Barikiwa sana William Yilima kwa nyimbo zako,nahisi kubarikiwa zaidi..kwa kweli nehema ya mungu yanitosha
@mariamamour6425 жыл бұрын
kama unaamini mungu ni mwema gonga kalik twende pamoja +254
@MorrisGitonga-ff7op9 ай бұрын
hakika mungu ni mwema kila wakati na barikiwa sana na William yilima
@Daiziey-l4w4 ай бұрын
Kweli Mungu yu mwema wakuu,,,ni mbali tumetoka bila kulipa chochote
@agnesnyaboke-ex6lxАй бұрын
Mungu n mwema kweli masiku tu tufike 2025🎉🎉🎉🎉🎉
@paulmusua Жыл бұрын
Unitia guvu wimbo huu❤
@paulinewanjiru18304 жыл бұрын
Nikiwa down huwa nasikiza hii wimbo ......napatwa na nguvu
@benteratieno49743 жыл бұрын
Nyimbo poa sana,sichoki usikiliza Kila xiku
@Amospius-r3y2 ай бұрын
waimbaji wa nyimbo hizi hususani za zamani huwa mnaibariki sana ni jambo jema kama nyimbo hizi huwa mnazitendea haki ,namaniisha huwa mnatenda dhambi kwa bht mbaya ,kama mnaziishi basi mungu wa mbinguni awabariki sana ila kama huwa hamziishi mko kipesa zaidi basi hazina maana!
@JosephOmuse-y6vАй бұрын
Yilima amegonga ndipo kwa nyimbo zake.nyimbo zake zinabarikisha sana .kutoka Kenya........
@MondesWilson-jr7rr Жыл бұрын
Napennda nyimbo zako mm sinabarik sana siwez pita ziku sija sikiza kabsa 💜💜💜
@gracemwasenga47624 жыл бұрын
Wanyiha mko wap mshangilien mwenzenu ,,,nimefurahi saaana wanyiha na kinyiha chetu tunaweza bwana kila laheri best yirima
@cheronoJoyce-w6v2 ай бұрын
Neema ya mungu inanitosha, Amen
@achienomarylyne70102 жыл бұрын
Hakika Mungu ni Mwema.....wema na Fadhili zake zanifuata. Neema yake pekee yanitosha. Barikiwa Br. William
@victoryfavour63523 жыл бұрын
Mungu ni mwema,, can't stop listening to this song upto this date,,,2021,Wema na fadhili zake yanifuata🇰🇪🇰🇪❤️
@Ibrahim-s4t4 ай бұрын
Be blessed servant of God,u are blessing to me,Ur songs bless me every day,,, 🙏🙏🙏.
@kirantokimorgo98404 жыл бұрын
Please allow us download your songs and keep them offline , your songs have inspirational message
@sergeniyirera48634 жыл бұрын
Kwakweli mungu nimwema mimi numurundi nyimbo za KO tunazisikiriza sana enderea kumtumikia mng Katibu kase ingo iwacu kwetu burundi
@raphaelmugho94662 жыл бұрын
When God healed me a terrible disease, he gave me this song....when you sing it in faith you will heal...
@antonydennis165 Жыл бұрын
I like her song
@marymuthangya49502 жыл бұрын
Have been crin but now Mungu ni mwema anastahili sifa zote ,,,,,for crying soul pray he is faithful God
@YvetteMugeni254 Жыл бұрын
More Blessings Mtumishi Yilima,,,Your Songs Are So Motivating And Encouraging,,Much Love From Kenya 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@teachermosota217111 ай бұрын
Imagine this the first time I'm listening to this Song. I think God has a reason why now
@Jonathan-sy1ct9 ай бұрын
Mungu akubariki Na waimbaji Na Familia zenu sikumoja muje Chita kolombelo morogoro muhubiri kwa nyimbo nzuri hizi amen
@janekarisa32543 ай бұрын
Nmwema mungu kilawajati❤
@eddynando25222 жыл бұрын
Song on repeat mode.... Umulungu Mwinza
@PriscahAtieno-cd4pm9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji wakati mawazo inanikumba nyimbo zako hunitia nfuvu❤
@kipkiruievans51884 жыл бұрын
Mungu akubariki ndugu ,nyimbo zako hunitia nguvu na kunipa motisha maishani mwangu.
