No video

MUKIMPENDA MTUME MUWAPENDE NA MASWAHABA ZAKE, WAKEZE - SHEIKH MZIWANDA APIGA NYUNDO MBELE YA MASHIA

  Рет қаралды 29,376

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

MUKIMPENDA MTUME MUWAPENDE NA MASWAHABA ZAKE, WAKEZE - SHEIKH MZIWANDA APIGA NYUNDO MBELE YA MASHIA

Пікірлер: 232
@ramadhanikhalfan848
@ramadhanikhalfan848 Сағат бұрын
Mziwanda ALLAH AKUHIFADHI MWANAZUONI
@jumashekiyao9753
@jumashekiyao9753 Жыл бұрын
Mziwanda Allah akukubali Mzee fikisha haki japo inauma wakuogopewa ni Allah tuu sema kweli sheghe usikumbatie batwili
@KibwanaSimba
@KibwanaSimba 25 күн бұрын
Kwakweli sheemziwanda mungu akupe umri mrefu wenye mafanikio nakuelewa sana na amekaa hapo jalala ukimtataja abuu bakari anatamani upaliwe
@suleymanmpinga2794
@suleymanmpinga2794 Жыл бұрын
حفظك الله من كل شر الأنس والجن ويصلح أمورك على كل شيء
@maulidsheni6878
@maulidsheni6878 Жыл бұрын
اللهم آمين
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u Жыл бұрын
Jitahid uandik Kiufasaha.
@suleymanmpinga2794
@suleymanmpinga2794 Жыл бұрын
@@user-qe8xp6ii1u shukran kwa kunipa moyo naomba unisidie nilipo pakosa
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Allahumma Aaamiin.
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 Жыл бұрын
Shekh nakupnda kwaajiri ya Allah, wallah waislam tunao watu masha Allah
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Sema Sheikh. Sema Sana ; Imekuwa vizuri na Hao Mashiia walikuwepo. Wameze, wamung'unye, wateme, Watajua WAO. Ukweli umewaambia.
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv Жыл бұрын
😅😅😅🤣🤣
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 Жыл бұрын
Mashaa allah ama kwa hakika allah aendelee kukupa khery na afyaa
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Maashallah. Masufi sana mmeanza kusema ukwel
@salmasaady3989
@salmasaady3989 Жыл бұрын
Allah akulipe kwa Hilo na akujaalie mwisho ulio mwema
@Users2523
@Users2523 Жыл бұрын
Safi saana. BarakaLLahu fika.
@hassanally4960
@hassanally4960 Жыл бұрын
Safi sana sheikh Allah akujaalie kila la kheir ujumbe umewafikia mashia
@hamicjuma1838
@hamicjuma1838 Жыл бұрын
mashaallah mwenyez mung akuhifadh sheikh
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 Жыл бұрын
Huyo Jalala anajifanya amesinzia ila ujumbe unamfikia vilivyo Allahu Akbar
@abishafiqabishafiq6065
@abishafiqabishafiq6065 Жыл бұрын
Wallahi kazi ulio ifanya umeifanya kutoka moyoni kwako mwalimu wangu mungu akulipe ujira mkubwa mno Huo sheykh wenu wa mkoa wa dar hapo asinge weza kusema lolote KWA kuaabudu hao mashiya
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Tujiepushe na dhana
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADHI MWALIM WTU SHEKH
@binzubeir6510
@binzubeir6510 Жыл бұрын
Kufananisha vitu viwili visivofanana na kutofautisha vinavyofanana ni katika msingi mkubwa ambao unawapelekea watu kuacha uongofu alikujanao Mtume ﷺ.
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Mashaallah sheikh ALLAH akulinde mawaidha yake mazuri ya kumpenda mtume s a w na wake zake na maswahaba zake, kumbe wengine yamewachoma sanaaa.
@saadibraahim8561
@saadibraahim8561 Жыл бұрын
Uyo jalala na mashia wenzake wanafiki tu apo watubu warudi katika uwisilamu wakifa katika ushia motoni shekhe mziwanda amesha fikisha ujumbe
@hilalikaumo3470
@hilalikaumo3470 Жыл бұрын
Mashaallah, Allah akuhifadh sheikh mziwanda
@shafiikimaro9469
@shafiikimaro9469 Жыл бұрын
Ma shaa Allah huyu ndo ktk mashekhe wasiogopa maneno ya wenzake bali husema ukweli mbele yao...wallah allah anakuona atakulipa ujira mkubwa. Jalala katoa macho nasaha zamuingia uzur kabisa...aacheni kuwatukana maswahaba acheni kuwachukia maswahaba nyie mashiaaa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Huwezi kumfananisha sheikh Jalala na huyu mziwanda anaeitwa sheikh. Mziwanda hana adabu anazungumza maneno ya matusi mbele ya hadhara.Alafu mziwanda nikama masheikh wengine wakisunni. Ni watu wa mihemko wakupenda sifa tu lkn hawana uwezo wakufanya uchambuzi wowote wakielimu
@jaz9974
@jaz9974 Жыл бұрын
Mashaallah tabaraka allah
@ramadhanjumaa8848
@ramadhanjumaa8848 Жыл бұрын
Mungu akulipe kheri inshaalla
@sharifaboubakarmuhammadism9463
@sharifaboubakarmuhammadism9463 Жыл бұрын
Masha Allah kigogo fimbo ya Yaau sababia mashia
@ahmedrageahmedrage9134
@ahmedrageahmedrage9134 Жыл бұрын
Unawadanganya waislam
@jumaabahizri9725
@jumaabahizri9725 Жыл бұрын
Jiangalie sana
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 Жыл бұрын
Waelekum ssalaam warahmatullah wabarakatuh " mashekh zenu wanapewa baasha za kaki njaa
@swalehmkembe7783
@swalehmkembe7783 Жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili ya allah
@mohamedimuhango4440
@mohamedimuhango4440 Жыл бұрын
Mashaallah Sheikh
@banihashim5347
@banihashim5347 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mziwanda kwa kuwatetea daima maswahaba wa mtume wetu, ingawa watu wa mawlidi wanawakumbatia kwasababu ya kutuchangia katika maulidi zetu, بارك الله فيك
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
naama maswahaba wapo poa saana naomba kujua..khalid bin walid aliua maswahaba weengi saana katika vita vya jihad kuliko adui mwingine yeyote..ila alisilimu si kuwa kuiona haki bali makka ilivyokombolewa hakua na namna huyu huyu khalid bin walid alimuua swahaba mtukufu akiitwa malik bin nuwaira r.a na usiku uleule akalala na mkewe akijidei ni ngawira ameteka baada ya kushinda vita na hata umar bin khatwab alivyosikia habar hizi alitaka amuue ila khalifa aboubakar akamwambia mwachie alikosea alikua akijaribu kutafuta haki akachemka
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
swala ingine ni kuwa swahaba abuuhuraira adusii r,a alikua akitunga hadith nyiingi saana mpaka siku1 swahaba umar bin khatwab aliamua kumtandika viboko hadharani awache hii tabia yake
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
vipi katika vita ya jamal? kuna mke wa mtume saww akiitwa aisha bin abibakr aliongoza jeshi akiwa juu ya ngamia na kwenda kupigana na khalifa ali bin abitwalib na kusababisha mauwaji ya watu wasiopungua elf17 waislamu na vita iliisha baada ya ngamia wake kukatwa miguu na yeye kudondoka chini puuu na baadae kurejeshwa madina. ukisema hivi unatukana wake za mtume?
