Sikiliza sauti ya Muhabi alivyo mshambulia Marhum sheikh Muhammad Iddi ,na alivyo omba Radhi #duet #subscribe #automobile #film #makkah #saudiarabia #kpop #like #gaming #viralvideo #video #picture #music
Пікірлер: 350
@MirajiMiraji-yu4gg5 күн бұрын
Namuomba allah apunguze japo sawabu kwangu amuwekee abuu iddi..amin
@khamismohd52905 күн бұрын
Hizo thawabu unazo
@hijahamadi57935 күн бұрын
Hayo si maneno ya sawa, mtolee sadaka, muombee dua.
@KhadijaOmary-u2n5 күн бұрын
Ila wewe du akupunguzie wewe dhawabu unazo nyingi mmo muombee dua inshaallah
@w40585 күн бұрын
Msiba mzito kweli kwa sheikh wetu hadi leo hatujachanganya halafu atoke kijitoto hata ikiwa ana elimu ya kiasi gani basi heshima hana
@zainabjumaa30555 күн бұрын
@@MirajiMiraji-yu4gg astaghfiru llah duu kumbe unazijua thawabu zako kuwa ni nyingi
@ZettyHarunaKitambulio6 күн бұрын
kama umejua kosa lako Alhamdulilah ila mnapo toa kauli sio nzur masheikhe wetu na ss huku mahamuma mnatuchanganya ebu kueni sawa basi tuwe kwenye mstal moja Allah atujaalie mwisho mwema mwenzetu kazikwa ss wengine atujui tutakufa kifo gan japo njia ni moja lazim kwa Allah tutarejea
@hamidashaban12035 күн бұрын
Hakika umetuumiza nafsi wakati ngumu tumefiwa na mtu wetu tunaempenda hakika umetuumiza sana.
@sansasansa25045 күн бұрын
mtume muhammad alikua akiwapenda hadi makafiri hicho alichokisema si katika tabia za kiislaam
Hapa kuna unafiki ndani yake, inamana kama lingebaki huko group basi lingebaki kama lilivyo😢😢
@JamilaMohamed-l9y6 күн бұрын
Waaislam tunaenda.wapi hivi unaweza kufurahi mwezako kufaa na baado ukasema na jogo angekufa kweli haya ndio mafundisho Hawa tulio umia tumuombe duaa mungu alipe km alikuwa anakosea kuwanaswa waslam kwa kile anacho kijua mungu ahukum
@neemanjakale27446 күн бұрын
A.aleykum waislam tupendane dini yetu mzuri mashekh wetu msichoke kuwaelimisha watu kama Hawa sarafi kutuharibia dini yetu na amuombe sana Allah kwa hichi alichokifanya amsamehe
@Issamarika5 күн бұрын
@@neemanjakale2744 salafi gani anafanya asiyo yaelewa ni chuki
@mrishongwikwi64485 күн бұрын
Allah akusamehe ndugu yetu kwa uungwana wa kuomba msamaha sote ni wakosefu Allah pekee ndiye mkamilifu.
@FaisalKitengeКүн бұрын
Nimetokwaa na machozi kwa kizazi hiki kwanini Uislam tunaupeleke huku Yaa Allah tuswamehee ....Namejihisii vibaya sana ..Nina majirani zangu Ambao ni katika watu wanaoamini katika sarafii kiukweli mnakosea sana ...Sisi wote ni Waislam Kibra yetu ni Moja,,Mtume wetu ni mmoja,,Kitabu chetu ni kimoja,,na Allah sw tunayemfuata ni mmoja ...kwanini Tunakwenda huku ...Yaa Allah tujaalie mwisho mwema 😭🤲🤲🤲
@ramadhanimtetu36566 күн бұрын
Allah Amsamehe Huyo Ndugu Na Allah Amrahamu Sheikh Muhammad Eid
@IsmailJuma-zb5ni6 күн бұрын
Muache kujifanya kila kitu muko saw a, cha msingi tumuombe Allah atujaalie waislam wote aturidhie.
@SaidKessy-f5p5 күн бұрын
Huyu jamaa anaomba msamaha kwa kuogopa madhara lakini ndio itikadi yao..Mungu ameonyesha ndani ya moyo wake au nyoyo zao..
