Wallah sheikh Muhammed issa nimekuelewa pia nakupenda sana Allah akuhifadhi, natamani waislamu tuwe na mifano memah mzuri siku zote tujitahid kuongea kweli, na kujiepusha na jazba kibri riyaa na kujiona mm nbora kuliko mwengine nawapenda masheikh wote kwajili ya Allah ❤❤
@abdallahsiraji99196 күн бұрын
A alaykum... Shekh Muhammad Issa uko sahihi sana.. Allah atustiri na atuongoze ktk umoja wa Uislam na Amamni... Ni kweli kabisa kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya "Masalafy" na "Answari"... Pia kuna tofauti kubwa sana ya maadili baina ya wote kati ya hao...
@hamynas6 күн бұрын
MAWAHABI MNA TAABU SAANA NYIE. WAJUAJI NYIE WACHAMUNGU SANA NYIE WENGINE WOOTE MAKAFIRI NA KILA MNACHOKIAMINI MWATAKA KILA MMOJA AAMINI NA ASIPOAMINI BASI ADUI YENU WAPUMBAVU SAANA NYIE MAWAHABI
@AbuuNusaiba6 күн бұрын
Mche mola wako ndg akhra siyo mbali
@majaliwamussa92685 күн бұрын
Sheikh umeongea vizuri,Allah atuongoze, Kabeke huwa anaropoka sana
@basharahamtzhalisi68717 күн бұрын
YAA ALLAH MSAMEHE MJA WAKO ALIYETANGULIA MBELE YA HAKI, TUNAKUOMBA USITUFITINISHE BAADA YA KIFO CHAKE. ALLAHUMMA AAAMIN.
@aminaosman33153 күн бұрын
🎉,waliomzulumu yatima na mjane walikuwa haohao wafuga ndevu na vikanzu vifupi Allah àtawazalilisha wao na familia zao wanakulamoto
@SalhaAlly-x8q7 күн бұрын
MASHEKH WANAONYOA NDEV JAMAN WANACHUKIZA NA WANATISHA DAH ACHENI NDEVU MJULIKANE KAMA NI WANAUME
@KhawlahMohamed-g1n6 күн бұрын
Kumbuka hilo sunna sio faradh na hujui mtu anatatizo gani hata asifuge izo ndevu... usimjaj mtu hujui anapitia nini kinachomfanya afanye unachokiona..
@SalhaAlly-x8q6 күн бұрын
@KhawlahMohamed-g1n USITETEE BWANA MNANYOA NDEVU ZOTE KWANI ALLAH ALOZIWEKA KUWATOFAUTISHA BAINA YA MKE NA KUME AMEKOSEA? MNANYOA ETI MJITOFAUTISHE NA SUNNA DAH KHATARI SANA
@SalhaAlly-x8q6 күн бұрын
@KhawlahMohamed-g1n SUNA NDO MNAIPUUZA?MATATIZO YAKUNYOA NDEV TU ,WANATUTISHA HATA KUWAANGALIA NI KICHEFCHEF WANAWAFUATA WAMAJUS HAWAFUG NDEV WANAMPNGA MUHAMMAD SAW
@shmohd118 күн бұрын
Sheikh Kabeke Aweka Bayana Bakwata ni Maadui wa Answar Sunnah
@SonofJacol-t6h7 күн бұрын
Na huo ndio mtazamo wa wengi wao (Masheikh) wanavyowatazama watu wa Sunnah, japo wengine hawalisemi wazi. والله المستعان وعليه التكلان {..فَلَعَرَفۡتَهُم بِسِیمَـٰهُمۡۚ وَلَتَعۡرِفَنَّهُمۡ فِی لَحۡنِ ٱلۡقَوۡلِۚ وَٱللَّهُ یَعۡلَمُ أَعۡمَـٰلَكُمۡ ﴾
@azizisulay60057 күн бұрын
@@SonofJacol-t6hna bakwata ni maadui wa uislam
@SalhaAlly-x8q7 күн бұрын
ANACHOYO SANA HUYO KABEKE HATA NDEVU HANA HAJITAMBUI NA CHUKI ZAKE
@hilalkhalfan14526 күн бұрын
HUO NDIO UKWELI KWAMBA MAWAHABI NI MAADUI WA UISLAMU NA BAKWATA
@AbuuMuhsin6 күн бұрын
Baarakallahu fiika
@AshaAbdulla-h5x7 күн бұрын
Alicho kizungumza. haya ndo maneno mazur kwahkika tofauti zipo mpaka kiama muhimu tujiepushe na uadui
@MkindiRama-lp6hy7 күн бұрын
Inalilah wainailaih rajiun huu ni msiba mkubwa masheikh zetu wanafurah kwa kufa mwanawachuoni
@seifsaid99057 күн бұрын
ALLAH NAMCHUKIA KABEKE NA LAANA YA ALLAH IWE JUU YKE KWA FITINA YA KUWAFIRINISHA WAISLAMU NA ALLAH AJALIE YEYE NDIO AFATE MLANGO WA KABURI INSHALLAH
@hamisibakari50305 күн бұрын
SUB-HAANA LLAAH. Mche MOLA wako ndugu, tumekatazwa na Uislamu kulaani. Wewe pia ni mwanadamu usimwombee mwenzio Kifo, sote tutakufa kwa mapenzi ya ALLAH. Hayo maneno sio mazuri. ALLAH atuongoze sote na atujaaliye mwisho mwema. Aamiyn.