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
mama aisha kaburi yake ipo wapi? haijulikani..nimesoma kuwa muawiya alimualika chakula nyumbani kwake pale katika ukumbi wa kula akawa amechimba shimo kubwa na chini akaweka vyuma vina ncha kali hivi juu akatandika shuka. mama aisha alivyoingia kutaka kuketi meza ya chakula akakanyaka hiyo shuka iliyozugwa hapo juu akadondoka humo shimoni akachomwa na hiyo misumari akafa akafukia hilo shimo na ndiyo mpaka leo kaburi lake halijulikani
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
ikiwa maswahaba wooote ni waadilifu..kwa nn siku chache tuu hata wiki haijaisha baada ya kifo cha mtume saww palianza kutokea vifo vya ajabu vya maswahaba wakubwa?mfano swahaba saad bin ubada alikutwa kafa ndani ya madina na utumbo wake umechomolewa?waliofanya hivi ni kina nani?
@nabiljumbe
@nabiljumbe Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv Жыл бұрын
sent and delivered 💪
@japharytwaha8552
@japharytwaha8552 Жыл бұрын
Assalaamu aleikum warahmatullah wabarakatuh, shegh hivi hawa viongozi wetu wa bakwata kuwakumbatia hawa mashia hivi wanapewa nini kama ushahidi upo wanavyo watusi na kuwaombela laaana iwapate halafu kila shughuli ya maulidi wanaarikwa, ukweli wanauchafua sana Uislamu na siku ya kiama watalibwa kwa uwovu
@hamicjuma1838
@hamicjuma1838 Жыл бұрын
tuwe positive Allah kakadiria hivyo ili watanabaishwe
@mohammadsaid8252
@mohammadsaid8252 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mohammadsaid8252
@mohammadsaid8252 Жыл бұрын
Kuna haja ya waislam kua na ikhlas katika vitendo, kauli, na Kila jambo tulifanyalo. Sheikh mziwanda amejitahidi lakini Kwa mtizamo wangu na uelewa nikwamba sio Kila swahaba ni wakupendwa ndio maana mtume alimlaani swahaba muawiyya bin abii sufiyyani . Na pia Kuna sura katika Quran inaitwa suratul munaafiquun ilishuka Kwa baadhi ya maswahaba sio Kwa makafiri jamani
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
Lazima wawapende maana hata hayo maulid huku kwetu yamekuja na hayo mashia kwaiyo Mambo mengi wanaendana zikiwemo BIDAA kubwa kubwa tu.sema ktk mashekhe wanaojielewa kidogo ktk wa bakwata ni HUYU mziwanda na wapo wacheche ktk hoa.HATA HIVYO mwezi huu wa mfunguo sita haumo ktk miezi minne mitukufu.
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Жыл бұрын
@@mohammadsaid8252 WANAFIKI AWAITWI MASWAHABA SHEIKH
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Жыл бұрын
Swallalah Allayhi Wasalam Jazzakumllah Khery
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Tatizo shekhee hapo kwenye kumpenda mtume s,a,w. Maulidi hakuna dhawabu bali mnapata dhambi acheni ujinga huo
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Kuna vitabu vinaeleza maisha ya mtume Muhammad ila waislam hawavikubali wanasema ni vitabu vya mitaani wakati vinauzwa kwenye maduka ya kiislam
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
Jalala atakala kulia maana dawa yaingia taratib safi shekh letu mziwanda
@kwizerashabani1511
@kwizerashabani1511 Жыл бұрын
Maansh.Allah
@swahibutv3707
@swahibutv3707 Жыл бұрын
Maasha Allah hii ndio maana halisi ya doctor anatia dawa sehem iliyo haribika alhamdulillah Allah awaongoze waache kumtukania mtume ﷺ wakeze na maswahaba zake... ¶. Waswahili sisi twasema (ukilipenda boga lipende na uwa lake 🤷) Allah amuhifadhi huyu sheikh mziwanda maana ni wachache wenye kuongea ukweli kama huu
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
kuna swahaba mmoja akiitwa othman aliwatawala waislamu kwa madhila makubwa saana. mpaka ikapelekea watu wakapanda mpango wamkatekate mapanga afilie mbali na alietoa fatwa ni bibi ayesha aliposema muuweni naathala hakika amekufuru alipouliwa khalifa uthman watu walisusia maiti yake masiku kadhaa ikaanza kuharibika mpaka wakaja watu wakauzoa mwili wakaenda wakautupa katika jalala au makabur ya wayahudi ndiyo maana ukienda madina unakuta kaburi ya mtume saww pembeni yake wamezikwa umar na abuubakr lakini uthman hayupo pale sasa ukisema historia ilivyoandika wanasema watukana swahaba tehe tehe
@user-hy7zu7uv4j
@user-hy7zu7uv4j Жыл бұрын
NA amiin huyu na shekh walid wangekua. Viongozi tungebadilika. Waislamu
@anuaryally6204
@anuaryally6204 24 күн бұрын
Hii inaitwaa kupiga kwenye mshonooooo Shia sio waislamu
@jumaramadhan2689
@jumaramadhan2689 Жыл бұрын
Assalam aleykum yarabi mashia wanasitaili umauti ya ghafula kabisa
@saidabdus9014
@saidabdus9014 Жыл бұрын
Mpaka misikitini mapapaa wapo!!