@makhanguwakhutu24086 күн бұрын
Uislam original ulienda kitambo walioko wengi saa hii ni vibaraka wa mayahudi sasa kazi ni kupingana daily wao kwa wao na mwisho mtaanza kuchinjana badala ya yakufanya dawa ya mtume na swahaba zake ni tofauti kubwa sana na hii dawa ya hawa makhurafi masuffi na hawa mawahabi hakuna dawa mnafanya masufii ama makhurafi wamezama kwa bidaa na mawahabi wamezama sana kwa kupingana sasa wote mumepotea hadi mrudi musome history ya mtume ndio muone dawaa yake na yenyu ni vitu mbili tofauti ndio maana hata wenyewe mnajua
@allymbarouk53625 күн бұрын
Hakika sahizi wapo wasaka tonge tu wengi wao kupitia mgongo wa dini
@Muislamu6 күн бұрын
البلاء موكل بالمنطق ...وقد قال النبي صلى الله عليه وسلم : " إياك وما يعتذر منه ".
@RamadhaniIbrahiim6 күн бұрын
Allah hajatufundisha kulingalia kwenye makundi bali amatutaka tuwalinganie walionje ya wislamu Yani wakiristo na wasiyo kua na dini waufuate wislamu, nyinyi mnalingania kwenye makundi, turudi kwa Allah
@hassanbilali16976 күн бұрын
Salafi jitazameni uhusiano wenu na mungu wenu dhidi ya waislam wenzenu. Uongofu unatoka kwa Allah s.w
@Sakina-j2b7 күн бұрын
Allah Akbar ndie mueza Wa Yote Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah
@adamrutaha42575 күн бұрын
Nilivyomuelewa anaomba msamaha Kwa sauti yake kuvuja kutoka kwenye group sio kuwa amekosea maneno aliyoyasema
@sansasansa25045 күн бұрын
Msimamo huo hamna tofauti na mashia mashia wanawakataa makhalifa wote 4 pia masalafi wanawachukia wana wazuoni ambao ndio warithi wa mtume na makhalifa ktk uislaam heshima muhimu
@SuolFat6 күн бұрын
Ya rabbi wape mawahabi huzuni ya maisha na vizazi vyao
@dainamickdady41376 күн бұрын
@@SuolFat huna haki ya kumlaani una haki ya kumuombea msamaha kwa Allah
@BouShakuri6 күн бұрын
@@SuolFat aanze na we mzushi na familia yako
@amraniadamu28506 күн бұрын
Uzushi tu umewazid
@willajr95133 күн бұрын
@@BouShakuri 🤣🤣🤣
@BabySheni6 күн бұрын
Inna lilahi waina ilaihi rajiun
@allymbarouk53625 күн бұрын
Daah nilikuwa sijamsikia aisee, maneno machafu ya fedheha na yenye kujaa chuki hivi hata mlevi hawez kusema. Halafu anajiita salafi, yupo mbali na wema waliotangulia Allah atuongoe sisi na wao
@MbaroukAbdallah-k8h6 күн бұрын
Muislam mwenzio anakufa hlf unafurahia wakt huo ww unajiita shekhe nyny hii dini mnaifnya vile mnavotaka nyny ina mana nyny mna asilimia 100 ya mnayoyafanya kua ymekubaliwa na ALLAH
@JumabJumamkuula5 күн бұрын
Waisilam twaenda wapi sie
@amanimohamedi-y1g5 күн бұрын
Tusifike huko ndg zanguni waislam,hebu tufanye Yale yatakamfanya ALLAH kuturidhia yaumul Qiyama,
@Mohdakhi2 күн бұрын
Anaukweli gani
@NizarKhamis-n3d5 күн бұрын
Maneno yke ukiskiliza bas unagundua kwamba jamaa ana kiburi sana,
@HASSANBAKARI-q9c6 күн бұрын
Msishtuke,,kujua quran,,na kuwa na hekma ni mambo ma 2 tofaut....tofauti yani..