Shekh kabeke yupo sahihi hana alipo kosea mawahabi wote ni kundi moja hakuna uwanswari uwadui mume uwanza nyinyi mana mumetangaza wenyewe mumefurahi kufa shekh abuu idd muhammad
@KitasaWaaction-gm9zr6 күн бұрын
Hahahaha huyu kabeke sijui kanani anaonekana hamna kitu hapa niushabiki tu yani anatangaza uadui kisa udhehebu kwaiyo dhehebu linashinda udugu wa dini hahahahah huyu hamna kitu
@kaderbakshamin23457 күн бұрын
Waislam tushaenda mrama subhaanah allah, ile mtume wetu aliyosema tushikamane na kamba ya allah haiko tena
@SaidiBakari-kl1gu5 күн бұрын
HUYU SHEIKH WA MKOA WA MWANZA NI WAZIWAZI ( VERY CLEAR) SI MWADILIFU NA VIONGOZI WAKE (BAKWATA) WAMWANGALIE KATIKA JICHO LA UISLAMU... NA SI VINGINEVYO... HAFAI.
@selemankishema57807 күн бұрын
Useme na huyo upele ulifika kwa mkunaji😂😂😂
@athumanindimila80114 күн бұрын
Shekh assalaamu alaykum vipi hali
@OmariHamed4 күн бұрын
Wee mzee acha uongo mtoto wa bachu ambae ni mwenzenu alisema kufurah ni sahh ila uangalie sehemu sahh ya kufurahia
@aminaosman33157 күн бұрын
,Ansar si taasisi ya kiddiniwamejificha wazulumaji wahujumu uchumi taasisi zote zinazo ongozwa na jamaa hao niza kitapeli nase hayo sio kama tuwssingizia zulma walioifanyia familia ya marhum janjira Allah atawazalilisha hapa duniani kesho akhera wao na familia zao kama wslivyo izalilisha familia ya marhum said janjira na kumzalilisha mane mahakamani kwa haki zake na yatima wake watano inshaallah
@khamisfarouk94935 күн бұрын
Sheikh wetu na mzee wanasihi na mawahabi waache uadui mana wao ndio walianzisha fitna iyo ya uadui
@dullahbatuf92236 күн бұрын
Utanzania unawanganisha dini inawatenganisha maneno ya shekh Hay inalillah wainailah rajiun
@hassanWanjiku7 күн бұрын
Na mjue kua kile mtakachozua katika dini nawaambia siku ya kiama tutafufuliwa na adhari ya udhu ila miongoni mwetu kuna watakao fungiwa sababu mnazua kando n alichotuachia mtume salallahu alayhi wasalaam chungeni msiwe wenye kufungiwa nje muogopeni Allah maulid ni bidaa n mengi mnayofanya
@IssaHamisi-z2v5 күн бұрын
Wewe ni fitina
@shabanmohamed70717 күн бұрын
Sheikh kwenye maelezo yako umeegemea upande mmoja ,yaani upande wako unaona kama unaonewa wakati ilipaswa ubalance ikiwa answar kuna madhaifu yenu na bakwata wanaudhaifu maana hujagusia yule aliye furahia kifo
@MuhammadiMbwana6 күн бұрын
mambo hayo wacheni wenyewe mashekhe watayamaliza sisi waumini tukae kimya
@allymusira21537 күн бұрын
Kabeke kateleza ina maana hakumuona sheikh Al akhdar wa al ikhma alikuwepo pale msikitini na aliongea na kumuombea sheikh Abuu Idd
@babatidaawa65507 күн бұрын
Answar na salafi sio tofauti nadhani hapa Sheikh umeteleza kwa hili ni majina tu lakini mapito kati ya Answar Sunna Na manhaj Salaf ni hayo hayo tu tunakupa udhuru kwa hili sheikh Muhammad Issa
@khalfansharji-ez7pg6 күн бұрын
Ningeshituka kama ungekuwa usemi wa msemaji mkuu bakwata au mifti lkn kUmbe kabeke!!! Huyo daraja lako pambaneni hata wewe kwa kauli zako nawewe bado tunakufaham mohamed Issa answar zamani Shinyanga badae MUIBADHI imam msikiti wa WAIBADH Shinyanga mwisho tena muanswari suna sijuwi sasa ni dar. Lakini sijuwi mwisho aidha lusaka au lilongwe utakuwa answari FARIDHA!