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 Жыл бұрын
jalala ana machungu saaana
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Nyote wanafiki tuu unampenda mtume lakini mbona mmekaa na wanaomtukana acheni uzushi mziwanda pesa njaa ndo zinawapelekea kukaa na mashia hawo wanamtukana mtume, arafu hiyo ibada yenu ya maulid ni uzushi na wqlowaletea ni hao hao mlokaaa nao chini
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Wanaosoma maulidi wajitafakari sn
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
HUYU KIJANA MZIWANDA SASA HIVI AMESHATULIZWA KUWASEMA MASHIA BAADA YA KUPEWA MUONGOZO NA MASHIA
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Ujumbe Umefika ndipo naona vilemba Vimelowa jasho
@sherallysherally1203
@sherallysherally1203 Жыл бұрын
Vilemba vitaloa TOPE, wameisha umbuka Mashiia. Mambo ya Aqeeda zao za kikafiri, SASA ZIKA MITAANI. ZITABU ZAO mpaka uchochoroni vinapatikana. Kama ni wastaarabu, WACHUCHUMAE. LAKINI HILO NI MUHALI. Wachumia Tumbo hao
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 ай бұрын
TATIZO MASUNNI SOMO LA TAREKH HALIPO KWENYE SYLABUS ZENU NDIO MAANA MTAONA MASHIA WANAKOSEA, SOMENI KWANZA VITBU NYENU VIZURI MUWAONE HAO BAADHI YA MASWAHABA WALIVYOISHI NA MTUME
@sk-wj9or
@sk-wj9or Жыл бұрын
Asalaam alaikum warahma tullahi wabarakatu. Kwanini Bakwata hawaoni mtu kama huyu anafaa kua sheikh wa mkoa wa Dar es salaam? Hivi watu wanapewa nafasi hizo wanachaguliwaje? Siasa ktk dini au elmu ya mtu??? Tumechoka na kupelekwa kama vipofu. Waislam tuamke kupigania biongozi wenye uelewa wa dini na wasio tutia aibu na Fedheha. Allah akuhifadhi ulamaa wetu Sheikh Muharam Mziwanda.
@abuuammar4924
@abuuammar4924 Жыл бұрын
Duh ushampa cheo cha ulamaa
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
Wa alaykumussalaamu warahmatullaahi wabarakaatuh Sababu ya kutowaona watu kama hao kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar-essalaam ni kwa sababu akipatikana mtu aliyenyooka kama huyu ataharibu malengo !! Kwani mtu kama huyu hatoingia kanisani na kumsifu Bwana na kuwasifu pamoja na kuwapaka mafuta Manaswara, Kwani mtu kama huyu hatojibishana mitandaoni na wasanii watu waovu kama kina mange kimambi na wengineo, Pia atawasema vibaya Mashiya na hatowapaka mafuta Mashiya !!.
@sk-wj9or
@sk-wj9or Жыл бұрын
@@abuuammar4924 kwani maana ya ulamaa umeitafsiri vipi brother Abuu? Ulamaa inatokana na neno Elmu. Mwenye Elimu. Kama unatafsiri nyingine basi tuwlimishe sisi maamuma tunao hitaji elimu!
@sk-wj9or
@sk-wj9or Жыл бұрын
@@ayububakari9942 pamoja na hayo yote pia atatulimisha na kutuambia ukweli ulivyo. "In shaa Allah "
@abuushaukan6157
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
@@ayububakari9942 ulamaa
@mokitaa8750
@mokitaa8750 Жыл бұрын
Mtiani SANA kwa wanao komenti kupinga kama sio waislaam, ndio maana makafiri wanapata ya kusema kwasababu ya Sisi wenyewe kutokua na adabu na masheikh
@mohammadsaid8252
@mohammadsaid8252 Жыл бұрын
Alafu dini ya kiisilam inao msingi katika kuyajua mambo , Mtume s.a.w Aya za kwanza kuteremshwa kwake ni Aya za elimu, nadhani tukitaka kuelimika ni vyema kusikiliza masheikh kama sheik mziwanda lakini tusishabikie maneno Bali baada ya kusikiliza tutafute uhalisia wa mazungumzo kwenye vitabu. Nadhani ni busara Kwa waislamu kuisoma misingi ya dini zote na machimbuko yake pamoja na madhaahib za kiisilam vizuri alafu Kisha ndo tuanze kulaani. Sio wamlaani mshia kumbe hata Madh,hab Yako huijui wakati mwingine hata sala Yako huijui. WAISLAM TUSOMENI.
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
Ujumbe umekufikia daawa nzr ya shekh.
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Жыл бұрын
Anza wew kusoma kwanza ndo utoe ushauri kwa wengine
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Dawa imewafikia hao mashia,
@saidkondo5112
@saidkondo5112 Жыл бұрын
Mpongeze kwanza mzuwanda wewe
@ibunmurshid3885
@ibunmurshid3885 Жыл бұрын
Hakuna muislam HAMPENDI swahaba ilimradi Tu kama hakuwa mnafiki kama hao masanam wawili WA kukuraish
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Masufi walkuwa wanawakalia kmya sasa hv wanawapa bakora live. Hakuna kufchana tena. Ushia sio uislam
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
ACHA MATUSI MASANAM WAWILI NI WEW NA DAMPO(JALALA)
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 Жыл бұрын
Abuubakri na umaru ndio mawaziri wa mtume ktk maisha yake inamaana hata ilo hulijui????
