Majibu ya ostadh Shafi kwa Yussuf Diwani|Haleluya sio La ilaha illa llah|Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 49,633

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

Пікірлер: 416
@habibumohamed1543
@habibumohamed1543 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad Nassor bachu... Allah akulipe, watufundisha tunakuelewa sana
@shaabanikabwe3437
@shaabanikabwe3437 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Nassoro Bachu Allah akulipe kheri Unafanya kazi ya Allah ipasavyo Alhamdullilah Unaelimisha watu wengi sana na masheikh Njaa ni wengi sana siku hz Allah akupe subra tuu maana watu unao waelimisha ni wengi sana na masheikh wengi wapo kimaslahi sana ya dunia ndio maana wapo radhi kupindisha maneno ya Allah na mtume wake kwa sababu ya matumbo yao. Allah akuongezee ujuzi zaidi na zaidi.
@nehembajoh1524
@nehembajoh1524 Жыл бұрын
A a mohammed bachu ako sawa mashaAllah pambana na wao wanachezea dini ili wapate pesa kwa njia zote inallilahi waina illeyhi rajioun subhanaAllah
@aliabdulaziz7199
@aliabdulaziz7199 Жыл бұрын
I salute you, like father like his son. The problem of those who love innovation always being trapped up with new innovation creating by their ownselves by using their own little knowledge Allah bestow on them, but they don't know or they know but Allah knows what they are concealing in their hearts. To be honest to you, may Allah reward you abunduntly in this dunya and rise you in a high status too.walasawfa yu'tika rabbuka fatardhwaa. Assalamu Allaykum warahmatullahi wabarakatuh. Wajazzaka llahu kheyra sheikh Muhammad bachu.
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Muhamadu bachu muombe mngu sana hata ibada za usik Usiache kusimama allah akulinde manake unafiki ktk dini hutaki kusikia shehe wetu yupo hata mwalimu wangu ni mzuri sana anapigwa vita sehemu 2 answar wenzake na masufi kisa hataki batuli ichanganywe na haki
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 2 жыл бұрын
Nikumutukuza Allah tatizo mucristo anaamini mungu wawili watatu nakumutukuza ila muisilamu anaamini Mungu umoja nakumutukuza neno sio libaya ila unatukuza nini kuishinawasokuwa waisilamu kwa wema tusicanganye Imani impossible
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
Masha'Allah Sheikh Bachu umepambanua vyema. "Wala talibisu lihaqa bilibatwir wataktumuuna lihaqa wa antum taalamuna" Kwa vile walifanya kazi nzuri sikuilr ya kuipigania dini ya Mwenyezimungu basi tuwasamehe masheikh wetu hao bila shaka watatilia yakiini.
@badrumulinda7349
@badrumulinda7349 2 жыл бұрын
Naombeni namba ya sheikh Bachu
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 3 жыл бұрын
Alhamdulillaah Allaah Alinitoa katika usufi nikiwa na miaka 20. Allaah Amrahamu Sheikh Nassor Bachu alitutoa katika ujinga na kiza akatuonesha haqi tukaifata. Usufi umerejesha nyuma sana haqi na elimu ya kiislamu
@abdulgadiralahdal901
@abdulgadiralahdal901 Жыл бұрын
Wewe bado umjinga ndugu vipi utakua umeiona haki ?. Usufi hauchukuliwi kutoka mtu yoyote Yule bali unao wenyewe . Wewe bado ni mjinga tu wakawaida. Na kama unapinga hilo na una ubavu wa kupambana nijulishe kama upo tayari au huyo shekhe wako uone utakavyo umbuka hapa . Na subiri tangazo lako la utayari wako wewe au shekhe wako unae mtaka .
@mwanakombabasi5960
@mwanakombabasi5960 3 жыл бұрын
Shukran shekh mohammad upo sajihi hao wanaona kama wataishi daima ulimwenguni tumuogopeni Allah jamani duniani tunapita haki ipo wazi shukran sana jazakallahu kheir
@sarahhashim6298
@sarahhashim6298 2 жыл бұрын
Yani sheh nakupenda kwajili ya Allah jamani mungu akulinde na hasad
@khadjahakamali1979
@khadjahakamali1979 3 жыл бұрын
SubhanaAllah, ukweli umethihirika,Muhammad Nassor Bachu Allah akuzidishie elmu, umri na kuendelea kuwasaidia ndugu zako waisilamu wenye elmu ndogo wasipotoshwe na watu wasio na elmu
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 3 жыл бұрын
MashaALLAH Sheikh wetu
@kosemraul3419
@kosemraul3419 3 жыл бұрын
Maasha Allah. M/Mungu akuhifadhi sheikh Bachu.
@rufeaomar9425
@rufeaomar9425 2 жыл бұрын
@rufeaomar9425
@rufeaomar9425 2 жыл бұрын
@rufeaomar9425
@rufeaomar9425 2 жыл бұрын
9
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 2 жыл бұрын
Alhamdullillah hakhi imeshinda hakika kauli za diwani na wenzake zilitufedhehesha sana, yule Alhad inawezekani ni wakala wa dini mseto tuwe naye makini atatuvuruga waislamu. Allah akuhifadhi shekh Muhammad Bachu akupe kila la kheri katika hakhi yake.
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 2 жыл бұрын
Umeongea point kaka
@khalphanialbano4720
@khalphanialbano4720 3 жыл бұрын
ALLAH AKUPE YALIO MEMA, HAKIKA ELMU NI BAHALI, WASOMESHE HAO TATIZO LAO ELIMU HAWANA.
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 3 жыл бұрын
Shukrani tunanufaika sana Mwalimu kwa elimu yako Mwenyezi Mungu akulinde.
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
@salemshaban2413
@salemshaban2413 3 жыл бұрын
MashaAllah sheikh wetu bachu
@ismailkalimbo2993
@ismailkalimbo2993 3 жыл бұрын
Muhammad Bachu mimi huwa nakuskiza sana lakini kwa hili nakupinga. Kama kuna kosa wamefanya kuna taratibu za kufata, waite kando mupeane nasaha kuhusu hilo jambo. Mimi nampenda sana Sheikh Shafi kwa ile kazi yeye na wenzake kina Mazinge wanayo ifanya, we unaona kuitetea Dini ya ALLAH mchezo?? Wenzako wanajadiliana na makafiri kuwalingania katika uislamu, we unawakosoa.
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 жыл бұрын
Sheikh bachu Allah akulipe, hawa jamaa ni wanazuoni waovu wanawafurahisha watawala na masheikh waovu kukunja aya, waweke sawa usichoke.
@allymanyika3502
@allymanyika3502 3 жыл бұрын
Allah akulipe sheikh wetu kwa msimamo wako madhubuti wa kutokua mwoga wa kuwasema masheikh wapotoshaji wa dini yetu tukufu
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah mnatutia wasiwasi mashekhe tufuate nani kama nyinyi mashekhe hamna hakika mungu a wasamehe naatusamehe nasisi tunaomisikiliza ameen
@saidlucas1216
@saidlucas1216 3 жыл бұрын
Nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah 💓
@majaliwandoriyobija9864
@majaliwandoriyobija9864 3 жыл бұрын
Una weza kuni patishiya number za Sheikh wetu huyu
@majaliwandoriyobija9864
@majaliwandoriyobija9864 3 жыл бұрын
As Salam Alayikum Warah Matullahi Wabarakatuh
@majaliwandoriyobija9864
@majaliwandoriyobija9864 3 жыл бұрын
Nina ku ombeni, yeyote atakaye kuwa na number za Sheikh wetu Muhammed Nasor Bachu, basi uta agiziye nazo hapa
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Haleluya haleluya haleluja jina la mwenyezi mungu lipewe sifa na adhama:
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Жыл бұрын
No No. No
@imammwangauri9326
@imammwangauri9326 Жыл бұрын
Kaka Nasoro Bachu mungu akueke inshaallah ukweli utabaki kuwa ukweli tu mungu akuifadhi sheikh
@dullahpasha9550
@dullahpasha9550 3 жыл бұрын
Allah katuondoshea shekh nasor bachu katuekea bachu mdgo basi kazi iaendeaa haki haikai na batili
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 3 жыл бұрын
Maji na Mafuta Hayawezi changanyika yachemshwe au yasichemshwe. Haki inaonekana tu, na wapotoshaji wanaonekana. Jazaaka Allaahu Khyra. Allaah 'Azza wa Jalla akujaalie Umri Mrefu wenye Faida, Aamiyn.
