maneno yangu bi'idhnillaah,
@Abuu_Muyassar8 күн бұрын
Lkn anaijua bei ya nazi halafu aje aichezee kwa kuichora burebure
@HabibMohd-l3h8 күн бұрын
Hhhhhhhhh
@HabibMohd-l3h8 күн бұрын
Haijui
@MawelaKatimka-d2l7 күн бұрын
Chaajabu kipi shekh
@AllyHozza8 күн бұрын
Shekhe bachuu usichoke
@nabiljumaothman59128 күн бұрын
Tupo pamoja Shekh letu
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
اللهم آمين يارب العالمين ❤❤
@mustafaibrahim52008 күн бұрын
jamii imeoza ki akida
@NoorAli-vj4gn8 күн бұрын
Alhamdulillah nimejaaliwa kutangulia comment
@KhalfanMassoud8 күн бұрын
Maashallah,,, jazaakallahu khaira,,,
@AbdilahJahaKhamis8 күн бұрын
Waganga ao
@sheikhabuusakakin32438 күн бұрын
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@abdillahiabdallah4384 күн бұрын
HAJI MANARA KAZUNGUMZA KAMA JORKES , NI UTANI HAJAZUNGUMZIA SERIOUS ISSUE KWA WATU WANAEMJUWA HAJI MANARA ILA WEWE BACHU HUJATUMIA AKILI
@HamisiNalinga8 күн бұрын
Haji manara ni mlevi anatangaza kamali mashehe kimya hawasemi
@SadickMussa-g6h8 күн бұрын
Makhulafi, Masufi, na Matwaliqa hayo ndiyo mafundisho yao ktk Misikiti yao na hiyo ndo Tawhiid yao
@jamalijamali68208 күн бұрын
kweli ndugu yangu hawa watu ni mtihani sana
@IssaRashidi-q7h8 күн бұрын
Maneno yako ni matamu saana kwakua hawi na maneno machafu ila mchafu
@azizijaja38038 күн бұрын
Matwaliqa ndio nin
@SadickMussa-g6h8 күн бұрын
Kuna mchafu kuliko Mshirikina, Mteja wa Huyo Mshirikina na Mtetezi wa shirki pamoja na Washirikina wenyewe?
@SadickMussa-g6h8 күн бұрын
Soma dini utawafahamu
@mohagurey22148 күн бұрын
Shida hawezi kujibu, bahati mbaya
@AbdulOmar-j5j8 күн бұрын
Wamaanisha nn kwa mfano
@mohagurey22148 күн бұрын
@AbdulOmar-j5j hayo maswali waloulizwa hawawezi kujibu, na wakizijibu na dalili njoo kwangu nikupe dollar mia moja
@abuuaidh65008 күн бұрын
Manara umesoma kweli Kisha Unakuwa jahili hivyo
@KhalfanMakota8 күн бұрын
Mbna nazi ya mboga haichorwii😂
@JJ4ZA8 күн бұрын
Hoja zako dhidi ya Shk. Mziwanda ni dhwaifu sana.
@abuutamiimattanzaaniy86768 күн бұрын
Una mizani mbovu sana ya kuzipima hoja za wazungumzaji. Udhaifu upo wapi hapo kwenye hizo hoja?
@HusseinHassan-p7g8 күн бұрын
Ktk ili kama auwelewi muombe alla akupe ufahamu
@omarsal32668 күн бұрын
Kavunje nazi huko, coconut head
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Hujasoma au mshirikina au akili yako ina pumu Zito mwashangaza au mwamchukia bachu?????
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
Mtihani maaufi wengi waganga washilikina wavaa mipete
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
Wenyeqe wanafulahi. Haji anavyo sema shilki wanayo ifanya. Hawaoni hataaibu
@janiafaomaa51204 күн бұрын
BASHU KWEYE MIHAZARA MIWILI WAKWAZA NA NDUGUYETU WA KENYA MOMBASA BACHU KASHINDWA MWEGINE HAPO TANZANIA HANAELIMU YEYE NIUBISHI NA KUTAFUTA UMARUFU KWEYE MEDIA SASA ANAIVUJIA HESHI DINI
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Mwanzo kajifundishe kuandika, alafu umkosoe bachu comment kutoka 1 mpaka 121 watu wasapot bachu we usielewa kitu hujui Haya kuandika komt, u a just blind 2 reality ninkampup back 2 bd
@chinammasai99676 күн бұрын
Sasaivi utatwambia km watu wakilala wasijifunike chandarua mana mbu Hana uwezo wa kutia malaria pia kesho utatwambia km inzi haingizi kipindu pindu mana kiumbe Hana uwezo wa kutia maradhi kwa mtu! Hakuna tauhiid 3 katika uislam Bali tauhiid ni moja tu
@yustoedward22245 күн бұрын
Huna hoja
@yustoedward22245 күн бұрын
Bas sawa dkta gn hospital gn ilokwambia ukiumwa uvunje naz
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Akili yako ina pumu, twaongea Manara kuua watu we unongea stupid
@athaum058 күн бұрын
Clip ya Sheikh Mziwanda hukuweka kwa urefu ili tuelewe nini alichokuwa anamaanisha kuhusiana na nazi, umeiweka kwa ufupi sana na hii ni tofauti ilivyokuwa kwa Muhammad Mafuta (uliiweka kwa urefu kiasi ambacho haikanganyi kueleweka kwake)
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
Haya MTT wa darasa lakwanza afahamu Sena kweli baba
@azruntravel43067 күн бұрын
Mm nauliza tu, maalim elimu ya haxo mambo unayo?km huna usikurupuke jjifunze kuyaangalia kwa ndani zaidi na kwa wanaelimu hizo
@kassimothman6667 күн бұрын
Ajifunze huo uchawi?
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
We akili yako inakutu mbaya Sana au unashabikia shirki back 2 bed
@azruntravel43062 күн бұрын
@@SalimKassim-c6y hujaelewa ttzo, mm nadhani wewe ndio una kutu ya kuhukumu nazi kuwa shirki.Nakuomba usome elimu vizuri then utahukumu.usihukumu kwa kukurupuka
@azruntravel43062 күн бұрын
@@kassimothman666 uliza uchawi ni nini? je haramu kuujua au kuutumia huo uchawi?
@SalimKassim-c6y2 күн бұрын
@azruntravel4306 hebu niambie dat clip Manara ameifafanua kazi ya nazi briefly, wazi shirk Tena eibb mbele ya mashekhe, rep plz,