@urindaathumani6920
@urindaathumani6920 Жыл бұрын
Asalaam alykum Hivi masheikh wa kisunna kwanini mnapenda kuwachokoza mashia aswa wakiwa wametulia... Alfu someni quruan vizuri na utulivu someni aya zote za unafiki nenda katika Bukhary na Muslimu juu ya maswahaba wanafiki mbona mnakuwa masheikh nimesikia... Mashia wakitulia munawachokoza. USIMPIGE MAWE ALIE KUWA NJE IKIWA UKO KWENYE NYUMBA YA VIOO UNATEGEMEA NINI NA YEYE AKIANZA KURUDISHA MAWE. Mambo na mada zakuongelea katika Maulidi ni nyingi sana aswa kipindi hiki cha mmomonyoko wa maadili maradhi njaa ajira... MASHEIKH WA KISUNNI FUNGUENI MACHO TETEENI JAMII
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Hahahahaha duuuh umeshindwa kuvumilia kumbe limekuuma sanaaa,kipi kibaya au alichoongea sheikh,yaani sheikh kusema tumpende mtume s a w na wake zake na maswahaba zake limekuuma sanaaa. Siku hizi mnazihirisha itikadi yenu,nashukuru endeeleeni kuizihirisha itikadi yenu ili umma wa kiislanu wajue nani ndugu zao katika imani na nani sio ndugu zao katika imaani,Siku hizi taqiyyah hamna tenaa.
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Ko umeona mada ya maradhi n bora kuliko kutetea heshima za maswahaba na wake za mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
masheikh mnawalika makafiri mashia wa nn
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Жыл бұрын
KULIKUWA HAKUNA HAJA YA KUWAKASHIFU KWENYE HADHARA KAMA HII AMBAYO WAMEALIKWA HAPA .. KWANN MLIWAALIKA . INA MANA MLIWAALIKA ILI MUWAKERE NA WEWE MZIWANDA UNATAKIWA UFIKIRIE NINI KITAKACHOKUJA MBELE BAADA YA HADHARA KATI YA MASHIA NA KAMATI YA MSIKITI WA MTORO ...
@abdallahsaid9882
@abdallahsaid9882 Жыл бұрын
Acha wakerwe kama wanapasuka wapasuke
@abdallahsaid9882
@abdallahsaid9882 Жыл бұрын
Wamezidi na vilemba vya udanganyifu
@official_Biiman
@official_Biiman Жыл бұрын
Shekh ukweli unasemwa popote pale
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 Жыл бұрын
Shekhe wangu kama kweli unaikusudia haki njoo kwenye sunna lkn kama hujaingua kwenye sunna hakutokufaa kuwazungumzia mashia na kumnukuu ibin taimiyya mfuate huyo ibin taimiyya ulie mnukuu yeye alikuwa nimtu wa sunna nakushauri chukua vitabu vya ibin taimiyya na ibin qayyim kisha utaijua sunna nini.
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
Namuona jalala hapo ameinamia chini tu ila mashekhe wa BIDAA ndo wanawalea hao mashia duniani kote si unaona hapo mashia wamejaa kwa mabidaa wenzao.ila hapo leo wameingia cha kike.ujumbe imefika directly kwa mkuu jalala kuna msikiti wa bakwata MMOJA nilifungua darsa ya ubaya wa mashia ktk UISLAM nikafukuzwa na wazee wa msikiti huo na nikaambiwa nawachonganisha na rafiki zao.ila kwetu sisi wa SUNNA Shia hakanyagi.
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 Жыл бұрын
Kichwa chako chenga pole
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
@@ramadhanikileo4615 ndo nn sasa mtu Anaitwa kileo kweli
@Marwatv255
@Marwatv255 Жыл бұрын
Ww huna akili,, Hebu kubali Sheikh ALICHO KIFANYA,,
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Ukimsikiliza huyu mziwanda anayeitwa sheikh utaelewa kiwango cha ujahilia uliomo ndani ya masunni.yani kwa masunni kila ukizungumza kwa mihemko yani ndo dalili ya elimu kwao.alafu kwa bahati mbaya hawana utamaduni wa kijiuliza maswali.kwa mfano kama wake za mitume lazima wawe wema mbona mke wa Nabii Nuhu na Luti wapo Motoni.kuwa mke wa mtume si hoja inategemeana na akhlaq zao. Pia wanadai maswahaba wote wema.je na wale walowauwa maelfu ya maswahaba wenzao baada ya mtume kufariki.vipi na wale walo leta fatua zinazopingana na Quran.pia nao ni wema? Masunni msiwe mambumbu mapelekwa kihamasa tu.waambieni masheikh wenu wawafundishe kielimu zaidi n siyo mihemko yakupenda kiki
@Marwatv255
@Marwatv255 Жыл бұрын
Ww unaelimu?
@abuuuyaynah698
@abuuuyaynah698 Жыл бұрын
Vilemba vimetota vya mashia
@yahyamaulana7791
@yahyamaulana7791 Жыл бұрын
Bad deo plyz nakuomba mfikishie salamu sheikh mziwanda. Katika taarekh waliofika kuitwa Sheikhuk islam ni wawili tu. 1.Zakarial Answaar 2.Ibnu hajar 'asqalaani Ama ibnu taymia amepachikwa tu. Shukran
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
Acha uongo Mbona wanachuon wengi tu wameitwa ShkhL islaam
@yahyamaulana7791
@yahyamaulana7791 Жыл бұрын
@@abuuzakariyalibumba6303 ntajie japo 1. Na nnanani alowaita hvyo. Kisha wajua ni sifa gani hupelekewa ukaitwa hvyo
@yahyamaulana7791
@yahyamaulana7791 Жыл бұрын
@@abuuzakariyalibumba6303 mtu usomjua wamuitaje muongo. Fanya adabu
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
عربي Español Deutsch Français English   الفتوى  الرئيسية الفضائل والتراجم فضائل العلم والعلماء سبب تلقيب ابن تيمية بـ (شيخ الإسلام) رقم الفتوى: 363937 تاريخ النشر:الخميس 20 صفر 1439 هـ - 9-11-2017 م 37788 0 150 السؤال لماذا سمي الشيخ ابن تيمية بشيخ الإسلام؟ مع أنني أعتقد حسب علمى المحدود أن هناك علماء يفوقونه علما خاصة من المتقدمين عليه، ولم يلقبوا بشيوخ الإسلام؟ والسؤال الثانى: هل يوجد شيخان يسمى كل منهما ابن تيمية؟ الإجابــة الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله وصحبه، أما بعد: فأما تلقيب شيخ الإسلام ابن تيمية بهذا اللقب فلما له من واسع العلم وعظيم الأثر وحسن الذكر رحمه الله، وليس هذا اللقب مقصورا عليه، وإن اشتهر به عند كثير من طلبة العلم دون غيره، فهناك كثيرون لقبوا بهذا اللقب سوى الشيخ رحمه الله، وتلقيبه بشيخ الإسلام مما هو جدير به ومستحق له، قال الحافظ ابن حجر في تقريظه للرد الوافر ما عبارته: وشهرة إِمَامه الشَّيْخ تَقِيّ الدّين ابْن تَيْمِية أشهر من الشَّمْس، وتلقيبه بشيخ الْإِسْلَام بَاقٍ إِلَى الْآن على الْأَلْسِنَة الزكية وَيسْتَمر غَدا لما كَانَ بالْأَمْس، وَلَا يُنكر ذَلِك إِلَّا من جهل مِقْدَاره، وتجنب الْإِنْصَاف فَمَا أَكثر غلط من تعاطى ذَلِك وَأكْثر غباره... إلى أن قال: وَلَيْسَ فِي تَسْمِيَته بذلك مَا يَقْتَضِي ذَلِك-يعني الإنكار على قائله- فَإِنَّهُ شيخ مَشَايِخ الْإِسْلَام فِي عصره بِلَا ريب. انتهى. وإنما ذكرنا كلام ابن حجر رحمه الله خاصة لأنه ليس من المتعصبين للشيخ ولا المنتمين إلى مدرسته، وبكل حال فشيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله من الجلالة وعظيم المكانة عند المنصفين من أهل الإسلام بحيث لا ينكر تلقيبه بهذا اللقب الزكي، كما لا ينكر تلقيب غيره به ممن استحق هذا، وكان له الأثر الحسن في الإسلام، وآل تيمية رهط كرام عرف منهم جماعة كثيرة بالعلم والفضل، وأشهرهم بذلك الشيخ تقي الدين أحمد بن عبد الحليم الملقب بشيخ الإسلام، ثم يليه في الشهرة جده أبو البركات عبد السلام ابن تيمية صاحب المحرر والمنتقى وغيرها، في جماعة آخرين ممن تلقب كل واحد منهم بابن تيمية وكانوا من أهل العلم والفضل، ولتقصي أخبارهم وتراجمهم تنظر كتب التراجم كالسير للذهبي وغيره. والله أعلم. مواد ذات صلة الفتاوى المكتبة كيف نجعل تعلم العلوم الدنيوية من جملة عبادة الله؟ أحوال ووسائل تعليم الجاهل حالات مشروعية حرق كتب العلم المفاضلة بين العابد والعالم هل كانت أمّ أويس القرني حية حين قدم المدينة؟ تخصصات العلم النافعة للمرأة وللأمة فضل نشر العلم على مواقع التواصل الاجتماعي   جميع الحقوق محفوظة © 2022 - 1998 لشبكة إسلام ويب وثيقة الخصوصية اتفاقية الخدمة اتصل بنا من نحن
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
عربي Español Deutsch Français English   الفتوى  الرئيسية الفضائل والتراجم فضائل العلم والعلماء سبب تلقيب ابن تيمية بـ (شيخ الإسلام) رقم الفتوى: 363937 تاريخ النشر:الخميس 20 صفر 1439 هـ - 9-11-2017 م 37788 0 150 السؤال لماذا سمي الشيخ ابن تيمية بشيخ الإسلام؟ مع أنني أعتقد حسب علمى المحدود أن هناك علماء يفوقونه علما خاصة من المتقدمين عليه، ولم يلقبوا بشيوخ الإسلام؟ والسؤال الثانى: هل يوجد شيخان يسمى كل منهما ابن تيمية؟ الإجابــة الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله وصحبه، أما بعد: فأما تلقيب شيخ الإسلام ابن تيمية بهذا اللقب فلما له من واسع العلم وعظيم الأثر وحسن الذكر رحمه الله، وليس هذا اللقب مقصورا عليه، وإن اشتهر به عند كثير من طلبة العلم دون غيره، فهناك كثيرون لقبوا بهذا اللقب سوى الشيخ رحمه الله، وتلقيبه بشيخ الإسلام مما هو جدير به ومستحق له، قال الحافظ ابن حجر في تقريظه للرد الوافر ما عبارته: وشهرة إِمَامه الشَّيْخ تَقِيّ الدّين ابْن تَيْمِية أشهر من الشَّمْس، وتلقيبه بشيخ الْإِسْلَام بَاقٍ إِلَى الْآن على الْأَلْسِنَة الزكية وَيسْتَمر غَدا لما كَانَ بالْأَمْس، وَلَا يُنكر ذَلِك إِلَّا من جهل مِقْدَاره، وتجنب الْإِنْصَاف فَمَا أَكثر غلط من تعاطى ذَلِك وَأكْثر غباره... إلى أن قال: وَلَيْسَ فِي تَسْمِيَته بذلك مَا يَقْتَضِي ذَلِك-يعني الإنكار على قائله- فَإِنَّهُ شيخ مَشَايِخ الْإِسْلَام فِي عصره بِلَا ريب. انتهى. وإنما ذكرنا كلام ابن حجر رحمه الله خاصة لأنه ليس من المتعصبين للشيخ ولا المنتمين إلى مدرسته، وبكل حال فشيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله من الجلالة وعظيم المكانة عند المنصفين من أهل الإسلام بحيث لا ينكر تلقيبه بهذا اللقب الزكي، كما لا ينكر تلقيب غيره به ممن استحق هذا، وكان له الأثر الحسن في الإسلام، وآل تيمية رهط كرام عرف منهم جماعة كثيرة بالعلم والفضل، وأشهرهم بذلك الشيخ تقي الدين أحمد بن عبد الحليم الملقب بشيخ الإسلام، ثم يليه في الشهرة جده أبو البركات عبد السلام ابن تيمية صاحب المحرر والمنتقى وغيرها، في جماعة آخرين ممن تلقب كل واحد منهم بابن تيمية وكانوا من أهل العلم والفضل، ولتقصي أخبارهم وتراجمهم تنظر كتب التراجم كالسير للذهبي وغيره. والله أعلم. مواد ذات صلة الفتاوى المكتبة كيف نجعل تعلم العلوم الدنيوية من جملة عبادة الله؟ أحوال ووسائل تعليم الجاهل حالات مشروعية حرق كتب العلم المفاضلة بين العابد والعالم هل كانت أمّ أويس القرني حية حين قدم المدينة؟ تخصصات العلم النافعة للمرأة وللأمة فضل نشر العلم على مواقع التواصل الاجتماعي   جميع الحقوق محفوظة © 2022 - 1998 لشبكة إسلام ويب وثيقة الخصوصية اتفاقية الخدمة اتصل بنا من نحن