@lukatarus3146 Жыл бұрын
❤
@ronaldoledama10075 жыл бұрын
I am blessed with this song listening from Nairobi Kenya. God bless you all shalom. Nice song live long life in Jesus name.
@ahmadabufuaim65365 жыл бұрын
Amen
@noellacadeau19604 жыл бұрын
Ahmad Abu Fuaim m P mi ueajdjjxdhhdhueie AZzz
@anthonychanda56202 жыл бұрын
What a wonderful song,iam blessed here in zambia
@MathaMasakhwe-qd4xb Жыл бұрын
Amen mungu nimwema ubarikiwe sana William yilima ubàrìkiwe sana. NYIMBO zako zanitia nguvu sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼🧎🏼
@olenkukuu16663 жыл бұрын
Hadi Leo 06/12/2021.mungu wangu ni mwema, hata tunapotamatisha Mwaka wa 2021 . wema na Fadhili zake yanitosha Amen
@damarisrutoh68682 жыл бұрын
Akh pastor nyimbo zako zinanipeanga Moyo Tu 🙏 ya kuishi nikiwa na udhaifu hunitia nguvu 😭 from Kenya me
@MercyjoanJelagat6 ай бұрын
Mungu ni mwema hakika,I hope one day I can meet you mtumishi,tufanye collabo moja,pia mimi ni mwimbaji,ukija Kenya ntakutafta
@faithmutheu31193 жыл бұрын
Neema ya Mungu yanitosha
@amaokobobob26282 жыл бұрын
Indeed gospel has no border right from Arua Uganda
@nancyrotich28335 жыл бұрын
Your songs give me strength when am passing through pain in my life amen pastor wiliam....
@jamessololo25132 жыл бұрын
The we were we run 44 try ECT fun ddcvgggggcggcc I
@shilahkogo67823 жыл бұрын
all the way from Kenya,Blessed and touched by this song so much your songs are so touching be blessed in the mighty name of jesus..
@Gracemutheu-f6c11 күн бұрын
Neema yanitosha Wimbo ninaupenda zaidi mtumishi
@janekalea Жыл бұрын
Baba wetu ulie njuu mbinguni Wabariki wachungaaji wako In the name of Jesus Christ Amen
@annekaranja13012 жыл бұрын
Beautiful praise..God's goodness and mercies follow me always. I'm praising along from Kenya.
@theunreportedculture48285 жыл бұрын
wow wow wow wow wow wow,,,,,I can't stop listening to this,, Mungu ni mweeeeeena,,,wow,,,2019 likes ziko?
@stephenmnkeni1949Ай бұрын
NanI Kama Yesu barikiwa mtumishi songa mbele
@EliphazNimbona-jx3nr Жыл бұрын
Hâta Mimi Nimbona Eliphaz nakuombea Muimbaji huyu bwana William ili Mwenyezi Mungu amubariki
@MOJASAUMUАй бұрын
Napenda huu wimbo...it reminds us to be ready and do the right things at the specific time before it's too late.
@preccypressy22265 жыл бұрын
Nitaziimba fadhili zake katikati ya matanga Nitayasimulia matendo yake mungu katika kizazi changu Oo, nabarikiwa sana, jinsi unavyo mchezea muumba wako❤❤💪
@millicentkimlat68334 жыл бұрын
Q1
@LucasLucas-sq3bc4 жыл бұрын
NITAZIIMBA FADHILI ZAKE MUNGU KATIKATI YA MATAIFA YOTE SIO MATANGA
@danallan88735 жыл бұрын
Ubarkiwe mtumishi, MOLA akubark na familia yako ili uzidi kutufundisha
@sophiamagak42235 жыл бұрын
Mungu ni mwema, halleluyha...wema na fadhili zake yanifuata amen...be blessed
@ahmadabufuaim65365 жыл бұрын
Asifiwe.yesu
@annliz8894 жыл бұрын
Wiliam thanks songs zako zinanifunza mengi ambayo sikua nayajua
@livingstonechurchtz84006 жыл бұрын
Wimbaji wenye kufuata sheria za Mungu hufungua Milango ya mbinguni
@NancyBarasa-m4w3 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@FatimaMasakhwe6 ай бұрын
🙏🙌🏻🙌🏻🙏🙌🏻Nimebaki na wewe Mungu wangu, # nani wanabaki na Mungu 🙏🙌🙌🏻,, ingia twende🙏
@rasimatilio35174 жыл бұрын
Kazana mungu akuongezee .nyimbo zako zinafaraja tele
@mercyadega1773 Жыл бұрын
Safi xn nehema y mungu yanitosha Amen 🙏🙏🙏
@jessecokiru19624 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu nyimbo zako huwa sinanitia nguvu
@chetambeyona35576 жыл бұрын
Mungu ni mwema indeed, yale amenitendea no one can do in my life, neema yake yanitosha, be blessed servant of most High God.
@beatricendegwa99326 жыл бұрын
The church
@beatricendegwa99326 жыл бұрын
U
@nickykipsang73654 жыл бұрын
nice song
@sequeltogenesis253 жыл бұрын
Be blessed the man of God
@jacoblesyiamon64115 жыл бұрын
Mungu ni Mwema kweli Barikiwa Sana Yilima, Paa Kama Tai Maishani Mwako,
@princefrank45345 жыл бұрын
Mungu Akuinue kama alivyomuinua daud
@loyceokoth33489 ай бұрын
exactly mungu amuinue zaidi
@dansonmutala23036 жыл бұрын
Akika mpendwa nimebarikiea sana nyimbo nzuri sana na mziki mtamu kupindukia
@PeterMalisa-qi3jm3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu uzidi kutubariki sana San Amina
@sulleadiana45043 жыл бұрын
Mungu akusidishe kipawa hicho ,nabatikiwa sana nikiskia nyimbo zako shukrani kwa mungu,wakenya twabarikiwa
@anitanapewa20125 жыл бұрын
This is amazing and Lovely song I'm so blessed from this song God bless you sir Watching from USA Love all your songs
@patricesabiti20435 жыл бұрын
You are the best artist neema ya mungu yanitosha kabisa God bless you so much and give you more effort to continue singing your blessed songs 🙏 Thanks for your talent
@FaithAngel-di9eu10 ай бұрын
Bila mungu hakuna tutakolofanya kwa hii maisha my favourite song ever
@ronohkipkoech99902 жыл бұрын
This song blesses my heart so much I can listen to it over and over again. Kweli Mungu wetu ni Mwema. God bless u MOG 🙏❤
@chesorijoyline92242 жыл бұрын
I like this song so much
@hvftzect Жыл бұрын
NIKUSUKA HUU WIMBO NAKUMBUKA PASTOR EZEKIEL 🙌 🙏 👏 👌
@abrahamochieng57479 ай бұрын
Pst wangu
@festusmchelsea44782 жыл бұрын
A blessed song and servant of God William this song strengthens my hrt am listening from ukambani kitui may you live long give more preach to your labs
@jamesmusembi59893 жыл бұрын
Good songs keep up
@janekazungu84576 жыл бұрын
Neemaya mungu yanitosha
@kingsleyoduor72512 жыл бұрын
Am really blsd apostle William yalima mungu akutendee mema maishani mwako
@simonkalenga716710 ай бұрын
Je suis congolais mais j'aime bcp tes chansons ça me donne la fois, je te suis depuis Lubumbashi.