@Superbasil-h3x6 күн бұрын
Ameomba radhi kwa sababu tu ameogopea amani yake , lakini aonesha hajakoma wala hajatubia
@JafariNyallu6 күн бұрын
@@Superbasil-h3x amesema huo ndio msimamo wa masalafi wote ila yeye kasema tu kwa ipumbavu wake
@Superbasil-h3x6 күн бұрын
@JafariNyallu Ndio yeye adhibitisha kuwa shekh iyd ni mzushi na msimamo wa kisalafi ni kufurahi kwa kifo chake ila yeye aomba samahani kwa kuwa hakufanya taqia na hakuficha chuki zake hizo kwenye moyo wake , kwahiyo kosa lake nikudhihirisha hizo chuki zake hasa ikiwa bado msiba ni mbichi ila huwo ndio msimamo wa kisalafi haujabadilika
@MohdHaji-r1q5 күн бұрын
Unauhakika Gani kakwambia kama anaomba radi kwa amani yake alikuambia Wacha upuuzi uwo jielewe nyinyi kaziyenu kula wali wamaulidy 2 iety
@MohdHaji-r1q5 күн бұрын
Apn c kwli uliyo andika yoty niuwango pia unatakiwa umuombe msamaha mana mana hunauhakika na ulichokiandika iety
@Superbasil-h3x5 күн бұрын
@@MohdHaji-r1q Inaonenyesha hukumsikiliza kabisa , hebu rejea umsikilize viruri , amesema kuwa kosala lake ni kuwa hskutegea kuwa maneno yake yatawakwaza watu na watayachukulia kwa kiwsngo kikubwa na ilikuwa na watu kukereka mpaka watu wakamtishia amani yake, na kosa lake ni kuwa (hakufanya taqia) na akadhihirisha (chuki zake) alikuwa afiche kwenye moyo wake hasa vile ulikuwa msiba bado ni mbichi, na akasema lakini huwo ndio msimamo wa usalafi haujabadilika ila yeye alikuwa afiche kwenye mojo wake yani afanye (taqia) Rejea umsikilize fizuri usikurukupwe ukafedheheka ukachekwa na watu
@mohamedamini42685 күн бұрын
NIMI NIMEMSAMEHE , 🙏
@MaalimKhatib6 күн бұрын
Allah akuongoze
@ameirzapy13186 күн бұрын
Vijana wakishajua kusoma na kuandika Quran basi wanajikuta tyr wanajua kila Kitu, Mungu atusamehe buree
@NunuhAbdallah6 күн бұрын
aminaaa
@wazirikipanga3255 күн бұрын
Yn ww umetukan maashekh wetu woot shekh walid abubakr zuberi kaadh mziwanda na nk....ewallaah mwalimu wako kweli mwalimu bora na unashika masomo na kuyafanyiaa kaz hasaa mwalimu jaahuira mwanafunz kadhalika....
@gulamomar63946 күн бұрын
Wala hujutii bali unaogopa usalama wako tu😂
@Noorein-ws8wk6 күн бұрын
Alhamdulillah kama katubu na ndio inavyotaka dini ya kiislam kuomba radhi kila binadam hajakamilika ni vzr anae kosea ni wajibu kuomba radhi
@justinibrahim-x1u4 күн бұрын
Ulihitaji kuwa na hofu japo mlikuwa na faragha na group lenu, hata mkijificha allah anawaona,
@saidowsaidon46256 күн бұрын
Allah tusamehe sisi sote
@khamisjuma37606 күн бұрын
Bangi..mbaya
@Sanjar-y3c6 күн бұрын
HAWA WANAOSEMA HAWAWAPEND MASALAFY HAWA MASHIA MASHETAN NDIO WANAOSEMA
@salmaramadhan27256 күн бұрын
Nashukuru Mungu nimelithi uislam toka kwa mababu nauendeleza vilevile
@HajiAbdalla-vm2jr6 күн бұрын
Tumekataa
@PopoBawa-c1h4 күн бұрын
Tangia mda najuagatu masalafi awanaga akiri wanajiona wako sahihi Sana kuliko wenzake
@mhinaSudi6 күн бұрын
Aww,Daaaah,nimesikiliza maneno ya KASHFA ya huyo SARAF Ki-ukweli tamenikwaza sana kiasi kwamba jama ndio ungekuwa msimamo wao nisingekaa NIINGIE KATIKA MSIKITI WANAOS
@SwalehAliKasim6 күн бұрын
Sheikh hakuendi hvyo, tupe link ya hio clip ama uonyeshe full, mwanzo hata hakai kama Sufi, tunajijua tu Kwa appearance yetu Alhmdulilah, huyo hata ndevu Hana. Nipee link ya hio video niweze kusadiki maneno Yako . Afuwan
@bakarihussein4486Күн бұрын
Hivi uhabi ni nini? Mbona Waislamu tunashambuliana ? Kwani Pepo Ina ihitai waislamu wa aina gani? What I know kuwa Muislamu zingatia Quran na Sunnah only that .uhabi,usunni,ushafiii,uwanswari sio Muhimu mbele ya ALLAH S.W ,Tumeacha AGENDA MUHIMU Sasa tunajichanganya.
@Nabiilkhamis6 күн бұрын
Mm masalafi nawachukia sana na hatuwez kuwasamehe
@khamismohd52905 күн бұрын
Kilichokosekana ni busara tu
@khamismohd52905 күн бұрын
Kuomba radhi ni kawaida ya binaadamu alafu kukosea ni kawaida ya binaadamu acheni kulumbana watu wote wanafanya makosa
@AbdulHamid-wy1in5 күн бұрын
Ndio mwisho wa Mihemko.
@nurdinmfamau34937 күн бұрын
Huko Nikuonesha Uchache Naukomavu Wa Kiilmi Mwanafunzi Unawakashifu Watu Tena Masheikh
@zakiaramadhan-dd4bv6 күн бұрын
Hufai
@abdilahsalum39427 күн бұрын
Kwn alikuwa anaukwel gan
@criminalminds77236 күн бұрын
Ukweli unao ww
@TwahirBurhan6 күн бұрын
Kwa kuwa umeomba msamaha shekh na huo ndio uislam unavyotaka basi sisi twakusamehe
@eliudchowo39177 күн бұрын
Duh!
@NizarKhamis-n3d5 күн бұрын
Amuombe msamaha mwenyezi Mungu kwanza
@mzulwa20066 күн бұрын
Tatizo kubwa ni waandishi wetu hawachagui cha kupost kila habari wao ni habari ,mungu akulipe kheri kwa kuona baya ulilolifanya
@hamisibakari72712 күн бұрын
Mimi sijamsamehe huyo mjinga
@NunuhAbdallah6 күн бұрын
Nautakufa kinywa wazi www mbaaaa ww
@salehsaleh13056 күн бұрын
Usimuite mbwa
@SalmaMalikiMsikiti6 күн бұрын
Asalam alaykum huyu mtu alidhamiria sio kama amekosea maneno yake yanaonshesha amefikisha ujumbe Allah ampe kazi ya kufanya huyu mtu
@Jamila-c7k6 күн бұрын
Msamaha wa kinafk
@rashidiharoun41996 күн бұрын
Huyu anatakiwa Aje Hadharani Hizo Radhi alizoomba aombe Live bila Hivyo Hutaeleweka Endelea na Furaha Yako ya kufa sheikh na kipenzi Cha Waislamu wengi
@guugug9gt8296 күн бұрын
Mlaanifu mkubwaweeeeee mbo
@shamzone3886 күн бұрын
HATUKUSAMEHE MPAKA UTOKE HADHARANI TUKUONE UKIOMBA RADHI UNAOGOPA NINI KUOMEKANA NA WATU WOOTE MIMI BINAFSI UPANDE WANGU SIKUSAMEHE MPAKA TUKUONE
@kibindachangila79915 күн бұрын
Waislam tumefika huku kweli
@mohamedomari61296 күн бұрын
Nyama za wanazuoni zina sumu
@wazirikipanga3255 күн бұрын
Sie tumepokea msiba wa ndugu yetu tumemuhifadhi sheikh wetu naww tukn tuu potok tuu hatuna mpang na ww
@gyestudios2676 күн бұрын
ingekuwa mtume wetu anafurahia mtu akifa kafiri basi angewaua wengi ambao alishawazidi nguvu. Mcheni Allah nyie na tuwaombee dua wote tuwe na mwisho wenye kuridhiwa na Al-Rahman
@mzeerajab91546 күн бұрын
Kaomba radhi vipi hamjamsikiliza vizuri huyu alichoonesha ni kujichanganya tu na kuonesha unafik wake.