@ahmadifakimjaka1433
@ahmadifakimjaka1433 Жыл бұрын
Shekh mwehu huyu eti kumpenda mtume sio lazima kumfuta dah...! Ilimradi tu awafurahishe mashia kiujanja
@farijala1
@farijala1 Жыл бұрын
hujamuelewa na Huenda Wewe ukiwa ni mwehu . pamoja na Mifano aliyoitoa hujaelewa. watu wanampenda Mandonga je watu wanamfuata? wapo waliompenda ntume na Hawakumfuata mfano Babu yake. tosheka na Hilo
@farijala1
@farijala1 Жыл бұрын
na maana yake kwa Ujumla anamaanisha Tumpende na Tumfuate. kuna watu wanaammua kufuata Sheria za Nchi si kwamba wanazipenda bali kwakuwa imewalazimu wazifuate
@leonardsamuel332
@leonardsamuel332 Жыл бұрын
ujumbe umefika
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 Жыл бұрын
Kumbe na nyinyi mnajua kua mashia wana watusi maswahaba wa mtu
@ismailysaidy884
@ismailysaidy884 Жыл бұрын
🤣🤣 ndo wamejikaaaza wenyw
@ismailysaidy884
@ismailysaidy884 Жыл бұрын
leo wameacha ile ndg zet🤣
@daudibashemela7095
@daudibashemela7095 Жыл бұрын
Napeda kumshangaa mziwada usihubiri chuki hakuna mtuyeyote anae weza kutukana swahaba wala mke waswahaba kasome vizuri angalia histolia ya maswahaba na wake za mtume lakini pia kutukana ktk wisilamu niharamu
@official_Biiman
@official_Biiman Жыл бұрын
Usiseme hakuna mtu yeyote.. Hakuna asiejua kma mashia wanawatukana maswahaba wa mtu yaan abubakari, swidiiq, omari ibn khatwab ,othman bin affan pamoja na mke wa mtume aisha.. Labda ndo hujui hilo
@sijartv9554
@sijartv9554 Жыл бұрын
Mziwanda simama imara kama Suleiman bin dawdi maana kuna hatari balqisi akawatuma watu kwako
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 Жыл бұрын
Tumpende mtume na waliomuamini na wakamfuata kwa haqi, wala hakuna lazim ya usahaba, kwani hata bin ubay nae alikuwa sahaba
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Mawaidha mazuri ila we babdeo umeweka kichwa cha uchochezi na fitna ili kupaya views haupo kw ajili ya dini haswa,
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Wewe ndo uelewa wako mdogo sanaaa .
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Wewe uelewa wako mdogo au mawaidha yamekuchoma kama yalivyowachoma hao mashia.
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
@@mkude asa uyo mzuwanda ameliona ilo la mashia tu, sasa kwann mmewaarika, mmewaarika ili muwachambe na wao wajibu alafu ndo nn..uu ni ujinga, madhehebu yalishatabiriwa na Mtumi ila kasema usifate dhehebu lolote. Km uyo mzuwanda msema kweli anipe aya au hadithi inayoruhusu mwanamke kua kiongozi!?
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@thegreenkhidhir3705 Mimi sijakuelewa lipi alilozungumza mzinwanda baya, yaani shekhe kuzungumzia tumpende mtume s a w pamoja na wake zake na maswahaba zake hilo ndo lakuwachokoza,kwahiyo nyinyi mashia muwakashifu wake za mtume s a w na maswahaba zake halafu unataka masheikh wanyamaze kimyaa.
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
@@mkude mi sio shia wala sufi au answar..sina aya wala hadith ya kuunga mkono dhehebu lolote bali nina Aya na hadith kua kuyachukulia maďhehebu kiushabiki ni aina ya shirki na zinaelekeza peponi. Point yangu ya nn kila ktk mikusanyiko ya Maulid kuruamsha fitna iyo km hawawakubali mashia basi wakubaliane kutowaarika kabisa, vinginevo ni unafiki na ria...sawa hajawatukana wala kuwataja jina ila iyo headline iliyowekwa imekaa kiuchochezi pia. Hata sarafi wanawaponda mashia na kuwaita makafiri huku wana waruhusu kwenda Hijjah wkt kn Aya inakataza kw makafiri kuuusogelea msikiti wa Makkah, Mtumi kasema ummah wake utagawanyika makundi 73 na akasema tusifate kundi lolote. Uislamu una chngamoto nyingi sna kw sasa kuliko ilo la madhehebu,
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Inahuzunisha mno, kw iyo mliwaarika mashia ili muwachambe.!? Hii ni fitna, bora msingewaarika tu !
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
HAKUNA FITNA UKWELI KUSEMA
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Huyu jaman haogopi hatar, anaongea ukwelii
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 Жыл бұрын
Fundi
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u Жыл бұрын
Mna mattzo Nyie Hamna Dalili yyte.Ukwel ni kuwa Mfunguo sita ni mwez Aliokufa Mtume.Na hakuna Dalili yeny Nguv Kuwa Alizaliwa mwez huu. Pia Mnayakubali vip Maneno ya ibn Taymiyah kisha mnamuita Wahab Pindi akiwasema Masufi???
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Жыл бұрын
Mawahabi adabu mliikosa kwasabb hata mashekhe zenu hawanazo
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u Жыл бұрын
@@abuuayoubayoub9260 Uwahab ni nin??Mim siujui Kwa sabab Uwahab Haupo.Ila ni jina tu Mlilotunga ktk Kuwatukana Ahlu sunna Waljamaa.hakuna Madheheb ya Uwahabi. Ufffi laka أف لك!
@daudijuma5914
@daudijuma5914 Жыл бұрын
Kumpenda mtume ni kupi?
@mailacamillius
@mailacamillius Жыл бұрын
Elewa kwanza mada ya sheikh....kisha nenda kwa Sheikh wa karibu yako KAMUULIZE akufundishe maana ya kupenda.
@ahmadifakimjaka1433
@ahmadifakimjaka1433 Жыл бұрын
Anawatetea mashia kijanja amna kitu hapo
@jumaabahizri9725
@jumaabahizri9725 Жыл бұрын
Babdeo wewe nifitina unasababisha mashekh watukanwe pamoja na uisilamu
@presenterkabuma1646
@presenterkabuma1646 Жыл бұрын
Kivip
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Жыл бұрын
Fitina ni wew usiyejielewa unazungumza nini hapa
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Dawa imekufikia inakuuma,kumbe sheikh kuzungumzia tumpende s a w na wake zake na maswahaba zake imekuuma sanaaa duuuuh,sasa waislamu watajua itikadi yenu IPO wazi tunashukuru sanaa Siku hizi chuki mmeziweka wazi illi umma ujue nani ndugu zao katika imani na nani sio.kama hamuwakubali wake za mtume s a w na maswahaba zake na ndo uhalisia hamuwakubali ndo maana kimekuuma basi nyinyi sio katika waislamu wenzetu.
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Na hao wanaowatukana maswahaba. Kuna mashekh wakubwa kama maswahaba?
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
#Jalala na huyu #mwanya_pengo mwenzako aibu yenu #Jongo kwani na wewe Shia? Mbona kope zimekushuka!?
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Жыл бұрын
AHSANTE SANA MUFT WA TANZANIA NA BAKWATA YETU INAYOJUWA USHIRIKIANO MZURI NA MADHEHEBU MENGINE ,... WEWE MZIWANDA UKIITWA KWENYE CHANELI ZA KIWAHABI WAPONDA UPANDE HUU UKIRUDI HUKU WAJIFANYA NI MWENZETU.. HATA HAPO PIA NI ULUWA TU NDIO ILIYOKUFANYA USEME . واذا خلو إلى شياطينهم قالوا إنا معكم إنما نحن مستهزؤون
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Mhhhh mbona unaonekana kama umekasirika au shekhe kuzungumza ukweli tumpende mtume s a w pamoja na wake zake na maswahaba zake inaonekana kama imekuchukiza, kumbe mawaidha ya sheikh yamekuchoma.
@kassimkomi503
@kassimkomi503 Жыл бұрын
Mjue mtu vizuri Wewe unamjua sheikh mziwanda?
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
mashiiya mtakoma
@saidkondo5112
@saidkondo5112 Жыл бұрын
Shia dhehebu la kitu gani
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
@@saidkondo5112 Shiya dhehebu la kiyahud
@mohammadsaid8252
@mohammadsaid8252 Жыл бұрын
Sheikh mziwanda amejitahidi na Allah amjazi Kwa juhudi, lakini Kwa mtizamo wangu sio kwamba maswahaba woote ni wema maana Kuna sura katika Quran tukufu inaitwa suratul munaafiquun ambayo haikuwashukia makafiri bali ililetwa kuelezea tabia za baadhi ya maswahaba wa mtume, kwahivyo hai mashia sio wa kwanza kuwachukia baadhi ya maswahaba Bali ni Sunna alioianzisha mungu mwenyewe, pia mtume alimlaani muawiyya bin abii sufiyyani na hayo Yako kwenye vitabu vyeyu jamani . Waislam tupunguze hamasa na ushabiki Bali tusome Kwa ikhlas dini yetu jamani Tunaweza kuwacheka hao mashia na kuwalaumu bwakwata kua nao karibu kumbe tunawadhulumu mashia Kwa kutowajua vizuri.
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 Жыл бұрын
SHIA kafika na talbiis. wanafiq sio waumini, lakin maswahaba ni waumini. makundi mawili tofauti hayo. Na wanafiq mtumie swanlallahu alayh wasanlam aliwajua na kuwaorodhesha, ama maswahaba na wake za mtume ambao mijishia inawatukana hawakua wanafiq bali Allah na mtume wake wamewasifu kwenye quraan na hadiith
@rashidabuu9406
@rashidabuu9406 Жыл бұрын
Swahaba hawezi kuwa mnafik maalim , kwani mnafiki ni yule alojaza kufuru moyoni kisha anadhihirisha uislam , kwa hiyo haiwezekan swahaba kuwa mnafiq teache chuki na maswahaba
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
ruditena kajifunze diniyako Allah atakuongoza usichokijuwa utakijuwa biidhini llah
@abuuhanifa1037
@abuuhanifa1037 Жыл бұрын
Kuwa na adabu aya iinawataja wanafik sio maswaha
@abuuhanifa1037
@abuuhanifa1037 Жыл бұрын
Huenda akawa shia huo
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
ما رأيت الا الفتنة والجهل
@sangatv3469
@sangatv3469 Жыл бұрын
Unateseka ukiwa waapi akhii
@abuushaukan6157
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
Upatie basi
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 Жыл бұрын
فإنها لا تعمى الأبصار ولكن تعمى القلوب التي في الصدور.
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
sheikhu l islam ibm taymiya hakua anakubali mawlid mbona huyo sheikh anamshabikia ibn taymiya ktk mawlid ilihali ndiye mwanzilishi wa itikadi za kuukataa mawlid?
