Jesus our everything we need.halleluya JESUS, EVERY KNEE SHALL BOW B4 U AND EVERY TONGUE SHALL TESTIFY THAT JESUS IS LORD
@daudinyello40336 ай бұрын
UKIWA MUISLAM MAANA YAKE UMEMUAMINI MUNGU MMOJA NA MTUME WAKE MUHAMMAD(S.A.W) YUKO SAHIHI KWA KIPANDE HIKO
@VerahOnkeope2cg6 ай бұрын
@@daudinyello4033 njia pekee ya ukweli na uzima ni YESU.MOHAMMED NA ALLAH NI VIWETE WAPINGA KRISTO .Mungu wa mbinguni haruhusu watu kuabudu miungu
@daudinyello40336 ай бұрын
YESU SI CHOCHOTE SI LOLOTE KWASABABU SIO MUNGU...MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HATAKUFA,HAJAZAA WALA HAJAZALIWA,YEYE NDIYE ALIYEUMBA MBINGU NA ARDHI,KAUMBA VIUMBE HAI NA VISIVYO HAI NA HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE....YESU ALIKUFA,ALIVULIWA NGUO,ALIOMBA CHAKULA, ALIPIGWA,ALIZALIWA TOKA KWENYE VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE,ALINYONYA KIFUANI MWA BI.BIKRA MARIAM, ALIFUFUA KWA IDHINI YA MUNGU, ALIUMBA UDONGO KWA MFANO WA NDEGE NA KUPULIZA KUWA NDEGE KWA IDHINI YA MUNGU...SASA MUNGU GANI HUYO?
@shabbymakapane6 ай бұрын
@@VerahOnkeope2cg MATHAYO 24:24-5 YESU Akajibu,Akawaambia ,Angalieni , MTU Asiwadanganye 5 Kwasababu wengi Watakuja kwa jina Langu , Wakisema , Mimi Ni KRISTO; Nao Watadanganya Wengi ,🙏🙏🙏 @verahOnkeope2cg SOMA BIBILIA Kabla Kuropoka 🤣🤣🤣 YOHANA 5;41 Mimi Siupokei UTUKUFU Kwa Wanadamu ,🤣🤣🤣 MARKO 7:6-9 Akawaambia , ISAYA Alitabiri VEMA Juu Yenu Ninyi WANAFIKI , Kama Ilivyoandikwa , Watu hawa Huniheshimu Kwa MIDOMO Ila MIOYO Yao Iko Mbali Nami ; 7 Nao Waniabudu Bure , wakifundisha MAFUNDISHO Yaliyo Maagizo ya WANADAMU, 8 Ninyi Mwaiacha Amri Ya MUNGU , Na Kuyashika Mapokeo ya WANADAMU , 9 Akawaambia , Vema! Mwaikataa Amri ya MUNGU Mpate Kuyashika Mapokeo Yenu .🤣🤣🤣 @VerahOnkeope2cg Ni Kati ya WAISLAMU Na WAKRISTO Nani Anaanudu Miungu ? Msikie YESU anasemaje, MARKO 10:18-19 YESU Akawaambia , Kwanini kuniita Mwema? Hakuna Aliye Mwema ila Mmoja , Ndiye MUNGU ,🤣🤣🤣 MARKO 12:29 YESU Akamjibu , Ya Kwanza Hii , Sikia , ISRAELI , BWANA MUNGU Wetu , ni BWANA Mmoja , 🤣🤣🤣. @VerahOnkeope2cg Msikie na Aliyekuletea UKRISTO Anasemaje, WARAKA WA PAULO MTUME KWA : WAEFESTO 4;6 MUNGU Mmoja , Naye ni BABAWa Wote, Aliye Juu ya Yote na Katika Yote Ndani ya yote ,🤪🤪🤪 @VerahOnkeope2cg. Soma BIBILIA Wewe , Msikia BWANA MUNGU Anasemaje kwako wewe Unae Muabudu YESU , YEREMIA 17;5 BWANA Asema hivi , AMELAANIWA Mtu Yule amtegemeaye MWANADAMU . Amfanyaye MWANADAMU Kuwa Kinga Yake Na MOYONI Mwake Amemwacha BWANA. 🤣🤣🤣👏👏👏 😜😜😜. @VerahOnkeope2cg Mfuate YESU Kwa kweli, MARKO 1:14-15 Hata Baada ya YOHANA KutiwabGerezani , YESU. Akaenda GALILAYA , Akihubiri Habari Njema ya MUNGU , 15 Akisema , Wakati Uetimia , Na UFALME wa MUNGU Umekaribia ; TUBUNI na KUIAMINI INJILI ,.🙏🙏🙏 @VerahOnkeope2cg Nakukumbusha Fuata MAFUNDISHO Ya YESU na Achana na MAFUNDISHO. Ya. WANADAMU , Ya Kina PAULO ,
@Logicentric6 ай бұрын
Huyu ni kafiri tu wala sio hata mkristo. Kwa nini anajinasibisha na uislam wakati yeye ni kafiri tu. Kama ni mtume aje na kitabu chake na dini yake uislamu haumuhusu kabisa. Na kama ni mkristo akahubiri ukristo lakini asichezee uislamu sisi sio mambumbu tunaijua dini yetu..na tunakisoma kitabu chetu. Sisi hatuna shida ya mtume mweusi...
Usimshtumu ni mkristo kwan umeona ametaja ukristo ?
@Chettymlambalipsi-lb9km6 ай бұрын
Ukweli unauma eee
@sundaymsuya14336 ай бұрын
Kwahiyo umefundishwa kuulinda lkn ukweli mmeambiwa msiusikilize ila kulinda ndio ht mkiambiwa ukweli hamtaki kujua sio
@andrewkissava91846 ай бұрын
Wewe ndugu yani unataka atetee dini na siyo kweli ya Mungu kwani dini nini
@deepestmathematics18886 ай бұрын
Umefundishwa kulinda uhongo na kukataa ukweli? Hivi mbona ni rahisi tu kwanza anaongea Kiswahili ambacho hupati tabu kuelewa je hasomi maandiko je afafanui. Hahah hasa Uislamu ni ugaid tu amni ukatae😂😂😂
@saigonernest76316 ай бұрын
Yesu ana sema Mimi ndiminjia nakweli na uzima hakuna awayeyoyote awezaekwenda Kwa babayangu bila kupitia kwangu.
@OverdozClassic6 ай бұрын
🎉🎉👏👏👏Walokutuma kazi hawajakosea mwalimu. HONGERA. Na hongera kwao kwa kuchagua agent mzuri... Unajua kushawishi wallah... Mana unaanza na ukweli ndio baadae uchomeke na zako😊.
@shabanimataka84186 ай бұрын
Ata ibilisi alei laana amewai kusema kweli na mtume wetu akakili kuwa amesema kweli, na uyu leo japo ni muongo sana ila leo kaongea vingi vyakweli, allah akuonyeshe haki
@GoPGM6 ай бұрын
Hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalovkuokolewa kwalo isipokuwa jina la YESU KRISTO peke yake. (Matendo ya Mitume 4:12). Wote wasikiri kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu ni wapinga Kristo. Hii ni pamoja na waislamu wote na mtume wao. Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. (1 Yoh 4:1-3 SUV) Je, Uislamu unamkiri Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Hapana!
@mammukaratu20846 ай бұрын
Allah amesema Swaumu ni yake na yeye ndie anajua atalipa vipi na Nini...alafuu Aliyetakasika ni Allah pekee yake !!
@annymacher38296 ай бұрын
Msikilze vizur dear utamuelewa.
@IssaahAdam-dd6vo4 ай бұрын
Yesu kristo ndio njia na kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa MUNGU mahali pema pasipo kumkiri Bwana Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha alikufa akafufuka kwa dhambi za ulimwengu pasipo Yesu kristo huwezi kusamehewa dhambi
@karimstambul-ts4gn6 ай бұрын
Mwendawazimu ktk ubora wake
@Cabosport6 ай бұрын
Uwa mtu akissema ukweli uwaga tunampinga, sababu tumezoea uwongo. Dunia ya sasa atupendi ukweli...
@annymacher38296 ай бұрын
@@Cabosport ni kwel kabsa alf hawa wanabisha k2 kilicho katika Quran yao.yan issa wanamjua ila kwa kua ss twamuita Yesu na tumekiri kwa vinywa vyetu na moyo wao wanaona kumtaja ni makosa makubwa alooooh,chaguen Yesu yy ndio njia kwel na uzima.na kama hawaamini waende wasome Quran Yesu kaelezewaje,na kule anaitwa "Masih" yan vitu vinajieleza kabsa ila wabishi na tena wameambiwa wamfate ndipo watakapo ongoka.
@patrickmaina54596 ай бұрын
Njia, Ukweli na Uzima Ni Yesu kristo Mwana wa MUNGU
@barakamwasanga16676 ай бұрын
6:71 - Sema: Je, tumuombe asiye kuwa Mwenyezi Mungu ambae hatufai wala hatudhuru, na turejee nyuma baada ya Mwenyezi Mungu kwisha tuhidi? Tuwe kama ambao mashet'ani wamempumbaza katika ardhi, amebabaika? Anao marafiki wanao mwita ende kwenye uwongofu, wakimwambia: Njoo kwetu! Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio Uwongofu. Nasi tumeamrishwa tusilimu kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote,
@haddardismail26896 ай бұрын
Haihitaji mjadala hapo kwanza umesema muumini ni yule alietamka laailaha illa llah kingine mpaka mtu ameacha kula wakati chakula anacho ameacha kunywa ni wazi kuwa hiyo ni imani tosha, acha kupoteza watu
@abdulazizhabib45816 ай бұрын
Huyu dish limeyumba njaa
@Saidmohammed-o3u6 ай бұрын
Ww c muislamu uvaa vazi kupotesha watu
@annymacher38296 ай бұрын
Quran inasemaje kuhusu issa?
@miangijunior43586 ай бұрын
Masheikh mbona huyu anatukashfu sana na Bado anatamba tu kinachoniauma anatumia neno Moja moja kwenye QUR-AN tukufu kutukashfu waislamu na Uislamu Bado munamuangalia tu inamaana ndio hakuna namna ya kumzuiya huyu mpinga haki ili haache kuuutukana Uislamu
@sharfumbarouk61686 ай бұрын
Yaani hata Mimi nashangaa anaendelea hata wasi Hana , huu Ni mpango ulioandaliwa maksudi kupotosha
@UlisayaMwampaja6 ай бұрын
Mimi ni mkristo ,hila nabihii yuko sahihi anacho sema kufunga bila imani si chochote hata kwa sisi wakristo kufunga bila imani pia si kitu na vile vile uislamu na ukristo mimi nishajifunza na nimehelewa kupitia kwa nabi eliya kupitia mafundisho yake ni kama mungu wetu ni mmoja tu ni vitu vidogo sana ndo vinatutofautisha mungu atusaidie tusome vyema mafundisho .
@veronicanestory16626 ай бұрын
Imani bila matendo imekufa, maana kitakachomtetea Mtu mbele za Mungu ni matendo… sasa watu hawaelewi hilo wanaamini Dini ndo kila kitu! Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema
@UlisayaMwampaja6 ай бұрын
@@veronicanestory1662 Asante kwa uliyoyasema mungu atutetee
@veronicanestory16626 ай бұрын
@@UlisayaMwampaja 🙏🏻 mtu wa Mungu
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Sio surat baqara mtu ni suuratul baqarah …suuratu ni khabari ya mubtadah
@ibrahimabdul82576 ай бұрын
Jinga hili dini ya kiislamu ni dini ambayo mapokeo yake yana chain of narrations eti maana yake ni maaliki amekutangulia nan kufahamu hivyo hili ni kristo
@gubogarro41516 ай бұрын
Uko kufuru Mwenyezi Mungu Akuongoza Inshaa Allah lakini nakuambia kitu moja panga mipango yako lakini ujue huwezi mshinda mipango ya Mwenyezi Mungu
@freduallughano23016 ай бұрын
Msije mkamsaidia allah kuua maana tunawajua nyie
@dannypaul8936 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣@@freduallughano2301
@RamadhaniChai6 ай бұрын
Ukiwa na masikio ya Allah utamuelewa uyu shekhe pia uwe na akili kubwa kumuelwa inshallah 🤲🤲
@MohamediRamadhani-z1z6 ай бұрын
As/alaikum Tunashukuru umejitahidi kupambanua walakini Kuna jambo unafeli kidogo sijajua coz unafanya haya Kwa matarajio gani.. Iko hivi; Allah ametuita enyi mlioamini Kisha ukatuelekeza walioamini ni wale walioshahadia Lailaha illa llah, hao ndio wanaopaswa kufunga, swadakta uko sahihi kabisa Sasa mahala unachanganya mada ni pale unapotuambia tunakua hatujafunga ati kisa inchi inaongozwa na mwanamke mara watu wanafanya liwati, Iko hivi Hizo unazozieleza ni changamoto ambazo zinapatikana ktk maisha ya duniani Wala hizo changamoto hazizuii yule alieamini asifunge, hata mwenyewe Kuna mda umejibu mada Kwa kusema hatupaswi kubeba bunduki Kwa changamoto hizi. Tuachie tulioamini tufunge afu changamoto za kidunia nazo tutazitatua Kwa uweza wa Allah mwenyewe...
@nyimbozakuabudu26506 ай бұрын
Kumbe yupo sahihi
@AlphonceTiago6 ай бұрын
Sasa hauelewi nn apo mjomba, yupo sahihi huyu jamaa
@AlphonceTiago6 ай бұрын
Kama unaweza kuwa muislamu na kufunga iweje usifunge kwa haki kwa kuondoa hizo changamoto alizozielezea, hauwezi ukaongozwa na mwanamke halafu ujiite muislamu
@@AlphonceTiago wewe uliemuelewa unaishi ktk nchi ipi? Na inaongozwa na nani? Hameni nchi basi
@KhamisOmar-kt4kz6 ай бұрын
Ww jamaa mbona sikuelew unamuambia nan km ni muislam wakuelew maana ww.ni kafir mbaya mnoo na ni.mnafiki
@veronicanestory16626 ай бұрын
Kafir wa kwanza ni wewe usiyeielewa kwel unaangaika na Dini, ulidanganywa na nani kuwa dini itakupeleka mbinguni?
@AndrewWoiso6 ай бұрын
Tatizo waislam wengi hampendi ukweli mkiambiwa ukweli mnakasirika 😢
@shareefkamtande6 ай бұрын
Wewe fuata imani yako usiingilie mambo ya waisilamu @@veronicanestory1662
@MahmoudDouchi6 ай бұрын
@@AndrewWoisotatizo Hana alijualo kuhusu uislamu pocho mkubwa huyu jamaa
@AndrewWoiso6 ай бұрын
@@MahmoudDouchi acha makasiriko buda
@shamsuddin45826 ай бұрын
Wewe ukiulizwa mtume alisema yeye ndo nabii wa mwisho, wewe unabii umeupata wapi?? Eleza kidogo hapo wewe jahil
@faridbinjumaonlinetv92586 ай бұрын
Asalam alaikum mm sjamaliza mpaka mwisho ila ni muislam Mimi na nakuelewa na kupitia maneno haya nitajitathmini ni mtu wa aina Gani mbele ya Allah na waislam mliomkosoa huyu yawapasa mjue kua funga bila Sala funga bila Iman funga bila matendo mazur Amna kitu jamani
@huseninchasi6 ай бұрын
Jamaa anajua kudanganya watu sana anajifanya shekh kumbe hakuna
@AminaAhmed9996 ай бұрын
sheikh gani anajiita nabii ashakufuru hapo
@benjamanigabriel33496 ай бұрын
Anachoongea kwel usipinge
@Cabosport6 ай бұрын
Sisi waislam atupendi ukweli ndio tatizo letu
@rashadymuhamad62936 ай бұрын
Tena Waislam na kizazi chetu, tusipotaka kusoma dini yetu atawachanganya wengi. Ukweli mchache lakini udanganyifu mwingi.
@SolomomAdams-pf5zy6 ай бұрын
Anaitwa sheikh Mbwa ndiyo jina lake halafu limeishiwa aibu kabisaa
@ramadhanmwandambotuntufye59726 ай бұрын
Huyu jamaa alishawahi kuitwa kwenye jopo la ulamaa, alibanwa kwa hoja madhubut na akaomba msamaha. Binafsi nina wasiwasi na kichwa chake , akapimwe akili na mkojo wake.
@shamsuddin45826 ай бұрын
Wallah jishenzi hili kweli kweli, kisha mtu akwambia sheikh nimekuelewa daah wallahu musta'an
@ahmedchoden99706 ай бұрын
Sahihi huyu sio muislamu na anatumiwa na wakristo kuchanganya waislamu wasio jua vizur dini yao Muislamu anaejua dini yake vzur hadanganyiki na uonho wa huyu mtu anaejiita nabii uo unabii sjui kaupata wapi
@gabrielsaelie80916 ай бұрын
Si rahisi kushindana na mfumo. Hata ukiwa unasema ukweli.
@SolomomAdams-pf5zy6 ай бұрын
Hakuna ukweli Bomoko ww
@michaelmagwaza-bc6mk6 ай бұрын
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli huwa huwa mnafra.😊😊 nyweeni nyote kikombe hicho Acha kuhamisha Agenda, ukitaka kupinga Weka Aya ili uaminike usiogee bila Aya.🤭
@OmarSaid-wj5zn6 ай бұрын
A A. Ndugu zangu waislamu tuchunge sana. Maana masihidajal ndie fitna kubwa na kila mtume aliwaoya umma wake kuhusu fitna ya masihidaja leo nabii waurongo anafudisha uislamu hii ndio fitna kubwa ndugu zangu waislamu M MUNGU atuzidishie hikma tuwajue manabi wa dajjal AMIN saum makbul ndugu zangu waislam.
@majigeedward9556 ай бұрын
Huu jamaa anasema kweli cc na nyie c maadui ni jambo la uelewa tuu,,
@bigfive83346 ай бұрын
huyu jamaa hana kitu anatafuta pesa kanisani anajuwa michingo ala elmu hana iyo aya ameshindwa kufafanua na kuelewa aje afunzwe na mwanangu age 8🇰🇪
@asmaalghafri4496 ай бұрын
Wewe haujulikani dini gani umechanganyikiwa ungelikuwa miislam kamili usinge jiita nabii na bii wa mwisho mtue wetu mohamed
@andrewkissava91846 ай бұрын
Ndugu wewe nabiidajal mtume wa uongo ni wewe ,lakini nabii ilyasa ni mkweli kuliko dini yauongo ya wisilamu kazi yake ni kupotosha umma na kuupeleke umma motoni uislamu ni dini ya uongo
@zahorsuleyman76176 ай бұрын
Kweli.kabisa
@OthmanhajiMwalim6 ай бұрын
Ww utadhalilika na kila mtu atakuona.
@shamsuddin45826 ай бұрын
Wallah mtu hawezi kuwa anafanya upuuzi km huu miaka yote kisha Allah akamuacha ,sub-hanahu wata'ala
@abdulhalimomar53296 ай бұрын
Waislam kuweni makini sana kwanza huyu si shehe usihadaike anachosema hawa wana dini yao na sisi tunadini yetu ya uislamu ,msihadaike mtu anaweza kusoma ili aharibu dini yetu ya uislam , uislam umeeleza vipi tuishi ikiwa tumetawaliwa tunatakiwa tutii mamlaka hata mtu muhammad hakuamrishwa kupigana vita wakati ambao hana nguvu walipitia manynyaso na vitimbi vya makafiri ,lakini walikaa nao kwa mipaka funga ndugu yangu usidanganywe huu ni mwezi mtukufu haya yote tumekadiriwa kutokea ,funga fanya mema ila uwe na imani uwe na Taqwa wewe huna uwezo wa kusimamisha haki bc jichunge wewe usizulumu fata mamrisho acha makatazo FUNGA NI YA ALLAH NAYE NDIE ATAKAELIPA ASIKUHADAE MTU KUJA KUKUAMBIA HULIPWI KMA MLIPAJI BINADAMU HUTOLIPWA LAKIN ALLAH YYE NDIE MLIPAJI WA FUNGA BINADAMU YOYOTE HANA UWEZO WA KUJUWA KMA FUNGA INALIPW au hailipwi kuweni makini huu ni mtego kuchezea imani zenu uko kwenye njia sahihi ndio mna unapigwa vita hawa tumeambiwa hawatatulia mpka tufate mila zao,na cc tunamtambuwa issa vzr asikudanganye, tazamaa vzr usomaji wake kma hutofatilia na kusoma unaweza sema anasema ya maana hapana iyo quran anakosea anasema sivo , anasema mashehe tupo uyo si shehe ,mfatilie uyo c muislamu
@jojigeorige10566 ай бұрын
Ila kuingia ndani na kuivuruga imani sio fresh. Acha Muislam aamini katika uislam na mkristo aamini katika ukristo...
@halimamwingu44786 ай бұрын
Wewe unasema tusifunge na tusiswali na yule mwenzako uliyekuwa unashirikiana nae (Pastor Masisi) ana chochea ushoga na anatukana Biblia. Mpango wenu ni mmoja tumeshtuka. Hatuachi ibada hata km dunia nzima itaabudu shetani. Mmesomeshwa na Wayahudi mje kusaidia kazi ya Mpinga Kristo. Siku zenu zinahesabika.
@daudinyello40336 ай бұрын
UMETISHA SANA NA UNAJUA MPAKA AKILI ZIMEPUNGUA, UNAFAA KUSALISHA MAKA....HAHAHAAAAAAAA
@KijukuuMtemi6 ай бұрын
Hili jamaa kiristo acha kufafanua kitu ulokua hukijuw hakuna nabii anaekaa tz njaa Kali ww
@progressivemetallicmineral46016 ай бұрын
YEYOTE ANAYEMBEZA HUYU NABII WA MUNGU, YAMFAA AMREJEE MOLA WAKE. ANACHOKISEMA KUKIFUNDISHA NI KWELI KABISA. ALLAH AENDELEE KUMHIFADHI MASHA ALLAH. ALLAH ATUFANYIE WEPESI MAANA MTU MWENYE AKILI, UFAHAMU NA AKILI ILIYOPALAGANYIKA, HAWEZI KUMUELEWA HUYU MTUMISHI WA MUNGU. HII NI ELIMU KUBWA SANA KULIKO MTU ANAVYOWEZA KUDHANIA.
@hafidhwajina67186 ай бұрын
Sisi sio wakristo
@Maalim_Samatta6 ай бұрын
Tatizo ktk uislam hatuna nabii Kama huyu, nabii w mwisho ni mtume Muhammad TU, hawa wengine ni WA kwenu nyie wakristo. Manabii w uongo
@veronicanestory16626 ай бұрын
@@Maalim_Samattanauliza kwani nabii huyu kaja na kitabu chake,si ananukuu maandiko yaliyoandikwa na mitume na manabii… sasa iyo kwel yake Kuna sehemu imedanganya au ni uelewa ndo mdogo,,, au unadhani Muhammad atatoka kaburini aje kukuhubiria ile kwel iliyoandikwa? Iponye nafsi yako ndugu yangu
@saphinalutaha90776 ай бұрын
@@veronicanestory1662kwenye uislam zama za manabii zmeshapta nabii wa mwsho alikuwa Mohammed 💓💓💓 uyo yupo kwenu
@BeullahBujah-lk3sx6 ай бұрын
Ubarikiwe Ndugu. Binadamu tumejaa jazba hasira bila kupambanua Maandiko ktk Vitabu vya Mungu..
@piscaskatembo39096 ай бұрын
Niko drcongo Nina kufata siku kwa siku mwalimu. Ubarikiwe sana .kwa hekima kubwa Mungu anaendeleya kukufunuliya kwa kizazi hiki.aksante sana nabii wa Mungu
@shabbymakapane6 ай бұрын
@piscaskatembo3909 Wewe Na Huyo Nabii Iliyasi wote Kwa Mungu mna Lakujibu ,🤣🤣🤣
@abdulmaslah57306 ай бұрын
Huo unabiii wa kujipachika umetumwa na Sheitwan😢umetuletea kitabu gang?
@Logicentric6 ай бұрын
Sasa unamfuats huyu kwani huyu ni dini gani? Ila na nyinyi ndugu zetu wakristo munajichanya..
@shabbymakapane6 ай бұрын
@@Logicentric MKRISTO Mwenzao huyo 🤣🤣🤣 Kwa WAISLAMU Mtume wa MWISHO ni MUHAMMAD Sasa huyu Nae Anajiita Nabii Iliyasi unaona kuwa Anaenda Kinyume na Mafindisho ya UISLAMU . 🤣🤣🤣
@asiri-romy-simba36716 ай бұрын
Alisema Bwana Yesu Kwa njia yoyote ile yaliyofichwa yote lazima yafunuliwe 🙏.
@Zainab_salat6 ай бұрын
Yesu hatambui watu wa mataifa😂😂😂😂 read bible when jesus called mwanamke wa mataifa ni mbwa, alitaka msaada akakataa,
@saumbliz89836 ай бұрын
@@Zainab_salatkabisa na alitumwa kwa kondoo walio potea kwa Wana wa izrael nashangaa wao ndio wamekua hayo makabila 12😂😂😂
الإنجيل محرف في ذاته ليست هناك نسخه قديمه اصليه اذا كنت فعلا مسيحي فأنا أكثر منك مسيحي ولكن لا وجود للانجيل الصحيح الذي هو ذكر فيه آخر الرسل وهو محمد وعيسى ليس إلا مثل ادم خلقه الله من تراب و أوحى إلى مريم من كلمته المسيح وجعلها رسولا نبيا ويكلم الناس في النهد صبيا ويحي الموتى وكثير من المعجزات
@jolinkimaro99396 ай бұрын
Umedanganya tena na kusema uongo. Hivi unamfaidisha nani? muhammad alipoebda madina aliweza kusambaza uislam si kwa kufunga bali alipopata dola ndio aliweza kuua na kulazimisha watu wawe waislam ama walipe kodi. huo ndio ukweli na wasiosoma wanasema eti unaongea ukweli. Muhamad aliua kufa na kupona ndio uislam usituhadae shekh.
@AssumaniJohnson6 ай бұрын
Nam yote un songea shekh yamo katika qour an unasema ukweli mwenyezimungu atusameeh zambizetu. Na atuongoze.
@MeYou-g9x6 ай бұрын
Ishara za ukafiri nikama hizi
@Allymbaruku991-lj1om6 ай бұрын
Mnafiki ktk ubora wake
@alisosola-rb1vc6 ай бұрын
Hakika makafir ni maadui wa mwnyz mung
@heliudjulias77486 ай бұрын
Nakupata vizuri nabii eliasa nikweri kwasasa waumini wengi hawajui kwanini wana amini ira wapo na imani
@khamisjuma37996 ай бұрын
WEE MTUME MBOVU MIE NILIJUA UMEKUFA YAANI BAADA KUONA KIMYA NIKAJUA UMELAANIKA KUMBE UHAI? ALLAH AKUJAALIE UFE
@EllyEllyCantiego-ew5np6 ай бұрын
Kati ya watu wenye laaana wew wa kwanza make hutaki kusikia ukwri unalaana ya wazazi wako wew
@veronicanestory16626 ай бұрын
Kama kufa ni rahis utaanza wewe
@Visionofeagle96896 ай бұрын
Wewe ndo ulaaniwe kwanza.
@daudluswema-mx3ok6 ай бұрын
ukweli unauma
@Princemahamba-m3p6 ай бұрын
Akisha kufa utanufaikaje
@YaaHoldings6 ай бұрын
We Christian we do fast more than half of the year . Like now we have started 50 days fast .. Al Hamsini . We copt orthodox Christian we fast starting before sunrise and going for the whole 50 days . We only break on 9hrs to remember Christ passed away on the cross just to have something small to give us strength to do a lot of prostration in prayers. Sigda . But we do away with sex , gossip, in sort we control what we eat , ear and what we say . So we do fast . We are orthodox Christian.
@yudatv49116 ай бұрын
Hey where are you
@Kabeya4106 ай бұрын
Huyu bwege tu kizabi zabina huyu mtu ukristo anauamini kwa kusema yesu kafa kafufuka na anawaunga mkono wale wakristo wanaosema Mungu ana mtoto yaani yesu wakati QUR AN IMEKUJA KUWAINYA WALE WANAOSEMA MWENYEEZI MUNGU KAJIFANYIA MTOTO kwa kuwa huyu mtu anajiita Nabii wakati unabii ushapita sasa hakuna Nabii huyu kwa mujibu wa Qur an ni Kafiri
@selemanishabani68436 ай бұрын
usipoteze nguvu kubwaaa,maana tunakufaham vizuri,umesha pinda,hata kujitambua tu hujitambui.pole kawaambie makafiri wenzio
@andrewkissava91846 ай бұрын
Nabii ilyasa anajitambua sana kuliko wewe unaye bwekabweka kama kalubu nila uelewa wa dini yako nabii ilyasa ni mwalimu wadaawa subiri daawa ikwingie acha kubweka
@nasoroabdallah62536 ай бұрын
Ikiwa wewe ni muislam kweli na unaamini katika yale aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (S.A.W) kutoka kwa Allah (S.W), ni mafundisho gani ya uislam yanayokuruhusu kujiita nabii wakati Qur'an imeshaeleza wazi ya kwamba hakuna unabii wala utume baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Sura ya Al-Ahzaab aya ya 40. Je huoni kwamba umekengeu (umekufuru) na kutoka katika Uislam? Acha kupotosha na muogope Allah (S.W) kwani ni mkali wa kuadhibu
@HAMIS-ci2vt6 ай бұрын
Inna lilah wainnaaa ilayhi raajiun.
@wilsongeorge4656 ай бұрын
Nimesoma baadhi ya comments Kuna watu wanajibu Kwa mihemko ya kidini pasipo kufuatilia Kwa undan kile Mwalim unafundisha na wanajibu bila hata kuainisha kwamba mwalim amekosea wap, MUNGU akubariki sn mtumishi wa Mungu, fanya kazi yake Kwa uaminifu Kwa kadri Mungu atakavyokuongoza yawezekana ukawaokoa baadhi ya watu wa Mwenyezi Mungu. Mungu akubariki na akutie nguvu katika kuifany kazi yake. Amina
@Chettymlambalipsi-lb9km6 ай бұрын
Haswaa 👌👌
@hamynas6 ай бұрын
mwalimu?hata kutamka matamshi kwamshinda ha ha haa
@daudinyello40336 ай бұрын
WAISLAM WOTE WAMEAMINI MUNGU MMOJA NA MTUME WAKE MUHAMMAD(S.A.W) NA KUFUNGA NI KUJIZUIA KULA IKIAMBATANA NA KUSALI,KUSOMA KUR"AN,KUTOA ZAKA,KUJIZUIA NA MATENDO MABAYA NK...ILA KUSEMA HATUFUNGI HAPO UNAKOSEA KWASABABU MALIPO YA SWAUMU NA SALA MUNGU PEKEE NDIO ANAEJUA NA HATUWEZI KUACHA KUFUNGA ETI KWASABABU KUNA MATENDO MABAYA YANAENDELEA MBELE YA JAMII.
@abeidpazia17206 ай бұрын
Yesu amesema msiwe vuguvugu,,kama ni moto kua moto, kama ni barid,barid..sa ww ukimuamgalia huyu mbona ni vuguvugu au hujamuelewa maana huyu anayekataza watu kufunga hapo hapo anasema kufunga ndio kunaleta ucha mungu..huyo ni kafir kubwa.
@thebeatshouse6 ай бұрын
Pumzi inakuhadaaa.....unajitahidi kupindua maneno ya ALLAH kwa faida yako....waupotosha umma kwa faida yako binafs hakika upo ndani ya bidaa.....ALLAH atakulipa kwa uzushi huo siku ya hesabu...tubia kabla haujaondok duniani
@saidhassan53466 ай бұрын
Kufunga tunafunga sisi nyinyi kinawakeleketa nini....Amjui kuna zakatil fitil Ndio inayosafisha vyote poleni sana Amjui Dini...tokeni Apa.
@salmanmagwe26126 ай бұрын
Kijana una POROJO za kitoto mno,wale wanaoingia KANISANI UCHI,unaweza kuwalinganisha na wanaofunga mchana mzima bila ya kula chochote ili hali ana kila kitu ndani?Sio wala walipoona Funga ni ngumu wakaamua wachague vyakula ndio wadai wamefunga eti Kwarizma😂
@yazidbafunda50926 ай бұрын
Pia umekuwa ukiwachanganya waislamu wenye uelewa mdogo wachini lakini washakufahamu. Usilete FALSAFA zako katika dini usiyoifahamu
Waislam na Wakristo rejeeni nyuma mkumbuke huyu na Pastor Ceaser Masisi walikuwa wanafanya kazi pamoja pale kanisa la Neema juu ya Neema. Yule Pastor leo anatukana biblia, anachochea ushoga, anasema kuzini sio dhambi n.k. Na huyu pia anasema watu wasifunge na wasiswali!! Hamjashtuka tuu!?? Mwenye akili ameelewa. Matapeli hawa. Fuatilieni matukio na mtumie akili mtgundua kitu.🙏
Sisi tunamfuatilia saana mafundisho yake kujua kama ana elimu au ni elimu ya shetani kupoteza watu wasiojua dini MPAKA SASA NIMEGUNDUA HUYU NI KAFIRI KWA MAJIBU WA MAFUNDISHO YAKE MWENYEWE
@iddkilango30336 ай бұрын
Kwann we kibabu lini umeusoma uisilamu we c hiv karibun ulikuwa mchungaji sijui pasta unaelezea habar za gaza ...makanisani Acha kuchezea akili za watu JAHILI WEWE
@eiddykenga58166 ай бұрын
Huja hoja ww..kuja kwenye mihadhara ufundishwe sio kupost vitu zakitoto
@MUHSINSALUM-cc4tg6 ай бұрын
Hivi hua ukiingia KANISANI waliokaa vichwa wazi. Wanaovaa Vimini hua huwaoni? Hao nao niwacha Mungu!?? Au wachungaji wa KIKE unawazungumziaje?
@DrLugendo-yg8qh6 ай бұрын
🇹🇿Dr lugendo, ANAKUPA SALAAAM......
@augustfive52796 ай бұрын
Sisi tunakupenda sana Nabii wetu Mungu akueke maisha marefu uzidi kueka ukweli bayana
@shabbymakapane6 ай бұрын
@augustfive5279 Ametoa Aya QURANI 2:183. Enyi Mlioamini! Mmelazimishwa Kufunga ( SAUMU ) Kama Walivyolazimishwa Waliokuwa kabla yenu ili Mpate KUMCHA MUNGU . 🙏🙏🙏. @augustffive5279 Yeye Akaishia ( Enyi Mlioamini ) Akajisahau Akajua jua Yupo KANISANI Akaanza Porojo Mpaka Mwisho wa Clip yake 🤣🤣🤣@augustfive5279 MANENO YA MUNGU Hayaongezwi wala Kupunguzwa / Soma hata KITABU Chenu, / KUMBUKUMBU LA TORATI. 4:2 Msiliongeze NENO Niwaamurulo wala Msilipunguze , Mpate Kuzishika Amri za BWANA , MUNGU WENU , Niwaamuruzo, 🙏🙏🙏. MHUBIRI 3:14 Najua ya Kwamba kila kazi Aifanyayo MUNGU Itadumu MILELE ; Haiwezekani Kuzidisha Kitu , Wala kuipunguza Kitu ; Nayo MUNGU Ameifanya ili Watu WAMCHE YEYE ,🙏🙏🙏@augustfive5279 Sasa wewe Nenda na Huyo Nabii wa Mchongo 🤣🤣🤣😂😂😂 Kwanza Kwenye UISLAMU Nabii wa MWISHO NI MUHAMMAD, Sasa huyu Muislamu gani Anaejiita Nabii Iliyasi ??? Anajisahau kuwa yeye Ni MKRISTO Kapandikizwa katika UISLAMU Sasa Anahubiri Ki KANISA 🤣🤣🤣
@tariiqssaby26456 ай бұрын
Wewe usieamini usifunge...usitafute trend kwa kufanya mdhaha kwa mola wako.
