No video

SHOGA ANAFUNGA RAMADHANI NA ANASWALI HUU NI MSIBA //SHEIKH KIPOZEO

  Рет қаралды 29,201

arkas online tv

arkas online tv

Жыл бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 28
@hovsback1405
@hovsback1405 Жыл бұрын
Am a Christian but napenda mafunzo ya sheikh Kipozeo
@partnersah8802
@partnersah8802 Жыл бұрын
Me too
@OmaryTemambele-yf7og
@OmaryTemambele-yf7og Жыл бұрын
Moffut assalaam aleykum mollah mattulah wabarakat,tunakutakia heri shekhe mungu akupe wepesi nasi waislam wa robanda Serengeti nasi tupate kuswali inshallah
@sofiasalimchengo3922
@sofiasalimchengo3922 Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤ wishing all Muslims Ramadhan Kareem wa swaumul maqbul inshaallah
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
🤝🤲
@abdab8466
@abdab8466 Жыл бұрын
Sioni kuna ubaya shoga anafunga na kuswali pengine huenda ikawa ni hidaya sababu hamna dhambi kubwa kama kumshirikisha mwenye zimungu, Allah ashasema akitaka kuongoza watu wote si kazi kwake
@abdallahyunus7538
@abdallahyunus7538 Жыл бұрын
Ni sawa lakini katika kufunga pia kurekebishana ni muhimu
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Жыл бұрын
Ni Kweli Kabisa, humo tupitapo kwa wanazuoni kuokota Ilmu, huwa twaonywa kuwapangia watu pepo na Jahanam na hutupa mifano kabisa kuwa kuna watu duniani walikuwa wabaya sana lakini kwa wema mdogo tu wakaipata pepo na wengine walikuwa wema lakini kwa ubaya mdogo tu wakaenda Jahanam, sasa kisha kosa kwa kufanya ushoga, basi aendeleze makosa kwa kuacha kusali na kufunga?? Allah ya Alam, yeye ndie ajuae wa pepo na Jahanam, Masheikh wetu tuombeeni duaaa, tusilaniane. Allah awazidishie kheri Masheikh wetu nasi maamuma atuzindue. Ameen
@babaomi5453
@babaomi5453 4 ай бұрын
Je Ndio Anshaacha Huo USHOGA..Kama Baada Ya Ramadhan Ataendelea Na USHOGAHuyo Hana Chochote Kashinda Njaa Tu.
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@babaomi5453 mambo mengine tumuachieni Mungu,kuna watu huanza vibaya mwisho wao ukawa mwema,na vise versa,mbona masheikh hawa hawa msikiti ulipojengwa kwa pesa za anasa na kufunguliwa kwa anasa hawasemi ni msiba
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
@@babaomi5453 watu Wenda kufungua msikiti kwa rusha roho ,fikiria
@rasrizzy_g7856
@rasrizzy_g7856 Жыл бұрын
Mola ambariki shekhe #KIPOOZEO
@rasrizzy_g7856
@rasrizzy_g7856 Жыл бұрын
Mufti wetu mppya nampenda kwaajili ya ALLAH sw...
@mohamedhafidh9012
@mohamedhafidh9012 Жыл бұрын
Nice Sh . Kipozeo salute.
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 Жыл бұрын
Jazakallahu khaira ya sheikh
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Kipozeo naoan ndugu chalusha takua una kipulizaa vizrr baba kuku bali sana chenyew icho 👊👊
@uthaymgalax181
@uthaymgalax181 4 ай бұрын
Anapuliza cha Chuga🤔🤔🤔🤔
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Maashaallah
@alitsama-xk6rr
@alitsama-xk6rr Жыл бұрын
Mashallah
@OmaryTemambele-yf7og
@OmaryTemambele-yf7og Жыл бұрын
Kwan nyumba ya ibada mtihani shekhe,hivyo tunahotaji changizo!!!
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
SIO YA KUCHEKA HAYOO WALA SIO.MAZURI,KUNA DHAMBI ZINAKUJA HATA KWA MWENYE KUSHANGILIA,KUYACHEKEA
@Jonas-kk4bh
@Jonas-kk4bh Жыл бұрын
TANZANIA WAPO WENGI TU CHA AJABU SELIKALI WANAWAJUA NA MPAKA WANANCHI WENYEWE WANAWAJUA WANAWACHEKEA TANZANIA NCHI YA SARA
@rasrizzy_g7856
@rasrizzy_g7856 Жыл бұрын
Suala la ushoga linahitaji tuliwekee sheria mpya jaman..wanazidi kushika kasi hawa wahuni nwa wanazidi kuharibu vizazi vya leo
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Kwanza tuanza na mabasha
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Shoga afunge nini wakati mwenyewe kalaaniwamtu alolaaniwa anafunga
@abushirymzee6515
@abushirymzee6515 Жыл бұрын
Soma vzuri kilichoandikwa hapo
@MohamedHasan-kt4lw
@MohamedHasan-kt4lw Жыл бұрын
Mambo yote haya ni kuwa Sisi waislam hatutaki kuafuta mafundisho ya dini yetu, juu kila kitu Mungu katueleza hukmu ya MTU shonga nkuuwawa Leo hii cc maneno mengi tu ya uoga
VIJANA WA K/KOO HAWANA HESHIMA //SHEIKH KIPOZEO
28:50
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
Shekh Kipozeo Kamfungukia WEMA SEPETU Bila Uoga
16:37
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 337 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 7 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 34 МЛН
KHUTBA YA IJUMAA KISA CHA MWALIMU ALIYELIPWA FADHILA
29:01
arkas online tv
Рет қаралды 1,8 М.
UKIANGALIA MIZIGO MWEZI WA RAMADHANI FUNGA YAKO INAENDA BURE
16:26
Wasafi Media
Рет қаралды 16 М.
KISA CHA KIJANA TAJIRI NA MASKINI SHEIKH KIPOZEO
18:14
arkas online tv
Рет қаралды 9 М.
Kuzidisha juhudi za Ibada katika hii miezi Mitukufu. Sh. Kipozeo.
1:06:37
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 70 М.
BAADA YA MAUTI - SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:21:20
Arahman Tv Online
Рет қаралды 127 М.
IBILISI NI MSHENZI TU //SHEIKH KIPOZEO
19:11
arkas online tv
Рет қаралды 86 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН