Namuona metusela ,amosi katumbi , na baba yake shadrak ngonso daaaa kagunaga moja mipaka machozi yamenitoka niko mbali nawamic sana hawa watu
@ElinaMalongo6 ай бұрын
Kumbe unawajua..? Hii nyimbo nilianza kuisikia mwaka 1993 nikiwa mdogo kati ya miaka 5, ndiyo tumeanza sabato , nikaja kuwaona live mwaka 2004 Geita, Kuna jamaa mmoja mpiga solo ana mapengo... Daaahh hatari sana
@GabrielMbathi Жыл бұрын
Keep this 🔥🔥 burning. Indeed your song is powerful.
@maganyarobert7008 Жыл бұрын
Bwana atubariki sote milele Amina
@iddisillas45225 ай бұрын
Mungu awabariki Sana sanaa VITA VI KARIBU KUMALIZIKA UFUNUO 19:11.
@charleswambua71865 ай бұрын
This is the real gospel song
@GabrielMbathi Жыл бұрын
Great, may you ALL be blessed..
@mrsdeborahurio4 жыл бұрын
Nawapenda sana, mnanibariki kwa nyimbo hizi. Naomba DVD zenu ninunue.
@ThomasJuma-h7n9 ай бұрын
iLike this song so very much.God bless you so much
@stephanondomba5383 Жыл бұрын
❤Kwa kweli nimezipenda sana nyimbo zenu
@davidkilonzo8093 Жыл бұрын
A very good song with a message.keep up the Moto.
@johnkitheka275 Жыл бұрын
God bless you.
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Kweli kabisa mwenye kutenda mapenzi yake mwokozi. Ndiye atakayeingia uzimani..
@stanleymoseti3872 жыл бұрын
Nyimbo zenye ujumbe kamili. Asante Kagunga choir
@joelndungu9314 ай бұрын
mubarikiwe
@chepkwonykipngetichisaac88934 жыл бұрын
imenitoa mbali, namshukhuru Mungu sana, i miss the original version
@seserasamson7484 жыл бұрын
Wimbo mzuri wenye nguvu za uvuvio wa Roho Mtakatifu
@seserasamson7484 жыл бұрын
Dumuni kuimba nyimbo za namna hii zenye ujumbe kwa wakati huu wa mwisho wa historia ya ulimwengu tunapo ngojea kuja kwa Yesu mara ya pili.
@lilykimisa3841 Жыл бұрын
Amen
@ezraamos7330 Жыл бұрын
Mungu aonaye Sirini awabariki sana. Zaidi tuonane mbinguni
@obndavut39234 жыл бұрын
Meli_wimbo naupenda kweli,nikikumbuka wkt wa rika nijifahamisha namna ya solo guitar.Heko waimbaji.
@roymosirigwa45143 жыл бұрын
Wow best spiritual song,old is gold.
@samuelnyaachi70943 жыл бұрын
Good old voices of Kagunga choir. Be blessed.
@paulmwenda38634 жыл бұрын
Educational and keeping a healthy doctrine.
@justusrichard31224 жыл бұрын
A soul healing song but kindly make it available offline pls
@beatricesaka75575 жыл бұрын
Amina
@ndindandindasammy54922 жыл бұрын
Hi
@kilonzistephen91044 жыл бұрын
It has more doctrinesy
@ezraamos7330 Жыл бұрын
Mungu aonaye Sirini awabariki sana. Zaidi tuonane mbinguni