@abuidifundi20165 күн бұрын
MAWAHABI HAWANA NIA NZURI NA UWISLAMU
@MauBonde7 күн бұрын
Bakwata na viongozi. Wanaotugawa waislaamu na hatutaki ..........
@BuiKishkOnlineTv6 күн бұрын
❤
@SaidiBakari-kl1gu5 күн бұрын
KWA SABABU TONE YAKE ( SAUTI) ANABWEKA HAWEZI KUWA KIPENZI CHA WAISLAMU KWA STAILI YAKE(APPROACH).
@TwalijiIsamail7 күн бұрын
SHEIKH KABEKE KAYASEMA HAYA KABLA YA UYO MHUNI WENU HAJAOMBA RADHI. PIA WEWE MUHAMMAD ISSA NI MWANASIASA NENDA KACHAMBUE VITA YA KONGO M23 NDO UNAWEZA SIYO DINI.
@jamaliddiin93576 күн бұрын
Nawe nawe kumbe pia ni mtovu adabu Yaani hapi ndio mmepata pwenti Alierpoka nibkijana tu yeye mwenyewe wala hajitambui ,nawe pia wasimamia kidete ,acha ujinga ndugu
@hamynas6 күн бұрын
MAWAHABI SIYO AHLU SUNNA WALJAMAA MOHAMED IDD ACHA URONGO KABIS AHLUL SUNNA WOOTE WANASOMA MAWLID, TALAKINI NA WANAZURU MAKABURI NINYI KWENU HAMUNA MAMBO HAYA ACHENI UWONGO NYIE NI MASHETANI
Huyo kabeke jina la shekh halimfai labda ni sheighun
@yunusramadhan25467 күн бұрын
Subhaallah, ati kwenye dini yenu .inna lillahi wainna ilahi rajiuun 😢😢😢
@MasterOil-qm6vw7 күн бұрын
Uko sahihi mm ni salafi lakin siungi mkono alichokifanya yule mjinga kufurahikia kifo kwa muisilamu mwenzie
@TwalijiIsamail7 күн бұрын
NYIE MNAKATAA KUWA CHINI YA BAKWATA WENYEWE SABABU MUMEDHIHISHA UADUI WENU KWA KUFURAHIA KIFO CHA SHEIKH WETU KIFUPI MAWAHABI SIYO WAZURI.
@kuxhindahassan1117 күн бұрын
Mngezijua hizo ikhtilafu mambo yasingefika huku nyinyi ndio waanzilishi wa yote haya uwahabi ni tatizo katika uislamu kwa itikadi yenu
@HutiSwalehe6 күн бұрын
MAWAHABI NI MAADUI WA KILA MUISLAMU...MAWAHABI NI FITNA KTK UMMA...DAAWA YAO NI KUFITINISHA UMMA WALA HAWAPO KULINGANIA KTK DINI KABISA
@hamisisalimu69087 күн бұрын
Tushawajua baadhi yenu yaliomo vifuani vyenu na kwenye vikundi vyenu vya kihuni
@sirajismail39787 күн бұрын
Waliofurahia woote finnari khalidina fiha abada
@suleimanmussa19537 күн бұрын
Ww unayo haki yakuingiza peponi na motoni?
@rashidikhamisi43136 күн бұрын
Labda moto uwe unaumiliki wewe
@rashidikhamisi43136 күн бұрын
Labda moto uwe unaumiliki wewe
@thewave99996 күн бұрын
huyu kabeke mnahakika ni kiongozi wa waislamu ? kwa kauli hyo ni vema akaachia uongozi wowote alionao
@Nabeel-227 күн бұрын
Kundi zima la bakwata lipo kwa ajili maslah ya kidunia .. kabeke ni chizi fresh wala hana hadhi ya kujibiwa
@JabirBakar-ys8dw7 күн бұрын
ni yupi kiongozi wa bakwata mweenye taasisi kama si uongo hayo maneno ni yupi mwenye radio au tv
@HabibuMudhwahir7 күн бұрын
nininyi walewale
@AllyHamran7 күн бұрын
Sio answar tu Bakwata ni baraza adui zidi ya waislam.
@ibrahimjumbe81217 күн бұрын
Huyu mzee sizani kama anajielewa uwahabi unamsumbua kichwani Leo hii mnasema sisi ni waislam wenzenu kisa tu hamtaki kua chini ya bakwata 😅 Hivi sio nyinyi mnatuita majitu ya bidaa, washirikina wAtu wa motoni tunakuaje waislam ??? Halafu eti nyinyi kama ahlu sunna na mnatuita sisi bakwata ??? We mzee wa kiwahabi weeeee nyinyi mna uadui na sisi mkubwa sana
@abdallahdataguy7 күн бұрын
Nyinyi kina nani?
@ibrahimjumbe81217 күн бұрын
@abdallahdataguy Sisi hasa ndio ahlu sunnat waljamaa ashaira madhab ya Imam Muhammad ibn Idris shafiy na tumejiweka katika twarika mbali mbali katika kutufikisha kwa mola wetu tukiwa na nyoyo zilizokua sslama InshaAllah
@alwiyiynmission28207 күн бұрын
Na Maliki PIA NI ANSWAR SUNNA ALJAMAA....MUSIWATENGE
@alwiyiynmission28207 күн бұрын
KIJANA BADO HAJATUBIA WALA HAJUI KUOMBA RADHI, ZAID AMEDHIHIRISHIA UMMA YALIOJIFICHA NDANI YA USALAFI NA DHANA MBOVU DHIDI YA WAISLAMU...KWA KUSEMA WAZI NI ITIKADI YAO KUFURAHIA KIFO CHA WENGINE. JE TUTAAMINI VIPI KAMA HAWANA ITIKADI KAMA WAMEHALALISHIWA KUWAUWA WASIO KUA WAO
@HabibuMudhwahir7 күн бұрын
ninyi mnajiita answer mnamatatizo mengi
@abuujibriltv52337 күн бұрын
Mawahabi wana vipote vingi sana na wote ni mawahabi tu. Utofauti wao nikwamba hawa wanadhihirisha misimamo yao na hawa wana ficha. Hakuna tofauti. Tupo na ninyi Kwenye magroup ya Whatsapp mnacho ongea kule ni tofauti na mnacho ongea huku
@buheroKozi7 күн бұрын
Sheikh Allahaa akulipe umeongea kama maneno mazuri sana hao masheikh wengine Allaha awasehe tuu
@alwiyiynmission28207 күн бұрын
Nyote ni MAWAHABI, ANSWAR SUNNA ILIKUA TOLEO LILOPITA....NA MASALAFI JADIDA NI TOLEO JIPYA LA KUGOMBANISHA....NA BADO LITATOKA TOLEO JENGINE....IKIWA MASALAFI WATASHINDWA KAZI WALOTUMWA KAMA MULIVYO SHINDWA NYINYI MUJIITAO ANSWAR SUNNA. SUNNA IPI HASA MUNAYOILINDA
@arjunimayagila95007 күн бұрын
Mzazi wangu kwaiyo na wewe ulivyo zungumza upo sahihi?
@nurdinmfamau34937 күн бұрын
Aprication Mpya Ya Answar Sunna Ni Masarafi.