@salehamuhammad77656 күн бұрын
Hio ni radhi ya unafiki Na ukitaka radhi ya ukweli kwanza tubia kwa Alla na ni hakika uko katika njia ya batili na utakorejea kwa Alla na ukaifata njia ya Haki Alla atakusame bila hivyo toba kwa mwenendo wa upande ulio ni ngumu mno kutokana na itikadi chafu za upande huo. Alla akuonyeshe Haki na uifate.
@RashidAli-u5k8x4 күн бұрын
Wew nimwendawazimu muisilam hawezi kusherehekea kufa muisilam Bora wafe wendawazimu kamanyinyi kuliko kufa shekhe mwenye ilimu
@SAFIAFOMAR5 күн бұрын
Huo msamaha wake alivyo uomba sijaukubali binafsi. Eti niliongea kwenye group lakini sikujua kama yatatoka so yasingetoka asingejua kama kakosea au? Dini hailinganiwi kwa chuki wala kwa kulazimishwa tujifunze kutumia kauli nzuri.
@RamadhanBedui-so4bx2 күн бұрын
Badilika inatosha kuangamia kwa makosa ya elimu
@Chemba674 күн бұрын
Huyu bwege tunamnyooosha si mda mrefu sana.......kayakanyaga
@bimumaulid11717 күн бұрын
BANGI ZA TANDALE HIZO LZM UROPOKWE HASA UKIWA ANDAZI MOJA UGALI ALAGE
@MaulidiSufiani5 күн бұрын
Huyo sheikh alie mkashfu malehemu sheikhe Muhammad amekosea sana sana sana hayomaneno hata mwendawazimu hawezi kuongea kama alicho kiongea huo sio ustaarabi kabisa
@AshrafHakim-gq7jv6 күн бұрын
umemdhalilisha maiti so subiri mda una kuja .labda toba yako iwe ni ya sawsaw. ila kwa kumdhalilisha maiti alah ndiye ajuaye zaidi
@HusnaSalum-p1q6 күн бұрын
Kuna watu wameshika vitabu ila hawakusoma mmojawapo ni huyu na siajabu hana muda wakuishi kwenye dunia hii mm namuomba Mungu amlipe kwa hili
@jokhasaid4295 күн бұрын
Kabla hujafa hujaumbika jitambue
@Kijazi11325 күн бұрын
Hawa Ansari mawahabi ni watu hatari sana.. Sio waislamu walio nyooka wanatukwaza kwa kweli
@nakundwamkubwe78237 күн бұрын
Mimi ni muislam simsamehi.
@fatmafatu11286 күн бұрын
Mwisilaam gani usipo msamehe kwani wewe ndie mungu
@abushaddad9896 күн бұрын
Hujui Uislam , unauskia tu au wew ni shabiki tu basi
@KalicKaguz6 күн бұрын
Usisamehe we nani
@IbrahimuSaid-z7e6 күн бұрын
@@nakundwamkubwe7823 msamehe ndugu yangu kwasababu Allah s.w ni mwingi wa kusamehe hvyo huwenda kumsamehe ndugu yako ikawa sababu ya Allah kukusamehe madhambi yako
@mohamedsaid18046 күн бұрын
Allah ndie anatoa msamaha. Wewe hajakufanya kitu.
@JAFARISAIDI-u5q4 күн бұрын
Yaan shekhe umesoma dini lakin unaomba radhi tena kwenye vyombo vya habar huoniujinga tena hufai napia unafurahia kifo cha mwenzio huo niujinga.