@binthamoudshariff5492
@binthamoudshariff5492 3 жыл бұрын
Subhanallah Allah atusameh atupe toba nasuha na kila anaekosea Allah amuongoze shekh
@kassimbitogwa6992
@kassimbitogwa6992 3 жыл бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema ndugu Bachu
@almastoyi3549
@almastoyi3549 3 жыл бұрын
As salaam 'aleykum warahmatullaahi wabarakatu Ost Mohammed Mimi ni Ost Sha'aban nipo Kigoma Tz tunakuombea kwa Allah mtukufu Akuzdishie 'Ilim na Hekma ktk njia hii ya haqqi nakuusia subra juu ya yanayoweza kukufika, unaizungumza haqq mbele ya kiongozi fasiq/dhwalim... JazakaLLaah.
@sulesumry9766
@sulesumry9766 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah shekh bachu wataelewa tu
@mohammedsalim7051
@mohammedsalim7051 3 жыл бұрын
Mimi naipenda dini yangu na nawapenda waislamu wote answer sunna na hata waahlisunna waljamaa kikubwa kwangu ni kuwaombea sana mashehe wetu wote waelewane wawe kitu kimoja
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 3 жыл бұрын
In Shaa Allah
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
She bachu we usipate tabu ujumbe umefika naukweli ushajuulikana hao wanajikoroga tu kwakulinda ugali
@rekhaakashimhdrrr8740
@rekhaakashimhdrrr8740 3 жыл бұрын
Hata na mimi sikubali ani nao muislam si vizuri kusema aleyuya allah anatukuzwa na takibhir n.k hao wanakula na selikari
@adilihassan8455
@adilihassan8455 3 жыл бұрын
Hongera sheikh,fata mwenendo wa babako,uko sawa kabisa,wao watapambana n Allah kiama,hawatakwepa
@mwanakomboomary7609
@mwanakomboomary7609 2 жыл бұрын
Naona Aibu Sana Ebu fataneneni muuelimishane Ila haya ya hadharani sijapenda maana mwawapa faida Wasiokuwa Waislaam tusitiriane Amani itawale
@faisalmazrooei8720
@faisalmazrooei8720 3 жыл бұрын
Thumbs-up Sheikh Mohammed Bachu. Allah akujaalie kila la kher. Keep up the good work. Allah Maak InshaAllah
@abuuyusufamashi8560
@abuuyusufamashi8560 2 жыл бұрын
Kumtukuza na laailaah,ni maneno mawili tofauti,acha upumbavu
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿My love brother Muhammad Nassor,mimi niko mbali na Visiwa nyetu tena kwa miaka mingi amshukuru Allah alitojukulia Maalim Nassor akatuletea wewe mtoto Allah akuhifadhi,wew usipate tabu nimefuatilia kitu kimoja kuhusu Watanganyika wana tabia ya ujuwaji wa kitu wasichokijua halafu vile vile wana tabia ya kupindisha maneno sawa¿hata yule kafiri wa kitanganyika Palamaganda Kabudi analo lizungumza Leo kesho anakua keshalosahau sawa¿thanks
@abubakarkassanura3515
@abubakarkassanura3515 3 жыл бұрын
Waalaykumu salaam warahmatullah wabarakaatu!! Ondoa neno watanganyika , zungumza waislamu wengi
@masjidluqmaan2844
@masjidluqmaan2844 3 жыл бұрын
Allah akuifadhi ukosahihi kabisa Muhammad nasolo bachu
@littoraider7604
@littoraider7604 3 жыл бұрын
Usiseme watanganyika sema angalau (BAADHI YA WAISLAAMU KUTOKA TANGANYIKA)
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
@@littoraider7604 kweli, sote sisi waislamu
@i.dclassic116
@i.dclassic116 3 жыл бұрын
Asalam alaykum unajipatia madhambi unawazungumzia watu
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad safi sana 🙌
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
mimi siku xote nafahamu neno Alleluyaa ktk experience yangu nnavyowaona wenyewe wanatumia naelewa kuwa wanakusudia Mungu ni mkubwa . nna marafiki wengi wakristo , wanigeria, n.k wanapenda kulitumia zaidi ukiwapa good news .
@swalehhamid-zn5hf
@swalehhamid-zn5hf Жыл бұрын
Wewe Bachu unashida sana ushindani wako hautufaidishi chochote
@saiditara7235
@saiditara7235 3 жыл бұрын
Bado Allah atawaleta na wengine kutoka kwao waje upande wako kwa kuthibitisha hayo, hata kama wanabambanya bambanya, we vumilia katika haki.