@thewave99996 күн бұрын
hata hao salafi hawakukaa kikao kutoa mawazo hayo , kwahyo shekh kiongoz kuhukumu na kugawa umma kisa kijana au mtu mmoja kajiamulia kaongea aliyoongea sio sawa, pia viongoz muwe na subira na b7sala katka kuyaendea mambo
@MasterOil-qm6vw7 күн бұрын
Kabeke sio sheikh mm naona atakua ni chawa wa mufti maana anavyoongea kama anamfurahisha mtu maneno yake hayaegemezi kwenye dini na ikhlaas
@majaliwamussa92685 күн бұрын
Hapo kwenye Ahlu Sunna Wal Jamaa ni sahihi, na ndipo panapo changanya watu
@yusuphrashidi-dr1kb7 күн бұрын
Sisi manswar tutafute mufti wetu tushawachoka hawa watu wa kanisa
@farijalakhalid55587 күн бұрын
Muhamed isa usijifanye unaleta hekima wakati mnatukana watu Mnadhoofisha watu Mnalazimisha magomvi
@sirajismail39787 күн бұрын
We Mohammed issa ulikuwa bakwata ulivyokuwa shinyanga Leo uitaki bakwata kulu haki walaunkana murraa
@IjumaaIjumaa7 күн бұрын
Kama kaona hak bakwata taasisi si dini dini yeye mwislam salafi maana ya salafi ni kufata wema waliotangulia na kuacha mauzushi dini yetu Haina viraka kama wayahudi na manawara
@TwahirBurhan7 күн бұрын
YAANI UNAJIITA SHELH TENA MSOMI NA KIONGOZI UNATANGAZA HADHARANI KWAMBA MUISLAM MWENZAKO KWAMBA NI ADII YAKO!?
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
Ndio MAWAHHABI ni maadui zetu
@jumangozi27207 күн бұрын
Na muwaambie hao watu wenu wa redio imaani wasijiite masalaf
@HutiSwalehe6 күн бұрын
Wewe Muhammad issa hujasoma kitu wewe
@rajabumsuya-hg8jd7 күн бұрын
Naam shekh umeongea vizuri watuache sisi, wao waendelee kupiga ngoma na kucheza miziki wakidai wanampenda mtume,,.
@KhalfaniFarisy-c3w7 күн бұрын
Ni kweli. Wanapenda Dunia kama Mayahudi na kuichukia Akhera. 😊
@AlhajiMswaki-de3kb7 күн бұрын
Dufu tutapiga mwanzo mwisho bakin na husda zenu fitna zimewajaa mawahabi mtatapatapa sana
@rajabumsuya-hg8jd7 күн бұрын
@AlhajiMswaki-de3kb tafsiri ya kibri ndio hii sasa unaambiwa haki unakataa
@allymbarouk53627 күн бұрын
Musijal kabeke nae atakuja kuomba radhi
@an-noormedia28817 күн бұрын
Wote nyie ni mawahabi tu
@hamisisalimu69087 күн бұрын
Wewe unaongelea kabeke kwani hujui tatizo lilianzia wapi? Yule aliesema wao wamefurahi kwa kufa kwa Abu Iddi hukuwasikia? Mbona huwataji???
@SonofJacol-t6h7 күн бұрын
Aliyesema amefurahi ni nani na ana nafasi gani? Kuhusu Kabeke ni Sheikh wa Mkuu wa mkoa na ana vyeo vingine kedekede ktk jamii!! Ama kuhusu mtu mmoja mmoja ktk waislam, huzungumzia mengi na mazito lkn hayapewi uzito hayana Qima. Usisahau pia huyo mtu (majhuul) amejirudi na kuomba radhi.
@alwiyiynmission28207 күн бұрын
@@SonofJacol-t6hSASA WATOKEE MASALAFI JADIDA WAPINGE KUA KUFURAHIA SIO ITIKADI YAO
@Salimubakari-n5q6 күн бұрын
Huyo kabeke kama sio sadaka asingekuwa shekhe kusoma vitabu vingi havikufanyi kuwa shekhe kuwa shekhe ni matendo yako kuakisi kile ulichokisoma jifunzeni kwa abdlikadir kaka yake kishk jifunzeni kwa mufti sio kichaa mmoja akiongea mtandaoni shekhe unakurupuka sasa huyo alietukana na kabeke tofauti yao nini
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
Nyinyi hamtakiwi kuwa chini ya BAKWATA nyinyi inatakiwa taasisi zenu zifungiwe kwakuwa magaidi nyinyi!
@HajiAmbali-jq9dr7 күн бұрын
Yani we huna elimu kabisa
@HajiAmbali-jq9dr7 күн бұрын
Hakuna wahabi Wala bakwata Wala sulafi sisi sote tumesmini
@allymusira21537 күн бұрын
Tumia akili
@TwalijiIsamail7 күн бұрын
ACHA KUTUDANGANYA MUHABIA WEWEEE TUSHAWAJUA TABIA ZENU NA CHUKI ZENU ZIDI YA MASHEIKH ZETU.
@JumaAjali-u5f7 күн бұрын
Wakati mwingine mashekh wenye ushawishi kama nyinyi haipendezi kujibizana mtu akiwasema vibaya kujibu ndiyo kualibu kwa hali sasa . Mengine ni bora uache hukmu itakavyokuwa siku ya mwisho. Munavuruga waislamu wengi wasiojinasibisha na hitikadi.
@HabibuMudhwahir7 күн бұрын
ninyi nimawahabii
@KibwanaSimba-k8z7 күн бұрын
Weumeebuka kwakumsia sheekabeke mbona hukutoka wakati wa yule kijana aliekejeli na kudhihaki na kutoa maneno machafu kwenye msiba wa shekhe mkbwa kama muhammadi idi ondoa uchiziwako lakumdiinum waliyadiin
@KhalfaniFarisy-c3w7 күн бұрын
Dini wewe ipi?
@HabibuMudhwahir7 күн бұрын
udui wa kiislm
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
NYIE WOTE NI MAWAHHABI ACHA KUBABAISHA MWAMEDI ISSA
@Manyanya85517 күн бұрын
Jifunze Kuandika Majina yawatu kwanza
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
@@Manyanya8551Huyo siyo Muhammad ni Mwamadi
@jumangozi27207 күн бұрын
Wewe Mohamed issa umesoma dini chuo gani
@KhalfanMakota7 күн бұрын
Mayahudi asanten kutufikisha hapa popote mlipo kama wew yahudi agiza soda tayar imetuletea maadithi tukayakubali kuwa ni maneno ya mtume hata kama zinapingana na qurian ndio chanzo cha mpasuko wetu......chanzo cha mpasuko wetu waislam ni hadithi tuuuu
@nurdinmfamau34937 күн бұрын
Nawe Umewapenda Hao Wasiokuwa Miongoni Naunawapongeza Kanywe Soda Tutakutana Akhera
@KhalfanMakota7 күн бұрын
@nurdinmfamau3493 sasa kama waislam tumefikia hatua ya kufurahi kifo cha muislam mwenzio kwa sabab ya ikhtrafu ya manhaj uoni anguka hilo
@IjumaaIjumaa7 күн бұрын
Nawe kasome khadith ndo ukamilifu wa ibada kama hujui nyamaza
@KhalfanMakota7 күн бұрын
@IjumaaIjumaa halaf qurian inakamilisha nin? Yaan nikasome hadith maandko ya mayahudi niache kusoma qurian ........na wao walijua tu
@KhalfanMakota7 күн бұрын
@IjumaaIjumaa hv ulishawah kusoma historia ya hadithi au kwa kuwa umekuta watu na wew unafuata tu? Hv unajua mtume mwenyew halikataza hadithi cziandikwe?
Shekh anakwangua kidevu hivyo anaongea ujinga nani kampa u shekh huyo? Si huyu aliesema kuna aya ya mwenge au sie huyu? Sasa hilo baraza la ulamaa kama ulamaa mwenyewe ndie huyu?
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
Nyie mna laana sasa unazungumzia ndevu si wazimu huo unao.
@farijalakhalid55587 күн бұрын
Hivi kati ya nyie na sisi nani kaonesha kua ni maadui kama sio huyo salafi mwenzenu. Lakini pua umeweza kusema kua alimwita yule kijana muwahabi Na wewe umekubali kua ni wahabi Vp ukatae kua nyinyi ni maadui wakati ndugu yenu kaonesha wazi kua anafurahi kifo cha ndugu yetu
@jumangozi27207 күн бұрын
Alafu kama masalaf ndio mawahabi sasa wewe answar inakuhusu nini
@NAJMASAIDI-e6b7 күн бұрын
MAWAHABI NI UOZO NA NI KANSA KWA UMA NA TAIFA
@IjumaaIjumaa7 күн бұрын
Hujui answer na muhajirina sema astaghsfirllah ibada sahihi Iko answari kama mtume wetu muhamad swalallah wawa umekosea ukimtus mwislam Tena kwa BB Imani ya kiislam umeutusi waislam hatari sana
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
@@IjumaaIjumaaUnaongea wazimu wewe. Hawa wehu unawafananisha na Answar waliompokea mtume Madina? Wewe kichaa
@AthumanAthuman-b6q5 күн бұрын
Una mihemko yakishirikina ndo inakutesa.
@IjumaaIjumaa5 күн бұрын
@@NAJMASAIDI-e6b itakuwa hujui maana ya answari uliza acha jazba za kishirikina walamu wengi wa maulidi ni wapiga lamri na hiyo ndo kansa inawatafuna hata maneno Yao unaona Hawa masufi ni wa matamanio
@IjumaaIjumaa5 күн бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 kutukana ni ufasiki kujifananisha ndo sahihi na ndo mafundisho Ya ALLAH ww kujifananisha na wapiga miziki utafufuliwa na waimba miziki acha uzushi angalia answari ndo watetezi wa mtume mohamad sw hakipiga modifu hakufundisha matarasim makombe hakufundisha lakini walimi wa maulidi ndo kazi yao
@mohamedhamismagoraonlinetv4597 күн бұрын
UWAHHABI HUONDOA AKILI
@TwalijiIsamail7 күн бұрын
SHEIKH KABEKE YUKO SAHIHI SANA WEWE MUHAMMAD ISSA KAMA KWELI UNAKUNDI LAKO LINGINE KWA NINI UNAZUNGUMZIA YASIYOKUHUSU???!!! WATU WENYE AKILI TIMAMU WAMEJUA KABISA HUYO MUHABIA ALOFURAHIA KIFO CHA SHEIKH WETU NI KUNDI LAKO NDO MAANA UMEAMUA KUBWEKABWEKA ZIDI YA SHEIKH KABEKE.
@RamadhaniIbrahiim7 күн бұрын
Mbona hukuongea baada ya yule msalafi kutoa MANENO ya kufurahia Abuu iddi kufa, ila huyu kabeke ndoumeona kakosea, na wewe ni jahili kama yule salafi
@TwalijiIsamail7 күн бұрын
NI KWELI MAWAHABI NI MAADUI WA WAISLAM SABABU WAO SIYO KATIKA WAISLAM.
@allymusira21537 күн бұрын
Tumia akili
@SuleimanKahangwa-oj9eh7 күн бұрын
Kabeke rudisha pesa zawatu mbwa wewe
@jumangozi27207 күн бұрын
Alafu kama nyie answari sio masalaf mkomesheni barahiyani asijiite salaf
@IsacManuel-b4y7 күн бұрын
Hauna jipya
@jumangozi27207 күн бұрын
Nani alikwambia kua maulamaa wani shafi maaliki abuu hanifa na ahmad wameikhtilafiana kwenye matalakimu na khitma acha uongo
@rashidabasi79407 күн бұрын
Ninyi Mawahabi ni kweli mumefurahia kifo cha Sheikh. Sijasikia mkikemea hao walio furahia kifo?
@JamalAbdallah-t1y7 күн бұрын
Masalafi na ansar sunna wote ni MAWAHABI tu
@MOHAMMEDMOSHE-sy3qi7 күн бұрын
HAKUNA KITU KAMA ]MAWAHABI[
@JamalAbdallah-t1y7 күн бұрын
Mawahabi baada ya kushtukiwa ni vbaraka wa mayahudi kwny miaka ya 1980 wakabadili Jina wakajiita ansar sunna, wakashtukiwa baadhi wakajiita salafi, Wote Hao ndio wale wale mawahabi, na mwenendo wao ni uleule, kufunga ndevu, kanzu fupi, ubishi Bila ilmu, mwezi wa kimataifa n. k hizo tofauti zao ni ktk kutafuta maslahi ya kidunia na ukubwa ( vyeo) tu.
@abushaddad9897 күн бұрын
@@JamalAbdallah-t1y unaijua Bakwata wewe ? Khulafi mkubwa wew
@JamalAbdallah-t1y7 күн бұрын
@@abushaddad989 Bakwata ni kiboko ya mawahabi, kwani ww kenge hujui?
@baalawyaljadyd67507 күн бұрын
@@JamalAbdallah-t1y bakwata ni kikundi kisichojua Uhakika ni wanasiasa