@akilibalolebwami39444 ай бұрын
Muimbiji mungu akubariki sana na mimi piya na familia yangu yote
@neemamwita75034 жыл бұрын
Mungu ni mwema aleluya wema na fadhili zake zipo juu yangu vyanifata neema ya mungu yanitosha mbarikiwe sana
@VenillaEmmanuelАй бұрын
Umemtukuza Mungu kuliko kusema ya shetani uko vizr
@edinahmoraa39246 жыл бұрын
Mungu ni mwema hallelujah, wema na fadhili sake yanitosha......👀💓💓💓💓❤❤❤❤❤💓💗🙏🙏🙏🙏🙏🙏amen amen
@jonassokeza59025 жыл бұрын
Mungu ni mwema balikiwa sana
@augustinoefeso21825 жыл бұрын
mungu akubariki
@risperkokul42175 жыл бұрын
Nema ya Mungu ya nitosha👏👏👍
@ireneburundi71443 жыл бұрын
Kwel mungu nimwema kilasiku nimwem mungu akubal kuiyi nyimbozak ninzuri San nafuraha ungeza mwend mung akubal San tunagupenda san
@AbBe-c6u10 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi na azidi kukutumia jinsi ❤ apendavyo ahki nyimbo zako hua zanibariki sana nakuniimarisha kiimani 🎉
@elynesaddy98783 жыл бұрын
Aki hio beat iko really dope,,,,barikiwa mchungaji
@josephinemwende22544 жыл бұрын
Kweli wema na fadhili zake zanifuata ntasimulia neema ya mungu kwa mataifa neema ya mungu yanitosha
@nicholuskieti24753 жыл бұрын
Nitayasimulia matendo yake kwa kizazi changu 🥰🥰💪💪💪go go brother William. Kenya adores you.
@dorcasmwakio50114 жыл бұрын
Kweli kabisa neema na fadhili za Bwana zanifuata na zanitosha Amina 2020 bado nimo hapa Kenya tu
@amunganelson97125 жыл бұрын
Mungu ni mwema katika maisha yangu, amenitoa mbali na anazidi kuniwazia mema, ndoto yangu ni kuu,, William Yilima ubarikiwe zaidi na Mungu azidi kukuneemesha
@ceciliaokello2550 Жыл бұрын
Hakika mungu n mwema xn kW maixha yngu
@victormwita70793 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa mungu all the way from Kenya am also blessed 🙏🙏
@elvischadota92902 жыл бұрын
Sio kwa wote but kwa wale mwamuombao kila wakati baba be blessed
@akilibalolebwami39444 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwimbaji wa mungu nasi tubarikewe
@kennedymboya7859 Жыл бұрын
Wonderful 👍 napenda more grace
@ErnestwekesaWaswa Жыл бұрын
🎉🎉 indeed neeema ya mungu inatosha,huwa inagusa moyo wangu wakaty huu mgumu
@eliasilyeme8342 жыл бұрын
ayyyyyyyy] jamani huyu mtu nampenda si kwa nyimbo hizi anazoimba ni nyimbo nzuni za kumpendeza Mung kila wakati
@Gracemutheu-s2d3 ай бұрын
Sure neema yako yanitosha ubarikiwe william
@rosalynndungu5305 жыл бұрын
My best gospel artist.Your songs are perfect.God bless you n your family man.Please put the songs a way one can download.
@makakenia70654 жыл бұрын
Mm pia nmeona mungu akinitendea nisiyoyajua..amen bro
@MonicaAgapitiBruno10 ай бұрын
Neema ya mungu yanitosha hallelujah bwana 🙏🙏🙏🙏kawimbo kamenigusa jamani
@MuyamaBetwa6 ай бұрын
Asante yesu kwa mujungaji wako William
@pagielmerie10 ай бұрын
Mungu akubariki na kuinue zaidi nyimbo zako hunitia nguvu najua akikubariki Pia mm atanibariki
@marymuthangya49502 жыл бұрын
Nimelia mwaka mmoja na nusu But now I thank God neema ya Mungu yanifuata