@saidomar1408
@saidomar1408 3 жыл бұрын
Allah akulipe kheri sheikh Muhammad Bachu
@mirajihamza2892
@mirajihamza2892 Жыл бұрын
Mashaalah muhammadi Bachu fanya kazi ya mungu
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 3 жыл бұрын
Njaa baba njaaa mbaya sana
@rahmazahormohd3339
@rahmazahormohd3339 2 жыл бұрын
Sub hana Allah awa watu mungu anawaona shekh muhammed nasor Allah akusimamie juu ya hilo akupe nguvu na hekma uzidi kutuelimisha
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 жыл бұрын
shafii nae hajui jambo mpuuzi tuu
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Shukran kwa maelezo. Allah awarudishe njiani waliopotoka
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 Жыл бұрын
Muhammad Bachu sheikh tunashukuru umetufafanulia vizurii.
@hussnasaad7503
@hussnasaad7503 3 жыл бұрын
subhana Allah, Ni kweli kila kitu kiko wazi.. wasi kuchokeshe akili hao bado watarudi tena🤣 shekh muhammad.. endelea kutufundisha Allah akuhifadhi yaa rabb.
@mahreztz8280
@mahreztz8280 Жыл бұрын
KIJANA NINAYEMKUBALI SHEIKH MUHAMMAD BACHU
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp 3 жыл бұрын
🤲الله akuhifadhi kwa hili mwalimu
@ibrahimrashid951
@ibrahimrashid951 Жыл бұрын
zanzibar hamuwawezi zamani madnatulelmu katoto kadogo kanakuumbuweni pumbavuu bachu yupo sawaa alhamdlilah
@jamalkishangu
@jamalkishangu 9 күн бұрын
Uwe na adabu hao ni wanazuoni waache wasuguane ili tupate faida. Kwani huwezi kutoa maoni bila kutukana? Mche Mungu.
@sufianiissa6334
@sufianiissa6334 2 жыл бұрын
Kwakweli hatuwezi kufika ostadhi shafii kawa muongo
@cideboy4676
@cideboy4676 3 жыл бұрын
Haqqi inajionyesha yenyewe ALHAD MUSA na mwenzako sheikh diwan Muogopeni Allah
@mwanakombabasi5960
@mwanakombabasi5960 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@allymkorogo1984
@allymkorogo1984 3 жыл бұрын
Nyinyi masheikh ugali mnawayumbisha waislam kwa njaa zenu mungu akuzidishie katika mema sheikh bachu
@abuuimraanazenjibar2490
@abuuimraanazenjibar2490 2 жыл бұрын
Subhanallah yani anajipendekeza kwa mashahidi na manaswara kwaajili ya dunia
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu Muhammad bachu Mungu akuhifadhi daima inshaallah..kutoka kenya khadija said Nahdi mld
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu uko sawa hao njaa mbaya sana
@allymuhamed7295
@allymuhamed7295 3 жыл бұрын
muhammad bachu Allah akupe hifadhi mastura. Hawa masheikh wengine hawa wanaongea ili wapete maslahi ya kidunia. Labda yeye ndiye hakumuelewa. Hawa masheikh wafuasi wa bakwata wana kiza kizito.
@mustafamsamba6849
@mustafamsamba6849 2 жыл бұрын
Sheh bachu upo vizuri na unaeleweka vizuri
@aliujendo
@aliujendo 3 жыл бұрын
Hao mashekhe wapo kidunia sana wame acha khofu ya Allah
@mummy-qg6tt
@mummy-qg6tt 2 жыл бұрын
INNA LILAH WA INNA ILEH RAJIUN Huo ni msiba mkubwa kuona mwislam akijipendekeza kwa makafir
@mbarakalwahebi4094
@mbarakalwahebi4094 Жыл бұрын
Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin yaaraab Amin shukran Sana mashaalhaah alhaamdulilaah waaanafki weengi na maaslaahi wengine wanataka vyeeo siyo Pepo firdoos ya mungu unaafki haasa Sisi waisaam subhaanaalhaah
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Shafi umesema UWONGO. Sote tunajuwa Kiswahili, clips za AlHadi bado zipo kwenye You Tube. Musitufanye wapumbavu. Mutajibu kwa Allah siku ya Qiyama kuwapotosha Waislamu.
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Haruna Hawa ni masufi nyinyi hamtaki kusikiliza habari za makundi masufi ni watu walopinda usione wanawatukana watu wa Sunnah ukaghururika na matusi yao hawa woooooooote masuufiii ni wapotevuuu wao na viongozi wao.
@mikonomisafi9344
@mikonomisafi9344 3 жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 Wanasikitisha sana, yani wanapindisha ukweli sijui kwa faida ya nani?
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 3 жыл бұрын
watakiwA mawahabi waende sudi.arebya mukanwe pombe hakuna tena pesa wa mewacha uwahabi
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anatupoteza yupo sana kiserikali
@tatujuma8781
@tatujuma8781 2 жыл бұрын
Wallahi masheikh mwatuchanganya sana
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
Unatiwa wasi wasi gani muongozo wako kwani huujui na kama hiujui fuata wakina mama na ukaijue kuisoma qur an na hukmu zake
@mohammedhamad5297
@mohammedhamad5297 Жыл бұрын
Kuna waisilamu majina tuu muongozo wako ni Qur an
@kamikazifuraha8722
@kamikazifuraha8722 Жыл бұрын
ALLAH akulip kheri,ila tu hat ukiwatazama tu waonekana waongo sana yani wanapamba pamba maneno yakijinga ALLAH anawasubir kwahuy unafki hata aibu kwa MOLA hamuoni
@moasitymemo9894
@moasitymemo9894 3 жыл бұрын
Shekhe wetu الله akuhifadhi shekhe alhadi muongope الله
@ramadhanabdallah9476
@ramadhanabdallah9476 2 жыл бұрын
Bigap Muhammad nassor ALLAH akulipe kheri duniani na aakhera
@fatmasaloum1821
@fatmasaloum1821 3 жыл бұрын
Haki siku zote haichanganyiki na baatwil sasa kila mwenye akili zake timamu ashajua maana ya kufuata sunnah na kitabu vizuri na sio kuropokwa tu hiyo ndio tabia ya masufi ushindani uropokaji na upotoshaji.Allah awaongoze kwenye nuru, Amiin
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 3 жыл бұрын
Safi sana sheikh Mohammed bachu, tayari wamesha kuelewa haooo
@eddieross2581
@eddieross2581 Жыл бұрын
Wallahi njaa mbaya sana
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 3 жыл бұрын
MashaAllah
@bigboss1192
@bigboss1192 3 жыл бұрын
Mashekh wa bakwata bahna wanaleta njaa kweli kwenye dini
@alimakame9215
@alimakame9215 2 жыл бұрын
Mashehe wa bara hawaaminiki wapo kwa ajili ya pesatu.
@kuambianakassimu4993
@kuambianakassimu4993 2 жыл бұрын
Duh hii nihatar 0stadh shaf wakutetea Mambo haya!!
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 жыл бұрын
shafii haelewi anachokisema
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Sheikh anaponukuu uongo kwa makusudi sijui kama anasaidia kutetea jambo Gani, hili linakutoa katika Heshima yako
@mkunjufu_himself
@mkunjufu_himself 3 жыл бұрын
Allah amsamehe sheikh shafi
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Mkunjufu nani kakwambia shafi ni shekhe ?? acheni kuudhalilisha uislam muhuni kaongea tu mnamuita shekhe anakua mjinga mjinga hawa wajinga wajinga wenu mkome kuwaita mashekhe mnaitukanisha dini .
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 3 жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 kwani sheikh ni nani?ukijua maan ya sheikh hata ww unaweza kuwa sheikh
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
@@abdulrazakhassanor498 Unaongea maneno ya kwenye bao na karata nhe ?? Shekhe ina maana ya kilugha na kisheria kilugha ni mzee kisheria ni mtu mwenye elim ya Dini inayoweza kufutu mas ala kwa uhakika . Sasa unatakiwa utambue uko kufutu mambo kwa uhakika sio jambo la kukurupuka kama hiv leo unavyoliona linafanyika hpn lina misingi na dhwabiti maalum.
@yahyasix9025
@yahyasix9025 3 жыл бұрын
Allah SW atuzidishie elimu. Chema huzaa chema.
@hamidakeissy3235
@hamidakeissy3235 2 жыл бұрын
Hao mashekh n njaa wanaziendekeza sn mara kweny siasa bc n shida tupu din ya kiislam imekamilika
@IbrahimNtirenganya
@IbrahimNtirenganya 3 ай бұрын
Masufi niwaongo sana Allah awaongoze
@fundimsati4026
@fundimsati4026 3 жыл бұрын
Namuomba ALLAH awakinge na mitihani hii mliofikia sasa
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 2 жыл бұрын
Mohamad bachu uko vizur. Umetumia pia busara kulisemea hili
@abubakarngao6549
@abubakarngao6549 2 жыл бұрын
Masheikh munatuaibisha waislam bana kwasababu masheik wengi sikuizi hamna nidhamu afadhali ata wenye hawajasoma sai wallah mnauaibisha Uislam masheikh hebu jirudini na mtazame niwapi mlipopakoseaa kisha mjirekebishe masheikh zangu
@mummy-qg6tt
@mummy-qg6tt 2 жыл бұрын
Shukran
@sabihamakami3720
@sabihamakami3720 3 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu Allah akupe kher zaid
@abdulqaadrilaurian3700
@abdulqaadrilaurian3700 Жыл бұрын
Sheikh Ally uko sawa kweli
@maryamaa2331
@maryamaa2331 2 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie ujunzi zaidi mwanangu
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 3 жыл бұрын
Alhamdulillah haki imeonekana na Shari imeonekana kila mteteaji anakuja kujigongagonga
@nassormuyugumbi2932
@nassormuyugumbi2932 3 жыл бұрын
Dini sio ushabiki, bali nikufahamishana kwa hekma na mawaidha mazuri, binafsi yangu kwa maneno uliyoandika nakuona umepitwa na wakati sijui we unasemaje
@zahorsuleyman3429
@zahorsuleyman3429 3 жыл бұрын
@@nassormuyugumbi2932 hayapitwa kabisa umesema hayo kw utashi wako tu si ndio
@abusultanzimbawy501
@abusultanzimbawy501 3 жыл бұрын
Ss tunakuelewa Sheikh wetu wala usirudi nyuma toa elimu KWA imma Allah akulipe
@rekhaakashimhdrrr8740
@rekhaakashimhdrrr8740 3 жыл бұрын
Wanachapisha vitabu vyao ili kujitafutia rizki wasituharibie vizazi vyetu vya sasahivi bora kiama kije uongo umekithiri
@YousofShaamal-bt3br
@YousofShaamal-bt3br Жыл бұрын
uposahihi ustaz
@babazungu3180
@babazungu3180 2 жыл бұрын
Dah njaa mbaya sana.sijui tunashindwa wapi waislam
@mohamedhaji5931
@mohamedhaji5931 3 жыл бұрын
Hakki haikaliwi chini siku zote itakuwa juu tu mashallah Allah akuhifadhi
@issanasir3583
@issanasir3583 Жыл бұрын
Bachou yupo sahihi Hawa wauza sawaa matapel Hadi maneno
@edhaomar2853
@edhaomar2853 Жыл бұрын
Kwa hili bachu uko sawa
@rezikomer9552
@rezikomer9552 2 жыл бұрын
Sheh bachu usitoweyane makosa mitandaoni toweyaneni ma kosa kikaoni pamoja mitatandaonisisawa mwakashifiyanamitandaoni sisawa mtachekwa na umah nakuchukiza umah nyinyi viongozi kuwekana chini ndiyo sawa
@cholomonmedia2199
@cholomonmedia2199 3 жыл бұрын
Maashaallah wakirejea tena ucwaache mpaka wanyamaze ili sisi ambao elimu yetu ndogo tupate kuelimika
@faylafood756
@faylafood756 2 жыл бұрын
Ustadh unakosea dini haitufundishi hivyo ulipaswa kumfuata mkaelewana baada ya hapo yeye mwenyewe ndio atatengua maneno hayo, wala sio wewe utazame usije pata mwisho mbaya, mwenyezi mungu ailaze Roho ya Mzee Nassor Bachu Mahala pazuri
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 жыл бұрын
Jazaka allah kyhra
SHOGA ANAFUNGA RAMADHANI NA ANASWALI HUU NI MSIBA //SHEIKH KIPOZEO
11:12
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 53 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
#MASUFI UFUNGUZI WA RUDUU KWA #MAKHURAFI || Muhammad Bachu || 14 September 2024
1:14:23
Jawabu letu kwa Kijana huyu|Muhammad Bachu
10:05
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 23 М.
DINI IMEVAMIWA HII NI DALILI YA KIYAMA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
38:40
arkas online tv
Рет қаралды 10 М.
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY | SEHEMU YA PILI | Muhammad Bachu
1:13:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 15 М.
Muhammad Bachu HUU NI USHIRIKINA WA WAZI KATIKA KITABU CHA BARZANJI
43:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 34 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 53 МЛН