@jumamigindu76396 ай бұрын
Wewe unataka leta matatizo kwa jamii ya uislamu, hali unajua fika kua uislamu umejengeka kwa nguzo tano, Shahada, Swala, Awamu, Zaka na Hijja..yaani wewe ni chizi kweli. Usipite kwenye anga zangu pumbavu zako wewe.
@omarbinkhattab-kn8bu6 ай бұрын
Wewe shee sikiliza milembe panakuhusu mzee yan bora lingepachikwa jiwe hapo.acha kupotosha watu wewe.
@Shafikimanga76 ай бұрын
Huwezi kuwa uliyeamini😢 kama sio muislamu. Hatua inayofuata baada ya hapo ni uchamungu.
@bakarisaidi30226 ай бұрын
Wewe no chizi tu,Fundisha ukristo hatuna haja na watu wanao ubomoa Uislamu,Kama ni njaa njaa zetu wewe zinakuhusu Vipi?watu wengine confused sana.
@jamalibella97076 ай бұрын
Unaonyesha bdo hata matamshi yako ya kuyatamka maneno ya Mwenyezi Mungu unashindwa rudi madrasa
@haruniaisha59056 ай бұрын
Msicho penda waislam nikuambiwa ukweli kwasababu babayenu ni baba wa uwongo aliwadanganya amekutana na maraika gabriely kumbe kaminywa na shetani
@listerferdinand96536 ай бұрын
Kwa hiyo shekh unatushauri pia tusiswali, tusifunge, tusitoe zaka, na tusihiji maka, na tusishuhudie kwamba ALLAH ni mmoja Eti kisa tunatawaliwa na mwanamke Waisamu msipo soma dini yenu mtakua manaswala walivyo mfata poulo ikawa chanzo za upotevu mpaka leo
@HamisSaidi-h3u6 ай бұрын
Utawapata Washirikina wenzako yasioujua Uislam mfano kafiri wenzako mnafk Mkubwa we hata unacho kieleza sio Saiz yako
@melckizedecktemba53736 ай бұрын
Nakuelewaga sana,na kweli kama sio ulinzi wa Mungu, ISHMAEL angeshakuuwa.. endelea kusema ukweli
@ommygraphics43556 ай бұрын
Kwanza wewe mwenyewe unefunga??? Alafu mbona unautumia sana uislamu kuutangaza ukristo mzee 😂😂😂 tengeneza dini yako upige hela acha kuutumia uislamu kama silaha yako.
@Logicentric6 ай бұрын
Na nyinyi ndugu zetu wakriso sijui mnajielewa au la.. Sasa munamfuata huyu kafiri kwani huyu ni dini gani? Ila na nyinyi munajichanya kweli hata siwaelewi.
@lalyabbas88615 ай бұрын
Njoo nkudulusu shekhe Eti mtu akiswali akifunga yaani aamal yote hazikubali
@HamisSaidi-h3u6 ай бұрын
Mbona unalazmsha kuisoma Qur'an Alafu Qur'an haikutaki kwa Sababu ya Unafk Ulionao Moyoni Usoni kama Mtu Moyoni Mbwa mwitu
@abdulmalickupete90156 ай бұрын
Wala diini haipo hivyo matendo mema yatapimwa kama ilivyo makosa yatapimwa usikatishe tamaa watu,ILA WEWE SIYO MUISLAMU 100/=
@HamisSaidi-h3u6 ай бұрын
Yani hata kuitama Qur'an hawez Amesha kula pesa za papa ili Afundshe Uislam fek Mbwa huyu
@ibnayub23746 ай бұрын
Huko uliko wasomi hawafatilii mambo yako, ungebaki Tanzania mpaka sasa kazi yako ilikua imeisha kilicho kukimbiza Tz n nn? Wew n tapeli usiye jitambua danganya wakristu wenzako huwez pata kitu kwa waislam
@musamsangi16106 ай бұрын
Anayejua mfungaji ni Mungu wewe habari za kufunga waachie wafungaji
@abuumkota55056 ай бұрын
safi yangoswe amuachie ngoswe kwan yeye kinachomuuma nini
@sheikhabdillahmassawe53026 ай бұрын
Wewe Hamza achana na mambo ya Dini yetu Maana wewe siyo katika sisi
@saumbliz89836 ай бұрын
Huyu sio muislamu bhana atuache na swaumu zetu kafiri mmoja huyu kondoo mwengine alie potea
@54plus416 ай бұрын
watu nisaidieni tu kuelewa huyu preacher niwa ndini gani haswa manake huezi kuwa unatumia vitabu za dini mbili kuhubili nauseme hakuna makosa pahali.Again,jina la muumba nitofauti sana kwa hizi dini mbili .huyu niwa dini ipi sasa ?
@omarbinkhattab-kn8bu6 ай бұрын
Tatizo lako unachanganya mafaili.unapokuwa unafundisha dini.na hiyo inachangia elimu kiwa ndoho sasa fanya kitu kmj katafute mashekhe wakubwa wakufahamishe jinsi ya kutowa da3wa sio kwa njia kama hii hujakuwa straight so unapotosha dini hiyo dhambi kubwa tena sana utakuja kuuliza mbele za haki hapo baadaye.
@abdulmaslah57306 ай бұрын
Hata biblia ilisema watakuja manabii wa uongo jidanganye nafsi yako usipotoshe watu.
@KhamisHaji-pw4jo6 ай бұрын
Kuma ww kafiri mkubwa ukija Zanzibar nikiwa na taarifa kama umekuja nitakula sahani moja,,,nitaukatisha uhai wako,,,acha kuichezea dini yetu,,, kafiri mkubwa
@HamadiDodi6 ай бұрын
Wewe ni mshenzi tena kafiri mkubwa hata hujui kusoma pumbavu
@taturamadhan59406 ай бұрын
Mwache ashinde na njaa wewe. Haikuhusu wewe si muislamu uislamu hausomwi kirahisi hivyo sote waislamu tunatakiwa tuamini yoyote muislamu lazima atakiri lailahallah ndo maana na nyinyi mkiingia kwenye uislamu lazima useme lailahaillah. Unajitoa fahamu Allah akuongeze uwe muislamuu kwenye safari yako ya upotoshaji inshaallah.
@sheikhamansoor35226 ай бұрын
Yaani unafundisha wakristo kwa kutumia Qur'aan sababu umeona ni dini ya haki😂 Hayo yote waislam wanayajua Asiye na imani hafungi Hakuna nabii mwingine wa mwisho ni Muhammad Umejaa madhambi kwa kujiita nabii Mnasoma qu'raani ndio maana mmejua kuongea zamani mlikuwa hamjua kuongea
@ngoni79446 ай бұрын
Sikujua kumbe una chuki sana kwa wanawake. Kwani ni nani aliwapa amri wanaume ndio viongozi wa dunia hii, hizo dini zote za ukristo na uislam viongozi wao wote ni wanaume yesu na mohamed sasa waliweka hizo sheria kupendelea jinsia zao. Dini ni myths na uongo wa kumcontrol binadamu. Acha kudharau wanawake umezaliwa na Mwanamke, wanawake wana nguvu, wanazaa wanaume hawana uwezo huo wa kuzaa kwa hiyo heshimu Mwanamke
@mzazifilms93546 ай бұрын
Huyu sio mkristo ila ni mnafiki. Mnafiki.yupo.tayar kupotosha ili tu apate chakula au umaarufu . Sasa ukitaka kujua hakuna mtihan ni mkubwa lkn allah anajua kuhukumu
@bakarisaidi30226 ай бұрын
Wewe tuache na njaa zetu,shida iko wapi kwani? fundisha ukristo
@MatildeBjelland6 ай бұрын
Waislam huwa hawapendi kukosolewa hata kama anawaelemish ni muislam mwenzao! Utasikia huyo cyo muislam😅
@giftmusa65436 ай бұрын
Nitumie namba yako nina swasaka yangu ya elfu thelathini
@mussaidd45096 ай бұрын
Wewe nikafiri kama makafiri wengine.aidha upeo WA akili zako ndio umekomea hapo.karibu katika darsa za wasomi waumini wenye dini yao uongeze maarifa.
@Saidmohammed-o3u6 ай бұрын
Huyu amesoma kuvunja uislamu lakini c muislamu..wakristo wanajaribu kila njia kuvuruga uislamu lakini hamuezi
@jumamsuya66706 ай бұрын
Kwanza kitu ambacho wengi hawakijui kuhusu huyu bwana ni kwamba huyu sio muislamu.nasema hivyo kwa sababu waislamu wooote wanaamini nabii wa mwisho ni Muhammad swalallahu alahi wasalam.hivyo ukiona mtu anajiita nabii moja kwa moja anapingana na uislamu.pia Allah amesema funga ni Siri baina yake na mja wake .Sasa wewe unayesema watu wanashinda njaa je wewe ndio Mungu?
@shairaniifofo57946 ай бұрын
Umelaaniwa wewe tangu siku nyingi maana huna dini unayoifuata , kitendo cha kujiita nabii Baada ya kuja kwa nabii Muhammad na kufariki ni ishara ya wendawazimu wako . Mbaya zaidi unahisi unajua Uislamu kumbe ni mpiga debe tu .
@jacksonmwafongo19176 ай бұрын
Wewe Elia kama unataka ujuwe mama ya kufunga weka dibeti na waislamu sio unapiga kelele peke Yako Allah ndio mujuzi
@bigfive83346 ай бұрын
apo kataja sababun uzul ila kaangaika bila kueleza nikma anakijua jina tu kitabu kisha iyo aya 2.183 imetaja waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu. pia kaangaika kuwaeleza wakristo wenzake
@ShekiyaoHussein-ki4ty6 ай бұрын
Huyu ni mwehu tuu
@johnkiimbila67996 ай бұрын
We,wacha maneno asijeakakusomea alibadili.
@faustinemillanzi28996 ай бұрын
Yesu hubadilisha watu
@saidsuleiman175310 күн бұрын
Kichwa cha habari kimepotosha uhalisia wa mawaidha
@SaidOmar-d3m6 ай бұрын
wewe unapotosha watu mwenyezi mungu amehamlisha waumini kufunga uislamu una nguzo tano yakwanza shahada ukitamka shahada tu unatakiwa ufate amri za Allah nguzo yapili swala yatatu saumu yanne zaka yatano hija kwawenye uwezo vipi wewe umpinge mungu mungu anasema hakika malipo ya funga nijuu yake vipi wewe useme anaanacho pata tupe aya inaosema awapati chochote waislamu wanaamini Allah analipa matendo yamjawake kwa nia yamtendaji usiongope unatoamaana kwa akili yako ya upotovu ukiona mtuanatumia kur ani kwa upotevu ni wewe ndie utapoka wangapi walikuwepo
@lalyabbas88615 ай бұрын
Nimekujua leo huna elimu njoo nkulipe uache kuwapoteza ummah siulikiri mwenywe huna elimu jopo la ulamaaa
@LaizaLaiza-oj9uw4 ай бұрын
Uko sawa wafundishe wegi wamekaririshwa hawajui kitu kazi yao kubisha tu