@abdallahhalifa58606 күн бұрын
Allah Amrehemu Sheikh Muhammad Idi Wallahi zaidi yakujua ni Allah lkn huyu Sheikh ameutendea kazi Uwislamu na Allah atamlipa kwa kazi aliyoifanya na hawa majaahil mfano wa huyu Allah awaongoze coz maskini elimu yao Finyo vipi uombe Msamaha na wajua wazi uko kwenye Hakii ssa basi km nikusamehewa ngojea siku tukifufuliwa umuombe uliemkejeli na kumsengenya mpumbavu mkubwa wwe
@hamadKhamis-p6k6 күн бұрын
Mm nafsi yangu huyu shekhe ilikuw simjui nimemjua hapa alipokuf na nikamsikiliza shekhe mawaidha yake ni mazur sana na niliposikia kuwa Kuna watu wamefurahi kufa kwake aaah niliumia sanaa na mpk Leo hii nazid kuumia nafikia ata kulia kweli waislamu tumefikia hatua hii na wakat sote tunamfat ALLAH mmoja mtume wetu ni Muhammad rasulullahu sote sasa kwanini tunaish hivi na tunafanyiana haya inaumiza san
@KibwanasharifuSharifumohamedКүн бұрын
Hapana wewe utakaamilele endelea na shereheyako Allah akuzidishie nguvu
@HawaZubery-w8m5 күн бұрын
Illah akusamehe.ila umetukera mno mambo yenu.bakini nayo hukhuko yani ww usomeshwe na haohao na ww uwe unajua kuliko wao allah akupe funxo kidogo
@missamirajiiddy70776 күн бұрын
Mauti si jambo la kufurahia pindi linapo mkuta mmoja wetu. Umetufedhesha sana kama waislam
@TwahirBurhan6 күн бұрын
MIMI SIFURAHII JAMBO HILI LA KUFURAHIA KIFO CHA MTU,LKN HATA NYIE MLIOLIFIKISHA MMEKOSEA KUWAZUSHIA MASALAFI WOTE HALI YA KUWA NI JAMBO LA MTU MMOJA KWA KUGHAFILIKA.
@ShomariAthumani6 күн бұрын
Umekosea sana mjomba sasa kufa nisawasawa urikua nachuki Gani namalehemu
@abuuaminah5 күн бұрын
Masalafi sio ndugu zetu wao hutuona na kutuita washirikina,bali makafiri kwao ni bora kuliko sisi
@HassanDoza4 күн бұрын
Ss weye hufi muislamu mwenzio ah simuislamu ww
@mudinhomeshack90416 күн бұрын
Mm ni muislamu lkn sin dhehebu haya maswala ya madhehebu ndo yanatugawa sawa
@dainamickdady41376 күн бұрын
Mimi ni muislamu nasimama katka qalma zangu mbili tu
@iddyally-uw8tk6 күн бұрын
Mpuuzi kama huyo inaonyesha kashaa jibashiria pepo, MUNGU nimjuzi zaidi ngoja tumkabidhi kwake
@JumabJumamkuula5 күн бұрын
Kwahiyo kwenu ilikua ni srri dah
@saadasm67566 күн бұрын
MUOMBE MSAMAHA ALLAH , huyo mgonvi wk ndio kashaondoka na ww usijedhihakiwa,
@RajjMohamed4 күн бұрын
Wewe sio muislam tubu tubu
@ShamsiRashidi-ug7xx6 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@NunuhAbdallah6 күн бұрын
Huna akili ww muhabi wa wenzako wote mlioshirikiana nao pia huo muhemuko wenu mtaishi nao vizazi vyenu raha maisha nafuraha yamaisha ,maishani mwenu yote pia mlaaniwe
@SalmaSaid-fj5fq5 күн бұрын
Mdomo
@sabrysleiman51156 күн бұрын
Kwani nyinyi misalafy mnajiona tayar muko peponi ,mambuzi nyinyii,acheni ujinga ,mm kama rais wallah nakueka ndani mileleee
@azwarsele35816 күн бұрын
Sasa nimejua udhaifu wa masalafi
@KarimuIddy-w8x6 күн бұрын
Hata aombe radh ujumbe imeenda mbali
@KalicKaguz6 күн бұрын
Na kuomba Kwake msamaha pia kutaenda mbali kukoss ni ktk ubinasdamu
@abuuaisha61106 күн бұрын
Milango ya taoba bado iko wazi haijafungwa
@RamadhaniMohamedi-de2vc6 күн бұрын
Kwaiyo ww msalafi kauli hii ndio ya kumlingania mtu Insha Allah kama umeomba radhi mungu akusamehe ila sio vyema usirudie tena kufa twafa wote hekma ya Elimu kuvumiliana.