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
Jinyonge shia🤣🤣
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@aishaarusha894 bibi aisha mnahangaika kutafuta waume wakuoeni na dini imesisitiza wanaume tuoe wake wanne huyu sheikh l islam ibn taymiya mpaka anakufa hakuwahi kuoa huoni ajabu? na ndiye kafanywa sheikh l islam tehe tehe tehe
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
@@hamynas kwa taarifa yako nina mume kama una dada yako yupo nyumbani kadoda usifikiri wote tumedoda alafu sasa kwanini ukumpa dada yako uyo shekher ili akupendeze kwenye macho yako
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@aishaarusha894 Ndiyo nakutahadharisha kuwa una masheikh wanaoishi kwa kujichua mpaka wanakufa na unawashangilia kuwa wanakuongoza ktk njia iliyo nyooka...hujaelewa point yangu dada aisha?
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@aishaarusha894 au wanaishi kwa kupiga mzigo kinyume na sharia hawafuati sunna kuu ya mtume saww ya kuoa,,,,halafu wanakuja mbele yako wakijiita answaru sunna sunna zipi sasa ikiwa kuoa ni nusu ya dini na unaishi mpaka wafa hujafanya nusra? wewe shekhe la vipi sasa?
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
hili libabudeo sijui deo ni chanel la kihuni tuu..huyo sheikh kaongea general issue na hakutaja mtu wala dhehebu lakini kwa uwanaharamu wako wewe deo umejiongeza kwa kuwazoom masheikh wa kishia na caption ukatia kabisa kuwa mashia? mbona huyo ziwanda hakusema maneno au kuwataja majina au dhehebu ktk hadhara?nyie mashetani kabisa deo miladu deo miladu kumbe utopolo utumbo kabisa
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Imekuuma sanaaa kuwa na adabu wewe,shekhe kaweka hiyo kwasababu mashia wengi hawawakubali wake za mtume na maswahaba zake. Naona na wewe dawa imekuingia mawaidha ya sheikh ndo nyinyi hamuwakubali wake na mtime s a w na maswahaba zake.
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@mkude mtume saww alikua na wake takriban 15 wanaosemwa vibaya ni wawili tuu hafsa na ayesha...kama ni ishu ni kuwasema wake za mtume saww mbona wengine 13 hawasemwi? mbona allah sw aliwasema ktk quran na akawafananisha na wake za nuh na lut?kufuata maandiko ya Allah ni kosa? we ndondocha tumia akili kidogo
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Ww hamisi hujielewi unapelekwa na hisia za chuki za kishia. Yaan unataka asiwazoom mashia wakat dunia nzma inajua ndo wanaowatukana maswahaba. Na pili kwahy kutajwa wake za lut ndo hoja ya kumtukana mama ayesha na hafsa. Mpumbavu kabsa ww usiojielewa
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
@@eng.saalim8646 anaemtukana mke au swahaba nani? kusema kitu kilichoandikwa ktk vitabu vya wasuni ni kosa? masuni hawasomi vitabu vyao ndiyo tatizo wanahamikia washia bila sbb ilihali wao ndiyo wameandika hayo makashfa swali la kizushi ....lini mtafuta yaliyoandikwa ktk vitabu vyenu masuni? swali la kizushi..kitu ikisemwa ktk quran na ikafananishwa na ayesha na hafsa ulifikiria Allah alitaka kutoa ujumbe gani?kwako wewe ujumbe wa Allah ni hoja rahisi rahisi ya kuipotezea? pole sn
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u Жыл бұрын
Mna mattzo Nyie Hamna Dalili yyte.Ukwel ni kuwa Mfunguo sita ni mwez Aliokufa Mtume.Na hakuna Dalili yeny Nguv Kuwa Alizaliwa Tarehe 12 mwez huu. Pia Mnayakubali vip Maneno ya ibn Taymiyah kisha mnamuita Wahab Pindi akiwasema Masufi???
@hassanabdulhussein9212
@hassanabdulhussein9212 Жыл бұрын
Ibn Taimiyya anawasemaje kuhusu masufi mwalimu .
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 Жыл бұрын
Duuuuuuuh Allah akusameh kwa kuongea ujinga
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Pole sana sana sheh Kama utawapa watu habari za tafaruku za madh-hebu. Ama mtazamo kuhusu maulid, ugefuta Kwanza Aya za Qur'an,. Ambazo NI Dalili wazi ya maulid, Kwanza habari za kuzaliwa Nabi Musa r,a Na Pia Nabi Yusuf na Nabi ISA r,a, piya unamnuku ibn Taamia wazi wewe ni Wahhabi unawadaganya Ahlul-suni Sisi MASHIA tumesoma alhamdulilah, tunajuwa Allah anasema mwenye. Kumtii Mungu na mtume amefaulu siyo Mungu na mtume na maswahaba wake na wake Zeke laa laa sheh NI Aladhina yuuminuna BI maauzila ilaika yeye mtume,
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Жыл бұрын
Pole sana sana sheh Kama utawapa watu habari za tafaruku za madh-hebu. Ama mtazamo kuhusu maulid, ugefuta Kwanza Aya za Qur'an,. Ambazo NI Dalili wazi ya maulid, Kwanza habari za kuzaliwa Nabi Musa r,a Na Pia Nabi Yusuf na Nabi ISA r,a, piya unamnuku ibn Taamia wazi wewe ni Wahhabi unawadaganya Ahlul-suni Sisi MASHIA tumesoma alhamdulila, soma
@abuushaukan6157
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
Alishawahi huyu anayezungumza kumuita mhabi
HASHIM IBWE KUMBE YUKO  VIZURI KWENYE QURAN SIO MPIRA TU
13:12
BABDEO MILADU
Рет қаралды 17 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 27 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
WEBAZE ALLAH AKWONGERE | Sheikh Arkam Tamusuza
38:23
SHEIKH ARUKAM TAMUSUZA
Рет қаралды 104
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,2 МЛН
TAZAMA ALI KAMWE AKIMUOMBA MUFTI KUSHINDANA QURAN NA AHMED ALI
10:49
BABDEO MILADU
Рет қаралды 4,4 М.
TUWE NA UISLAM KAMA WA MASWAHABA | SH. KIPOZEO
2:03:46
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 29 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН